
Zawadi Kiwia
Mwandishi Wetu
Mambo! Ninaitwa Zawadi! Ninajihusisha sana na kubashiri michezo pamoja na kasino. Ninapenda sana kufuatilia mbinu za kina za kubashiri na kuwatazama wachambuzi wa mikeka na mbinu zao za kubeti. Lengo langu ni lipi? Kukusaidia wewe ujipatie mbinu mpya za kutengeneza pesa kwenye ulimwengu mpana wa kubetia michezo. Kaa karibu yangu, na tupate muda wa kubetia masoko mbalimbali pamoja!

Mosi Bakari
Mwandishi Wetu
Ninapenda kubeti! Ninaitwa Mosi Bakari. Nimekuwa nikifuatilia dondoo za kubeti kwenye tovuti hasa kasino. Tovuti ninayoipenda ni Parimatch. Tangu nijiunge nao Mei, 2018 nimekuwa nikiwapa wasomaji wetu mbinu nzuri za kubeti.

Fahad Mwita
Mwandishi Wetu
Kutana nami Fahad Mwita. Nimejiunga Parimatch Julai 2020 nikiwa muandishi wa makala za michezo kuwasaidia wapenzi wa michezo wafurahie kubeti. Nimeshaandika zaidi ya makala 20.