{"id":1776,"date":"2023-07-22T12:32:48","date_gmt":"2023-07-22T09:32:48","guid":{"rendered":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?p=1776"},"modified":"2024-08-02T12:09:18","modified_gmt":"2024-08-02T09:09:18","slug":"ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/","title":{"rendered":"Ninabeti Vipi kwenye Mpira wa Mezani?"},"content":{"rendered":"<p>Unaohitaji kasi na usahihi wa kipekee, mpira wa meza unaweza kuwa wa kuvutia kutazama. Mpira huenda nyuma na mbele kwa haraka sana, ni ajabu mtu yeyote anaweza kuendelea kufunga. Ukiwa maarufu kihistoria nchini China na Korea Kusini, mpira wa meza pia umeenea Marekani, Ujerumani, na Swideni. Zote kati ya hizi nchi zinazishinda nyingine ulimwenguni kote inapokuja kwenye mpira wa meza, kuifanya michezo yao isiwe ya kukosa.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jisajili kwenye Parimatch na Upokee Pesa<\/a><\/div>\n<p>Mpira wa meza kiukweli umetokea mbali tangu kutambulishwa kwake kwenye Michezo ya Olimpiki mwaka 1988. Leo, kuna vyama vya mpira wa meza katika nchi na maeneo zaidi ya 225, ikionyesha jinsi mchezo huu unavyoanza kustawi kiukweli katika umaarufu.<\/p>\n<p>Kama kamwe haujawahi kiukweli kuona mashindano ya mpira wa meza, unaweza usitambue msisimko ambao unatengenezwa kutoka kwenye mechi hizi za haraka. Umakini huu wa nguvu hujengeka kwenda kwenye vilele vya kusisimua. Pindi wafananao na Tio Boll au Xu Xin wakipanda kwenye pleti, unajua uko katika mchezo wa kuvutia sana. Staajabia mashuti mdondoko ya kisanaa, chenga za kasi, na mapigo ya kukata, kadri unavyopendezwa na mitindo tofauti ya uchezaji, kutoka kwa mpindishaji hadi kwa mpiga chenga.<\/p>\n<p>Michuano maarufu zaidi na ya kitaalamu ya mpira wa meza ya kuyabetia yanahusisha Michezo ya Olimpiki na Mashindano ya Dunia. Likichukuliwa na wachezaji baadhi wa mpira wa meza kuwa tukio kali zaidi la mpira wa meza, Mashindano ya Dunia kwa mara ya kwanza yalifanyikia London mwaka 1926 na ndio mashindano makubwa yanayofanyika kwa muda mrefu.<\/p>\n<p>Matukio mengine maarufu yanahusisha ITTF World Tour, Kombe la Dunia, na Kombe la Timu ya Dunia. Kuna mashindano ya kiwango cha juu ya kitaalamu yanayotambulika duniani kote pia. Haya pia yanazidi kuwa ya kimtindo kuyabetia. Fikiria kuchukua ushiriki kwenye Mashindano ya Kiafrika, au Michezo ya Asia, au Kombe la Oshenia. Inawezekana ungependa kuona tukio la mpira wa meza katika Mashindano ya Marekani ya Latini au 16 Bora ya Ulaya. Fikra zako zozote, unaweza kubeti kwenye mkusanyiko mpana zaidi wa mechi za mpira wa meza nchini Tanzania kwa kutumia jukwaa la Parimatch.<\/p>\n<div id=\"ez-toc-container\" class=\"ez-toc-v2_0_62 counter-hierarchy ez-toc-counter ez-toc-custom ez-toc-container-direction\">\n<p class=\"ez-toc-title\">Contents<\/p>\n<label for=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69ea6d6e4f2e5\" class=\"ez-toc-cssicon-toggle-label\"><span class=\"\"><span class=\"eztoc-hide\" style=\"display:none;\">Toggle<\/span><span class=\"ez-toc-icon-toggle-span\"><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" class=\"list-377408\" width=\"20px\" height=\"20px\" viewBox=\"0 0 24 24\" fill=\"none\"><path d=\"M6 6H4v2h2V6zm14 0H8v2h12V6zM4 11h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2zM4 16h2v2H4v-2zm16 0H8v2h12v-2z\" fill=\"currentColor\"><\/path><\/svg><svg style=\"fill: #ffffff;color:#ffffff\" class=\"arrow-unsorted-368013\" xmlns=\"http:\/\/www.w3.org\/2000\/svg\" width=\"10px\" height=\"10px\" viewBox=\"0 0 24 24\" version=\"1.2\" baseProfile=\"tiny\"><path d=\"M18.2 9.3l-6.2-6.3-6.2 6.3c-.2.2-.3.4-.3.7s.1.5.3.7c.2.2.4.3.7.3h11c.3 0 .5-.1.7-.3.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7zM5.8 14.7l6.2 6.3 6.2-6.3c.2-.2.3-.5.3-.7s-.1-.5-.3-.7c-.2-.2-.4-.3-.7-.3h-11c-.3 0-.5.1-.7.3-.2.2-.3.5-.3.7s.1.5.3.7z\"\/><\/svg><\/span><\/span><\/label><input type=\"checkbox\"  id=\"ez-toc-cssicon-toggle-item-69ea6d6e4f2e5\"  aria-label=\"Toggle\" \/><nav><ul class='ez-toc-list ez-toc-list-level-1 ' ><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-1\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Jinsi_ya_Kusoma_Odds_za_Mpira_wa_Meza_kwenye_Parimatch\" title=\"Jinsi ya Kusoma Odds za Mpira wa Meza kwenye Parimatch\">Jinsi ya Kusoma Odds za Mpira wa Meza kwenye Parimatch<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-2\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Kubeti_mshindi_katika_mpira_wa_meza\" title=\"Kubeti mshindi katika mpira wa meza\">Kubeti mshindi katika mpira wa meza<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-3\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Kubeti_kwa_handicap\" title=\"Kubeti kwa handicap\">Kubeti kwa handicap<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-4\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Kubeti_kwa_totals\" title=\"Kubeti kwa totals\">Kubeti kwa totals<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-5\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Kubeti_kwa_Matokeo_Sahihi\" title=\"Kubeti kwa Matokeo Sahihi\">Kubeti kwa Matokeo Sahihi<\/a><\/li><\/ul><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-6\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Jinsi_ya_Kuweka_Mikeka_kwenye_Mpira_wa_Meza_Kutumia_Parimatch\" title=\"Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Mpira wa Meza Kutumia Parimatch\">Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Mpira wa Meza Kutumia Parimatch<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-7\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Kubeti_Mubashara_Hufanya_Kazi_Vipi_kwenye_Mpira_wa_Meza\" title=\"Kubeti Mubashara Hufanya Kazi Vipi kwenye Mpira wa Meza\">Kubeti Mubashara Hufanya Kazi Vipi kwenye Mpira wa Meza<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-8\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Dondoo_Kali_za_Parimatch_juu_ya_Kubeti_Mpira_wa_Meza\" title=\"Dondoo Kali za Parimatch juu ya Kubeti Mpira wa Meza\">Dondoo Kali za Parimatch juu ya Kubeti Mpira wa Meza<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-9\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Jinsi_ya_Kutengeneza_Mbinu_ya_Mpira_wa_Meza\" title=\"Jinsi ya Kutengeneza Mbinu ya Mpira wa Meza\">Jinsi ya Kutengeneza Mbinu ya Mpira wa Meza<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-10\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Nini_cha_Kukipa_Umakini_Wakati_wa_Kubeti_kwenye_Mpira_wa_Meza\" title=\"Nini cha Kukipa Umakini Wakati wa Kubeti kwenye Mpira wa Meza?\">Nini cha Kukipa Umakini Wakati wa Kubeti kwenye Mpira wa Meza?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-11\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Faida_za_Kubeti_Mpira_wa_Meza_kwa_Parimatch\" title=\"Faida za Kubeti Mpira wa Meza kwa Parimatch\">Faida za Kubeti Mpira wa Meza kwa Parimatch<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-12\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Taarifa_Muhimu_kuhusu_Michezo_Nyingine\" title=\"Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:\">Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-13\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Muhtasari\" title=\"Muhtasari\">Muhtasari<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-2'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-14\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Maswali_ya_Mara_kwa_Mara\" title=\"Maswali ya Mara kwa Mara\">Maswali ya Mara kwa Mara<\/a><ul class='ez-toc-list-level-3' ><li class='ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-15\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Je_unaweza_kubetia_mchezo_wa_tenisi_ya_mezani\" title=\"Je, unaweza kubetia mchezo wa tenisi ya mezani?\">Je, unaweza kubetia mchezo wa tenisi ya mezani?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-16\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Je_unawekaje_dau_kwenye_mkakati_wa_tenisi_ya_mezani\" title=\"Je, unawekaje dau kwenye mkakati wa tenisi ya mezani?\">Je, unawekaje dau kwenye mkakati wa tenisi ya mezani?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-17\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Je_unatabirije_mshindi_kwenye_mchezo_wa_tenisi_ya_mezani\" title=\"Je, unatabirije mshindi kwenye mchezo wa tenisi ya mezani?\">Je, unatabirije mshindi kwenye mchezo wa tenisi ya mezani?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-18\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Je_nini_maana_ya_kubetia_mchezo_wa_matokeo_2_kwenye_tenisi\" title=\"Je, nini maana ya kubetia mchezo wa matokeo 2 kwenye tenisi?\">Je, nini maana ya kubetia mchezo wa matokeo 2 kwenye tenisi?<\/a><\/li><li class='ez-toc-page-1 ez-toc-heading-level-3'><a class=\"ez-toc-link ez-toc-heading-19\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/#Je_kuna_seti_ngapi_kwenye_tenisi_ya_mezani\" title=\"Je, kuna seti ngapi kwenye tenisi ya mezani?\">Je, kuna seti ngapi kwenye tenisi ya mezani?<\/a><\/li><\/ul><\/li><\/ul><\/nav><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Jinsi_ya_Kusoma_Odds_za_Mpira_wa_Meza_kwenye_Parimatch\"><\/span>Jinsi ya Kusoma Odds za Mpira wa Meza kwenye Parimatch<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama unataka kuweka mikeka kwenye mpira wa meza, ifanye Parimatch ndio sehemu yako ya kukimbilia. Yenye wingi wa michuano ya mpira wa meza ya kiulimwengu na odds shindani za mpira wa meza, tunatoa kitu fulani kwa ajili ya kila shabiki wa tenisi ya meza. Kama unatafuta kuyabetia mashindano yako pendwa ya mpira wa meza katika uchezaji, ni wazo zuri kuuelewa upande wa mbinu.<\/p>\n<p>Inawezekana unashangaa \u201cKubeti mpira wa meza hufanya kazi vipi?\u201d Kwanza, utahitaji kuelewa jinsi ya kusoma odds za kubeti mpira wa meza. Huu hapa ni mwongozo wa haraka wa kusoma odds kwenye jukwaa na app ya Parimatch.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kubeti_mshindi_katika_mpira_wa_meza\"><\/span>Kubeti mshindi katika mpira wa meza<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p><a href=\"\/en\/tabletennis\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=table_tennis_prematch&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\"><img decoding=\"async\" loading=\"lazy\" class=\"aligncenter wp-image-1799\" src=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/tennis-5.jpg\" alt=\"Josip Huzjal vs Qui Liang game\" width=\"380\" height=\"148\" \/><\/a><\/p>\n<p>Mikeka ya \u201cKushinda\u201d au moneyline ndio zilizo rahisi na maarufu zaidi. Unahitaji tu kutabiri nani atashinda mechi. Mameneja ubashiri wanapanga odds kuashiria vitu viwili:<\/p>\n<ul>\n<li>Wachezaji wanaaminika vipi kuweza kushinda<\/li>\n<li>Pesa kiasi gani mikeka yako inaweza kukupatia juu ya kila mmoja wao<\/li>\n<\/ul>\n<p>Unaelewa hii kivipi? Katika mfano hapo juu, unaweza kuona kuwa odds za Josip Huzjak ni 4.90 na odds za Qui Liang ni 1.16. Odds za chini zaidi huashiria mchezaji mwenye nguvu zaidi (katika kesi hii, Qui Liang) ambaye ana uwezekano wa kushinda mechi hii. Odds za juu zaidi hutuambia mchezaji huyo anaaminika kuwa dhaifu zaidi.<\/p>\n<p>Muda huo huo, odds zinaonyesha kiasi gani unaweza kushinda. Unahitaji tu kuzidisha mikeka yako kwa odds. Kama ungeweka TZS 10,000 kwa Qui Liang na akashinda, ungepata TZS 10,000 x 1.16 = TZS 11,600 na faida yako ikiwa TZS 1,600. Mikeka hiyo hiyo kwa Josip Huzjak ingeweza kukupatia TZS 49,000 na faida ya TZS 39,000. Hata hivyo, tayari tunajua kwamba Josip Huzjak anaaminika kuwa mchezaji dhaifu zaidi hivyo tokeo hili lina uwezekano mdogo.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kubeti_kwa_handicap\"><\/span>Kubeti kwa handicap<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Kubeti kwa handicap kwa kawaida huachwa kwa ajili ya nafasi ambapo moja kati ya wachezaji ni mchezaji pendwa sana. Katika mazingira haya, mchezaji mwenye nguvu hupewa handicap. Hii humaanisha mchezaji pendwa uhitaji kufunga alama zaidi kuizidi handicap. Kukokotoa kama mikeka yako imeshinda, unahitaji aidha kutoa au kuongeza handicap hiyo kwenye alama ya mwisho.<\/p>\n<p>Alama hapa ni jumla ya alama zilizopatikana katika seti zote (michezo yote) ya mechi.<\/p>\n<table style=\"width: 720px;\" border=\"1\" cellspacing=\"1\" cellpadding=\"1\" align=\"center\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">1 (+6.5)<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>2.25<\/strong><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\">2 (-6.5)<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.57<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>Handicap za alama huwakilishwa kama hii: 1 (+6.5) au 2 (-6.5). Katika mifano hii, 1 (+6.5) humaanisha unambetia mchezaji 1 (yule aliyetajwa kwanza katika mechi) kushinda mchezo kwa alama +6.5 za ziada zilizoongezewa kwenye alama yake. Badala yake, 2 (-6.5) ingekuwa ni mikeka kwenye mchezaji wa pili kushinda mchezo, pamoja na alama 6.5 kupunguzwa kutoka kwenye alama yake ya mwisho.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kubeti_kwa_totals\"><\/span>Kubeti kwa totals<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Muda mwingine utakuta kubeti mpira wa meza kwa totals huitwa \u201ckubeti kwa over\/under\u201d. Mchakato huu uhusisha kuweka mikeka kwenye ikiwa idadi ya jumla ya alama katika mchezo itakwenda juu ya au chini ya tarakimu ambayo meneja ubashiri ameitabiri. Jumla yenyewe hupatikana kwa kuongeza pamoja alama ya wachezaji wote wawili au timu zote mbili.<\/p>\n<table style=\"width: 720px;\" border=\"1\" cellspacing=\"1\" cellpadding=\"1\" align=\"center\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\"><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\">Over<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\">Under<\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">76.5<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.80<\/strong><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.95<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">77.5<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.87<\/strong><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.87<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">78.5<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.95<\/strong><\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.80<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>Ili kutumia odds za totals kubeti kwenye mpira wa meza, unahitaji kuamua unafikiria alama ya jumla ya wachezaji wote wawili au timu zote mbili inaweza kuwa ipi. Kwa mfano, dhania unafikiria kuwa alama ya jumla ingekuwa 77 au chini, unataka kubeti kwenye \u201cUnder 77.5\u201d. Unaweza pia kufikiria \u201cUnder 76.5\u201d, kwa maana chaguo hili lina odds kubwa zaidi. Lakini hapa unahitaji kuamini wachezaji hawa hawatafikia alama ya 77 kwa ujumla.<br \/>\nInapokuja kwenye kuubetia mpira wa meza mubashara, odds hubadilika kwa kila alama ambayo inafungwa au faulo ambayo inatokea.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kubeti_kwa_Matokeo_Sahihi\"><\/span>Kubeti kwa Matokeo Sahihi<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Unafikiri unaweza kufahamu alama halisi itakuwa ipi? Una wazo la nani anakwenda kushinda michezo mingi zaidi na kwa ngapi? Kwanini usiweke uhakika wako kwenye jaribio kwa kubeti kwenye alama halisi ya mechi ya tenisi ya meza.<\/p>\n<p>Kama alama hiyo halisi itatokea, unashinda dau lako kuzidisha kwa odds.<\/p>\n<table style=\"width: 720px;\" border=\"1\" cellspacing=\"1\" cellpadding=\"1\" align=\"center\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">3:1<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>27.00<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">3:2<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>12.50<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">2:3<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>6.75<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">1:3<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>3.15<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td style=\"text-align: center;\">0:3<\/td>\n<td style=\"text-align: center;\"><strong>1.70<\/strong><\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p>Kama ungependa kuweka mikeka kwenye matokeo yako sahihi uliyoitabiri, bofya sehemu ya \u201cAlama Sahihi\u201d katika mechi unayovutiwa nayo. Utaona orodha ya tabiri zilizopo kushoto na odds kulia.<br \/>\nMechi za mpira wa meza huchezwa kwenye michezo 3 kati ya 5. Kwa kutumia mfano hapo juu, kama ungebeti kuwa mchezaji wa kwanza anamshinda 3:1 mchezaji wa pili, odds ni 27.00. Hii humaanisha kuwa kama ukibeti TZS 10,000 na hii ni sahihi, utashinda TZS 270,000.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Jinsi_ya_Kuweka_Mikeka_kwenye_Mpira_wa_Meza_Kutumia_Parimatch\"><\/span>Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Mpira wa Meza Kutumia Parimatch<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Unataka kuweka mikeka kwenye mechi ya mpira wa meza? Fuata tu mwongozo huu rahisi kufanya hivyo ndani ya muda mfupi sana.<\/p>\n<ul>\n<li>Nenda kwenye <a href=\"\/en\/tabletennis\/upcoming\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=table_tennis_prematch&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\">tovuti ya Parimatch<\/a> au pakua <a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\">app ya kubetia<\/a> na ingia katika akaunti yako. Hakikisha <a href=\"\/blog\/sw\/usajili-wa-parimatch-nawezaje-kujisajili-na-kampuni-ya-parimatch-sports-betting\/\">unajisajili<\/a> kama bado tu hauna akaunti.<\/li>\n<li>Fanya <a href=\"\/blog\/sw\/parimatch-jinsi-ya-kuweka-fedha-kwa-mara-ya-kwanza-kwenye-tovuti-ya-kubashiri-mtandaoni-tanzania\/\">wekezo lako la kwanza<\/a> ili kuwa na uwezo wa kubeti.<\/li>\n<li>Chagua \u201cTable Tennis\u201d kutoka kwenye menyu ya juu.<\/li>\n<li>Angalia mechi maarufu zinazokuja zilizoorodheshwa. Nenda kwenye \u201cFilters\u201d kuchagua mechi zaidi.<\/li>\n<li>Bofya mechi ambayo ungependa kuibetia. Hii itakupeleka kwenye odds.<\/li>\n<li>Nenda pitia sehemu za juu kuangalia mikeka iliyopo, kutokea handicap, points, totals, nakadhalika.<\/li>\n<li>Bofya mikeka ambayo ungependa kuiweka. Itawekewa alama na utaiona katika tiketi yako ya ubashiri.<\/li>\n<li>Kumalizia mikeka yako, nenda kwenye tiketi ya ubashiri kwa kubofya sehemu iliyowekewa alama.<\/li>\n<li>Kama umeweka mikeka mingi, utakuta kuwa unaweza kuweka mikeka ya\u00a0<a href=\"\/blog\/sw\/parlays-na-teasers-ni-nini\/\">parlay<\/a> katika tiketi ya ubashiri.<\/li>\n<li>Chagua chaguo lako na halafu bofya \u201cWeka mikeka\u201d.<\/li>\n<\/ul>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/tabletennis\/prematch\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=table_tennis_prematch&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Dau kwenye Tenisi ya Meza Sasa<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Kubeti_Mubashara_Hufanya_Kazi_Vipi_kwenye_Mpira_wa_Meza\"><\/span>Kubeti Mubashara Hufanya Kazi Vipi kwenye Mpira wa Meza<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama unataka kuwekeza pesa kiasi huku unafurahia mechi mubashara za mpira wa meza, unaweza kubeti kwenye mpira wa meza mubashara kwa kutumia jukwaa la Parimatch. Yote kwa yote, mchakato huu ni sawia na uliyoelezewa hapo juu, lakini unahitaji kubofya kwenye sehemu ya \u201cLive\u201d katika sehemu ya mpira wa meza. Utaona mechi zilizopo kwa ajili ya kuzibetia.<\/p>\n<p>Ukiwa unabofya kuipitia michezo, unaweza kugundua kuwa odds hubadilika kwa vipindi. Hii ni kwa sababu kubeti kabla ya mechi na kubeti mechi mubashara ni tofauti.<\/p>\n<p>Odds za kabla ya mechi hukokotolewa kabla ya mchezo, kutegemea kwenye historia ya wachezaji wote wawili. Meneja ubashiri huwatazama jinsi wachezaji hawa wamecheza katika michezo ya hivi karibuni na nyuma ambapo wamekutana uso kwa uso na kila mmoja. Kutoka hapo, odds zinawekwa na waweka mikeka wanaweza kuweka mikeka kabla ya kuanza kwa mechi ya mpira wa meza. Odds hizi hazibadiliki katika mchezo wote.<\/p>\n<p>Kwa utofauti, hata hivyo, odds mubashara za mpira wa meza hubadilika wakati wote wa mechi. Hii ni kwa sababu odds hizi hutegemea kwenye mchezo kadri unavyochezeka. Kwa mfano, kama mchezaji mmoja anafunga vizuri kipekee na anampiku mpinzani wake, odds zinaweza kwenda chini kwa mchezaji huyo kushinda kwa maana ushindi unakuwa na uwezekano zaidi kutokea.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/en\/tabletennis\/live\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=table_tennis_live&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Imarisha Odds za Moja kwa Moja<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Dondoo_Kali_za_Parimatch_juu_ya_Kubeti_Mpira_wa_Meza\"><\/span>Dondoo Kali za Parimatch juu ya Kubeti Mpira wa Meza<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama aina zote za kubeti, kubeti mpira wa meza uhitaji uelewa kidogo kuhusu mchezo na wachezaji. Kwa bahati, pamoja na fursa ya kufikia michuano ya kiulimwengu ya mpira wa meza kwenye jukwaa la kubeti michezo la Parimatch, unaweza kufanya mazoezi kujaribu aina zote za mbinu! Hizi hapa ni dondoo zetu <a href=\"\/blog\/sw\/dondoo-na-mbinu-za-kubeti-mpira-wa-meza\/\">muhimu juu ya mikeka ya mpira wa mezani<\/a>.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Jinsi_ya_Kutengeneza_Mbinu_ya_Mpira_wa_Meza\"><\/span>Jinsi ya Kutengeneza Mbinu ya Mpira wa Meza<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Mbinu yako ya kubeti katika mpira wa meza hutegemea kwenye utafiti wako, katika historia zote mbili za kipindi kirefu na kifupi za wachezaji na uhusiano wao kwa kila mmoja. Kama wachezaji wako wana ugomvi na kila mmoja, au mmoja ana shuti la mpira dhaifu zaidi kuliko mwingine, au mmoja hivi karibuni ametegua kidole chake \u2014 unahitaji kujua! Kadri unavyowajua zaidi wachezaji wako, ndivyo utakavyoweza kutabiri matokeo ya mchezo unaokuja.<br \/>\nNjia bora ya kuwaelewa wachezaji wako kwa ufanisi zaidi ni kwa kuwatazama! Wachezaji baadhi hupendelea kutumia mashuti ya kimbinu na ya kasi, wakati wengine hupendelea kurudi tena mwishoni kabisa. Vyote mtindo na mrindimo wa uchezaji, pamoja na daraja katika ligi au kiulimwengu vitaathiri matokeo.<\/p>\n<p>Sababu ambayo kwanini unahitaji kuwajua wachezaji wako na uhusiano wao kwa kila mmoja, ni kwa sababu hii itakusaidia kuchagua mtindo wa kubeti ambao unakwenda kukusaidia.<\/p>\n<p>Kwa mfano, kama mchezaji mmoja ni dhaifu sana kuliko mwingine, huleta maana kuchagua kubeti kwa handicap na kuutumia udhaifu kwa faida yako. Badala yake, kama wachezaji wote wawili ni wazuri sana na huwa wanafunga idadi ya chini ya alama dhidi ya kila mmoja, unaweza kutaka kuzitazama mikeka ya over\/under, ukiweka kadirio lako chini.<br \/>\nKama unatafuta kubeti zaidi kwa ajili ya furaha kuliko pesa, lakini bado ungependa kubadili faida kidogo, tafuta kuwabetia wachezaji pendwa kushinda. Wakati hii inaweza mara zote isilete marejesho makubwa, ndio nafasi uliyonayo yenye uwezekano zaidi wa kushinda.<\/p>\n<p>Kwa wale wanaotafuta kutengeneza pesa kubwa zaidi, mnaweza kufikiria mbinu ya mikeka mingi. Mikeka ya parlay (accumulator) humaanisha unahitaji mikeka yako yote kushinda ili kulipa, na utatuzwa kwa odds kubwa sana zaidi. Mikeka ya system pia hukupa odds kubwa zaidi kuliko mikeka mmoja mmoja, lakini hauhitaji mikeka yote kushinda ili kulipwa.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Nini_cha_Kukipa_Umakini_Wakati_wa_Kubeti_kwenye_Mpira_wa_Meza\"><\/span>Nini cha Kukipa Umakini Wakati wa Kubeti kwenye Mpira wa Meza?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Mpira wa meza ni mchezo wa haraka sana, na kubeti mubashara kwenye mchezo huu kunaweza kuwa ni mkanganyo wa odds zinazobadilika ambazo zinaweza kuruka kwa haraka. Kuweka umakini wako mchezoni, ni wazo zuri kuangalia vitu fulani kadri vinavyotokea, kwa maana vitaathiri odds. Sawia, katika maandalizi kwa ajili ya mchezo, moja kati ya dondoo bora ni kufanya utafiti wako wa mpira wa meza.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Umbile la jumla la mchezaji<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Namna vile mchezaji anahisi siku hiyo inaweza kufanya utofauti mkubwa katika uchezaji wake. Kimwili mchezaji anaweza kuwa na jeraha au kuwa ndio anapona kutoka kwenye upasuaji. Kiakili, mchezaji anaweza akawa alipata jeraha la hivi karibuni au inawezekana anakabiliana na kashfa mtandaoni. Vitu vyote hivi vitaathiri kiwango cha mchezaji siku hiyo.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Zaidi ya daraja<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Daraja la mchezaji wa mpira wa meza ni muhimu kutokana na kwamba husaidia kuamua yuko nafasi gani dhidi ya mpinzani wake. Hata hivyo, madaraja ni nafasi za muda mfupi ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote kama wachezaji wakishinda au kupoteza mechi.<\/p>\n<p>Kwa maana hii, ni muhimu zaidi kuangalia kwenye ikiwa mchezaji amekuwa na uwezo wa kushikilia daraja la juu kwa muda mrefu. Wachezaji imara ambao hukaa kwenye kiwango hiko hiko mfululizo ni warahisi zaidi kuwabetia, kwa maana unakuwa na uwezekano zaidi wa kuweza kuwapima dhidi ya washindani wao. Wachezaji ambao huruka kutoka juu hadi chini ya ligi mara nyingi ni wachezaji wasiotabirika. Ni hatari zaidi kuwabetia wachezaji hawa.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Mtindo wa kucheza<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Wachezaji baadhi hutumia mkono wa kushoto, wakati baadhi hutumia mkono wa kulia. Hii ni moja kati ya njia za wazi zaidi ambazo mchezaji mzuri anaweza kuwa \u2014 pindi mchezaji anayetumia mkono wa kushoto akicheza kwa shauku na nguvu.<br \/>\nBadala yake, wachezaji baadhi hupendelea kucheza kwa haraka sana, ambacho kinaweza kuwaweka nyuma wachezaji wachezao taratibu zaidi. Kuokoa na mizunguko ndio juzi hasa za kuziangalia kwa maana muokoaji mzuri anaweza kwenda mbele mapema katika kila seti.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Uchovu<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Wakati wa mechi mubashara za mpira wa meza, unataka kuangalia wachezaji ambao wanakuwa wamechoka. Wachezaji baadhi watawachosha wengine mezani kwa kuokoa kwa nguvu, mashuti ya haraka. Kama mchezaji akiwa kachoka, umakini wake hupotea na mara nyingi utamuona akianza kupoteza alama.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Umuhimu wa michuano<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Kama shabiki wa michezo ambavyo atajua, michezo na michuano yenye umuhimu mdogo mara nyingi ina matukio ya kubahatisha zaidi. Hii ni kwa sababu wachezaji wanaogopa kidogo kujaribu mijongeo ya hatari, kwa maana hawana kingi kivile cha kupoteza. Sawia, katika mechi kubwa, wachezaji wanajikita zaidi kucheza kwa usalama \u2014 lakini pia huweka umakini zaidi.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Upinzani<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Wapinzani wa muda mrefu wanaweza kufanya utofauti mkubwa kwenye matokeo ya mchezo. Utaona wachezaji wakijaribu kutishana katika kuelekea kwenye mechi na wakati wa mchezo. Angalia kwenye historia ya wachezaji hao wawili kuona jinsi wamecheza dhidi ya kila mmoja hapo kabla, na wapi na wakati gani walicheza kwa ubora wao wa juu. Hii itakusaidia kuelewa kama wako katika nafasi nzuri kuibuka washindi kwenye siku hiyo.<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"https:\/\/parimatch.onelink.me\/lTl0\/TZ?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=app_download&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Weka dau Ukiendelea<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Faida_za_Kubeti_Mpira_wa_Meza_kwa_Parimatch\"><\/span>Faida za Kubeti Mpira wa Meza kwa Parimatch<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama unatafuta sehemu ya kufaa ya kuweka mikeka ya mpira wa mezani, kwanini usipakue app ya kubeti ya Parimatch. Kwa njia hiyo unaweza kubeti kwenye katalogi pana ya michuano na mashindano ya mpira wa meza moja kwa moja kutoka kwenye simu yako janja.<\/p>\n<p>Haujashawishika? Hii ndivyo kwanini unakosa kama hautapakua app ya kubeti ya Parimatch leo.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Parimatch inafaa sana<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Umechoshwa na foleni za kwa mameneja ubashiri kila muda unapotaka kuweka mikeka? Hufurahishwi na kukaa kwa mameneja ubashiri kuangalia michezo yako pendwa ili tu usikose odds mubashara? Kwanini usipakue app ya kubeti ya Parimatch na uweze kufurahia kuweka mikeka kwenye michezo ya kidunia kutoka kwenye utulivu wa sofa lako mwenyewe.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Jukwaa la Parimatch ni la haraka na imara<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Wakati app na majukwaa mengine ya kubeti yanaweza kufeli kwenye mazingira ya watembeleaji wengi kidogo, jukwaa la kubeti michezo la Parimatch ni la haraka. Ikitumia teknolojia bora, app yetu ya kubeti imebuniwa kufanya kazi bila shida masaa 24 ya siku, bila kuharibu kifaa chako. Haijalishi watumiaji wangapi wanabeti kwenye jukwaa letu la mtandaoni wakati huo huo, bado utaikuta app yako ya kubeti ya Parimatch kuwa itikivu sana na haraka kuchakata maombi yako.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>App ya Parimatch ni nyepesi<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Ili kubeti kwa ufanisi kwenye mechi mubashara za mpira wa meza, unahitaji jukwaa ambalo huchakata kwa haraka na hukuhabarisha kuhusu mechi katika muda halisi. Kwa sababu app yetu ya kubeti ni nyepesi, haichukui nafasi kubwa kwenye simu yako janja. Hii humaanisha inaweza kufanya kazi kwa haraka bila kutumia nafasi yako kubwa.<br \/>\nSawia, app hii haili data yako. Wakati majukwaa mengi ya kubeti mtandaoni hutumia kiasi kikubwa cha data kuchakata mikeka yako, app ya Parimatch ya kubeti michezo hufanya kazi vizuri kikamilifu bila kutumia kwa ulafi intaneti yako.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Parimatch ina aina pana zaidi za mechi za mpira wa meza<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Kupata jukwaa la kubeti mtandaoni linaloaminika kwa ajili ya mikeka ya mpira wa meza inaweza kuwa ngumu. Mara nyingi mameneja ubashiri hawaangazii mpira wa meza, na kama wakiangazia, machaguo ya mechi ni finyu. Hata hivyo, kwenye Parimatch, tunajivunia juu ya katalogi yetu pana ya mikeka iliyopo za mpira wa meza. Kutoka kwenye Kombe la Dunia hadi michezo ya ligi ya ITTF, tunayo yote.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Odds za Parimatch ni bora kwa ajili yako<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Aidha unatafuta kuwabetia washindi, alama ya mechi, au handicap, Parimatch huwapa watumiaji menyu ya kina ya masoko ya kubeti na odds shindani. Hii huwawezesha watumiaji kujishughulisha na mbinu zao za kubeti, na kufahamu kipi hufanya kazi vizuri zaidi kwao.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Jukwaa la Parimatch hujisasisha katika muda halisi<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Sio tu uwezo wa kiteknolojia wa app na jukwaa letu ambao ndio wa haraka. Mwitikio wetu kwenye alama na mabadiliko katika kila mchezo ni wa kasi pia. Zikitumia teknolojia yenye hali ya kisanaa ya kubeti mubashara mpira wa meza, odds zetu hubadilika kulingana na kila tukio la muda halisi ambalo hutokea katika kila mechi. Kwa njia hiyo, unaweza kujihabarisha na mchezo na kuweka mikeka ya moto za kasi kadri tukio linavyotokea.<\/p>\n<ul>\n<li><strong>Parimatch huamini katika huduma bora kwa wateja<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n<p>Kwenye Parimatch, tumejitoa kwenye kuwapa watumiaji wetu wote huduma bora kwa wateja. Ndio maana tumefanya iwezekane kuongea kwa moja ya washauri wetu muda wote kupitia huduma yetu ya mazungumzo ya mtandaoni pia WhatsApp na Telegram. Badala yake, unaweza kutufikia kwa barua pepe au simu 24\/7.<\/p>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Taarifa_Muhimu_kuhusu_Michezo_Nyingine\"><\/span>Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<ul>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-virtual-sports-kwenye-mtandao-wa-parimatch-co-tz\/\">Jinsi ya Kubeti Virtual Sports na Parimatch.co.tz<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kuweka-beti-kwenye-soka-la-virtual\/\">Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Soka la Virtual<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/dondoo-na-mbinu-za-kubeti-mpira-wa-meza\/\">Dondoo na Mbinu za Kubeti Mpira wa Meza<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-tenisi-kwa-kutumia-parimatch\/\">Jinsi ya kubeti tenisi kwa kutumia Parimatch<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-kuweka-beti-ya-basketball-kutumia-parimatch\/\">Jinsi kuweka mikeka ya Basketball kutumia Parimatch<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/dondoo-na-mbinu-za-kubeti-mpira-wa-kikapu\/\">Dondoo na Mbinu za Kubeti Mpira wa Kikapu<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-kwenye-volleyball-kupitia-parimatch\/\">Jinsi ya Kubeti kwenye Volleyball Kupitia Parimatch<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kutengeneza-pesa-kwa-kubeti-kwenye-mchezo-wa-magongo\/\">Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kwa Kubeti Kwenye Mchezo wa Magongo<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kuweka-beti-kwenye-masumbwi\/\">Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Masumbwi<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-kwenye-baseball\/\">Jinsi ya Kubeti kwenye Baseball<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/dondoo-na-mbinu-za-kubeti-baseball\/\">Dondoo na Mbinu za Kubeti Baseball<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kubeti-kwenye-mapigano-ya-ufc\/\">Jinsi ya Kubeti kwenye Mapigano ya UFC<\/a><\/li>\n<li><a href=\"\/blog\/sw\/jinsi-ya-kutengeneza-beti-ya-rugby\/\">Jinsi ya Kutengeneza Mikeka ya Rugby<\/a><\/li>\n<\/ul>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Muhtasari\"><\/span>Muhtasari<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<p>Kama unatafuta kuweka mikeka kwenye mechi mubashara za mpira wa meza, jukwaa na app ya kubeti mtandaoni ya Parimatch ndio sehemu yako ya kwanza kwa ajili ya mahitaji yako yote ya mpira wa meza.<br \/>\nApp yetu mpya ya kimapinduzi ya kubeti michezo huwapa watumiaji wetu wote ufikiaji kwenye mkusanyiko mpana zaidi wa mechi za mpira wa meza, ligi, michuano, na mashindano kutoka ulimwenguni kote. Ikihudumu maktaba ya fursa za mbinu za kubeti, kutoka handicap hadi totals, Parimatch hufanya kuwa rahisi kutekeleza mpango wako wa kubeti.<br \/>\nKwa kutumia teknolojia ya kizazi kinachokuja, app yetu hisivu ni rahisi kutumia, bila kutumia nafasi kubwa sana au data. Iliyoundwa kwa ajili ya kasi, app ya kubeti ya Parimatch hufanya kubeti mpira wa meza kuwe kutamu. Sasa hautakiwi tena kusubiri katika foleni kwa mameneja ubashiri \u2014 unaweza kuweka kiurahisi mikeka ya mpira wa meza moja kwa moja kutoka kwenye simu yako janja ya Android au iOS.<\/p>\n<p>Iliyojitoa kuwapa wateja wetu uzoefu wa mtumiaji wa kiwango cha juu zaidi, timu ya Parimatch ya huduma kwa wateja mara zote iko tayari kukusaidia. Usisite kutufahamisha, na tutakusaidia mahitaji yako yote ya kubeti mpira wa meza.<\/p>\n<p>Hivyo unasubiria nini? Weka mikeka yako ya mpira wa meza kwa Parimatch!<\/p>\n<div class=\"btn-box\"><a href=\"\/regtel\/1?utm_source=tz_blog&amp;utm_medium=regtel&amp;utm_campaign=how-do-i-bet-on-table-tennis\" class=\"article__button button button_article\" style=\"\" target=\"_self\">Jisajili Leo<\/a><\/div>\n<h2><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Maswali_ya_Mara_kwa_Mara\"><\/span>Maswali ya Mara kwa Mara<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h2>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Je_unaweza_kubetia_mchezo_wa_tenisi_ya_mezani\"><\/span>Je, unaweza kubetia mchezo wa tenisi ya mezani?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Ndio, unaweza kuweka dau kwenye mchezo wa tenisi ya mezani. Parimatch hukuruhusu kuweka dau kwenye mechi mbalimbali za tenisi ya mezani.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Je_unawekaje_dau_kwenye_mkakati_wa_tenisi_ya_mezani\"><\/span>Je, unawekaje dau kwenye mkakati wa tenisi ya mezani?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Njia bora ya kuweka dau kwenye mkakati wa tenisi ya mezani ni kucheza kwenye ushindi wa kawaida. Kwenye tenisi ya mezani, hii inamaanisha kuwa unaweka hisa moja kwa moja kwa mchezaji. Lakini, ili kuongeza nafasi zako za kushinda, unataka kujua uwezekano wake. Kwa hakika, unataka mchezaji wako awe na uwezekano mdogo, na kumfanya kuwa ni mchezaji mwenye uwezekano mkubwa wa kushinda.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Je_unatabirije_mshindi_kwenye_mchezo_wa_tenisi_ya_mezani\"><\/span>Je, unatabirije mshindi kwenye mchezo wa tenisi ya mezani?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Unaweza kutabiri mshindi wa tenisi ya mezani kwa kutumia mbinu nne za muhimu. Hizi ni pamoja na:<\/p>\n<ul>\n<li aria-level=\"1\">Mshindi wa kamari kwenye tenisi ya mezani &#8211; pia inajulikana kama njia ya kupata pesa (mojawapo ya mbinu rahisi zaidi za kubetia)<\/li>\n<li aria-level=\"1\">Kubetia kwa handicap &#8211; hii ni bora kwenye wakati ambapo mmoja wa wachezaji ndiye anayependwa zaidi<\/li>\n<li aria-level=\"1\">Jumla ya kuweka mkeka &#8211; inarejelea kubetia juu ya au chini ya idadi ya alama ama gemu, ambapo unaweka dau ikiwa jumla ya alama kwenye mchezo zitapita thamani iliyotabiriwa ya wabetiaji<\/li>\n<li aria-level=\"1\">Uwekaji dau kwenye matokeo sahihi &#8211; ukibetia matokeo sahihi unaamini kuwa mchezaji atapata alama wakati wa mchezo<\/li>\n<\/ul>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Je_nini_maana_ya_kubetia_mchezo_wa_matokeo_2_kwenye_tenisi\"><\/span>Je, nini maana ya kubetia mchezo wa matokeo 2 kwenye tenisi?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Kubetia mchezo wa matokeo 2 kwenye tenisi hurejelea mkakati wa kamari ambapo kuna matokeo 2 pekee yanayowezekana. Matokeo yanamaanisha tu kwamba mchezaji A atashinda au mchezaji B atashinda.<\/p>\n<h3><span class=\"ez-toc-section\" id=\"Je_kuna_seti_ngapi_kwenye_tenisi_ya_mezani\"><\/span>Je, kuna seti ngapi kwenye tenisi ya mezani?<span class=\"ez-toc-section-end\"><\/span><\/h3>\n<p>Mechi ya tenisi ya mezani ina hadi seti 5. Hata hivyo, kwa kawaida mechi hiyo huchezwa vyema zaidi kwenye michezo 3 kati ya 5. Ili kushinda kila seti, ni lazima mchezaji apate angalau alama 11.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Furahia shindi zako na mchezo huu wa kasi!<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":1374,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[13],"tags":[],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v21.5 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Namna ya Kubetia Tenisi ya Mezani - Muongozo wa Kina<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Jifunze kubeti tenisi ya mezani na ushinde dau lako la kwanza! Muongozo huu mwepesi utaelezea kila kitu kuhusu kubeti.\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Namna ya Kubetia Tenisi ya Mezani - Muongozo wa Kina\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Jifunze kubeti tenisi ya mezani na ushinde dau lako la kwanza! Muongozo huu mwepesi utaelezea kila kitu kuhusu kubeti.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"All About Sports Betting By Parimatch\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2023-07-22T09:32:48+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-08-02T09:09:18+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/How-to-bet-on-table-Tennis-no-logo.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"870\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"400\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Mosi Bakari\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"16 minutes\" \/>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Namna ya Kubetia Tenisi ya Mezani - Muongozo wa Kina","description":"Jifunze kubeti tenisi ya mezani na ushinde dau lako la kwanza! Muongozo huu mwepesi utaelezea kila kitu kuhusu kubeti.","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Namna ya Kubetia Tenisi ya Mezani - Muongozo wa Kina","og_description":"Jifunze kubeti tenisi ya mezani na ushinde dau lako la kwanza! Muongozo huu mwepesi utaelezea kila kitu kuhusu kubeti.","og_url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/","og_site_name":"All About Sports Betting By Parimatch","article_published_time":"2023-07-22T09:32:48+00:00","article_modified_time":"2024-08-02T09:09:18+00:00","og_image":[{"width":870,"height":400,"url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-content\/uploads\/How-to-bet-on-table-Tennis-no-logo.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Mosi Bakari","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Mosi Bakari","Est. reading time":"16 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/","name":"Namna ya Kubetia Tenisi ya Mezani - Muongozo wa Kina","isPartOf":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website"},"datePublished":"2023-07-22T09:32:48+00:00","dateModified":"2024-08-02T09:09:18+00:00","author":{"@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8"},"description":"Jifunze kubeti tenisi ya mezani na ushinde dau lako la kwanza! Muongozo huu mwepesi utaelezea kila kitu kuhusu kubeti.","inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/sw\/ninabeti-vipi-kwenye-mpira-wa-meza\/"]}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#website","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/","name":"All About Sports Betting By Parimatch","description":"Betting Tips, Guides &amp; Strategies","potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/?s={search_term_string}"},"query-input":"required name=search_term_string"}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/#\/schema\/person\/121d682e2a908b8d159081613c07e7d8","name":"Mosi Bakari","description":"I love betting! I'm Mosi Bakari. I\u2019ve always been looking for the betting tips on various websites especially on casino. One of the sites I've liked is Parimatch. Since joining in May 2018, my primary goal has been to provide our readers with valuable insights into the world of online gambling.","url":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/author\/mosi-bakari\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1776"}],"collection":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1776"}],"version-history":[{"count":18,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1776\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5603,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1776\/revisions\/5603"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1374"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1776"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1776"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/parimatch.co.tz\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1776"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}