{"id":1498,"date":"2023-01-21T15:33:17","date_gmt":"2023-01-21T12:33:17","guid":{"rendered":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?p=1498"},"modified":"2024-02-16T17:03:52","modified_gmt":"2024-02-16T14:03:52","slug":"reverse-line-movement-ni-nini","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/","title":{"rendered":"Reverse Line Movement Ni Nini?"},"content":{"rendered":"<p>Unaweza kuwa umeshawahi kusikia hili neno Reverse Line Movement (RLM) au basi tu ungependa kujua kwanini bookmakers wanatumia mbinu hii kwenye kutengenea odds, basi ondoa shaka, uko mahala sahihi kupata uelewa zaidi.<\/p>\n<p>Ukijua mbinu hii vizuri basi unakuwa na uwezekano mkubwa wa kucheza surebet na kushinda mtonyo wa kueleweka, wataalamu wengi wa kubeti ndnai na nje ya Tanzania wanaelewa vizuri mbinu hii.<\/p>\n<p>Kwenye makala hii utajifunza nini maana ya reverse line movement, utajua kwanini bookmakers wanasogeza mistari ya odds, namna ya kujua mbinu hii inafanyaje kazi na ni wakati gani sahihi ya kutupia mkeka wako wa RLM Bet.<\/p>\n<p>Endelea kusoma ili uzidi kupata uelewa mkubwa na kuzidi kujismin kwenye kuweka mikeka hii ya reverse line movement.<br \/>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog?utm_source=regtel&amp;utm_campaign=reverse-line-movement\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jaribu bahati yako!<\/a><\/div><\/p>\n<div id=\"ez-toc-container\" class=\"ez-toc-v2_0_62 counter-hierarchy ez-toc-counter ez-toc-custom ez-toc-container-direction\">\n<p class=\"ez-toc-title\">Contents<\/p>\n<label for=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69dd0d10751be\" class=\"ez-toc-cssicon-toggle-label\"><span class=\"\"><span class=\"eztoc-hide\" style=\"display:none;\">Toggle<\/span><span class=\"ez-toc-icon-toggle-span\"><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" class=\"list-377408\" width=\"20px\" height=\"20px\" viewBox=\"0 0 24 24\" fill=\"none\"><path d=\"M6 6H4v2h2V6zm14 0H8v2h12V6zM4 11h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2zM4 16h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2z\" fill=\"currentColor\"><\/path><\/svg><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" class=\"arrow-unsorted-368013\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" width=\"10px\" height=\"10px\" viewBox=\"0 0 24 24\" version=\"1.2\" baseProfile=\"tiny\"><path d=\"M18.2 9.3l-6.2-6.3-6.2 6.3c-.2.2-.3.4-.3.7s.1.5.3.7c.2.2.4.3.7.3h11c.3 0 .5-.1.7-.3.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7zM5.8 14.7l6.2 6.3 6.2-6.3c.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7c-.2-.2-.4-.3-.7-.3h-11c-.3 0-.5.1-.7.3-.2.2-.3.5-.3.7s.1.5.3.7z\"\/><\/svg><\/span><\/span><\/label><input type=\"checkbox\"  id=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69dd0d10751be\"  aria-label=\"Toggle\" \/><nav><ul class='ez-toc-list ez-toc-list-level-1 ' ><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-1\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/#Reverse_Line_Movement_Ni_Nini\" title=\"Reverse Line Movement Ni Nini?\">Reverse Line Movement Ni Nini?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-2\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/#Kwanini_Makampuni_ya_Kubeti_Yanatumia_Reverse_Line_Movements\" title=\"Kwanini Makampuni ya Kubeti Yanatumia Reverse Line Movements?\">Kwanini Makampuni ya Kubeti Yanatumia Reverse Line Movements?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-3\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/#Nafuatiliaje_Reverse_Line_Movement\" title=\"Nafuatiliaje Reverse Line Movement?\">Nafuatiliaje Reverse Line Movement?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-4\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/#Ni_Wakati_Gani_Sahihi_wa_Kubeti_Kwenye_Reverse_Line_Movement\" title=\"Ni Wakati Gani Sahihi wa Kubeti Kwenye Reverse Line Movement\">Ni Wakati Gani Sahihi wa Kubeti Kwenye Reverse Line Movement<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-5\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/#Soma_Zaidi\" title=\"Soma Zaidi:\">Soma Zaidi:<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-6\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/#Kumalizia\" title=\"Kumalizia\">Kumalizia<\/a><\/li><\/ul><\/nav><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Reverse_Line_Movement_Ni_Nini\"><\/span>Reverse Line Movement Ni Nini?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Huenda umeshajua mstari wa kubeti (ni mstari unaoweka mikeka yako mfano <a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-kwa-over-under-total\/\">over\/under<\/a>, <a href=\"\/blog\/sw\/handicap-beti-ni-nini\/\">handicap<\/a>) mabadiliko ya matukio kutokana na muda, huu utofauti unajulikana kama reverse line movement.<\/p>\n<p>Reverse Line Movement ni pale ambapo bookmakers wanaweka odds kwenye mazingira ambayo hayavuti mtu kubetia upande wa pili, hii hufanywi makusudi ili kuzidi kujiongeea nafasi ya wao kupata faida zaidi.<\/p>\n<p>Makampuni ya kubeti hayana hela nyingi kwa wakati mmoja hivyo kuna muda inabidi watumie mbinu hii kupunguza riski ya kulipa pesa nyingi kwa wakati. Wasipofanya hivi waanweza kuishia kufilisika.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kwanini_Makampuni_ya_Kubeti_Yanatumia_Reverse_Line_Movements\"><\/span>Kwanini Makampuni ya Kubeti Yanatumia Reverse Line Movements?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kwa fundi wa mikeka kuelewa, kwanini makampuni ya kubeti yanasogeza mstari wa kubeti, kutakusaidia kujua ni kwa namna gani wanatengeneza hela.<\/p>\n<p>Mbinu hii hujulikana kwenye ulimwengu wa michezo ya bahati nasibu kama \u201cjuice\u201d makampuni ya kubeti yanachukua kiwango kidogo cha kubeti kwenye kila mkeka unaowekwa, hata yakilipa pesa ya washindi bado wanaweza kutengeneza hela kwenye makato mengine.<\/p>\n<p>Kwa mfano, kuna mchezo wa soka kati ya Spain na Brazil, tuseme 85% inayoingia ni ya Spain kushinda ya 2,5 ya mikeka. Hapa hii ni hatari kwa mwenye kampuni kwani Spain wakishinda kampuni itapoteza hela, hata wakichukua makato yao bado watapoteza hela.<\/p>\n<p>Hivyo basi, mtengeneza odds atasogeza mstari (reverse line movement) ili mikeka isiwavutie watu kubeti kwa Spain. Odds za awali 2,5 kwa Spain itarudi hadi 2,0. Na mikeka itaanza kuongezeka kwa Brazil kushinda.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Nafuatiliaje_Reverse_Line_Movement\"><\/span>Nafuatiliaje Reverse Line Movement?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kutegemeana na kampuni unaweza kuona hii mistari kila baada ya lisaa,kila siku. Kuna mbinu mbalimbali za kufuatilia RLM.<\/p>\n<p>Mbinu ya kwanza ni ya kizamani kidogo, kariri odds za mwanzo kisha fuatilia kama kutakuwa na mabadiliko yoyote.<br \/>\nMbinu ya pili ya kufuatilia RLM ni kuzunguka kwenye website ambazo zinafanya kazi hiyo malaamu tu ya kufuatilia odds za makampuni mbalimbali.<\/p>\n<p>Mbinu ya tatu na ya kuvutia zaidi ya kujua ni saa ngapi mstari unasogezwa ni kwa kuweka notification moja kwa moja kutoka kwa mwenye kampuni, sio kila kampuni inatoa hii nafasi &#8211; hivyo ni lazima ufanye utafiti wako kwanza.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Ni_Wakati_Gani_Sahihi_wa_Kubeti_Kwenye_Reverse_Line_Movement\"><\/span>Ni Wakati Gani Sahihi wa Kubeti Kwenye Reverse Line Movement<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kwa kawaida watengeneza odds watahamisha mstari mara moja na kwa bahati mbaya ni ngumu sana kujua mstari uthama saa ngapi, ukiwa unafanya uchunguzi wako na kugnudua odds zimepungua basi unakuwa umeshachelewa.<\/p>\n<p>Kuna baadhi ya matukio ambayo yanaonyesha mstari utasogezwa saa ngapi.<\/p>\n<p>Kwa mfano, mpigananji maarufu na mtalaamu wa michezo ya bahati nasibu Floyd Mayweather, anapenda kuposti kwenye mitandoa ya kijamii pale anapotaka kuweka mpunga mkubwa baadhi ya michezo, mingine hadi kufikia kiwango cha dollar milioni moja.<\/p>\n<p>Huku ni kweli kwamba mayweather hajawahi kupigwa ulingoni lakini likija kwenye suala la kubeti kuwa anapoteza mara nyingi, basi watu wengi wakiona hivi wanaamini kuna kitu anajua ambacho wao hawajui hivyo wanaamua kumuiga.<\/p>\n<p>Mayweather akiweka mkeka wake kwa timu flani kushinda, ikifuatiwa na mikeka mingine mingi kutoka kwa watu wengine, hapa utakuwa na uhakika wasuka odds lazima wasogeze mstari kujianda na chochote kile.<\/p>\n<p>Hivyo basi kwenye tukio kama hili inakubidi ufukirie kubeti upande tofauti na Mayweather, beti pale ambapo bookmaker atasogeza mstari, kwa sababu odds zitakuwa nzuri zaidi kwa timu nyingine.<\/p>\n<p>Kiujumla kubeti kwa mfumo wa RLM inaonekana kuwa sio mbinu ya kutegemea sana. Hivyo basi fuatilia mbinu hizi <a href=\"\/blog\/sw\/mbinu-za-kubeti-michezo-zinazofanya-kazi\/\">mbinu za kubeti kijanja<\/a>.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Soma_Zaidi\"><\/span>Soma Zaidi:<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<ul>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/push-humaanisha-nini-katika-kubeti-michezo\/\">Push Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-umma-jinsi-ya-kutumia-mkakati-huu\/\">Kubeti Dhidi ya Umma: Jinsi ya Kutumia Mkakati Huu<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-dhidi-ya-spread-ni-nini\/\">Kubeti Dhidi ya Spread Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/nadharia-ya-zig-zag-kwenye-kubashiri-na-utaitumiaje-kwa-faida-yako\/\">Nadharia ya Zig-Zag kwenye Kubashiri na Utaitumiaje kwa Faida Yako<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/faida-ya-timu-iliyopo-nyumbani\/\">Faida ya Timu Iliyopo Nyumbani: Ni Kitu Gani Hufanya kuwa Muhimu Sana?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kwanini-msaada-kwa-wateja-kwenye-kubeti-michezo-ni-muhimu\/\">Kwanini Msaada kwa Wateja kwenye Kubeti Michezo ni Muhimu?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kupata-tovuti-salama-za-kubeti-kwenye-michezo\/\">Jinsi ya Kupata Tovuti Salama za Kubeti Kwenye Michezo<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-kijanja-kutumia-uniti-za-kubeti\/\">Jinsi ya Kubeti Kijanjani kwa Kutumia Uniti za Kubetia<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/namna-ya-kupata-pesa-mtandaoni\/\">Jinsi ya Kupata Pesa Mtandaoni Tanzania<\/a><\/li>\n<\/ul>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kumalizia\"><\/span>Kumalizia<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Ni muhimu kujua maana ya reverse line movement na ujue kwanini wanaotengeneza odds wanaitumia, kwa kupata huu uelewa utakuwa na uwezo wakuweka mikeka ja kijanja zaidi.<\/p>\n<p>Kumbuka mstari ukisogea basi odds hazina uhalisia wa kitakachotokea kwenye mchezo.<\/p>\n<p>Ni bora ukaenda kuweka pesa zako kwenye tukio linguine lenye kueleweka zaidi.<\/p>\n<p>Wasuka odds wa Parimatch huwa wanapatia kila kitu kwenye odds zao ndiyo maana Parimatch ni moja ya kampuni zinazokua kwa kasi zaidi barani Africa.<\/p>\n<p>Parimatch ina <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog?utm_source=app_download&amp;utm_campaign=reverse-line-movement\">mobile betting application<\/a> mambo mengi ya kuvutia sio bure watanzania wengi wancheza nayo na kujishindia vyakutosha.<\/p>\n<p>Ukitaka kujionea ukubwa wa odds zetu tembelea tovuti yetu.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog?utm_source=regtel&amp;utm_campaign=reverse-line-movement\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jaribu bahati yako!<\/a><\/div>\n<p>Hauhitaji akaunti kuona odds zetu lakini kama uko tayari kujumuika na mabingwa basi <a href=\"\/blog\/sw\/usajili-wa-parimatch-nawezaje-kujisajili-na-kampuni-ya-parimatch-sports-betting\/\">Jisajili<\/a>.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Jifunze kubeti kijanja uzidi kushinda!<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1431,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[13],"tags":[],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v21.5 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Reverse Line Movement - Ni kwa Namna Gani Unaitumia na Kushinda Zaidi?<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Kwanini mistari ya kubetia inaambaa? Muongozo huu utakuelezea reverse line betting na unavyonufaika kwenye reverse line move.\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Reverse Line Movement - Ni kwa Namna Gani Unaitumia na Kushinda Zaidi?\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Kwanini mistari ya kubetia inaambaa? Muongozo huu utakuelezea reverse line betting na unavyonufaika kwenye reverse line move.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"All About Sports Betting By Parimatch\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2023-01-21T12:33:17+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-02-16T14:03:52+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/What-Is-Reverse-Line-Movement.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"870\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"400\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"4 minutes\" \/>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Reverse Line Movement - Ni kwa Namna Gani Unaitumia na Kushinda Zaidi?","description":"Kwanini mistari ya kubetia inaambaa? Muongozo huu utakuelezea reverse line betting na unavyonufaika kwenye reverse line move.","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Reverse Line Movement - Ni kwa Namna Gani Unaitumia na Kushinda Zaidi?","og_description":"Kwanini mistari ya kubetia inaambaa? Muongozo huu utakuelezea reverse line betting na unavyonufaika kwenye reverse line move.","og_url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/","og_site_name":"All About Sports Betting By Parimatch","article_published_time":"2023-01-21T12:33:17+00:00","article_modified_time":"2024-02-16T14:03:52+00:00","og_image":[{"width":870,"height":400,"url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/What-Is-Reverse-Line-Movement.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Mosi Bakari","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Mosi Bakari","Est. reading time":"4 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/","name":"Reverse Line Movement - Ni kwa Namna Gani Unaitumia na Kushinda Zaidi?","isPartOf":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website"},"datePublished":"2023-01-21T12:33:17+00:00","dateModified":"2024-02-16T14:03:52+00:00","author":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8"},"description":"Kwanini mistari ya kubetia inaambaa? Muongozo huu utakuelezea reverse line betting na unavyonufaika kwenye reverse line move.","inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/reverse-line-movement-ni-nini\/"]}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/","name":"All About Sports Betting By Parimatch","description":"Betting Tips, Guides &amp; Strategies","potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?s={search_term_string}"},"query-input":"required name=search_term_string"}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8","name":"Mosi Bakari","description":"I love betting! I'm Mosi Bakari. I\u2019ve always been looking for the betting tips on various websites especially on casino. One of the sites I've liked is Parimatch. Since joining in May 2018, my primary goal has been to provide our readers with valuable insights into the world of online gambling.","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/author\/mosi-bakari\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1498"}],"collection":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1498"}],"version-history":[{"count":7,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1498\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5171,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1498\/revisions\/5171"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1431"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1498"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1498"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1498"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}