Bashiri Juu ya Soka la Ufukweni Tanzania
Kubashiri soka la ufukweni ni njia ya kusisimua ya kufurahia mchezo huu wa majira ya kiangazi unaokua haraka. Ufaao kwa nchi za joto na fukwe za mchanga, si ajabu unakuwa maarufu sana Tanzania.
Baada ya mafanikio makubwa ya Tanzania kwenye Copa Dar Es Salaam 2019, hutotaka kukosa kuweka ubashiri ufuatao wa ushindi.
Kwa bahati yako, Parimatch ina mkusanyiko mpana zaidi wa machaguo ya mtandaoni ya kubashiri soka la ufukweni ndani ya Tanzania yote na timu ya kitaalamu ya kucheza kamari kukupa muhtasari juu ya jinsi yote yafanyavyo kazi.
Endelea kusoma upate maelekezo rahisi juu ya jinsi ya kushinda ubashiri mkubwa kwenye soka la ufukweni na Parimatch.
Nafasi Nzuri zaidi za Kubashiri Soka la Ufukweni ni Zipi?
Kama unataka kutengeneza marejesho mazuri na bashiri zako za soka la ufukweni mtandaoni, utahitajika kuelewa nafasi zipi ni nzuri zaidi. Kwa ujumla, unataka ubashiri ambao utatengeneza marejesho mazuri bila hatari kubwa sana.
1x2
Katika soka la ufukweni, ubashiri wa 1X2 humaanisha unaweza kuibashiria timu ya nyumbani kushinda, timu ya ugenini kushinda, au sare. Tofauti na bashiri za timu moja kushinda, sare inaweza kukuharibia nafasi.
Nafasi Mbili
Kubashiri nafasi mbili kunakupa fursa ya kuweka dau kwenye matokeo ya mechi yanayowezekana zaidi ya moja kwa ubashiri mmoja. B
ashiri za nafasi mbili hukuruhusu wewe kuchagua matokeo mawili kati ya matatu, hivyo unaongeza kwa ufanisi mara mbili bahati yako ya mafanikio.
Kubashiri Punguo
Kubashiri punguo ni wakati meneja ubashiri huaribu nafasi za mechi kwa kutoa faida/hasara dhahiri kwa timu.
Ubashiri punguo wa kawaida unaweza kuonekana kama hivi:
Timu ya Taifa ya Ureno ya Soka la Ufukweni (-3) dhidi ya Timu ya Taifa ya El Salvado ya Soka la Ufukweni (+3)
Kutoka kwenye hili tunaweza kuamua kuwa punguo la -3 limetolewa kwa Ureno ambalo humaanisha kuwa wanapendelewa kwa kiasi kikubwa kushinda mechi.
Kimsingi, Ureno inakabiliwa na upungufu wa magoli matatu hata kabla mechi haijaanza.
Kama ungeiwekea dau Ureno, ingemaanisha kuwa wangehitaji kushinda kwa magoli 4 au zaidi kwa wewe kupokea malipo.
Kama ungeiunga mkono El Salvado, wangehitaji ama kushinda mechi au kiurahisi kutokupoteza kwa magoli 4 au zaidi.
Kubashiri Kiujumla
Kubashiri kiujumla ni wakati anayebashiri huweka dau juu ya iwe au isiwe alama ya jumla ya kila timu itakuwa juu au chini ya namba iliyowekwa kabla na meneja ubashiri.
Acha tuangalie soka la ufukweni.
Tuseme meneja ubashiri amepanga jumla kwenye 2 na unabashiri ya juu yake. Kama magoli matatu au zaidi kwa ujumla yanafungwa kwenye mechi, ungeshinda. Vivyo hivyo, kama magoli mawili au pungufu kwa ujumla yanafungwa, basi kuchukua ya chini kungekuwa ni ubashiri wa ushindi.
Unabashiri Vipi Kwenye Mashindano ya Soka la Ufukweni?
Inawezekana unaifahamu Parimatch na mkusanyiko mpana wa machaguo ya kitabu cha michezo kama soka, soka la Marekani, futsali, au raga, lakini mchezo mmoja ambao unaongezeka kupendwa miongoni mwa wanaobashiri ni soka la ufukweni.
Pamoja na kuibuka kwa Kombe la Dunia la FIFA la Soka la Ufukweni, Ziara ya Soka la Ufukweni ya Manguli, na Kombe la Mabara la Soka la Ufukweni, soka la ufukweni ni maarufu zaidi kuliko hapo awali — na Parimatch ina yote kwenye aplikesheni na tovuti yetu ya kubashiri.
Kombe la Dunia la FIFA la Soka la Ufukweni
Mashindano ya Dunia ya Soka la Ufukweni yalianzishwa 1995. Hata hivyo, ukuaji wake usio wa kawaida uliivutia FIFA, ambayo ilianza kuwa chombo cha kusimamia michezo duniani 2005.
Shindano hufanyika kila baada ya miaka miwili — kuanzia kati ya Agosti — na mshindi akivishwa taji siku 10 baadae.
Ziara ya Soka la Ufukweni ya Manguli
Ziara ya Soka la Ufukweni ya Manguli ni muendelezo wa mechi za maonyesho ambayo hufanyika kidunia. Kusudi la mechi hizi ni kuukuza mchezo na kuridhisha matamanio ya mashabiki kwa dhana ambayo ni soka la ufukweni.
Pamoja na mashindano yanayofanyika mwaka mzima, angalia Parimatch kuona orodha ya kina ya machaguo yote ya kubashiri soka la ufukweni.
Kombe la Mabara la Soka la Ufukweni
Kombe la Mabara la Soka la Ufukweni ni shindano la kila mwaka, la kualikwa tu, linalofanyika Falme za Kiarabu, UAE.
Shindano hufanyika Novemba na huwa kama fainali ya msimu wenye ushindani mkubwa wa soka la ufukweni la kimataifa.
Pamoja na Kombe la Mabara la Soka la Ufukweni lijalo kukaribia kwa haraka, hakikisha haukosi linalotendeka kwa kuchagua unayopendelea Parimatch.
Kombe la Soka la Ufukweni la Mataifa ya Afrika
Kwa mataifa madogo kama Tanzania (ambayo bado hayajatwaa tepe katika dunia ya ushindani ya soka la ufukweni) hakuna shindano la muhimu zaidi kuliko Kombe la Soka la Ufukweni la Mataifa ya Afrika.
Shindano hili sio tu linakuwa kama fursa ya kuvishwa taji la Soka la Ufukweni la Afrika lakini pia linakuwa kama tukio la kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Soka la Ufukweni.
Unataka kujua wakati gani wa kuweka bashiri zako kwenye shindano hili la juu? Hakikisha unaangalia Parimatch kwa masasisho na taarifa kuhusu Kombe la Soka la Ufukweni la Mataifa ya Afrika lijalo.
Dondoo za Kubashiri Soka la Ufukweni
Kwenye Parimatch tunataka kuhakikisha una uzoefu wa kuthawabisha, hivyo hizi hapa ni dondoo kali za kubashiri soka la ufukweni za kuzingatia wakati wa kubashiri soka la ufukweni.
Zingatia Hali ya Hewa
Kama michezo mingi sana ya nje, hali ya hewa ni moja ya sababu kubwa zaidi katika matokeo ya mchezo.
Hali mbaya za hali ya hewa huwawia vigumu zaidi washindani kucheza katika kiwango sawa kwenye mchanga ambao wameuzoea ambacho dhahiri hupelekea katika mechi yenye alama chache zaidi.
Kama unabashiri kwenye ya juu/chini na unaona ripoti ya hali ya hewa inaashiria hali mbaya muda wa mechi, kwa uwezekano mkubwa zaidi ingekuwa busara kuchukua ya chini.
Zingatia Ripoti ya Majeruhi
Kama unaona ubashiri wa timu moja kushinda ambao unaonekana mzuri sana kuwa ukweli, inawezekana ni kwa sababu uko hivyo.
Fanya kazi yako na hakikisha unajua wachezaji gani katika timu zote wamejeruhiwa (kama wapo).
Kitu cha mwisho unachotaka ni kuweka dau la kutosha kwenye timu kuja kukuta tu kwamba mchezaji wao nyota ameumizwa na hatocheza.
Zingatia Nini Kiko Kwenye Uwezekano
Weka umakini kwenye timu gani yenye uwezekano zaidi kushinda pia timu gani yenye uwezekano zaidi kupoteza.
Piga picha hii, ni mchezo wa mwisho wa msimu. Moja ya timu inahitaji kuwa mshindi kuepuka kushuka daraja. Katika mazingira haya, kuna nafasi nzuri zitashindana kwa hisia ya ziada ya kusudi na shauku. Pamoja na moyo wote huo, wana uwezekano mkubwa wa kushinda.
Zingatia Kiwango cha Timu cha Karibuni
Haiwezekani kwa timu ambayo karibuni ilikuwa katika kiwango kupoteza kiwango hicho usiku mmoja. Kitu kiwapo katika mwendo hubakia katika mwendo, kitu kilichopo kwenye mapumziko hubakia kwenye mapumziko.
Zingatia jinsi kila timu imecheza hivi karibuni kuboresha nafasi zako za kuweka ubashiri wa ushindi.
Kwanini Ubashiri Juu ya Soka la Ufukweni na Parimatch?
Ukuaji wa haraka, kutokutabirika, na kubadilika kwa soka la ufukweni ndicho hukamata na hushikilia umakini wa mashabiki duniani.
Kitu pekee ambacho kiukweli kingeufanya mchezo huu unaokua kwa haraka kuwa wa kuburudisha zaidi ni kama uliingia kwenye mchezo!
Inapokuja kwenye pesa yako, haupaswi kuiaminisha katika mikono ya tovuti yoyote tu ya zamani ya kubashiri. Unaweza kuiamini Parimatch na hii ndio kwa nini:
- Sisi ni chapa ya kimataifa inayoheshimiwa sana yenye historia ya miaka 26 ya mafanikio.
- Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari na ina furaha kutoa msaada wa moja kwa moja kwa maswali yoyote, maoni, au wasiwasi ambao unaweza kuwa nao.
- Unaweza kufurahia mawekezo ya chini madogo na malipo ya haraka sana.
- Aplikesheni zetu za iOS na Android zinapatikana kwa ajili ya uzoefu wa kubashiri wa papo hapo
- Parimatch inajivunia programu yenye hali sanaa, kutoa kiolesura rafiki kwa mtumiaji na usalama wa takwimu wa juu.
- Unaweza kuweka bashiri kwenye kabla ya mechi, live, na michezo pepe ndani ya sekunde
- Tuna mkusanyiiko mpana zaidi wa machaguo ya kubashiri michezo kuliko yoyote kati ya tovuti zingine za kubashiri soka la ufukweni, pamoja na jakpoti za kuvunja rekodi