Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Author picture

Mosi Bakari

Mwandishi Wetu

Jina langu ni Mosi Bakari mkazi wa Dar es Salaam. Kumekuwa na maduka mengi ya kubeti maeneo mengi ya jijini Dar. Ila mimi siyo mpenzi wa kubeti madukani - ninapenda sana kubeti mtandaoni. Nimekuwa nikifuatilia dondoo mbalimbali za kubashiri vyema na kushinda.
Nimeshafahamu mambo mengi sana kuhusu kubeti ambapo nikajiunga na kampuni ya Parimatch nikiwa kama mtaalam wa kubeti na mchambuzi wa mikeka.
Nimejikita zaidi kubashiri kasino. Michezo ya kasino niipendayo ni mingi sana ila zaidi ninapenda mchezo wa Aviator unaohusisha kurusha ndege.
Nimeandika makala nyingi kuhusu kubeti kasino, unaweza kuzisoma zote hapa kwenye blog ya Parimatch.
Kubashiri mtandaoni ni pendeleo langu kwa sababu ya malipo ya haraka, huduma nzuri kwa wateja na kuweza kufuatilia mikeka yako kwa ukaribu zaidi. Ninakukaribisha sana kusoma zaidi kuhusu mbinu za kubeti na ubashiri wangu.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.