welcome


🔥 KUWA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA TWENZETU DUBAI NA PARIMATCH 🔥


📌 Katika kipindi cha kuanzia 29.04.2024 hadi 29.06.2024, weka beti yoyote kwenye michezo ya Kasino na Aviator na uingie katika droo cha kuwania tiketi ya kwenda Dubai na smartphone kila siku (simu janja ya mkononi)

Vigezo na Masharti 
1. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote wa Parimatch.
2. Shindano litaanza saa 00:00 29.04.2024 hadi 23:59 29.06.2024.
3. Mashindano haya yanatumika kwa beti za michezo ya Kasino ya Aviator.
4. Ili uweze kuingia katika Droo ya kushinda zawadi ya tiketi na smartphone, unapaswa kubashiri kwenye mchezo wa Aviator ndani ya Parimatch Casino na kadri unavyoweka
beti zaidi ndivyo unajiongezea nafasi ya kujishindia tiketi ya kwenda Dubai au kujishindia smartphone (simu janja) kila siku.
5. Zawadi ya simu itatolewa kila ya siku kupitia droo ya siku husika na washindi watatangazwa kupitia kurasa zetu za kijamii (Instagram na Facebook)..
6. Zawadi ya tiketi itatolewa kwa wiki mara moja kupitia droo ya wiki husika na mshindi atatangazwa kupitia TBC na kurasa zetu za kijamii (Instagram na Facebook).
7. Sehemu ya michezo ya Soka, TVBET, Live Casino, Casino New na michezo ya Virtual hairuhusiwi kushiriki katika promosheni hii.
8. Kwa kushiriki katika promosheni, mteja anakubali vigezo na masharti haya, pamoja na vigezo na masharti ya jumla ya Parimatch.
9. Parimatch ina haki ya kutekeleza utaratibu wa uhakiki wa mmiliki wa akaunti ya michezo ya kubahatisha, na pia kusimamisha utoaji wa zawadi wakati wa utaratibu wa uhakiki.
10. Parimatch ina haki ya kufuta promosheni na / au kukataa kumpa mteja zawadi pindi ikagundulika kuwa mteja amekiuka vigezo na masharti au anatumia mikakati ambayo kampuni inachukulia kama ulaghai
11. Ili uweze kutambulika kuwa mshindi wa shindano hili ni lazima uwe hati ya kusafiri (Passport)