{"id":1766,"date":"2023-06-19T10:48:18","date_gmt":"2023-06-19T07:48:18","guid":{"rendered":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?p=1766"},"modified":"2024-02-14T15:56:36","modified_gmt":"2024-02-14T12:56:36","slug":"timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/","title":{"rendered":"Timu Zote Mbili Kufunga Katika Kubeti"},"content":{"rendered":"<p>Inapokuja kwenye kubeti mtandaoni, Parimatch inakupa kila kitu. Tunaamini kwamba watumiaji wetu wanapaswa kunufaika kutoka kwenye mkusanyiko mpana zaidi wa machaguo ya kubeti. Pamoja na machaguo zaidi ya kubeti kwenye vidole vyako unaweza kubuni mbinu nzuri zaidi za kucheza kamari na kuongeza nafasi zako za kupata pesa katika kiasi kikubwa.<\/p>\n<p>Moja kati ya machaguo na mbinu nyingi za kubeti kwenye jukwaa la kubeti michezo la Parimatch ni \u201cTimu Zote Mbili Kufunga\u201d. Mbinu maarufu ya kubeti, Timu Zote Mbili Kufunga huongeza mnenguo wa kusisimua kwenye mechi au mchezo, ambayo hukuweka kushiriki kutoka mwanzo hadi mwisho. Ni mikeka mizuri kama huwezi kuamua mshindi.<\/p>\n<p>Unaweza kuwa umekutana na aina hii ya mikeka imefupishwa na ukashangaa \u201cBTTS ni nini katika kubeti?\u201d Ndio, inamaanisha \u201cBoth Teams to Score\u201d yaani \u201cTimu Zote Mbili Kufunga\u201d.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jisajili ili Upate Zawadi<\/a><\/div>\n<p>Una nia ya kujua zaidi kuhusu mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga? Sio tu kwamba <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\">app ya Parimatch<\/a> ya kubeti michezo ina uchaguzi mpana zaidi wa machaguo ya kubeti mtandaoni barani Afrika, lakini tuko hapa pia kusaidia. <a href=\"\/page\/support\">Timu yetu ya wataalamu wa kucheza kamari<\/a> inayojitoa imejitolea kuhakikisha unapata kilicho bora kutoka kwenye app ya Parimatch. Ndio maana kwa umakini tumetengeneza mwongozo huu wa kina kukupitisha katika kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kubeti \u201cTimu Zote Mbili Kufunga\u201d.<\/p>\n<p>Mwongozo huu utakupa muhtasari wa maana ya \u201cTimu Zote Mbili Kufunga\u201d, pia maana ya BTTS. Tutakupa dondoo kali baadhi na mbinu za hatari kwa ajili ya kubeti Timu Zote Mbili Kufunga, wakati tukikusaidia kuamua wakati gani, mahali gani, na kwanini unapaswa kutumia BTTS. Ili uanze kwenye app ya Parimatch ya kubeti michezo, pia tumekupatia mwongozo wa hatua kwa hatua wa kuweka mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga kwa mibofyo michache tu!<\/p>\n<div id=\"ez-toc-container\" class=\"ez-toc-v2_0_62 counter-hierarchy ez-toc-counter ez-toc-custom ez-toc-container-direction\">\n<p class=\"ez-toc-title\">Contents<\/p>\n<label for=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69e4dc7644e07\" class=\"ez-toc-cssicon-toggle-label\"><span class=\"\"><span class=\"eztoc-hide\" style=\"display:none;\">Toggle<\/span><span class=\"ez-toc-icon-toggle-span\"><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" class=\"list-377408\" width=\"20px\" height=\"20px\" viewBox=\"0 0 24 24\" fill=\"none\"><path d=\"M6 6H4v2h2V6zm14 0H8v2h12V6zM4 11h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2zM4 16h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2z\" fill=\"currentColor\"><\/path><\/svg><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" class=\"arrow-unsorted-368013\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" width=\"10px\" height=\"10px\" viewBox=\"0 0 24 24\" version=\"1.2\" baseProfile=\"tiny\"><path d=\"M18.2 9.3l-6.2-6.3-6.2 6.3c-.2.2-.3.4-.3.7s.1.5.3.7c.2.2.4.3.7.3h11c.3 0 .5-.1.7-.3.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7zM5.8 14.7l6.2 6.3 6.2-6.3c.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7c-.2-.2-.4-.3-.7-.3h-11c-.3 0-.5.1-.7.3-.2.2-.3.5-.3.7s.1.5.3.7z\"\/><\/svg><\/span><\/span><\/label><input type=\"checkbox\"  id=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69e4dc7644e07\"  aria-label=\"Toggle\" \/><nav><ul class='ez-toc-list ez-toc-list-level-1 ' ><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-1\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#BTTS_Humaanisha_Nini_katika_Kubeti\" title=\"BTTS Humaanisha Nini katika Kubeti?\">BTTS Humaanisha Nini katika Kubeti?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-2\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Tofauti_za_Mikeka_ya_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\" title=\"Tofauti za Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga\">Tofauti za Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-3\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Tofauti_Kati_ya_Kubeti_BTTS_Mubashara_na_Kabla_ya_Mechi\" title=\"Tofauti Kati ya Kubeti BTTS Mubashara na Kabla ya Mechi\">Tofauti Kati ya Kubeti BTTS Mubashara na Kabla ya Mechi<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-4\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Kanuni_Zipi_Hutumika_kwenye_BTTS\" title=\"Kanuni Zipi Hutumika kwenye BTTS?\">Kanuni Zipi Hutumika kwenye BTTS?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-5\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Dondoo_na_Mbinu_za_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\" title=\"Dondoo na Mbinu za Timu Zote Mbili Kufunga\">Dondoo na Mbinu za Timu Zote Mbili Kufunga<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-6\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Jinsi_ya_Kuchambua_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\" title=\"Jinsi ya Kuchambua Timu Zote Mbili Kufunga\">Jinsi ya Kuchambua Timu Zote Mbili Kufunga<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-7\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Chambua_Takwimu_za_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\" title=\"Chambua Takwimu za Timu Zote Mbili Kufunga\">Chambua Takwimu za Timu Zote Mbili Kufunga<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-8\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Angalia_Ugenini_dhidi_ya_Nyumbani\" title=\"Angalia Ugenini dhidi ya Nyumbani\">Angalia Ugenini dhidi ya Nyumbani<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-9\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Zingatia_Matokeo_ya_Hivi_Karibuni_ya_Mechi\" title=\"Zingatia Matokeo ya Hivi Karibuni ya Mechi\">Zingatia Matokeo ya Hivi Karibuni ya Mechi<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-10\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Fikiria_Kuhusu_Ushambulizi_na_Ulinzi\" title=\"Fikiria Kuhusu Ushambulizi na Ulinzi\">Fikiria Kuhusu Ushambulizi na Ulinzi<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-11\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Kaa_Mbali_na_Timu_Dhaifu_Dhahiri\" title=\"Kaa Mbali na Timu Dhaifu Dhahiri\">Kaa Mbali na Timu Dhaifu Dhahiri<\/a><\/li><\/ul><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-12\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Mbinu_kwa_ajili_ya_Kubeti_Mubashara_kwenye_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\" title=\"Mbinu kwa ajili ya Kubeti Mubashara kwenye Timu Zote Mbili Kufunga\">Mbinu kwa ajili ya Kubeti Mubashara kwenye Timu Zote Mbili Kufunga<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-13\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Kadi_Nyekundu_kwa_Timu_Pendwa\" title=\"Kadi Nyekundu kwa Timu Pendwa\">Kadi Nyekundu kwa Timu Pendwa<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-14\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Walinzi_Waliyojeruhiwa\" title=\"Walinzi Waliyojeruhiwa\">Walinzi Waliyojeruhiwa<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-15\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Uchaguzi_wa_Timu\" title=\"Uchaguzi wa Timu\">Uchaguzi wa Timu<\/a><\/li><\/ul><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-16\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Unabeti_Vipi_kwenye_Timu_Zote_Mbili_Kufunga_kwenye_Parimatch\" title=\"Unabeti Vipi kwenye Timu Zote Mbili Kufunga kwenye Parimatch?\">Unabeti Vipi kwenye Timu Zote Mbili Kufunga kwenye Parimatch?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-17\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Masoko_Zaidi_ya_Kubashiri_kwa_Ajili_Yako\" title=\"Masoko Zaidi ya Kubashiri kwa Ajili Yako\">Masoko Zaidi ya Kubashiri kwa Ajili Yako<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-18\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Kutamatisha%E2%80%A6\" title=\"Kutamatisha&#8230;\">Kutamatisha&#8230;<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-19\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Maswali_ya_Mara_kwa_Mara\" title=\"Maswali ya Mara kwa Mara\">Maswali ya Mara kwa Mara<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-20\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Je_unatabiri_vipi_timu_zote_mbili_kupata_bao\" title=\"Je, unatabiri vipi timu zote mbili kupata bao?\">Je, unatabiri vipi timu zote mbili kupata bao?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-21\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#Chaguo_la_timu_zote_mbili_kupata_magoli_linafanyaje_kazi_Parimatch\" title=\"Chaguo la timu zote mbili kupata magoli linafanyaje kazi Parimatch?\">Chaguo la timu zote mbili kupata magoli linafanyaje kazi Parimatch?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-22\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/#1X2_na_timu_zote_mbili_kufungana_inamaanisha_nini\" title=\"1X2 na timu zote mbili kufungana inamaanisha nini?\">1X2 na timu zote mbili kufungana inamaanisha nini?<\/a><\/li><\/ul><\/li><\/ul><\/nav><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"BTTS_Humaanisha_Nini_katika_Kubeti\"><\/span>BTTS Humaanisha Nini katika Kubeti?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Mikeka za Timu Zote Mbili Kufunga humaanisha kuwa unasema \u201cNdio\u201d au \u201cHapana\u201d kwenye ukweli uliyotolewa kwamba timu zote mbili zitafunga walau goli au alama moja katika mechi.<\/p>\n<p>Aina hii ya mikeka imekuwa ikiongezeka umaarufu katika miaka ya karibuni. Hii ni kwa sababu ya elementi iliyoongezwa ya ushirikishwaji wa mbashiri na humaanisha hautakiwi kuchagua upande au tokeo la jumla.<\/p>\n<p>Ni muhimu sana kuelewa kwamba hii haihusishi muda wowote wa ziada. Katika mpira wa miguu, kwa mfano, ungehitaji timu zote mbili kufunga walau goli moja ndani ya dakika 90 zilizotengwa. Hii uhusisha muda wa majeruhi lakini haihusishi muda wa ziada au mikwaju ya adhabu.<\/p>\n<p>Kwa aina hii ya kubeti, kutumia takwimu kunaweza kuwa rahisi. Unahitaji kuelewa timu zipi huwa mara zote zinafunga walau goli moja, na halafu kufikiria wakati zikicheza dhidi ya kila moja. Badala yake, unaweza kuzingatia timu zipi zina safu nzuri za ushambuliaji, lakini zina upungufu katika idara ya ulinzi.<\/p>\n<p>Tuseme kwa mfano kuwa unabeti kwenye Timu Zote Mbili Kufunga katika mechi inayokuja ya <em>Arsenal<\/em> na <em>Newcastle<\/em>.<\/p>\n<p><strong>Timu zote mbili kufunga<\/strong><\/p>\n<table style=\"width: 720px;\" border=\"1\" cellspacing=\"1\" cellpadding=\"1\" align=\"center\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-weight: 400;\">Ndio<\/span><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.88<\/strong><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-weight: 400;\">Hapana<\/span><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.86<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>Kama unavyoweza kuona, odds ni ndogo kiasi fulani kwenye mikeka ya BTTS hapa kwa maana kitakwimu ina uwezekano sana kutokea. Licha ya ukweli kwamba <em>Arsenal<\/em> ni bora zaidi kuliko <em>Newcastle<\/em> <em>United<\/em> pindi ukilinganisha alama za magoli kutoka kwenye mechi 6 za mwisho, unaweza kuona kwamba <em>Arsenal<\/em> imefunga katika tano kati ya mechi zao sita za mwisho. <em>Newcastle<\/em> imefunga katika nne kati ya mechi zao sita za mwisho, kufanya iwe rahisi sana kuwa watafunga tena. <em>Newcastle<\/em> pia imeruhusu magoli katika 50% ya mechi zao sita za mwisho, na <em>Arsenal<\/em> imeruhusu magoli katika mbili ya tatu ya mechi zao sita za mwisho. Hii hufanya iwezekane kuwa timu zote mbili zitaruhusu goli pia. Kwa maana hii, alama hii ya mikeka ya BTTS ina nafasi nzuri ya kulipa.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/football\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=football_prematch&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jaribu Dau za Soka za BTTS<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Tofauti_za_Mikeka_ya_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\"><\/span>Tofauti za Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Watumiaji ambao huwa wanabeti kwenye Timu Zote Mbili Kufunga, pia hupenda kuweka mikeka kwenye mbinu nyingine sawia. Hizi hapa ni mbinu baadhi zinazoweza kulinganishwa ambazo pia unaweza kuvutiwa nazo:<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Timu Zote Mbili Kufunga katika kipindi cha 1\/kipindi cha 2 (Ndio\/Hapana)<\/strong> \u2014 Hii ni mikeka hiyo hiyo ya BTTS lakini inakomea kwenye moja ya vipindi, ambacho huifanya kuwa ngumu kidogo.<\/li>\n<li><strong>Goli lifungwe katika vipindi vyote viwili (Ndio\/Hapana)<\/strong> \u2014 mikeka hii huleta maana kama unaamini kutakuwa na walau goli moja litakalofungwa katika kila moja ya vipindi.<\/li>\n<li><strong>Timu A \/ Timu B kufunga goli (Ndio\/Hapana)<\/strong> \u2014 Hii ni mikeka tofauti ambapo unakubali au hukubaliani kuwa moja kati ya timu itafunga goli.<\/li>\n<li><strong>Timu A \/ Timu B kufunga katika vipindi vyote viwili (Ndio\/Hapana)<\/strong> \u2014 Hii hapa ni aina ya mikeka iliyopita iliyofanywa kuwa ngumu zaidi ikiwa na ulazima wa timu fulani kufunga walau mara moja katika kila kipindi.<\/li>\n<li><strong>Goli katika kipindi cha 1 \/ kipindi cha 2 (Ndio\/Hapana)<\/strong> \u2014 Hii ni mikeka tofauti ambapo unatabiri ikiwa kutakuwa na walau goli moja (kwa timu yoyote) litakalofungwa katika kipindi fulani.<\/li>\n<li><strong>Goli (Hapana)<\/strong> \u2014 Ni chaguo moja tu hapa na unalibetia kama unaamini hakutakuwa na magoli yatakayofungwa katika mchezo.<\/li>\n<li><strong>Goli la 1 kufungwa (Timu A, Timu B)<\/strong> \u2014 Hapa, unachagua timu ipi itafunga goli la kwanza.<\/li>\n<li><strong><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-kwa-over-under-total\/\">Totals (Over \/ Under)<\/a> <\/strong>\u2014 Kwenye mikeka hii, unatabiri ikiwa kutakuwa na magoli zaidi au machache katika mechi kulinganisha na namba iliyowekwa.<\/li>\n<li><strong><a href=\"\/blog\/sw\/beti-za-magoli-witiri-shufwa-zimeelezewa\/\">Magoli witiri\/shufwa<\/a><\/strong> \u2014 Hapa unajaribu kukisia ikiwa jumla ya magoli itakuwa namba witiri au shufwa.<\/li>\n<\/ul>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Tofauti_Kati_ya_Kubeti_BTTS_Mubashara_na_Kabla_ya_Mechi\"><\/span>Tofauti Kati ya Kubeti BTTS Mubashara na Kabla ya Mechi<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Utofauti mkubwa kati ya kubeti BTTS mubashara na kabla ya mechi uko katika odds.<\/p>\n<p>Pindi unabeti kwenye mchezo kabla ya mechi, odds zinabaki vile vile katika muda wote wakati wa mchezo. Odds za kubeti mubashara hubadilika wakati wa mchezo kutegemeana na hatua ya mchezo.<\/p>\n<p>Hii ni kwa sababu odds za kabla ya mechi zinatokana na takwimu kuhusu kila uchezaji wa timu. Odds za BTTS za kabla ya mechi huzingatia kiwango cha timu katika ligi, wachezaji majeruhi, mtindo wa ushambuliaji\/kujilinda, na mpango wa mchezo wa meneja. Juu ya hili, odds pia zitazingatia mechi chache za mwisho ambazo timu ilicheza, zikitathmini ikiwa timu (au mchezaji, kutegemeana na mchezo) imefunga walau goli au alama moja. Odds hizi mara zote zitabakia sawia, haijalishi nini hutokea kwenye hiyo siku.<\/p>\n<p>Odds mubashara hubadilika kwa maana zinatokana na kitendo katika mchezo kadri unavyoendelea. Wakati odds za takwimu zinaweza kutabiri nafasi za timu kutegemeana na uchezaji uliyopita, odds mubashara huzingatia matukio halisi yanavyoendelea. Kwa mfano mchezaji anatolewa au hali ya hewa inabadilika ghafla. Labda jeraha linatokea au mtu anajifunga. Sababu zote hizi zinaweza kuiathiri mikeka katika njia zisizotabirika, ndio maana odds za kubeti mubashara hubadilika kadri mchezo unavyoendelea.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kanuni_Zipi_Hutumika_kwenye_BTTS\"><\/span>Kanuni Zipi Hutumika kwenye BTTS?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga ni za msingi sana, kufanya iwe rahisi kwa mwanafunzi yoyote kupata ufahamu juu ya jinsi zinavyofanya kazi. Hilo likiwa limesemwa, ni muhimu kuelewa kuwa aina hizi za mikeka zina kanuni baadhi hasa ambazo zinahitajika kufuatwa. Wakati inaonekana rahisi sana \u2014 aidha timu zote mbili zifunge au zisifunge \u2014 kuna maeneo machache ambayo kanuni hizi husaidia kuyanyoosha. Hakikisha unafikiria kanuni hizi pindi unaweka mikeka:<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Hakuna Muda wa Ziada<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Ili kushinda kwenye mikeka hii, timu zote mbili zinahitaji kufunga wakati wa muda kamili wa mchezo. Katika soka, hii ingemaanisha kuwa timu zote mbili zingetakiwa kufunga ndani ya kipindi cha dakika 90. Kama mchezo unaishilia kwenye muda kamili na unakwenda muda wa nyongeza, magoli haya hayahesabiki. Kwenye Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga, unatakiwa kuwa na wasiwasi tu kuhusu hili kama inaelekea muda kamili kwenye alama ya 0-0. Katika kesi hii, mchezo unaweza kwenda kwenye muda wa ziada kuamua nani anashinda mechi. Kwa wewe, kama mbashiri, hata hivyo, ungepoteza mikeka ya BTTS kwa maana hakuna magoli yaliyofungwa katika kipindi cha dakika 90.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Muda wa Majeruhi Unajumuishwa<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Muda wa ziada hurejelea kwenye muda uliyoongezwa kwenye saa ambayo inatumiwa kuamua timu ipi inashinda. Katika muda huu, timu zote mbili zinatakiwa kujaribu kadri inavyowezekana kufunga alama ya ushindi. Huu ni tofauti na muda wa majeruhi. Muda wa majeruhi hurejelea kwenye dakika zilizoongezwa ambazo zilitumika kutokana na majeraha wakati wa dakika 90. Kwa mfano, kama mchezaji anatakiwa kubebwa kutolewa nje ya uwanja na hili linachukua dakika tano kutoka kwenye dakika 90 kamili, dakika tatu zitaongezwa kwenye saa mwishoni. Hii inahesabiwa katika mikeka ya BTTS. Kama alama ni 0-0 na timu zote mbili zinafanikiwa kufunga katika dakika tano za ziada za muda wa majeruhi, ungeshinda mikeka hiyo.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Magoli ya Kujifunga Bado Uhesabika<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Timu Zote Mbili Kufunga kinaweza kuonekana kuwa kama kichwa kinachopotosha pindi ukifikiria magoli ya kujifunga. Ikiwa upande mmoja ukifunga goli la kujifunga dhidi yao wenyewe na ukafunga goli dhidi ya timu pinzani, alama itakuwa 1-1, lakini timu zote mbili hazijafunga. Timu moja ndio imefunga magoli yote! Hata hivyo, hii bado uhesabika kwenye mikeka ya BTTS. Kwa maana hii, aina hii ya mikeka huelezewa kwa uzuri zaidi kama timu zote mbili zinaruhusu walau goli moja! Kwa kifupi, kama goli la kujifunga likifungwa, linahesabika kana kwamba timu shambulizi ililifunga.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Michezo Iliyohairishwa Bado Inaweza Kuwa Shindi<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Fikiria kwamba unaangalia mchezo kwa shauku, umewekeza kikamilifu mikeka yako ya BTTS, na mvua inaanza kunyesha sana. Kiukweli, inaanza kunyesha sana kiasi kwamba mchezo unatakiwa kuhairishwa kutokana na kwamba wachezaji hawawezi kuendelea. Katika mazingira haya, mikeka bado inaendelea kuwepo mpaka wakati mechi inapohairishwa. Kama unabeti kuwa timu zote mbili zifunge na ni moja tu (au hakuna yoyote) ambayo imefunga hadi hatua hii, bado unapoteza dau lako. Hata hivyo, kama timu zote mbili zimefunga na mchezo umehairishwa, bado unashinda mikeka. Upekee unaweza kutokea kama mchezo ulikamilika ndani ya masaa 12 kutoka kuanza kwake. Katika kesi hii, matokeo yanafafanuliwa kwa matunda ya mchezo.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/football\/live\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=football_live&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Dau kwenye Soka Moja kwa Moja Hivi Sasa<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Dondoo_na_Mbinu_za_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\"><\/span>Dondoo na Mbinu za Timu Zote Mbili Kufunga<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama mbinu zote za kubeti, kuna njia nzuri kuboresha nafasi zako za kuchagua mikeka ya ushindi. Kama ambavyo mwanadondoo yoyote atakavyojua, hii mara nyingi humaanisha kuchimba chini kuziangalia takwimu na kuelewa historia ya hivi karibuni ya uchezaji, au kuzitambua fursa wakati mchezo ukiwa mubashara katika uchezaji.<br \/>\nHizi hapa ni chache kati ya lulu zetu za busara pindi inapokuja kwenye kuweka mikeka ya BTTS. Wakati hakuna moja kati ya dondoo au mbinu hizi inayokuhakikishia ushindi wa 100%, bali zinakuleta karibu zaidi na malipo.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Jinsi_ya_Kuchambua_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\"><\/span>Jinsi ya Kuchambua Timu Zote Mbili Kufunga<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Kama unabeti kabla ya mechi, mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga hutegemea kwenye uchambuzi wa takwimu. Kwa kuelewa timu zipi zina uwezekano zaidi kufunga walau goli moja, utakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kushinda. Kwa bahati, kuna rasilimali nyingi mtandaoni kukusaidia kwa hili!<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Chambua_Takwimu_za_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\"><\/span>Chambua Takwimu za Timu Zote Mbili Kufunga<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Tovuti nyingi za takwimu za mtandaoni hutoa majedwali ya data ambazo hulinganisha timu na michezo yao iliyopita.<\/p>\n<p>Kwenye tovuti hizi, utakuta majedwali ambayo yanaorodhesha magoli ya timu kwa mechi. Mara zote kwenye hili, utaona safu wima kwa ajili ya BTS (au \u201cBoth Teams Scored\u201d). Hii itakuonyesha michezo mingapi kila timu imecheza katika msimu uliyopita ambapo matokeo yaliishia kwenye timu zote mbili kufunga.<\/p>\n<p><a href=\"\/en\/football\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=football_prematch&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"aligncenter wp-image-424 size-full\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/both-teams-to-skore2.png\" alt=\"Both teams to score statistics chart\" width=\"524\" height=\"447\" \/><\/a><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><em>Source: Soccer Stats<\/em><\/p>\n<p>Kama unavyoweza kuona kutoka kwenye jedwali hili, <em>Wolves<\/em> walikuwa wana michezo 19\/25 ambapo timu zote mbili zimefunga. Hii inaifanya iwezekane kuwa mechi za <em>Wolves<\/em> zitaishia kwenye timu zote mbili kufunga. Hebu tuchukulie mfano wa mechi inayokuja ya <em>Wolves<\/em> dhidi ya <em>Leicester City<\/em>. <em>Leicester<\/em> walikuwa wana mechi 15\/25 ambapo timu zote mbili zilifunga. Hii inaifanya iwezekane sana kuwa timu zote mbili zitafunga pindi zikikutana na kila moja katika mchezo wao unaokuja.<\/p>\n<p>Linganisha hii na mchezo unaokuja kati ya <em>Sheffield<\/em> <em>United<\/em> na <em>Bournemouth<\/em>, ambapo tokeo la BTTS limetokea mara 10\/25 tu na mara 13\/25, vivyo hivyo. Katika kesi hii, kuna uwezekano mdogo zaidi kuwa timu zote mbili zitafunga.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Angalia_Ugenini_dhidi_ya_Nyumbani\"><\/span>Angalia Ugenini dhidi ya Nyumbani<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Aidha timu inacheza nyumbani au ugenini inaweza kuathiri ikiwa ina uwezekano wa kufunga. <a href=\"\/blog\/sw\/faida-ya-timu-iliyopo-nyumbani\/\">Faida ya timu ya nyumbani<\/a> ni sababu makini, na timu baadhi zina uwezekano zaidi wa kufunga nyumbani na uwezekano mdogo zaidi wa kufunga ugenini. Kutokana na hili, unaweza kukuta kuwa timu zina nafasi kubwa zaidi ya timu zote mbili kufunga katika michezo ya nyumbani kuliko katika michezo ya ugenini.<\/p>\n<p>Chukulia mchezo huu unaokuja kati ya <em>Aston Villa<\/em> na <em>Tottenham Hotspur<\/em>. Katika michezo 12 ya mwisho ya nyumbani ya <em>Aston<\/em> <em>Villa<\/em>, timu zote mbili zimefunga kwenye nafasi nane. Katika michezo 12 ya mwisho ya ugenini ya <em>Tottenham Hotspur<\/em>, timu zote mbili zimefunga mara nane. Hii hupendekeza kuwa timu zote mbili zitafunga katika mchezo huu.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Zingatia_Matokeo_ya_Hivi_Karibuni_ya_Mechi\"><\/span>Zingatia Matokeo ya Hivi Karibuni ya Mechi<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Je! Unashangaa \u201cNinachagua vipi mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga?\u201d Wakati ni vizuri kuangalia msimu mzima uliyopita wa timu, ni muhimu pia kuelewa michezo yao michache iliyopita. Hii ni kwa sababu mabadiliko hutokea katika msimu ambayo yanaweza kuwa na athari mbaya (au chanya) kwenye uchezaji wa hivi karibuni wa timu. Chukulia mfano wa jeraha la mgongoni la <em>Rashford<\/em>. Tangu hili litokee, <em>Manchester United<\/em> haijafunga katika 50% ya michezo yao na hata walipoteza kwa <em>Burnley<\/em>!<\/p>\n<p>Kwa maana hii, ni uerevu kuzingatia historia ya hivi karibuni ya timu. Kama ukilinganisha timu mbili ambazo zote zimeruhusu magoli na zimefunga katika mingi kati ya michezo yao iliyopita, basi kuchagua mikeka ya BTTS ni wazo zuri.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Fikiria_Kuhusu_Ushambulizi_na_Ulinzi\"><\/span>Fikiria Kuhusu Ushambulizi na Ulinzi<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Ikiwa unataka kujua jinsi ya kushinda tuzo za mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga, basi unahitaji kufikiria timu shambulizi na timu linzi. Fikiria kuwa, kwenye upande mmoja, una timu shambulizi sana yenye mfunga magoli mzuri, kama <em>Jamie Vardy<\/em> kwa <em>Leicester City<\/em>. Kwenye upande mwingine, una timu nzuri sana kwenye ulinzi kama <em>Liverpool<\/em>, ambayo imeruhusu magoli 15 tu mpaka sasa msimu huu ikiwa haijafungwa michezo 11. Sasa una nguvu isiyoweza kuzuiliwa na mwamba usioweza kusogea. Katika mazingira haya, kuna uwezekano mdogo sana kuwa timu zote mbili zitafunga.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kaa_Mbali_na_Timu_Dhaifu_Dhahiri\"><\/span>Kaa Mbali na Timu Dhaifu Dhahiri<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Wakati mara zote unaweza kutumia mazingira ya timu dhaifu kuipa mikeka njia iliyo wazi, hii sio mbinu bora kwa mikeka ya BTTS. Pindi ukiwa na timu pendwa dhahiri sana, hii ni kwa sababu ni wazi wana ujuzi zaidi kuliko timu nyingine.<br \/>\nChukulia mechi ya hivi karibuni kati ya <em>Tranmere Rovers<\/em> na <em>Manchester United<\/em>, ambayo iliishia 0-6 kwa <em>Man U<\/em>. Hii ni kwa sababu <em>Man U<\/em> ni kikosi kizuri zaidi sana. Sio tu kwamba ni wazuri kwenye kufunga magoli, lakini pia ulinzi wao umebana zaidi sana. Pamoja na hili akilini, <em>Tranmere Rovers<\/em> walikuwa wakihangaika kupambana kufunga dhidi ya <em>Man U<\/em>. Kwa maana hii, haingekuwa busara kuweka mikeka ya BTTS, kutokana na kwamba timu moja haina uwezekano sana wa kufunga.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/football\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=football_prematch&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Bashiri Mechi za Timu Unazozipenda<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Mbinu_kwa_ajili_ya_Kubeti_Mubashara_kwenye_Timu_Zote_Mbili_Kufunga\"><\/span>Mbinu kwa ajili ya Kubeti Mubashara kwenye Timu Zote Mbili Kufunga<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kitu cha muhimu kwenye kubeti mubashara kwenye BTTS ni kufikiria mbele katika mchezo. Ili kuelewa ikiwa timu zote mbili zitafunga, unahitaji kuzingatia nini kingeweza kutokea katika mchezo wote ambacho kingeathiri hili.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kadi_Nyekundu_kwa_Timu_Pendwa\"><\/span>Kadi Nyekundu kwa Timu Pendwa<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Fikiria kwamba unatazama mchezo kati ya <em>Manchester United<\/em> na <em>Watford<\/em>. Ni wazi, kuna uwezekano zaidi sana kuwa <em>Manchester United<\/em> itashinda, na pamoja na ulinzi mzuri, inawezekana ikawa ngumu kwa <em>Watford<\/em> kuitangulia <em>Man U<\/em> kwa moja.<\/p>\n<p>Sasa fikiria kuwa <em>Man U<\/em> inashinda 2-0 na ghafla <em>Lindelof<\/em> anatolewa. Sasa kuna uwezekano zaidi sana kuwa <em>Watford<\/em> watafunga goli. Katika hali hii, inastahili kuweka mikeka ya BTTS.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Walinzi_Waliyojeruhiwa\"><\/span>Walinzi Waliyojeruhiwa<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Mazingira mengine ambapo timu dhaifu inaweza ghafla kupata goli lisilotegemewa yangekuwa kama mlinzi anajeruhiwa wakati wa mchezo. Tuseme, mlinzi pendwa bora anaumizwa, atahitaji aidha kubadilishwa au aendelee kucheza akiwa na jeraha. Katika hali zote hizi mbili, kuna nafasi kubwa zaidi timu dhaifu itapata goli kuitangulia timu pendwa. Hii ni fursa nyingine makini kuweka mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Uchaguzi_wa_Timu\"><\/span>Uchaguzi wa Timu<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Mbele ya muda, mameneja ubashiri huwa hawajui timu ipi meneja ataichagua kucheza kwenye siku hiyo. Unaweza kukuta kuwa wakati timu moja huonekana kuwa nzuri zaidi kuliko nyingine, wanaweza kuchezesha kikosi cha pili kwenye siku hiyo. Wakati mwingine mameneja huwatunza wachezaji kwa ajili ya mashindano makubwa zaidi. Hii huongeza nafasi ya timu dhaifu kufunga.<\/p>\n<p>Chukulia mechi inayokuja ya ligi kati ya <em>Arsenal<\/em> na <em>Newcastle United<\/em>. Wakati <em>Arsenal<\/em> ni timu nzuri zaidi sana, lakini wako bize pia wakifanya mazoezi kwa ajili ya Kombe la FA. Katika mtazamo huu, Mikel Arteta anaweza kuchagua kukitunza kikosi chake bora kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la FA unaokuja na kuchezesha timu rahisi zaidi dhidi ya <em>Newcastle<\/em>. Hii inaweza kufanya iwe rahisi zaidi kwa <em>Newcastle<\/em> kufunga goli, kuongeza nafasi kuwa timu zote mbili zitafunga.<\/p>\n<p>Kutokana na kwamba hautajua timu ipi inacheza mpaka siku hiyo, mbinu hii inaweza kutumika tu kwa mikeka mubashara ya BTTS.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Unabeti_Vipi_kwenye_Timu_Zote_Mbili_Kufunga_kwenye_Parimatch\"><\/span>Unabeti Vipi kwenye Timu Zote Mbili Kufunga kwenye Parimatch?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama unahamasika kuweka mikeka yako mwenyewe kwenye Timu Zote Mbili Kufunga, umekuja kwenye sehemu sahihi. App ya Parimatch ya kubeti michezo imebuniwa kuwawezesha watumiaji wote kuweka aina zote za mikeka kwa kubonyeza mara chache. Kiurahisi pakua <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\">APK ya app yetu ya kubeti michezo<\/a> na utakuwa unaweka mikeka ya BTTS ndani ya dakika.<\/p>\n<p>Huu hapa ni muhtasari wa kina kukuongoza katika kubeti BTTS kwenye Parimatch. Kwa kutumia mwongozo huu wa hatua kwa hatua, utakuta ni rahisi kuweka mikeka ya BTTS kutokea mwanzo hadi mwisho.<\/p>\n<ol>\n<li>Kwanza, utahitaji <a href=\"\/blog\/sw\/usajili-wa-parimatch-nawezaje-kujisajili-na-kampuni-ya-parimatch-sports-betting\/\">kujisajili kwa ajili ya akaunti ya Parimatch<\/a>. Unaweza kufanya hili kwa kubofya kitufe cha \u201cJiunge\u201d juu mwa ukurasa. Pindi umejisajili, ingia kupitia kitufe hiko hiko na hakikisha <a href=\"\/blog\/sw\/parimatch-jinsi-ya-kuweka-fedha-kwa-mara-ya-kwanza-kwenye-tovuti-ya-kubashiri-mtandaoni-tanzania\/\">unaweka pesa<\/a>.<\/li>\n<li>Pindi umejiunga, unahitaji kuamua ikiwa ungependa kuweka mikeka ya kabla ya mechi, mubashara au ya michezo ya virtual. Unaweza kwenda kwenye sehemu sahihi kwa kubofya moja ya machaguo katika menyu: \u201cMchezo\u201d kwa ajili ya kubeti kabla ya mechi, \u201cMubashara\u201d kuweka mikeka mubashara, na \u201cVirtual\u201d kwa ajili ya machaguo ya kubeti michezo ya virtual.<\/li>\n<li>Kinachofuata, utapelekwa kwenye ukurasa ambapo utahitaji kuchagua mchezo ambao ungependa kuubetia. Utaona kuwa tumeweka kwa kufaa ligi maarufu zaidi juu ya ukurasa kwa uvinjari rahisi zaidi wa moja kwa moja. Kama ligi yako haitokei hapa, unaweza kuchagua kitufe cheupe sahihi kikiwa na mchezo wako.<\/li>\n<li>Ukurasa unaofuata utaonyesha nchi zote ambapo mchezo unachezwa. Kama ukibofya nchi ambapo mechi yako inachezwa, menyu mdondoko itatokea ambayo hukuonyesha ligi zote zinazopatikana, michuano, na mashindano yaliyopo kwa ajili ya kubeti.<\/li>\n<li>Chagua ligi au michuano ambayo ungependa kuibetia. Hii itakuchukua hadi kwenye ukurasa unaoorodhesha mechi zote zinazopatikana kwa ajili ya kuzibetia.<\/li>\n<li>Nenda chini kutafuta mechi ambayo ungependa kuiwekea mikeka.<\/li>\n<li>Ili kuweka mikeka ya BTTS, utahitaji kwenda katika ukurasa wa mechi. Unafanya hili kwa kubofya kwenye kichwa cha mechi.<\/li>\n<li>Pindi uko kwenye ukurasa wa mechi, utaona katalogi yenye machaguo yote ya kubeti yanayowezekana. Nenda chini kutafuta \u201cTimu Zote Mbili Kufunga\u201d.<\/li>\n<li>Bofya \u201cNdio\u201d kama unaamini kuwa timu zote mbili zitafunga. Badala yake, unaweza kubofya kwenye \u201cHapana\u201d kama una uhakika haitatokea. Boksi lililochaguliwa litabadilika kuwa limewekewa alama na namba ndogo itatokea katika tiketi yako ya ubashiri.<\/li>\n<li>Kama umemaliza kuweka mikeka, nenda kwenye tiketi ya ubashiri kumalizia mikeka ya single. Angalia kuwa mikeka hiyo ni sahihi na weka mikeka yako katika boksi. Bofya kitufe kikubwa kinachosema \u201cWeka mikeka\u201d kumalizia mikeka yako.<\/li>\n<li>Kama unataka kuweka mikeka mingi, rudia hatua 1-9.<\/li>\n<li>Pindi uko tayari kumalizia mikeka Yako, nenda kwenye sehemu ya tiketi ya ubashiri. Utaona kuwa unaweza kuweka mikeka ya <a href=\"\/blog\/sw\/parlays-na-teasers-ni-nini\/\">parlay<\/a> (<a href=\"\/blog\/en\/what-is-an-accumulator-bet\/\">accumulator<\/a>).<\/li>\n<li>Kama ukichagua kuweka mikeka ya parlay, angalia kuwa taarifa zote za mikeka ni sahihi. Nenda chini kuongeza dau lako na bonyeza \u201cWeka Mikeka\u201d.<\/li>\n<\/ol>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Masoko_Zaidi_ya_Kubashiri_kwa_Ajili_Yako\"><\/span>Masoko Zaidi ya Kubashiri kwa Ajili Yako<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<ul>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/handicap-beti-ni-nini\/\">Mkeka wa Handicap Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/handicap-wa-asia\/\">Ubashiri wa Asian Handicap Umefafanuliwa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/double-chance-betting-ni-nini\/\">Kubeti Kwa Double Chance Betting Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/moneyline-ni-nini-katika-kubeti-michezo\/\">Moneyline Ni Nini katika Kubeti Michezo?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/ubashiri-wa-1x2\/\">Fahamu Mbinu za Kubashiri Matokeo ya 1\u00d72<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-alama-sahihi\/\">Kubetia Matokeo Sahihi: Yote Unayohitaji Kuyajua<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/beti-za-magoli-witiri-shufwa-zimeelezewa\/\">Mikeka ya Magoli Witiri\/Shufwa Imeelezewa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/mikakati-ya-kubeti-halftime-fulltime-imefafanuliwa\/\">Mikakati ya Kubeti Halftime\/Fulltime Imefafanuliwa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-kwa-over-under-total\/\">Kubeti kwa Over\/Under (Total) Kumeelezewa katika Maneno Rahisi<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/dondoo-na-mbinu-3-za-juu-za-kubeti-kwa-over-under\/\">Dondoo na Mbinu 3 za Juu za Kubeti kwa Over\/Under<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/ufafanuzi-wa-draw-no-bet\/\">Ufafanuzi wa Draw No Bet<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubeti-sare-yote-unayohitaji-kujua\/\">Kubeti Sare: Yote Unayohitaji Kuyajua<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/kubet-goli-la-dakika-za-lala-salama-umeelezewa\/\">Mkakati wa Kubeti Goli la Dakika za Lala Salama Umeelezewa<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/parlays-na-teasers-ni-nini\/\">Parlays na Teasers Ni Nini?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/ufafanuzi-wa-beti-za-system\/\">Ufafanuzi wa Mikeka ya System<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/nini-maana-ya-mkeka-wenye-mechi-nyingi\/\">Nini Maana ya Mkeka Wenye Mechi Nyingi?<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/beti-za-futures-zimeelezewa-katika-maneno-rahisi\/\">Mikeka ya Futures Imeelezewa katika Maneno Rahisi<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/aina-za-beti-za-soka-zimeelezewa\/\">Aina za Mikeka ya Soka Zimeelezewa<\/a><\/li>\n<\/ul>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kutamatisha%E2%80%A6\"><\/span>Kutamatisha&#8230;<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kubeti kwenye Timu Zote Mbili Kufunga kwa kiasi fulani ni mikeka salama kama unajua nini unachofanya. Hii ndio maana aina hii ya kubeti haina odds kubwa hasa. Ujanja ni kuzijua timu zako na kuchambua historia yao ya mchezo. Kama timu zote mbili ambazo zinacheza dhidi ya kila moja hufunga magoli mengi lakini pia huruhusu magoli mara kwa mara, hii ni mechi nzuri kuweka mikeka ya BTTS. Ni bora kusoma takwimu na kutafuta timu ambazo zimekuwa zina idadi kubwa ya michezo ambapo timu zote mbili zimefunga. Pia, zingatia uchezaji wa timu hizi. Kama timu zote mbili ni shambulizi sana lakini haziko vizuri kwenye ulinzi, hizi ndio mechi nzuri kuziwekea dau la mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga.<\/p>\n<p>Kama unatafuta kuweka mikeka ya BTTS, <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\">app ya Parimatch ya kubeti michezo<\/a> ndio jukwaa zuri la kuweka kwa urahisi aina hizi za mikeka bila shida. App yetu iliyo rahisi kutumia hufanya iwe rahisi kuvinjari kwenye mikeka ya BTTS, wakati jukwaa la Parimatch hutoa mkusanyiko mpana zaidi wa mikeka ya BTTS barani Afrika. Kutoka kwenye mikeka ya BTTS katika vipindi vyote viwili hadi BTTS katika kipindi cha kwanza au cha pili tu, Parimatch hutoa mkusanyiko mzima wa mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga. Ndio maana sisi ni nambari moja nchini Tanzania inapokuja kwenye kubeti mtandaoni!<\/p>\n<p>Hauamini jinsi ilivyo rahisi? Jiunge na Parimatch leo na jiingize kwenye ulimwengu wa mikeka ya BTTS!<br \/>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=both-teams-to-score\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jisajili Parimatch Sasa<\/a><\/div><\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Maswali_ya_Mara_kwa_Mara\"><\/span>Maswali ya Mara kwa Mara<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Je_unatabiri_vipi_timu_zote_mbili_kupata_bao\"><\/span>Je, unatabiri vipi timu zote mbili kupata bao?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Ili kutabiri timu zote mbili kupata bao, utahitaji kuzingatia:<\/p>\n<ul>\n<li aria-level=\"1\">matokeo ya siku za karibuni;<\/li>\n<li aria-level=\"1\">mlolongo wa ufungaji wa mabao;<\/li>\n<li aria-level=\"1\">muda wa kufunga magolil;<\/li>\n<li aria-level=\"1\">mlolongo wa kuzuia magoli.<\/li>\n<\/ul>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Chaguo_la_timu_zote_mbili_kupata_magoli_linafanyaje_kazi_Parimatch\"><\/span>Chaguo la timu zote mbili kupata magoli linafanyaje kazi Parimatch?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Kwa mfano, unaweka dau kwenye mechi ya timu A na B na 1.99 Ndiyo na 1.91 Hapana, uwezekano mdogo zaidi kwenye ubashiri wa BTTS (timu zote kufunga bao). Sasa, ukiangalia takwimu za awali, utagundua kuwa timu A kwa ujumla ni bora kuliko timu B, ikiwa na rekodi ya juu zaidi ya alama. Kwa hivyo, katika hili suala, timu A itakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"1X2_na_timu_zote_mbili_kufungana_inamaanisha_nini\"><\/span>1X2 na timu zote mbili kufungana inamaanisha nini?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Dau la 1X2 linarejelea kubetia ikiwa na uwezekano wa sare, huku 1 ikimaanisha ushindi wa nyumbani, X kwa sare, na 2 ushindi wa ugenini. Kwa upande mwingine, timu zote mbili za kufungana (au BTTS) inamaanisha kuwa una &#8220;Ndiyo&#8221; au &#8220;Hapana&#8221; juu ya ukweli uliowekwa kuhusu timu zote mbili kwenye mechi, hasa kuwa timu zote zitafunga angalau bao au alama moja kwenye mechi hiyo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Kama unaamini pande zote mbili zitafunga goli, beti sasa!<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1359,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[13],"tags":[],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v21.5 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Dondoo za Both Teams to Score - Muongozo wa Kubetia BTTS<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Muongozo huu unakupa maana ya Both Team to Score utengeneze mkeka wako wa BTTS! Dondoo zitatumiwa sana na wababe na wanaochipukia!\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Dondoo za Both Teams to Score - Muongozo wa Kubetia BTTS\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Muongozo huu unakupa maana ya Both Team to Score utengeneze mkeka wako wa BTTS! Dondoo zitatumiwa sana na wababe na wanaochipukia!\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"All About Sports Betting By Parimatch\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2023-06-19T07:48:18+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-02-14T12:56:36+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/Both-teams-to-score-no-logo.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"870\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"400\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"17 minutes\" \/>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Dondoo za Both Teams to Score - Muongozo wa Kubetia BTTS","description":"Muongozo huu unakupa maana ya Both Team to Score utengeneze mkeka wako wa BTTS! Dondoo zitatumiwa sana na wababe na wanaochipukia!","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Dondoo za Both Teams to Score - Muongozo wa Kubetia BTTS","og_description":"Muongozo huu unakupa maana ya Both Team to Score utengeneze mkeka wako wa BTTS! Dondoo zitatumiwa sana na wababe na wanaochipukia!","og_url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/","og_site_name":"All About Sports Betting By Parimatch","article_published_time":"2023-06-19T07:48:18+00:00","article_modified_time":"2024-02-14T12:56:36+00:00","og_image":[{"width":870,"height":400,"url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/Both-teams-to-score-no-logo.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Mosi Bakari","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Mosi Bakari","Est. reading time":"17 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/","name":"Dondoo za Both Teams to Score - Muongozo wa Kubetia BTTS","isPartOf":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website"},"datePublished":"2023-06-19T07:48:18+00:00","dateModified":"2024-02-14T12:56:36+00:00","author":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8"},"description":"Muongozo huu unakupa maana ya Both Team to Score utengeneze mkeka wako wa BTTS! Dondoo zitatumiwa sana na wababe na wanaochipukia!","inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/timu-zote-mbili-kufunga-katika-kubeti\/"]}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/","name":"All About Sports Betting By Parimatch","description":"Betting Tips, Guides &amp; Strategies","potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?s={search_term_string}"},"query-input":"required name=search_term_string"}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8","name":"Mosi Bakari","description":"I love betting! I'm Mosi Bakari. I\u2019ve always been looking for the betting tips on various websites especially on casino. One of the sites I've liked is Parimatch. Since joining in May 2018, my primary goal has been to provide our readers with valuable insights into the world of online gambling.","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/author\/mosi-bakari\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1766"}],"collection":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1766"}],"version-history":[{"count":12,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1766\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5050,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1766\/revisions\/5050"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1359"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1766"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1766"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1766"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}