{"id":1599,"date":"2023-01-11T15:11:08","date_gmt":"2023-01-11T12:11:08","guid":{"rendered":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?p=1599"},"modified":"2024-02-09T19:43:14","modified_gmt":"2024-02-09T16:43:14","slug":"moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/","title":{"rendered":"Moneyline ni Nini katika Kubeti Michezo?"},"content":{"rendered":"<p>Mikeka ya moneyline ndio aina rahisi zaidi ya kubeti michezo kwa wale wanaotafuta kushinda malipo makubwa kwa urahisi kiasi fulani. Odds za moneyline ni rahisi sana kuelewa, kiasi kwamba kiukweli si cha kushangaza jinsi zilivyo maarufu kwa wataalamu wa kimsimu na wanafunzi sawia.<\/p>\n<p>Odds za moneyline ndio kundi la kwanza la odds ambalo wabashiri wenye faida zaidi hulitafuta pindi wakiamua wapi pa kubetia pesa zao \u2014 na kwa sababu nzuri.<\/p>\n<p>Unaweza ukawa unashangaa mikeka ya moneyline ni nini au jinsi ya kusoma odds za moneyline. Usiwe na wasiwasi, umekuja kwenye sehemu sahihi.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Weka mikeka ya moneyline kwenye Parimatch<\/a><\/div>\n<p>Mwongozo huu utaangazia moneyline ni nini, jinsi ya kusoma odds za moneyline, jinsi ya kukokotoa malipo ya moneyline, na fahamu nyingine muhimu.<\/p>\n<p>Endelea kusoma ili uweze kujidhatiti kwa kujiamini kwa ujuzi wote wa muhimu kuanza kufurahia kampeni yenye matunda ya kubeti michezo.<\/p>\n<div id=\"ez-toc-container\" class=\"ez-toc-v2_0_62 counter-hierarchy ez-toc-counter ez-toc-custom ez-toc-container-direction\">\n<p class=\"ez-toc-title\">Contents<\/p>\n<label for=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69e9f2ac0a8de\" class=\"ez-toc-cssicon-toggle-label\"><span class=\"\"><span class=\"eztoc-hide\" style=\"display:none;\">Toggle<\/span><span class=\"ez-toc-icon-toggle-span\"><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" class=\"list-377408\" width=\"20px\" height=\"20px\" viewBox=\"0 0 24 24\" fill=\"none\"><path d=\"M6 6H4v2h2V6zm14 0H8v2h12V6zM4 11h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2zM4 16h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2z\" fill=\"currentColor\"><\/path><\/svg><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" class=\"arrow-unsorted-368013\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" width=\"10px\" height=\"10px\" viewBox=\"0 0 24 24\" version=\"1.2\" baseProfile=\"tiny\"><path d=\"M18.2 9.3l-6.2-6.3-6.2 6.3c-.2.2-.3.4-.3.7s.1.5.3.7c.2.2.4.3.7.3h11c.3 0 .5-.1.7-.3.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7zM5.8 14.7l6.2 6.3 6.2-6.3c.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7c-.2-.2-.4-.3-.7-.3h-11c-.3 0-.5.1-.7.3-.2.2-.3.5-.3.7s.1.5.3.7z\"\/><\/svg><\/span><\/span><\/label><input type=\"checkbox\"  id=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69e9f2ac0a8de\"  aria-label=\"Toggle\" \/><nav><ul class='ez-toc-list ez-toc-list-level-1 ' ><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-1\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Moneyline_Humaanisha_Nini_katika_Kubeti\" title=\"Moneyline Humaanisha Nini katika Kubeti?\">Moneyline Humaanisha Nini katika Kubeti?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-2\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Mikeka_ya_Moneyline_Hufanya_Vipi_Kazi\" title=\"Mikeka ya Moneyline Hufanya Vipi Kazi?\">Mikeka ya Moneyline Hufanya Vipi Kazi?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-3\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Kuelewa_Odds_za_Moneyline\" title=\"Kuelewa Odds za Moneyline\">Kuelewa Odds za Moneyline<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-4\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Timu_pendwatimu_dhaifu\" title=\"Timu pendwa\/timu dhaifu\">Timu pendwa\/timu dhaifu<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-5\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Malipo_yanayowezekana\" title=\"Malipo yanayowezekana\">Malipo yanayowezekana<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-6\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Implied_probability\" title=\"Implied probability\">Implied probability<\/a><\/li><\/ul><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-7\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Faida_za_Mikeka_ya_Moneyline\" title=\"Faida za Mikeka ya Moneyline\">Faida za Mikeka ya Moneyline<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-8\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Urahisi\" title=\"Urahisi\">Urahisi<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-9\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Njia_rahisi_ya_kutafuta_thamani\" title=\"Njia rahisi ya kutafuta thamani\">Njia rahisi ya kutafuta thamani<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-10\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Malipo_makubwa_kwenye_wasiwasi_mkubwa\" title=\"Malipo makubwa kwenye wasiwasi mkubwa\">Malipo makubwa kwenye wasiwasi mkubwa<\/a><\/li><\/ul><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-11\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/#Hitimisho\" title=\"Hitimisho\">Hitimisho<\/a><\/li><\/ul><\/nav><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Moneyline_Humaanisha_Nini_katika_Kubeti\"><\/span>Moneyline Humaanisha Nini katika Kubeti?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Mikeka ya moneyline humaanisha unabetia tu juu ya yapi yatakuwa matokeo ya mechi.<\/p>\n<p>Hata kama kamwe haujawahi kubeti rasmi kwa sportsbook, kuna nafasi nzuri umeweka mikeka ya moneyline hapo nyuma.<\/p>\n<p>Umeshawahi kamwe kusema kwa rafiki kitu fulani kama, \u201cNinakubetia Manchester City watawafunga Manchester United\u201d?<\/p>\n<p>Kama umewahi, basi ulipendekeza mikeka ya moneyline.<\/p>\n<p>Kutegemeana na mchezo au tukio, kwa kawaida kuna matokeo matatu ya mechi yanayowezekana. Timu inaweza kushinda, kupoteza, au sare. Muda mwingine, sare inaweza isitokee au isiwezekane.<\/p>\n<p>Chukulia mpira wa miguu, kwa mfano, kama ni mchezo wa mtoano basi sare (bila bila) haiwezekani. Katika kesi hii, mikeka ya moneyline kwenye sportsbook zingewasilisha odds za moneyline za njia-2.<\/p>\n<p>Sasa fikiria mechi ya soka ya msimu wa kawaida ambapo, tofauti na mchezo wa mtoano, mechi inaweza kutamatika katika sare. Odds za moneyline kwenye sportsbook zingewasilisha machaguo matatu ya kuyabetia \u2014 kivingine hujulikana kama mikeka ya moneyline za njia-3 au mikeka ya \u201ckushinda\u201d za 1X2.<\/p>\n<p>Kutegemeana na sportsbook, unaweza kuona mikeka ya moneyline zimewasilishwa kama mikeka ya \u201ckushinda\u201d. Usiwe na wasiwasi, ni aina hiyo hiyo ya mikeka \u2014 ni neno tofauti tu.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Weka mikeka ya moneyline kwenye Parimatch<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Mikeka_ya_Moneyline_Hufanya_Vipi_Kazi\"><\/span>Mikeka ya Moneyline Hufanya Vipi Kazi?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama uko katika soko la moneyline (kushinda), unaombwa kuchagua matokeo ya mechi unayoifikiria. Kama ukikisia kwa usahihi, utashinda mikeka yako \u2014 ni rahisi kama hivyo.<\/p>\n<p>Kila matokeo yanayowezekana ya mechi yatakuwa na odds za moneyline zinazohusiana nayo.<\/p>\n<p>Angalia mfano huu kutoka kwenye moneyline ya kubeti michezo kwenye Parimatch:<\/p>\n<p><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"size-full wp-image-1565 aligncenter\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/moneyline-2-2.jpg\" alt=\"Kagera Sugar vs Coastal Union moneyline bet on Parimatch \" width=\"600\" height=\"233\" \/><\/a><\/p>\n<p>Unaweza kuamua kuwa hii ni moneyline ya kubeti kwa njia-3 (1X2) kwa sababu sare ni matokeo yanayowezekana. Odds za moneyline ni namba zinazofuata baada ya kila tokeo. Kama ukichagua Kagera Sugar kushinda, na wakashinda, utapokea malipo yanayoakisi odds za desimali.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kuelewa_Odds_za_Moneyline\"><\/span>Kuelewa Odds za Moneyline<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Odds za moneyline huashiria mambo matatu muhimu, ambayo wabashiri wote waerevu lazima wayazingatie kabla ya kubeti. Kwa kuangalia kwenye odds za moneyline kutafichua timu pendwa\/timu dhaifu, malipo yanayowezekana, na implied probability.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Timu_pendwatimu_dhaifu\"><\/span>Timu pendwa\/timu dhaifu<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Dhana ya msingi kwenye kubeti michezo ni kupima hatari dhidi ya tuzo.<\/p>\n<p>Mikeka ya moneyline kwenye timu pendwa ni zenye hatari kidogo zaidi hivyo zina tuzo kidogo zaidi. Kinyume chake, mikeka ya moneyline kwenye timu dhaifu zina hatari zaidi na hutoa malipo makubwa zaidi.<\/p>\n<p>Timu (matokeo) yoyote yenye odds za desimali ndogo zaidi mbele ya jina lao ndio timu pendwa. Kimantiki, timu yenye odds kubwa zaidi ndio timu dhaifu.<\/p>\n<p>Muda mwingine chaguo la sare ndio tokeo pendwa (lenye uwezekano mkubwa kutokea).<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Malipo_yanayowezekana\"><\/span>Malipo yanayowezekana<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Inawezekana sehemu muhimu zaidi ya odds za moneyline ni malipo ya moneyline. Isitoshe, malipo sio sababu tosha kwanini wabashiri wanabeti?<\/p>\n<p>Kwa mahesabu fulani rahisi sana, unaweza kukokotoa malipo ya jumla ya moneyline (na faida) kwa kuhusisha odds za moneyline.<\/p>\n<p>Kama mahesabu sio kitu chako, husiofu, sportsbook nyingi za mtandaoni kama Parimatch hukokotoa kiotomatiki malipo kwa ajili yako.<\/p>\n<p>Kama una shauku jinsi ya kanuni inavyofanya kazi, ni hii hapa:<\/p>\n<p><strong>Dau lako * Odds za Desimali = Jumla ya Malipo<\/strong><\/p>\n<p><strong>Jumla ya Malipo &#8211; Dau Lako = Jumla ya Shindi<\/strong><\/p>\n<p>Kwa mfano, kama uliibetia TZS 10,000 timu ya nyumbani kushinda kwenye odds za desimali za 2.0 kanuni ingeonekana kama hivi:<\/p>\n<p><strong>TZS 10,000 * 2.0 = TZS 20,000 (jumla ya malipo)<\/strong><\/p>\n<p><strong>TZS 20,000 &#8211; TZS 10,000 = TZS 10,000 (jumla ya shindi)<\/strong><\/p>\n<p>Kama ulichagua kwa usahihi, ungepata faida ya TZS 10,000 au katika maneno mengine, ungerudufu pesa yako.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Weka mikeka ya moneyline kwenye Parimatch<\/a><\/div>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Implied_probability\"><\/span>Implied probability<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Odds za moneyline ndio njia pekee ya kuamua implied probability ya mechi.<\/p>\n<p>Kama hauna uhakika implied probability inamaanisha nini, hauko peke yako. Wabashiri wengi wa mara ya kwanza wanaweza kuchanganyikiwa, lakini kiukweli ni rahisi sana kuelewa.<\/p>\n<p>Implied probability ni nafasi tu ya tokeo kutokea kulingana na mtengeneza odds. Wakati ukikokotoa implied probability kwa kutumia odds za moneyline, utaweza kuelewa vizuri zaidi kiasi cha hatari cha mikeka.<\/p>\n<p>Kwa mfano, baada ya kukokotoa implied probability utakuja na asilimia ambayo huonyesha nafasi \u2014 yaani Barcelona ina nafasi ya 90% kushinda.<\/p>\n<p>Kanuni ni hii hapa:<\/p>\n<p><strong>(1\/odds za desimali) * 100 = Implied Probability<\/strong><\/p>\n<p>Huu hapa ni mfano kwa kutumia odds za moneyline kutoka kwenye Ligi Kuu kwenye Parimatch:<\/p>\n<p><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"size-full wp-image-1566 aligncenter\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/moneyline-1-2.jpg\" alt=\"Young Africans vs Dodoma Jiji FC moneyline bet on Parimatch \" width=\"600\" height=\"233\" \/><\/a><\/p>\n<p>Implied probability ya Young Africans kushinda:<\/p>\n<p><strong>(1\/1.30) * 100 = nafasi ya 76.9%<\/strong><\/p>\n<p>Implied probability ya sare kutokea:<\/p>\n<p><strong>(1\/5) * 100 = 20%<\/strong><\/p>\n<p>Implied probability ya Dodoma Jiji FC kushinda:<\/p>\n<p><strong>(1\/9.2) * 100 = nafasi ya 10.8%<\/strong><\/p>\n<p>Unaweza ukawa umegundua kuwa pindi ukijumlisha implied probability zote, namba inakuwa juu ya 100%. Hii ni ya kukusudiwa na mtengeneza odds. Asilimia inayobakia ni kifuta jasho cha meneja ubashiri \u2014 kwa kawaida hujulikana kama \u201cjuisi\u201d ya meneja ubashiri.<\/p>\n<p>Angalia mwongozo wetu wa kina kama unataka kujifunza zaidi kuhusu <a href=\"\/blog\/sw\/vipi-naweza-kusoma-na-kuhesabu-odds-za-kubeti-michezo\/\">jinsi ya kusoma na kukokotoa odds za kubeti michezo<\/a>.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Faida_za_Mikeka_ya_Moneyline\"><\/span>Faida za Mikeka ya Moneyline<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kuna aina mbalimbali nyingi za mikeka zinazotolewa kwenye Parimatch. Hizi hapa ni baadhi ya sababu kwanini kubeti michezo kwa moneyline ni maarufu zaidi miongoni mwa wachezaji ulimwenguni kote.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Urahisi\"><\/span>Urahisi<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Mpaka sasa inawezekana umegundua jinsi mikeka ya moneyline zilivyo rahisi. Chagua timu kushinda na umemaliza.<\/p>\n<p>Mtindo huu wa msingi wa kubeti ni wa kuvutia sana kwa wabashiri. Kwanini kuufanya kuwa mgumu zaidi kuliko unavyotakiwa kuwa?<\/p>\n<p>Bila shaka, aina nyingine za mikeka iliyopo zinavutia pia lakini, kadri mikeka inavyokuwa ya kutatanisha, ndivyo kuna nafasi zaidi kwa makosa.<\/p>\n<p>Pia, kadri mikeka inavyokuwa rahisi zaidi, ndivyo unavyotakiwa kuiwekea umakini kidogo pindi ukiwa unatazama tukio mubashara. Isitoshe, wabashiri wengi wa michezo wanatafuta njia ya kuongeza msisimko fulani zaidi kwenye mechi \u2014 na mikeka rahisi ndio njia bora ya kufanya hivyo.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Njia_rahisi_ya_kutafuta_thamani\"><\/span>Njia rahisi ya kutafuta thamani<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Wabashiri wenye mafanikio zaidi hawabeti kwa kukisia, hubeti kwenye thamani. Hii humaanisha kuwa hupitia odds na kuweka \u201cmikeka yenye thamani kubwa\u201d.<\/p>\n<p>Kwa kuzingatia mikeka ya moneyline zilivyo rahisi, ni rahisi zaidi kugundua thamani kwenye odds za moneyline kulinganisha na aina nyingine za mikeka (handicap, totals, alama sahihi).<\/p>\n<p>Fikiria aina ya mikeka ya \u201cmatokeo sahihi\u201d kwa mfano, ambapo unaombwa kutabiri alama sahihi kabisa ya mechi. Ni dhahiri kuwa kutabiri tokeo hili kwa usahihi ni ngumu sana. Matokeo yake, ni ngumu zaidi kujua kama umepata mikeka yenye thamani.<\/p>\n<p>Sasa fikiria kuhusu mikeka ya moneyline, ambapo yote unayotakiwa kufanya ni kutabiri moja kati ya matokeo matatu (muda mwingine mawili). Kokotoa tu implied probability ya odds za moneyline na ilinganishe dhidi ya utabiri wako mwenyewe. Kama unafikiri implied probability hiyo ni ndogo zaidi kuliko ulichotabiri, umejitafutia mwenyewe mikeka yenye thamani.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Malipo_makubwa_kwenye_wasiwasi_mkubwa\"><\/span>Malipo makubwa kwenye wasiwasi mkubwa<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Ingawa mikeka ya moneyline ni rahisi na nzuri kwa wanaoanza, haimaanishi huwezi kushinda jumla kubwa za pesa. Kiukweli, wabashiri wataalamu baadhi hubeti tu kwenye odds za moneyline.<\/p>\n<p>Kama unatafuta kutengeneza pesa zaidi kwa mikeka ya moneyline, utahitaji kuzitambua mechi ambazo zitapelekea katika wasiwasi. Hivyo ni kusema, odds zipi za moneyline si onyesho sahihi la unachoamini kitatokea.<\/p>\n<p>Watengeneza odds hawawezi kupata tabiri zao kwa usahihi 100% ya muda. Wajibu wako kama mbashiri ni kutafuta odds za moneyline ambazo hupingana na tabiri zako mwenyewe.<\/p>\n<p>Pindi ukiiunga mkono timu dhaifu ya meneja ubashiri, odds zitakuwa kubwa zaidi \u2014 kupelekea katika malipo makubwa. Katika maneno mengine, wasiwasi unavyokuwa mkubwa zaidi, ndivyo malipo yako yatakuwa makubwa zaidi.<\/p>\n<p>Mikeka ya moneyline ni njia nzuri sana ya kushinda pesa nyingi lakini sio njia pekee unayoweza kuchukua. Hizi hapa ni baadhi ya aina nyingine za mikeka maarufu (na zenye faida) zaidi ambazo Parimatch hutoa:<\/p>\n<ul>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/handicap-beti-ni-nini\/\">Mkeka wa Handicap Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/handicap-wa-asia\/\">Ubashiri wa Asian Handicap Umefafanuliwa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/double-chance-betting-ni-nini\/\">Kubeti Kwa Double Chance Betting Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/ubashiri-wa-1x2\/\">Fahamu Mbinu za Kubashiri Matokeo ya 1\u00d72<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/\">Timu Zote Mbili Kufunga Katika Kubeti<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-alama-sahihi\/\">Kubetia Matokeo Sahihi: Yote Unayohitaji Kuyajua<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/beti-za-magoli-witiri-shufwa-zimeelezewa\/\">Mikeka ya Magoli Witiri\/Shufwa Imeelezewa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/mikakati-ya-kubeti-halftime-fulltime-imefafanuliwa\/\">Mikakati ya Kubeti Halftime\/Fulltime Imefafanuliwa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-kwa-over-under-total\/\">Kubeti kwa Over\/Under (Total) Kumeelezewa katika Maneno Rahisi<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/dondoo-na-mbinu-3-za-juu-za-kubeti-kwa-over-under\/\">Dondoo na Mbinu 3 za Juu za Kubeti kwa Over\/Under<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/ufafanuzi-wa-draw-no-bet\/\">Ufafanuzi wa Draw No Bet<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-sare-yote-unayohitaji-kujua\/\">Kubeti Sare: Yote Unayohitaji Kuyajua<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubet-goli-la-dakika-za-lala-salama-umeelezewa\/\">Mkakati wa Kubeti Goli la Dakika za Lala Salama Umeelezewa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/parlays-na-teasers-ni-nini\/\">Parlays na Teasers Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/ufafanuzi-wa-beti-za-system\/\">Ufafanuzi wa Mikeka ya System<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/nini-maana-ya-mkeka-wenye-mechi-nyingi\/\">Nini Maana ya Mkeka Wenye Mechi Nyingi?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/beti-za-futures-zimeelezewa-katika-maneno-rahisi\/\">Mikeka ya Futures Imeelezewa katika Maneno Rahisi<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/aina-za-beti-za-soka-zimeelezewa\/\">Aina za Mikeka ya Soka Zimeelezewa<\/a><\/li>\n<\/ul>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Hitimisho\"><\/span>Hitimisho<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Mikeka ya moneyline bila shaka ndio aina maarufu zaidi ya mikeka karibia katika kila sportsbook ya mtandaoni.<\/p>\n<p>Kutokana na kwamba mikeka ya moneyline ni rahisi kuelewa na kiasi fulani rahisi kushinda, haishangazi jinsi zilivyokuwa maarufu kwenye Parimatch.<\/p>\n<p>Kama unavutiwa katika kuona odds za moneyline zinaonekana vipi kwenye Parimatch, pakua <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_seolanding&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\">app yetu sikivu ya kubeti ya simu ya mkononi<\/a> yenye lugha mbili au angalia <a href=\"\/sw\/\">tovuti<\/a> yetu.<\/p>\n<p>Hauhitaji akaunti kuona odds za moneyline, lakini kama unataka kujiunga, ni bure kupakua app yetu ya kubeti.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=what-is-the-moneyline-in-sports-betting\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Tembelea Parimatch<\/a><\/div>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Hii ndio mikeka rahisi zaidi \u2014 lakini itumie kwa busara<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1513,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[13],"tags":[],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v21.5 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Nini Maana ya Moneyline Kwenye Kubetia Michezo Mtandaoni?<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Mikeka ya moneyline inafanyaje kazi? Jifunze mikeka hii kwenye muongozo huu wa kubeti kwa wanaoanza.\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Nini Maana ya Moneyline Kwenye Kubetia Michezo Mtandaoni?\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Mikeka ya moneyline inafanyaje kazi? Jifunze mikeka hii kwenye muongozo huu wa kubeti kwa wanaoanza.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"All About Sports Betting By Parimatch\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2023-01-11T12:11:08+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-02-09T16:43:14+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/What-Exactly-is-the-Moneyline.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"870\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"400\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"8 minutes\" \/>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Nini Maana ya Moneyline Kwenye Kubetia Michezo Mtandaoni?","description":"Mikeka ya moneyline inafanyaje kazi? Jifunze mikeka hii kwenye muongozo huu wa kubeti kwa wanaoanza.","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Nini Maana ya Moneyline Kwenye Kubetia Michezo Mtandaoni?","og_description":"Mikeka ya moneyline inafanyaje kazi? Jifunze mikeka hii kwenye muongozo huu wa kubeti kwa wanaoanza.","og_url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/","og_site_name":"All About Sports Betting By Parimatch","article_published_time":"2023-01-11T12:11:08+00:00","article_modified_time":"2024-02-09T16:43:14+00:00","og_image":[{"width":870,"height":400,"url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/What-Exactly-is-the-Moneyline.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Mosi Bakari","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Mosi Bakari","Est. reading time":"8 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/","name":"Nini Maana ya Moneyline Kwenye Kubetia Michezo Mtandaoni?","isPartOf":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website"},"datePublished":"2023-01-11T12:11:08+00:00","dateModified":"2024-02-09T16:43:14+00:00","author":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8"},"description":"Mikeka ya moneyline inafanyaje kazi? Jifunze mikeka hii kwenye muongozo huu wa kubeti kwa wanaoanza.","inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/"]}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/","name":"All About Sports Betting By Parimatch","description":"Betting Tips, Guides &amp; Strategies","potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?s={search_term_string}"},"query-input":"required name=search_term_string"}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8","name":"Mosi Bakari","description":"I love betting! I'm Mosi Bakari. I\u2019ve always been looking for the betting tips on various websites especially on casino. One of the sites I've liked is Parimatch. Since joining in May 2018, my primary goal has been to provide our readers with valuable insights into the world of online gambling.","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/author\/mosi-bakari\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1599"}],"collection":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1599"}],"version-history":[{"count":10,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1599\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":4922,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1599\/revisions\/4922"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1513"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1599"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1599"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1599"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}