{"id":1478,"date":"2023-04-19T13:02:18","date_gmt":"2023-04-19T10:02:18","guid":{"rendered":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?p=1478"},"modified":"2024-02-16T15:52:13","modified_gmt":"2024-02-16T12:52:13","slug":"kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/","title":{"rendered":"Kubeti Dhidi ya Spread ni Nini?"},"content":{"rendered":"<p>Unataka kujua kuhusu jinsi ya kubetia spread au unashangaa kubeti ATS ni nini? Kama hiyo ndio kesi umekuja kwenye sehemu sahihi.<\/p>\n<p>Kubeti dhidi ya spread ni moja ya njia maarufu (na zenye faida) zaidi za kubeti michezo. Kwa baadhi, ndio aina pekee ya kubeti wanayoitafuta kwenye Parimatch.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Tembelea tovuti ya Parimatch<\/a><\/div>\n<p>Kubeti michezo kwa ATS kunaweza kuonekana kunachanganya kidogo mwanzoni, lakini kiukweli ni rahisi sana kuelewa.<\/p>\n<p>Endelea kusoma kujielimisha mwenyewe juu ya spread ni nini, jinsi ya kubeti dhidi ya spread, na michezo maarufu zaidi ya kuizingatia wakati wa kubeti ATS.<\/p>\n<div id=\"ez-toc-container\" class=\"ez-toc-v2_0_62 counter-hierarchy ez-toc-counter ez-toc-custom ez-toc-container-direction\">\n<p class=\"ez-toc-title\">Contents<\/p>\n<label for=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69dd2608453f4\" class=\"ez-toc-cssicon-toggle-label\"><span class=\"\"><span class=\"eztoc-hide\" style=\"display:none;\">Toggle<\/span><span class=\"ez-toc-icon-toggle-span\"><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" class=\"list-377408\" width=\"20px\" height=\"20px\" viewBox=\"0 0 24 24\" fill=\"none\"><path d=\"M6 6H4v2h2V6zm14 0H8v2h12V6zM4 11h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2zM4 16h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2z\" fill=\"currentColor\"><\/path><\/svg><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" class=\"arrow-unsorted-368013\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" width=\"10px\" height=\"10px\" viewBox=\"0 0 24 24\" version=\"1.2\" baseProfile=\"tiny\"><path d=\"M18.2 9.3l-6.2-6.3-6.2 6.3c-.2.2-.3.4-.3.7s.1.5.3.7c.2.2.4.3.7.3h11c.3 0 .5-.1.7-.3.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7zM5.8 14.7l6.2 6.3 6.2-6.3c.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7c-.2-.2-.4-.3-.7-.3h-11c-.3 0-.5.1-.7.3-.2.2-.3.5-.3.7s.1.5.3.7z\"\/><\/svg><\/span><\/span><\/label><input type=\"checkbox\"  id=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69dd2608453f4\"  aria-label=\"Toggle\" \/><nav><ul class='ez-toc-list ez-toc-list-level-1 ' ><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-1\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Spread_ni_Nini\" title=\"Spread ni Nini?\">Spread ni Nini?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-2\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#ATS_Humaanisha_Nini_Katika_Kubeti_Michezo\" title=\"ATS Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?\">ATS Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-3\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Jinsi_ya_Kubeti_Dhidi_ya_Spread\" title=\"Jinsi ya Kubeti Dhidi ya Spread\">Jinsi ya Kubeti Dhidi ya Spread<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-4\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Kutumia_ATS_Katika_Michezo_Maarufu\" title=\"Kutumia ATS Katika Michezo Maarufu\">Kutumia ATS Katika Michezo Maarufu<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-5\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Mpira_wa_Kikapu\" title=\"Mpira wa Kikapu\">Mpira wa Kikapu<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-6\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Mpira_wa_Miguu_wa_Kimarekani\" title=\"Mpira wa Miguu wa Kimarekani\">Mpira wa Miguu wa Kimarekani<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-7\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Mpira_wa_MiguuSoka\" title=\"Mpira wa Miguu\/Soka\">Mpira wa Miguu\/Soka<\/a><\/li><\/ul><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-8\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Soma_Zaidi\" title=\"Soma Zaidi:\">Soma Zaidi:<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-9\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/#Hitimisho\" title=\"Hitimisho\">Hitimisho<\/a><\/li><\/ul><\/nav><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Spread_ni_Nini\"><\/span>Spread ni Nini?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kabla ya kuingia katika jinsi ya kubeti dhidi ya spread, lazima uelewe spread ni nini.<\/p>\n<p>Furaha katika kuibetia mechi iliyoegemea vibaya upande mmoja ni nini? Malipo ni mengi kama ukichagua timu pendwa na hatari ni kubwa sana kama ukiiunga mkono timu dhaifu.<\/p>\n<p>Spread au vinginevyo hujulikana kama <a href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/mikeka-ya-handicap-ni-nini\/\">handicap<\/a> ni faida (au hasara) ya virtual inayotumika kwenye timu yoyote kusawazisha odds za mechi iliyoegemea upande mmoja.<\/p>\n<p>Handicap ni kiwango maalum cha alama kinachotolewa kwa timu dhaifu kabla ya mechi kuanza. Baada ya handicap kutumika, odds husawazika na hivyo zinakuwa zinavutia zaidi kuzibetia.<\/p>\n<p>Njia bora ya kuelewa spread (handicap) ni kwa kuuangalia mfano wa mpira wa miguu kutoka Parimatch:<\/p>\n<p><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"wp-image-1438 aligncenter\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/image2-3.png\" alt=\"3-way football bet on Parimatch Tanzania website\" width=\"380\" height=\"57\" \/><\/a><\/p>\n<p>Hapa unaweza kuona odds za kwanza za moneyline ya njia-3. <em>Azam<\/em> ni timu pendwa dhahiri katika mechi iliyoegemea upande mmoja sana dhidi ya <em>Namungo FC<\/em>.<\/p>\n<p>Angalia kwenye nini hutokea kwenye odds pindi handicap ya alama (goli) +1.5 inatumika kwa <em>Namungo FC<\/em>:<\/p>\n<p><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"wp-image-1437 aligncenter\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/image1-5.png\" alt=\"handicap football bet on Parimatch Tanzania website\" width=\"380\" height=\"61\" \/><\/a><\/p>\n<p>Odds huwa karibia zinafanana. Odds mpya ziko karibu sana kwa sababu, katika macho ya meneja ubashiri, <em>Namungo FC<\/em> inaanza mechi na faida ya goli 1.5.<\/p>\n<p>Katika mazingira haya, kama unabetia ATS kwenye <em>Namungo FC<\/em> kushinda na handicap ya +1.5, mikeka yako ingelipa ili mradi <em>Namungo FC<\/em> haikupoteza kwa zaidi ya magoli 1.5.<\/p>\n<p>Kama <em>Azam<\/em> ilishinda mechi kwa 2-1 mikeka yako ingelipa kwa sababu hawakushinda kwa zaidi ya magoli 1.5 au katika maneno mengine hawakuifunika spread.<\/p>\n<p>Kama <em>Azam<\/em> walishinda mechi kwa 3-1 mikeka yako isingelipa kwa sababu <em>Azam<\/em> iliifunika spread ya 1.5 \u2014 kushinda kwa margin ya 2.<\/p>\n<p>Unaweza ukawa unashangaa kwanini line baadhi (sio zote) za handicap zina pointi ya desimali ya .5 badala ya nambari (namba nzima). Hii ni kwasababu haiwezekani kufunga nusu ya goli, hivyo mikeka haiwezi kupelekea katika sare (bila bila).<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"ATS_Humaanisha_Nini_Katika_Kubeti_Michezo\"><\/span>ATS Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kubeti dhidi ya spread (ATS) ni mbinu inayolenga kwenye kubeti dhidi ya timu pendwa ya moneyline katika soko la handicap. Katika maneno mengine, unabeti kuwa timu pendwa haitaifunika spread ya alama.<\/p>\n<p>Ukifikiria tena kwenye mfano uliopita, kama uliibetia <em>Namungo FC<\/em> kushinda kwa handicap ya +1.5, ungekuwa unabeti dhidi ya spread.<\/p>\n<p>Kinyume chake, kama ukiibetia <em>Azam<\/em> (timu pendwa) kushinda kwa handicap ya -1.5, ungekuwa unabeti na spread.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Jinsi_ya_Kubeti_Dhidi_ya_Spread\"><\/span>Jinsi ya Kubeti Dhidi ya Spread<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama unafikiri watengenezaji odds wamepanga handicap (faida ya virtual) juu sana, basi usingetaka kufikiria kubeti dhidi ya spread.<\/p>\n<p>Kwenye kubeti michezo kwa ATS, swali unalotakiwa kujibu ni rahisi aidha ndio au hapana. Je! Faida inayopewa timu dhaifu ni kubwa sana kiasi kwamba itakuwa ngumu sana kwa timu pendwa kushinda?<\/p>\n<p>Kama jibu lako ni ndio, utafikiria kubeti kwa ATS.<\/p>\n<p>Kama unajibu hapana, na unafikiri timu pendwa itaishinda handicap, basi ingekuwa busara kubeti na spread.<\/p>\n<p>Huu hapa ni mfano kutoka Parimatch kutoka kwenye mechi ile ile kati ya <em>Azam<\/em> (timu pendwa ya moneyline) na <em>Namungo FC<\/em> (timu dhaifu ya moneyline):<\/p>\n<p><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"aligncenter wp-image-1439\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/image3-2.png\" alt=\"handicap football bet on Parimatch Tanzania website\" width=\"380\" height=\"29\" \/><\/a><\/p>\n<p>Handicap imewekwa kwenye 3.5. Kama unavyojua, hii humaanisha <em>Namungo<\/em> iko mbele magoli 3.5 kwa sifuri (katika macho ya meneja ubashiri) hata kabla mechi haijaanza.<\/p>\n<p>Hakika huo ni upungufu mkubwa sana kuushinda. Meneja ubashiri hufikiri hivyo pia, ndio maana odds ziko chini sana (1.07) kwa <em>Namungo FC.<\/em><\/p>\n<p>Odds ziko juu kwa <em>Azam<\/em> kwa sababu ungekuwa unachukua hatari kubwa kuwachagua kushinda kwa handicap ya -3.5. Wangetakiwa wautawale mchezo kikamilifu na kushinda kwa magoli manne au zaidi \u2014 ambacho si alisia.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kutumia_ATS_Katika_Michezo_Maarufu\"><\/span>Kutumia ATS Katika Michezo Maarufu<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Baadhi ya michezo ni maarufu zaidi kuliko mingine pindi ukibeti kwa ATS. Kipengele kikubwa kukizingatia kama unavutiwa katika kubeti dhidi ya spread ni jumla ya alama kwa kila mchezo.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Mpira_wa_Kikapu\"><\/span>Mpira wa Kikapu<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Michezo ya mpira wa kikapu ni ya ufungaji mwingi. Kwa kawaida katika <a href=\"\/page\/basketball-nba\">NBA<\/a>, jumla ya alama itakuwa sehemu fulani karibia alama 200.<\/p>\n<p>Zaidi ya hilo, alama za mpira wa kikapu zinafungwa kwa moja (mrusho huru), mbili (kufunga ndani ya mstari wa pointi-tatu), au tatu (goli la eneo la pointi tatu), kwa wakati. Hii hutofautiana kutoka kwenye soka, ambapo ni alama (goli) moja tu linaweza kuongezwa kwenye ubao wa alama.<\/p>\n<p>Wakati wa kuamua mchezo upi kuuchagua pindi ukibeti dhidi ya spread, unatakiwa kuzingatia jinsi (na alama ngapi) zinafungwa ili kuzielewa vizuri zaidi lines za spread.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/basketball\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=basketball_upcoming&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Beti kwenye mpira wa kikapu<\/a><\/div>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Mpira_wa_Miguu_wa_Kimarekani\"><\/span>Mpira wa Miguu wa Kimarekani<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Katika upande wa jumla ya alama, mpira wa miguu hudondokea katikati. Jumla ya alama zinazofungwa katika mchezo huwa ni wastani wa karibia 45.<\/p>\n<p>Kama ilivyo kwenye mpira wa kikapu, kuna viwango vichache tofauti vinavyoongezwa kwenye ubao wa alama kutegemeana na hali yenyewe.<\/p>\n<p>Kwa mfano, kufunga ni alama sita, ikifuatiwa na fursa ya kuongeza alama ya ziada au kwenda kwa ajili ya mazungumzo ya alama mbili. Hii humaanisha kwa nafasi moja ya ushambulizi timu inaweza kufunga hadi alama nane.<\/p>\n<p>Sawia, kuna magoli ya eneo la pointi-tatu au ufungaji wa point-mbili unaowezekana katika mpira wa miguu wa Kimarekani.<\/p>\n<p>Pamoja na njia mbalimbali za kufunga na mfumo mgumu wa ufungaji, kubeti ATS katika mpira wa miguu wa Kimarekani kunaweza kuwa kunakovutia sana \u2014 ndio maana ni maarufu sana.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/americanfootball\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=americanfootball_upcoming&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Beti kwenye mpira wa miguu wa Kimarekani<\/a><\/div>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Mpira_wa_MiguuSoka\"><\/span>Mpira wa Miguu\/Soka<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Soka ina lines za handicap ndogo zaidi. Kwa kawaida, huwekwa kati ya alama moja na tatu.<\/p>\n<p>Kama kwa hakika unavyofahamu, katika soka timu inaweza tu kufunga alama (goli) moja kwa wakati. Hivyo kimantiki, lines za handicap ni ndogo sana.<\/p>\n<p>Soka ni chaguo maarufu katika kubeti michezo kwa ATS kutokana na mtindo wake rahisi wa kufunga na unadra wa alama. Hii pia humaanisha kuwa ni ngumu zaidi kutabiri nani anakwenda kushinda \u2014 kupelekea kwenye malipo makubwa zaidi yanayowezekana.<\/p>\n<p>Chote kinachohitajika ni shambulizi moja lisilokaa vizuri katika eneo la mikwaju ya adhabu kubadili upepo wa mechi (na mikeka yako).<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Beti kwenye soka<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Soma_Zaidi\"><\/span>Soma Zaidi:<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<ul>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/\">Reverse Line Movement Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/push-humaanisha-nini-katika-kubeti-michezo\/\">Push Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-umma-jinsi-ya-kutumia-mkakati-huu\/\">Kubeti Dhidi ya Umma: Jinsi ya Kutumia Mkakati Huu<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/nadharia-ya-zig-zag-kwenye-kubashiri-na-utaitumiaje-kwa-faida-yako\/\">Nadharia ya Zig-Zag kwenye Kubashiri na Utaitumiaje kwa Faida Yako<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/faida-ya-timu-iliyopo-nyumbani\/\">Faida ya Timu Iliyopo Nyumbani: Ni Kitu Gani Hufanya kuwa Muhimu Sana?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kwanini-msaada-kwa-wateja-kwenye-kubeti-michezo-ni-muhimu\/\">Kwanini Msaada kwa Wateja kwenye Kubeti Michezo ni Muhimu?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kupata-tovuti-salama-za-kubeti-kwenye-michezo\/\">Jinsi ya Kupata Tovuti Salama za Kubeti Kwenye Michezo<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-kijanja-kutumia-uniti-za-kubeti\/\">Jinsi ya Kubeti Kijanjani kwa Kutumia Uniti za Kubetia<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/namna-ya-kupata-pesa-mtandaoni\/\">Jinsi ya Kupata Pesa Mtandaoni Tanzania<\/a><\/li>\n<\/ul>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Hitimisho\"><\/span>Hitimisho<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kubeti dhidi ya spread ni njia nzuri sana ya kujaribu ujuzi wako wa kimichezo dhidi ya meneja ubashiri.<\/p>\n<p>Kuwa jasiri na amini uelewa wako. Kama handicap imepangwa juu sana, kubeti dhidi ya spread kungeweza kukupatia pesa fulani kubwa.<\/p>\n<p>Pakua <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=what-is-betting-against-the-spread\">app ya kubeti ya Parimatch<\/a> hisivu yenye lugha mbili kama unataka kuona lines na odds zetu kali za handicap.<\/p>\n<p>Kama unataka kujifunza jinsi ya kukokotoa malipo au unavutiwa katika aina nyingine za mikeka, angalia <a href=\"\/blog\/sw\/vipi-naweza-kusoma-na-kuhesabu-odds-za-kubeti-michezo\/\">mwongozo<\/a> huu wa kina kutoka kwa wataalamu ndani ya Parimatch.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Gundua nguvu ya aina hii ya mikeka<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1587,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[13],"tags":[],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v21.5 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Nini Maana ya Kubetia kwa ATS? Ufafanuzi wa Kubetia Dhidi ya Spread<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Jifunze namna ya kubetia dhidi ya spread, wakati wa kufanya hivyo, na michezo maarufu ya kuifikiria kwenye hilo.\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Nini Maana ya Kubetia kwa ATS? Ufafanuzi wa Kubetia Dhidi ya Spread\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Jifunze namna ya kubetia dhidi ya spread, wakati wa kufanya hivyo, na michezo maarufu ya kuifikiria kwenye hilo.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"All About Sports Betting By Parimatch\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2023-04-19T10:02:18+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-02-16T12:52:13+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/How-to-Read-a-Point-Spread-no-logo.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"870\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"400\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"6 minutes\" \/>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Nini Maana ya Kubetia kwa ATS? Ufafanuzi wa Kubetia Dhidi ya Spread","description":"Jifunze namna ya kubetia dhidi ya spread, wakati wa kufanya hivyo, na michezo maarufu ya kuifikiria kwenye hilo.","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Nini Maana ya Kubetia kwa ATS? Ufafanuzi wa Kubetia Dhidi ya Spread","og_description":"Jifunze namna ya kubetia dhidi ya spread, wakati wa kufanya hivyo, na michezo maarufu ya kuifikiria kwenye hilo.","og_url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/","og_site_name":"All About Sports Betting By Parimatch","article_published_time":"2023-04-19T10:02:18+00:00","article_modified_time":"2024-02-16T12:52:13+00:00","og_image":[{"width":870,"height":400,"url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/How-to-Read-a-Point-Spread-no-logo.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Mosi Bakari","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Mosi Bakari","Est. reading time":"6 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/","name":"Nini Maana ya Kubetia kwa ATS? Ufafanuzi wa Kubetia Dhidi ya Spread","isPartOf":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website"},"datePublished":"2023-04-19T10:02:18+00:00","dateModified":"2024-02-16T12:52:13+00:00","author":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8"},"description":"Jifunze namna ya kubetia dhidi ya spread, wakati wa kufanya hivyo, na michezo maarufu ya kuifikiria kwenye hilo.","inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/"]}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/","name":"All About Sports Betting By Parimatch","description":"Betting Tips, Guides &amp; Strategies","potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?s={search_term_string}"},"query-input":"required name=search_term_string"}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8","name":"Mosi Bakari","description":"I love betting! I'm Mosi Bakari. I\u2019ve always been looking for the betting tips on various websites especially on casino. One of the sites I've liked is Parimatch. Since joining in May 2018, my primary goal has been to provide our readers with valuable insights into the world of online gambling.","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/author\/mosi-bakari\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1478"}],"collection":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1478"}],"version-history":[{"count":13,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1478\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5149,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1478\/revisions\/5149"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1587"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1478"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1478"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1478"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}