Nawezaje Kuhakiki Akaunti ya Parimatch nchini Tanzania?

Karibu Parimatch! Tuko hapa kukupa muongozo wa kina wa jinsi ya kukamilisha zoezi la uhakiki wa akaunti ya Parimatch. Makala haya yanajibu maswali maarufu zaidi kuhusu mchakato wa uhakiki na pia husaidia kutatua tatizo dogo sana ikiwa unalo.
Fungua Akaunti ya Parimatch Upate Bonasi
Hatua za Kufuata Ili Kuthibitisha Akaunti Yako ya Parimatch Tanzania
Moja ya sababu kuu za kuhakiki akaunti yako ni uwezo wa kutoa ushindi wako! Hebu tuangalie kwa undani muongozo wa hatua kwa hatua wa namna ya kufanya hivyo.
Ukiomba Uhakiki wa Parimatch Kwenye tovuti:
1. Ingia kwenye tovuti rasmi ya Parimatch Tanzania. Jiunge kwa kufungua akaunti yako kama haujafanya hivyo hapo mwanzo. Ingia kwenye kona ya juu kulia ambapo kuna sehemu ya akaunti yako. Bonyeza juu yake!
2. Kwenye sehemu ya "Akaunti Yangu" bonyeza sehemu yenye maelezo binafsi - Taarifa binafsi.
3. Kwenye sehemu ya taarifa binafsi, sogea chini ya ukurasa na ubonyeze kitufe cha KYC.
4. Ili uendelee, unatakiwa kuwasiliana na Parimatch huduma kwa wateja. Kwa hiyo, bonyeza sehemu ya kitufe cha njano upate msaada.
5. Chagua njia ya mawasiliano inayofaa zaidi kwako kutoka kwenye orodha iliyopo, na upate msaada kutoka kwa Parimatch huduma kwa wateja ili uthibitishe akaunti yako.
6. Fuata maelekezo ya msaada kwa mteja ili ukamilishe mchakato wa uthibitishaji wa akaunti yako. Kumbuka kwamba tayari hati zako za uthibitishaji zinawekwa (Kitambulisho cha Taifa, na hati nyingine).
Mchakato wa Uthibitishaji wa Akaunti ya Parimatch Kwenye App:
- Fungua app yako ya Parimatch.
- Tafuta sehemu ya akaunti kwenye kona ya chini kulia kwa kubonyeza.
- Bonyeza kwenye kitufe cha Taarifa binafsi.
- Tafuta sehemu ya KYC na uguse juu yake ili kupitia kwenye ukurasa wa Parimatch huduma kwa wateja.
- Chagua njia yako ya kuwasiliana, waombe Parimatch huduma kwa wateja wathibitishe akaunti yako na ufuate maelekezo yao.
Kumbuka, kama unapatwa na shida yoyote wakati wa mchakato huu, nenda kwenye sehemu ya ukurasa wa Parimatch huduma kwa wateja na uulize maswali yako kwa kutumia njia yoyote unayoitaka!
Muda wa Kuthibitisha Akaunti ya Parimatch
Utaratibu huu unachukua muda tofauti kwa kila akaunti moja binafsi. Ila kwa kawaida, muda wa kuthibitisha akaunti ya Parimatch unakuwa si zaidi ya lisaa 1 kama umewasilisha picha zote na nyaraka muhimu zikiwa kwenye ubora mzuri. Kama kuna shida yoyote itakayotokea, utaratibu huu unaweza kuchukua mpaka siku 1.
Kwa hivyo, usisahau kufuata maelekezo kwenye skrini moja kwa moja ili kuharakisha uhakiki na kutoa ushindi wako mara moja!
Ufumbuzi kwaTatizo la Uthibitishaji wa Akaunti ya Parimatch
Ili uweze kufanya uhakiki wa akaunti ya Parimatch na matumizi yote ya mtumiaji kuwa rahisi na ya kuridhisha, tulianzisha timu ya huduma kwa wateja ya Parimatch. Unaweza kuwasiliana nasi wakati wowote kwa njia yoyote inayofaa unayochagua ili kupata usaidizi na kuuliza maswali yote unayohitaji kujua!
Hizi hapa ni njia za mawasiliano ya Parimatch Tanzania ambapo unaweza kuzitumia kutufikia:
- Telegram: @Parimatch_TANZANIA_bot
- Parimatch kwenye WhatsApp: +255 766 880 026
- Barua pepe: [email protected]
- Namba ya simu ya huduma kwa wateja wa Parimatch: 0-800-75-02-08
Jisikie huru kuwasiliana na huduma kwa wateja wa Parimatch!
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Kwa nini Uhakiki wa Akaunti ya Parimatch ni Hatua ya Lazima?
Inahitajika ili kuzuia ulaghai katika mchakato wa michezo ya kubahatisha na kamari na kuhakiki kuwa mchezaji ni mtu mzima (zaidi ya miaka 18). Ndiyo maana unaweza kutoa pesa kutoka kwa akaunti yako ya Parimatch baada tu ya kuhakikiwa.
Ninawezaje Kuhakiki Akaunti Yangu ya Parimatch?
Inachukua hatua chache kuthibitisha akaunti ya Parimatch:
- Kwenye tovuti:
- Nenda kwenye akaunti kwenye kona ya juu kulia kwenye ukurasa wa tovuti;
- Nenda kwenye Taarifa binafsi > KYC;
- Chagua njia yako ya kuwasiliana na upate msaada kutoka Parimatch huduma kwa wateja ili uthibitishe akaunti yako.
- Kwenye App:
- Nenda kwenye akaunti yako kwenye kona ya chini kulia;
- Nenda kwenye Taarifa binafsi > KYC;
- Bonyeza kitufe cha Msaada, na upate msaada kutoka kwenye huduma kwa wateja ili uthibitishe akaunti yako.
Ninawezaje Kuangalia Matokeo ya Uthibitishaji wa Akaunti ya Parimatch?
Kama unataka kuangalia endapo ulithibitisha kuwa akaunti ya Parimatch imekataliwa ama lah, fuata tu maelekezo haya:
- Kwenye tovuti:
- Ingia kwenye akaunti kwenye kona ya juu kulia kwenye ukurasa wa tovuti;
- Nenda kwenye Taarifa binafsi > KYC;
- Tazama hali yako ya sasa na/au maelezo kutoka kwenye timu ya Parimatch.
- Kwenye App:
- Nenda kwenye akaunti yako kwenye kona ya chini kulia;
- Nenda kwenye Taarifa binafsi > KYC;
- Angalia hali yako ya sasa na/au maelezo kutoka kwenye timu ya Parimatch huduma kwa wateja.
Kwanini Bado Siwezi Kutoa Pesa Baada ya Kuthibitisha Akaunti Yangu?
Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa kama zifuatazo:
- Kama bado una bonasi ya ukaribisho inayotumika. Kwenye suala hili, hauwezi kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako ya michezo ya kubahatisha;
- Ikiwa una pesa zisizotumiwa. Unapaswa kutumia angalau 70% ya kila muamala wako;
- Kama unatumia chaguzi tofauti za utoaji pesa. Njia ya kutoa pesa inapaswa kuwa sawa na ile uliyotumia kuweka pesa (njia yako ya malipo).
Kwa nini Parimatch Inauliza Nyaraka za Ziada Baada ya Uhakiki?
Ni sawa ikiwa huduma kwa wateja wa Parimatch itakuomba nyaraka za ziada, usijali. Hata kama ulikamilisha uhakiki wa awali wa akaunti, tunaweza kukuuliza picha ya pasipoti yako ya kigeni, kitambulisho au leseni ya udereva, cheti cha kuzaliwa, bili za matumizi, taarifa ya kadi, n.k. Zitume kupitia [email protected].
Jinsi ya Kuhakiki Leseni ya Udereva?
Ili kuhakiki leseni ya udereva unatakiwa kuingia sehemu ya kuweka nyaraka kwenye akaunti yako kisha uweke taarifa zako ikiwemo zile taarifa zote zilizopo kwenye leseni yako ya udereva. Kuhakiki leseni ya udereva ni zoezi la muda mfupi na halichukui muda wako mwingi.
Hitimisho
Katika makala haya, tulijibu maswali yote maarufu ili kufanya mchakato wa uhakiki uwe rahisi kwako. Ikiwa bado una maswali yoyote, wasiliana na huduma kwa wateja wa Parimatch. Tuko hapa kusaidia 24/7!