THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Jackpot ni kitu gani?

Ikiwa wewe ni mfuatiliaji mzuri wa michezo, unaweza kupata fursa ya kujiongezea Odds kwa kutafuta michezo ya kubashiri Jackpot. Ikiwa una ndoto za kushinda ushindi mkubwa, Parimatch inatoa michezo ya kubashiri jackpots ambayo itakusaidia kupata uzoefu bora kwa kubashiri mtandaoni.

Jackpot betting, pia inajulikana kama TOTO, ni njia ya kufurahisha kushinda haraka mtonyo kubwa! Na ni rahisi sana kushindania moja ya jackpots za kusisimua zaidi nchini Tanzania na Parimatch. Soma hapa ili uijue zaidi!

Michezo ya Jackpot ni ipi haswa?

Jackpot ni mchezo maalum wa kubashiri ambao hutoa ofa ya kushinda zawadi kubwa kwa kutabiri kwa usahihi matokeo ya matukio mengi ya michezo katika kuponi moja.

Bookmakers wakubwa na mashuhuri tu wanaoweza kuendesha ubashiri wa Jackpot (au TOTO Jackpot) matukio ya michezo ya kubashiri hutolewa na bookmakers na kawaida huwa mechi maaarufu zaidi katika kipindi fulani. 

Kawaida, ubashiri wa jackpots unahitaji wachezaji kuweka beti zao zaidi ya 10, na ushindi umegawanywa kwa asilimia tofauti kwa wale ambao walipata zaidi ya idadi iliyofafanuliwa ya matokeo sahihi.

Nawezaje kubashiri Jackpot nikiwa Parimatch

Ili kuanza kubashiri Jackpot na Parimatch, ingia kwenye tovuti yetu rasmi – https://parimatch.co.tz. Huko, unaweza kujiandikisha na kubeti mara moja au kupakua programu inayofaa ya Parimatch

Jackpot ya Parimatch, au TOTO, inakupa kuponi ikiwa na matukio makuu 10-17, ambayo utahitajika kujaza ili kuweka beti yako. Kuna 1×2 beti kwenye kila mchezo, ambayo inamaanisha kuwa unapigia kura timu za nyumbani kushinda, timu za ugenini zishinde, au utabiri sare.

sports jackpot betting chart on Parimatch Tanzania website

 

Kwa kuongezea, tunatoa matukio ya ziada ambayo unahitaji pia kubeti. Zinaanza kucheza ikiwa tukio moja au zaidi kutoka kwa orodha kuu imefutwa. Kwa maaana nyingine, lazima ubashiri kwenye mechi zote zilizopendekezwa kutabiri matokeo sahihi ya michezo.

sports jackpot betting chart on Parimatch Tanzania website

 

Mwisho, utahitajika kusubiri hadi mechi zote zifanyike ili kujua ikiwa wewe ni mshindi. Matokeo yanapojulikana, jackpot imegawanywa kati ya washiriki wote ambao walitabiri kwa usahihi matokeo yote kutoka kwa orodha kuu na, wakati inahitajika, matokeo ya matukio ya nyongeza. 

Je, ni kwanini unapaswa kushiriki Jackpot ya Parimatch

Kuna sababu nyingi zinazofanya Jackpot ya Parimatch inavutia zaidi. Lakini hizi ndio kuu tatu:

  • Kwanza, jackpot ya Parimatch unaweza kupata zawadi kubwa zaidi kuliko inavyowezekana na kwa single beti. Wakati huo huo, utapata bei nafuu zaidi ya tiketi kwenye beti za jackpot ukizingatia matokeo yanayowezekana.
  • Pili, beti za jackpot ni moja kwa moja hupati usumbufu. Unaona orodha ya matukio yaliyochaguliwa mapema na unatengeneza haraka mkeka
  • Tatu, hukusaidia hata zaidi, tunatoa ofa ya “Chaguo la Haraka” ambalo linaweka beti moja kwa moja kwako. Hiyo ni kitu kwa wale ambao wanaamini bahati juu ya yote! Lakini, unaweza kubadilisha uteuzi huo kabla ya kuweka mkeka.

Sheria za Jackpot ya Parimatch

Ili uweze kushiriki katika jackpot, wateja wa Parimatch wanahitaji kuzingatia muhtasari ufuatao:

  • Mchezaji lazima abashiri kwenye matukio yote yaliyopendekezwa kwenye ukurasa wa jackpot
  • Ili kushinda, mchezaji lazima atabiri kwa usahihi matokeo ya matukio yote makuu
  • Ikiwa moja ya tukio kuu ilighairishwa, matokeo ya tukio la kwanza ya ziada iliyochaguliwa na mchezaji hutumiwa
  • Beti zinakubaliwa hadi mwanzo wa tukio la kwanza ya michezo iliyojumuishwa kwenye kuponi

Sheria za kina zimewekwa kwenye ukurasa wa mchezo wa jackpot ya Parimatch (sehemu ya “Jinsi ya kucheza”) na kwenye ukurasa wa vigezo na Masharti.

Kwanini usubirie kushinda zawadi za pamoja?

Kubeti jackpot ni njia nzuri ya kuongeza pesa yako ya zawadi kwa njia ya moja kwa moja na kwa gharama ndogo ya beti. Kwa kubashiri mfululizo wa mechi kwenye ushindi / kupoteza mkeka, unaweza kushinda zawadi kubwa.
Elekea kwenye tovuti rasmi ya kubashiri ya Parimatch — Parimatch.co.tz — au tumia programu ya Parimatch kucheza jackpot leo!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.