All
24H
12H
3H
Live
Timu za kitaifa. Michuano ya Kirafiki
1
2.25
X
4.18
2
2.34
Timu za kitaifa. Michuano ya Kirafiki
1
19.99
X
11.90
2
1.02
Timu za kitaifa. Michuano ya Kirafiki
1
2.15
X
4.08
2
2.51
Poland. Ekstraklasa
1
1.98
X
4.41
2
2.64
Poland. Ekstraklasa
1
3.06
X
4.94
2
1.72
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
1
1.55
X
5.70
2
3.67
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
-,-
X
21.00
2
25.00
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
1
2.16
X
4.35
2
2.58
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
1
1.06
X
12.50
2
14.39
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
1
10.89
X
9.20
2
1.12
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
1
20.00
X
16.00
2
1.02
Timu za kitaifa. FIFA World Cup
1
1.11
X
9.72
2
12.61
Argentina. Kitengo cha Primera
1
2.30
X
4.56
2
2.30
Argentina. Kitengo cha Primera
1
1.83
X
4.91
2
2.94
Costa Rica. Ligi kuu
1
1.98
X
4.86
2
2.50
Argentina. Primera Division B
1
1.50
X
5.54
2
3.82
Argentina. Primera Division B
1
3.31
X
5.17
2
1.63
Argentina. Primera Division B
1
1.81
X
5.13
2
2.76
Argentina. Primera Division B
1
1.33
X
5.59
2
5.59
Argentina. Women. Primera A
1
1.18
X
6.61
2
7.44
Argentina. Women. Primera A
1
3.30
X
4.32
2
1.68
Argentina. Women. Primera A
1
1.20
X
5.89
2
7.86
Argentina. Women. Primera A
1
2.20
X
4.06
2
2.33
Argentina. Women. Primera A
1
3.97
X
4.77
2
1.50
Guatemala. Wanawake. Liga Nacional
1
4.40
X
6.21
2
1.35
Beti Futsal nchini Tanzania
Mpira mmoja, wachezaji kumi, na korti ndogo, kwa kawaida ya ndani. Ni hayo yote kuhusu futsal, mchezo unaofanana sana na mpira wa miguu (au soka), lakini unaoangaziwa na mbinu na kanuni zake za kipekee. Ijapokuwa si maarufu sana katika baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania, kubeti futsal kunaongezeka umaarufu duniani kote. Hapa, tunakwenda kuangazia mchezo huu kwa kina.
Kwa sababu ya ukubwa wa timu na uwanja, mchezo uhitaji uangalifu mwingi na kufikiria kwa haraka. Stori yake ilianzia katika karne ya XX wakati mwalimu wa shule kutoka Uruguay alipokuja na wazo zuri sana la mpira wa miguu wa ndani. Tangu nyakati hizo, futsal imekua ikivutia wachezaji haswa kutoka Amerika ya Kusini na ya Latini, Hispania na Ureno. Kwa sasa, mchezo una mashabiki katika mabara yote; hata hivyo, Brazil na Hispania zimethibitisha kuwa mabingwa kamili katika mashindano ya futsal.
Beti za futsal mtandaoni zinavutia umakini mkubwa sana wakati wa mashindano ya dunia na ligi za kitaifa.Tunakwenda kuangalia baadhi zao kwenye sura zitakazofuata. Mbali na hilo, tuko tayari kushirikisha ufahamu fulani kuhusu nafasi bora zaidi za kubeti katika futsal na kushirikisha dondoo baadhi zinazoweza kutekelezeka juu ya jinsi ya kufanya beti zako ziwe na faida.
Nafasi Zipi ni Bora Zaidi za Kubeti Katika Futsal?
Ijapokuwa futsal si maarufu sana kama soka la Marekani au raga, tovuti za kubeti zinakupa nafasi ya kutabiri matokeo ya mechi za futsal vilevile. Kubeti juu ya mshindi, unahitaji kufahamu mambo baadhi ya msingi na mashindano ya kuvutia.
Kubeti kwa njia-3
Mechi inaweza kuisha katika njia 3 tofauti:
- Timu 1 inashinda;
- Timu 2 inashinda;
- Sare.
Mara tu unapochagua moja tu ya chaguzi hizi, unashiriki kwenye kubeti kwa njia-3.Hii ni beti ya kitamaduni ambapo ni rahisi kiasi kutabiri matokeo.
Kubeti kwa nafasi mbili
Katika kesi hii, kuna chaguzi mbili:
- Aidha timu 1 inashinda ama kuna sare;
- Au Timu 2 inashinda au kuna sare.
Njia hii inaongeza uwezekano wa kushinda lakini inapunguza nafasi za kubeti za futsal.
Kubeti Kiujumla
Kubeti kiujumla kunakuhitaji utabiri idadi ya jumla ya magoli kwenye mechi. Hii beti inahusu kuelezea kama ndivyo au la idadi ya jumla ya magoli itakuwa chini au juu kuliko idadi liliyoorodheshwa.
Kubashiri Punguo
Kubeti kwenye futsal na punguo inamaanisha kwamba namba ya magoli inapeanwa kwa timu dhaifu zaidi kabla ya mchezo kuanza. Kama jumla yao ya mchezo ni sawa na magoli timu yako itakayoyapata kweli jumlisha punguo, beti yako inashinda.Vivyo hivyo, kama ukibeti kwenye timu yenye nguvu zaidi, magoli yanatolewa kwake kabla ya mechi kuanza.
Unabeti Vipi Kwenye Michuano ya Futsal?
Angalia michuano ya futsal iliyo maarufu zaidi na uamue utabeti kwa timu gani:
Kombe la Dunia la FIFA la Futsal
Kila baada ya miaka minne, mashabiki wa fustal hushikilia pumzi zao na kutarajia haya mashindano yaanze. Katika mwaka wa 2021, Kombe la Dunia litafanyika Lithuania.Tukio hili ni la maana kubwa kwani Kombe la Dunia la Futsal la 2020 lilihairishwa kwa sababu ya janga la COVID-19. Likihamasishwa na wachezaji wenye vipaji na kutiwa joto na matarajio, unaweza kubeti kwenye timu bora zaidi na kushinda!
Michuano ya UEFA ya Futsal
Muungano wa Mashirikisho ya Soka Barani Ulaya husimamia michuano ya futsal kati ya nchi za ulaya. Ureno ndio bingwa wa sasa wakati Hispania ndio timu yenye mafanikio zaidi. Urusi na Italia zinawafuatia wanaoongoza kwenye meza ya michuano. Michuano ijao itafanyika 2022 Uholanzi.
Kombe la Mataifa ya Afrika la Total la Futsal
Hii ni awamu ya sita ya michuano michanga kiasi ambayo hukusanya timu bora zaidi za futsal kutoka bara la Afrika. Moroko ndio kiongozi imara: timu hii ililinda ubingwa wake na kuishinda Misri kwenye finali.
Mbali na haya mashindano ya ulimwengu, unaweza pia kuangalia ligi za nyumbani kwenye nchi ambapo futsal ni maarufu sana. Kwa mfano, fikiria ligi za futsal za Hispania, Ureno, Brazili na Urusi.
Nini cha Kuangalia Wakati wa Kubeti kwenye Futsal?
Kama unafahamu kubeti kwenye soka, basi kubeti futsal si changamoto kwako. Lakini dondoo hizi za juu za futsal zinaweza kukusaidia kubeti kwa mafanikio:
- Mbinu na kasi ya timu
Futsal inahusu kupiga pasi kwa usahihi na vitendo vya haraka. Tazama tu timu za Hispania, Brazili na Ureno! Kasi na mbinu ya viwango vya juu ni vya maana zaidi kwenye futsal kuliko uwezo wa kumsukuma mpinzani kama wachezaji wa soka wafanyavyo.
- Jukumu la Golikipa
Golikipa ni mtu wa muhimu sana kwenye uwanja wa futsal. Sio tu huokoa timu yake isipoteze lakini pia hushiriki kikamilifu katika nafasi za kufunga magoli. Mchezaji huyu huwa mara zote yuko kwenye shinikizo: katika soka, kunaweza kuwa na nyakati 5-10 za hatari kwa golikipa lakini kwenye futsal, matendo yasiohiari na umakini wake ni mahitaji ya muda wote.
- Taarifa ziendazo na wakati
Tazama mechi za hivi karibuni na hakikisha kwamba timu yako pendwa inadumisha nafasi yake ya juu. Weka umakini kwa wachezaji fulani na hali zao za sasa. Hata vumi kuhusu mahusiano na hali katika timu vinaweza kuwa vya thamani katika kufanya uamuzi.
- Kanuni na mwamuzi
Beti yenye mafanikio hutegemea kwenye sababu mbili muhimu zaidi: ambazo ni kanuni za mchezo na mwamuzi. Kanuni zinatofautiana na zile zilizowekwa na chama cha soka. Zinapaswa zichambuliwe kwa umakini ili kuelezea yenye uwezo wa kuongoza. Mbali na hilo, mwamuzi ana muda kidogo zaidi wa kufanya uamuzi na hivyo anakuwa na uwezekano zaidi wa kufanya kosa. Hii ndiyo kwa nini hata baada ya uchunguzi wa kina wa kabla ya mechi, mchezo unaweza kuisha na matokeo yasio tabirika. Hapa, bahati yako itakuja mikononi!
Kwa nini Kubashiri kwenye Futsal na Parimatch?
Kati ya tovuti nyingi sana za kubeti futsal, ni changamoto kubwa kupata ile yenye michakato na sheria wazi za kutegemewa. Kwa bahati nzuri, umekuja mahali sahihi. Kuna sababu tano za msingi kwa nini Parimatch ni tovuti bora zaidi ya kubeti kwenye futsal:
- Historia kuanzia 1994
Kuna miaka mingi ya uzoefu katika kucheza kamari nyuma ya migongo yetu. Maelfu ya watumiaji walioridhika wanaamini Parimatch. Tunalinda beti zako na sifa yetu.
- Wekezo la chini – malipo ya juu
Unaweza kujiunga Parimatch na bajeti ya chini. Hata wekezo la chini zaidi linaweza kutosha kuongeza pesa kwenye jukwaa.
- Timu yenye msaada ya huduma kwa wateja
Tuko tayari kujibu maswali yako na kutatua masuala yanayowezekana 24/7. Usisite kuwasiliana nasi wakati wowote!
- Jakpoti ya moto
Kwenye tovuti, unaweza kutumia nafasi ya kipekee kushinda jakpoti kubwa.
- Wingi wa chaguzi za kubeti
Michezo ya kiutamaduni au michezo ya kielektroniki – kwa tovuti ya Parimatch unaweza kubeti kwenye michezo yoyote.
Jisajili leo, wabetie wanaoongoza na upate malipo yako ya kwanza kesho!