All
24H
12H
3H
Live
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.76
X
4.15
2
4.40
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
4.90
X
4.45
2
1.65
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.28
X
6.45
2
9.70
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.81
X
3.82
2
4.50
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
3.98
X
3.85
2
1.91
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.16
X
8.45
2
18.00
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.86
X
3.65
2
4.45
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
2.50
X
3.62
2
2.77
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.52
X
4.90
2
5.75
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.55
X
4.65
2
5.65
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
3.58
X
3.72
2
2.05
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.42
X
5.15
2
7.30
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
4.05
X
3.85
2
1.89
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
3.85
X
3.88
2
1.93
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.86
X
3.72
2
4.35
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.87
X
3.90
2
4.05
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
4.20
X
4.10
2
1.81
Ligi ya Mabingwa UEFA. Awamu ya Ligi
1
4.20
X
4.00
2
1.82
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.49
X
4.70
2
6.00
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
3.42
X
3.65
2
2.05
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
3.40
X
3.38
2
2.16
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
2.93
X
2.97
2
2.67
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
2.08
X
3.50
2
3.52
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.33
X
5.45
2
8.35
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
3.60
X
3.52
2
2.03
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
2.58
X
3.58
2
2.58
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.56
X
4.45
2
5.30
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.69
X
3.92
2
4.80
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
2.52
X
3.25
2
2.88
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.17
X
7.60
2
16.00
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.60
X
3.95
2
5.75
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
2.00
X
3.38
2
3.90
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.85
X
3.80
2
3.98
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.84
X
3.55
2
4.40
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.49
X
4.50
2
6.25
Ligi ya Ulaya ya UEFA. Awamu ya Ligi
1
1.52
X
4.50
2
5.80
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.42
X
4.65
2
7.40
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
2.11
X
3.55
2
3.38
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.38
X
4.75
2
8.35
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.78
X
3.70
2
4.55
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
4.20
X
3.22
2
1.99
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.23
X
6.60
2
11.45
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
2.06
X
3.52
2
3.52
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
3.38
X
3.40
2
2.17
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.57
X
4.20
2
5.60
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
2.63
X
3.20
2
2.77
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
5.60
X
3.75
2
1.65
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.37
X
5.45
2
7.15
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.72
X
3.72
2
4.95
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.57
X
4.55
2
5.20
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.62
X
4.40
2
4.85
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
3.40
X
3.38
2
2.16
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
4.00
X
3.07
2
2.09
UEFA Europa Conference League. League Phase
1
1.06
X
12.00
2
36.00
England. Premier League
1
4.40
X
4.05
2
1.78
England. Premier League
1
1.63
X
4.15
2
5.50
England. Premier League
1
2.46
X
3.55
2
2.88
England. Premier League
1
1.21
X
7.10
2
14.00
England. Premier League
1
1.37
X
5.45
2
8.05
England. Premier League
1
1.19
X
7.70
2
15.50
England. Premier League
1
1.47
X
4.60
2
7.10
England. Premier League
1
3.48
X
4.15
2
1.98
England. Premier League
1
3.60
X
3.75
2
2.03
England. Premier League
1
3.32
X
3.75
2
2.14
England. Premier League
1
2.90
X
3.90
2
2.29
England. Premier League
1
1.48
X
4.80
2
6.60
England. Premier League
1
1.38
X
5.60
2
7.55
England. Premier League
1
1.52
X
4.70
2
6.10
England. Premier League
1
2.38
X
3.65
2
2.92
England. Premier League
1
2.10
X
3.72
2
3.45
England. Premier League
1
3.15
X
3.78
2
2.20
England. Premier League
1
2.75
X
3.85
2
2.42
England. Premier League
1
1.64
X
4.10
2
5.00
England. Premier League
1
1.90
X
3.68
2
3.95
England. Mashindano
1
3.30
X
3.42
2
2.19
England. Mashindano
1
1.68
X
3.88
2
5.05
England. Mashindano
1
2.72
X
3.30
2
2.62
England. Mashindano
1
3.10
X
3.32
2
2.34
England. Mashindano
1
2.37
X
3.22
2
3.10
England. Mashindano
1
2.06
X
3.55
2
3.50
England. Mashindano
1
2.35
X
3.35
2
3.02
England. Mashindano
1
1.47
X
4.50
2
6.65
England. Mashindano
1
4.40
X
3.65
2
1.81
England. Mashindano
1
2.63
X
3.55
2
2.57
England. Mashindano
1
2.37
X
3.38
2
3.00
England. Mashindano
1
3.95
X
3.50
2
1.95
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
5.15
X
3.15
2
1.79
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
9.70
X
4.85
2
1.31
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
5.50
X
3.32
2
1.70
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
2.14
X
2.95
2
3.78
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
2.42
X
2.83
2
3.30
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
1.97
X
2.92
2
4.55
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
15.00
X
7.40
2
1.15
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
4.65
X
3.25
2
1.83
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
1.69
X
3.32
2
5.65
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
5.25
X
3.50
2
1.69
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
7.35
X
3.60
2
1.53
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
1.54
X
4.00
2
5.90
Timu za kitaifa. Kombe la Mataifa ya Afrika Kufuzu
1
13.00
X
5.80
2
1.22
Spain. Hispania. LaLiga
1
1.72
X
3.62
2
5.50
Soka, pia mara nyingi huitwa mpira wa miguu, ni mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni na mabilioni ya mashabiki wanauangalia. Michezo inafanyika katika maeneo kote ulimwenguni na mwaka mzima. Inatofautiana kutoka mashindano ya ndani hadi mashindano ya hadhi ya juu, kama Ligi ya Mabingwa ya UEFA na Kombe la FA. Nchini Tanzania, mabingwa wa soka wa ndani hufuata Ligi ya Mabingwa ya CAF, Kombe la Shirikisho la CAF, Kombe la Mataifa ya Afrika, na michuano mingine. Kwa ujumla, mara nyingi unaweza kupata mechi za kuvutia za kuweka beti zako.
Kubeti kwenye soka ni njia maarufu ya kufurahia mchezo. Unachohitajika kufanya ni kuweka dau kwenye matokeo ya mchezo. Utabiri sahihi unaweza kukuletea pesa za ziada na, bila shaka, hisia nyingi za furaha.
arimatch ni njia rahisi na halali kabisa ya kubeti soka nchini Tanzania. Tunatoa vitu kadhaa vya msaada, kama vile beti wakati wa mchezo na hata kubeti kwa simu janja. Pia kuna dondoo za msaada na za bure za kubeti soka na tabiri kwa ajili yako. Angalia kwa ukaribu kwa zaidi.
🏆 Masoko ya Kubetia kwenye Football | Zaidi ya Masoko 100+ ya Aina Mbalimbali |
📈 Football Odds za Kubetia Moja kwa Moja | Zinapatikana |
🔝 Mikeka Bora ya Football | Parlay, 1X2, Handicap, Jumla, Idadi ya Magoli na mengine zaidi |
💰 Bonasi ya Ukaribisho | 100% hadi TZs 1,000,000 |
📱 App ya Simu | Android |
💳 Kiwango cha Juu na Chini cha Kuweka Pesa | TZs 2000 / ∞ TZs |
💸 Muda wa Kupokea Hela Ukishatoa | Papo Hapo |
Aina za Kubeti Soka Parimatch
Ili kujua kubeti soka, unapaswa kuanza kwa kujifunza kuhusu aina mbalimbali za makundi ya dau. Ngoja tupitie yale yanayotumiwa mara nyingi zaidi, na mengi ya hayo ambayo unaweza kuyajua zaidi kwenye Parimatch chini ya tukio unalovutiwa nalo.
Beti ya 1x2
Hii ndio aina iliyo wazi zaidi ya kubeti. Unapokuwa unaibetia , unapaswa kuchagua moja kati ya tabiri tatu za kubeti soka:
- Timu A inashinda;
- Timu B inashinda;
- Mechi inaisha kwa sare.
Nafasi Mbili
Aina hii ya beti inafanana na ile ya awali, hata hivyo, ina nafasi bora zaidi kiasi fulani kwa mtu anayeweka beti. Matokeo unayochagua kutoka ni kama ifuatavyo.
- Timu A inashinda au mechi inaisha kwa sare;
- Timu B inashinda au mechi inaisha kwa sare;
- Timu A au Timu B inashinda na hakuna sare.
Hapa ndipo jina linapotokea — kila moja ya beti hizi za soka zina nafasi kubwa mara mbili zaidi ya kufanikiwa.
Kubeti Punguo
Aina hii ya kubeti inajumuisha kwamba kuna jumla ya magoli, ambayo hutolewa kutoka kwa timu uliyochagua au kuhesabiwa kuelekea timu ya pili. Ikiwa unabeti na punguo la 2 hiyo inamaanisha kuwa unabeti kuwa timu A inashinda hata kama magoli 2 yanatolewa kutoka kwenye alama yao ya jumla.
Ya Juu / Ya Chini (aka Beti ya Kiujumla)
Beti hii inahusu jumla ya magoli kwenye mechi nzima. Unabeti ikiwa matokeo yako juu ( ya juu) au chini (ya chini) ya namba fulani. Kwa mfano, beti yako inaweza kuwa kwamba pande zote mbili kupata zaidi ya mabao manne kwenye mechi.
Alama Sahihi
Hii ndio aina ngumu na hatari zaidi ya kubeti. Kama unavyoweza kukisia kwa jina lake, wakati unaweka beti kwenye hii, unatakiwa kukisia matokeo kamili ya mchezo kwa usahihi. Nafasi zake za soka, ambazo tutazijadili chini, ni kubwa kuliko za aina zingine.
Jinsi ya Kuelewa Nafasi za Kubeti Soka
Ukiangalia beti yoyote unayoweza kuweka kwenye jukwaa la Parimatch (iwe ni tovuti rasmi au aplikesheni ya simu ya mkononi), unaweza kuona nafasi zenye desimali — namba fulani iliyo na sehemu mbili za desimali (6.35, 2.90, nakadhalika). Maana iliyo nyuma ya namba hizi ni kama ifuatavyo. Nafasi ndogo zaidi zinaonyesha nafasi kubwa zaidi ya kupata ushindi, lakini kiasi kidogo zaidi cha pesa kupatikana. Nafasi kubwa zaidi, kwa upande mwingine, zinamaanisha kuwa kuna nafasi ndogo zaidi ya kushinda, lakini jumla ya pesa unayoweza kupata ni kubwa zaidi.
Wacha tupitie mechi kati ya Gibraltar na San Marino wakati wa Ligi ya Mataifa ya UEFA:
Gibraltar | Sare | San Marino |
1.31 | 4.90 | 8.60 |
Kama unavyoweza kuona kwa mfano huu, Gibraltar kama pendwa ina nafasi ndogo, ambayo ni 1.31. Kwa upande mwingine, San Marino, ina nafasi ndogo ya kushinda, ambayo inaifanya kuwa nyonge na kuwa na namba kubwa zaidi ya nafasi ya 8.60. Tofauti kati ya namba inaonyesha utofauti kati ya nafasi ambazo kila timu inapaswa kushinda.
Kwa kuangalia nafasi, unaweza kutambua uwezekano uliyofichika wa upande fulani kupata ushindi. Ili kuwasilisha uwezekano huu kama namba ya asilimia, unahitaji kugawanya 100 kwa namba ya nafasi. Katika kesi ambayo tunaipitia, nafasi ya Gibraltar kushinda ni karibu 76%, wakati nafasi ya San Marino kushinda iko karibu na 11%.
Unaweza pia kutambua tuzo yako inayowezekana kwa utabiri sahihi. Ili kukokotoa hiyo, unahitaji kuzidisha namba ya nafasi kwa kiwango unachotaka kubeti nacho, na halafu toa dau lako kutoka kwenye matokeo. Kwa mfano, ikiwa utaweka 3,000 TZS kwenye Gibraltar, faida yako itakuwa 930 TZS. Faida yako sio kubwa sana, lakini hiyo ndiyo unapaswa kutarajia na nafasi ndogo. Ikiwa utaibetia San Marino, na ikashinda, faida yako itakuwa 22,800 TZS, lakini matokeo haya yana uwezekano mdogo zaidi.
Dondoo za Kubeti Soka la Mtandaoni Unazoweza Kutumia
Unapokuwa na taarifa zaidi, unaweza kuunda mkakati bora zaidi wa kushinda. Zingatia dondoo hizi za beti za soka ikiwa unataka kubeti kwa mafanikio.
Jifunze Zaidi Kuhusu Hali za Awali kwa Pande zote Mbili
Unahitaji kuchambua taarifa kwenye timu zote mbili na utambue ni ipi kati yao ina na nafasi nzuri zaidi ya kushinda na jinsi kiwango tofauti cha ujuzi wanacho. Taarifa juu ya majeruhi ya wachezaji wa timu na uhamisho pia ni muhimu. Ukiwa na takwimu hizi, unaweza kuwa na picha ya wazi zaidi ya nani atakuwa bora zaidi kumbetia.
Jifunze zaidi Kuhusu Mwamuzi
Kila mwamuzi wa mchezo ana mtindo fulani wa kuamua mechi. Baadhi ni wakali, wengine ni wapole zaidi inapokuja kwenye faulo. Kwa kuchanganya taarifa hii na dondoo iliyotangulia, unaweza kutambua ni nafasi ngapi za ziada za kufunga kila timu inaweza kupata kama matokeo ya kuwa na mchezaji mkali sana au mwamuzi mkali.
Jifunze Zaidi Kuhusu Hali ya Hewa
Iwe unapenda au haupendi, hali ya hewa inaathiri matokeo ya mechi ya soka kwa kiwango kikubwa. Hii inahusu hasa mechi ambazo wachezaji wanalazimika kucheza katika hali ambazo hawajazizoea au zisizofaa. Ingekuwa changamoto kwa wachezaji wa soka wa Tanzania kucheza kwenye baridi kali. Kwa kuongezea, mvua inaathiri sana uwanja wa kuchezea, na mchezo unakuwa wa polepole zaidi pindi unapolowa.
Jinsi ya Kubeti Soka Kwenye Jukwaa la Parimatch
Unaweza kuweka beti kwenye tovuti hii au unaweza kuufanya kupitia aplikesheni ya simu ya mkononi. Tumeandaa muongozo wa jinsi ya kuanza kubeti soka na Parimatch:
- Fungua akaunti mpya au ingia iliyopo;
- Weka pesa unayotaka kubetia;
- Rejelea kwenye orodha na uchague "Football" katika sehemu ya "Michezo". Kuweka beti kabla ya mechi - "Upcoming" au katika sehemu ya "Live" kwa kubeti mchezo unaoendelea;
- Ikiwa unatumia aplikesheni, bofya nembo chini ya skrini na uchague "Soka" kutoka kwenye orodha (kama ilivyo kwenye hatua ya awali);
- Chagua mashindano unayotafuta au nchi ambapo mchezo unachezwa;
- Chagua mchezo ambao ungependa kuuwekea beti yako;
- Chagua jina la mchezo kuona orodha ya mistari ya kubeti;
- Chagua aina ya beti unayotaka kufanya na weka utabiri wako;
- Nenda kwenye tiketi ya beti kufanya uamuzi wako wa mwisho;
- Ikiwa uko tayari kuthibitisha, bonyeza "Weka beti";
- Unaweza kuweka beti nyingi tu kwa kurudia hatua zilizopita;
- Kwenye tiketi ya beti, unaweza kufanya uchaguzi kati ya beti mmoja, kuongeza beti, beti za mfumo.
Faida za Kubeti Soka na Parimatch
Kwenye jukwaa letu, una uwezo wa kuweka pesa kwenye timu yako pendwa ya soka kwenye kabla ya mechi na live. Kwa kuongezea, unaweza kubeti kwenye michezo mingine mbalimbali, ikihusisha mpira wa kikapu (beti za mpira wa kikapu za kabla ya mechi na kubeti mpira wa kikapu live) na mpira wa magongo (beti za mpira wa magongo za kabla ya mechi na kubeti mpira wa magongo live). Ikiwa unatafuta kubeti kwenye kitu ambacho sio michezo ya jadi, tunayo michezo pepe kwa ajili yako. Unaweza kujaribu kubeti kwenye soka pepe na uone jinsi ilivyo ya kusisimua!
Haijalishi unachagua nini, tunakuhakikishia utapata uzoefu bora zaidi wa kubeti soka mtandaoni. Sababu kwa nini unapaswa kuchagua Parimatch ni:
- Sisi ni chapa ya kutegemewa inayofanya kazi tangu 1994;
- Kuna nafasi ya wewe kushinda jakpoti ya kuvutia kwa kubeti tu;
- Kiwango cha chini cha kuweka pesa unachohitaji kufanya ni kidogo, na malipo tunayofanya ni ya haraka;
- Tunatoa huduma ya kuaminika kwa wateja ambayo iko tayari kukusaidia matatizo yako yote.
Anza safari yako ya kubeti soka na Parimatch mara moja!
Maswali ya Kila Mara
Jinsi gani ya kushinda mkeka wa mpira wa miguu?
Ili kushinda mkeka wa kandanda, unapaswa kutumia mikakati yoyote muhimu ya soka. Mfano mzuri ni mbinu ya Kelly Criterion ambayo inakufundisha usimamizi na uwezekano wa kutunza pesa zako. Njia hii hutumia uwezekano na uwezekano halisi wa mtunza hazina kukusaidia kukokotoa nafasi za ushindi za timu yako na kuongeza ushindi wako wa kubetia kandanda.
Unabetiaje kandanda ya SRL?
Kuweka mkeka kwenye soka la SRL kunahusisha kuweka mkeka kwenye mechi za mtandaoni za kandanda ambazo huigwa na kanuni za kompyuta. Mechi hizi kwa kawaida huhusisha matoleo ya mtandaoni ya timu halisi za kandanda, na matokeo ya mechi hubainishwa na jenereta ya namba ya bahati nasibu. Wadau huchagua soko wanalopenda la kamari na kuweka mikeka yao kwenye matokeo ya mechi za mtandaoni. Mara tu mechi inapoigwa, matokeo huoneshwa, na mkeka wa ushindi kulipwa.
Jinsi gani ya kutopoteza mkeka wa mpira wa miguu?
Ili kupunguza uwezekano wa kupoteza mkeka wa soka, anzisha mkeka wako kwa kiasi kidogo na epuka kufukuzia hasara ulizozipata mwanzoni. Pia, ni wazo zuri kujifahamisha juu ya vipengele na hesabu za kawaida, kama vile uwezekano wako wa kushinda.
Unajuaje uwezekano wa kushinda kwenye mpira wa miguu?
Ili kujua uwezekano wa kushinda, hesabu uwezekano wa timu uliyochagua kwa kiasi unachoweka kwenye kubeti. Kwa mfano, ukiweka mkeka wa TZs 10,000 kwa Simba SC na odds za kushinda zikawa ni 1.18, utapata TZs 11,800 ukishinda. Katika suala hili, ikiwa Simba ina odds ya 1.18, mpinzani ana odds ya 6.6, na odds ya sare ni 2.56, Simba SC itakuwa na odds ndogo zaidi na nafasi kubwa ya kushinda, wakati matokeo ya pili yenye uwezekano mkubwa yatakuwa ni sare.
Jinsi gani ya kutabiri mechi za mpira wa miguu kwa usahihi?
Ili kutabiri mechi za kandanda kwa usahihi, ifahamu timu na wachezaji wa mechi unayoibetia. Zaidi ya hayo, tafiti odds za kampuni na uchague bora zaidi inayotolewa. Kuwa na maarifa zaidi kuhusu mchezo, timu na wachezaji ndiyo njia rahisi ya kufanya ubashiri ulio sahihi.