Droo rasmi imetolewa tarehe 25 Julai, 2023, ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa muda mrefu juu ya msimu wa mwaka 2023-2024.
Kuna ushindani mkubwa unaoibua vipaji vinavyochipukia na kuwafanya wang'are, inakuza maendeleo ya kabumbu nchini Africa.
Kwa kila shuti, pasi na goli, sisi tunakupa kila kitu cha kubetia na kujihusisha na matukio yote kwenye muelekeo mpya kabisa. Makala hii inaonesha namna unavyoweza kuchanganya shauku yako ya kandanda na kubeti kimkakati ili kupata ushindi mkubwa ukiwa na Parimatch. Twende kazi sasa!
Msimamo wa Kombe la Shirikisho la Africa 2023-2024
Mechi za Kombe la Shirikisho Africa zitakuwa zikiitwa kwa jina la Kombe la Shirikisho Africa kufuatia kuingizwa kwa Kombe la Washindi wa Kombe la Africa pamoja na Kombe la CAF.
Timu za Kombe la Shirikisho la Africa zinacheza kulingana na marekebisho yaliyopo, na washindi wanapata nafasi kwenye michuano inayofuatia na nafasi ya kukabiliana na washindi wa Ligi ya Mabingwa CAF kwenye Kombe Kuu (Super Super) la CAF mwaka 2024.
CAF itatumia muundo wa mwaka 2018-2023 unaojumuisha mfumo wa kuorodhesha wa miaka 5 kama inavyooneshwa hapa chini.
|
Alama za Kombe la Shirikisho la Africa |
Mabingwa |
5 |
Washindi wa pili |
4 |
Washindi wa Nusu Fainali |
3 |
Washindi wa Robo Fainali |
2 |
Nafasi ya 3 kwenye Makundi |
1 |
Nafasi ya 4 kwenye Makundi |
0.5 |
Huu ushindani unaibua vipaji vyetu vya nyumbani na fahari ya Tanzania - Ligi Kuu Bara. Waite Mamilionea wa Chamazi - timu hodari ya Azam FC na Singida Fountain Gate FC.
Ukiwa na app yetu ya simu, utakuwa na mtaalam wa odds za kulinganisha na Kombe la Shirikisho la Africa kwenye matokeo. Msimamo wa hapa chini unaonesha hali ya sasa ya Kombe la Shirikisho Africa.
Tarehe za Kombe la Shirikisho la CAF 2023-24 |
20 Agosti 2023 - 17 Mei 2024 |
Msimamizi |
Shirikisho la Soka Africa |
Washiriki |
Klabu zinazostahili |
Uwanja |
Ratiba za Nyumbani na Ugenini |
Muundo |
Uhesabuji wa alama |
Mfungaji Bora wa Kombe la Shirikisho la CAF mwaka 2022/23 |
Fiston Mayele kutoka kwa Young Africans FC mabao 7 |
Timu Yenye Mafanikio Zaidi |
Klabu ya Sfaxien. Mataji 3 |
Kubetia kabla ya mechi kwenye Kombe la Shirikisho la Africa
Kwenye kubetia kabla ya mechi kwenye Makundi ya Kombe la Shirikisho Africa, Parimatch inaleta utamu kiganjani mwako kwenye hayo mashindano.
Kabla ya mechi kuanza, unaweza kuchunguza masoko mbalimbali ya kubetia na kufanya ubashiri juu ya matokeo kutokana na ukurasa wa ratiba ya Kombe la Shirikisho la Africa.
Upande chanya wa michezo ya Kombe la Shirikisho ni kuwa msimu huu hukutana na wachezaji wachache wanaopata kadi nyekundu na kukuwezesha kuweka dau kwenye chaguzi za kawaida kama utabiri wa matokeo ya mechi na kuchagua mshindi wa timu au uwezekano wa mechi kuwa.
Pia, msimamo wa Kombe la Shirikisho Africa kukupa takwimu za muhimu kwenye kubeti.
Kubeti Moja kwa Moja kwenye Kombe la Shirikisho la Africa
Shirikiana kuona matokeo ya Kombe la Shirikisho Africa leo kupitia Parimatch moja kwa moja ukibeti kwenye chaguzi kutoka kwa wengine waliopo kwenye mashindano.
Tunakupa matokeo ya moja kwa moja kwenye Kombe la Shirikisho la Africa, ambapo unaweza kutabiri magoli ya ugenini wakati mchezo ukiwa unaendelea.
Ratiba ya Kombe la Shirikisho la Africa
Mechi za Kwanza/Mzunguko
TIMU Mechi za Kwanza 20 Agosti na za Pili 20 Agosti |
Bendel dhidi ya ASO Chlef |
FUS Rabat dhidi ya Loto |
Casa dhidi ya Ouagadougou |
Arta Solar dhidi ya Horseed |
Singida FC dhidi ya JKU |
Bahir dhidi ya Azam FC |
Olympique Béja dhidi ya Abu Salim |
Homeboyz dhidi ya Al Hilal Benghazi |
Sekhukhune dhidi ya Young Buffaloes |
Cano dhidi ya Maestro |
Ferroviário dhidi ya Belle-Lumière |
Gaborone dhidi ya Elgeco |
Douanes dhidi ya Académie |
Kara dhidi ya AFAD |
Milo dhidi ya Dreams |
Douanes dhidi ya Kallon |
Watanga dhidi ya Stade Malien |
Hay Al Arab dhidi ya Aigle Noir |
Haidoub dhidi ya l Merreikh |
Académica dhidi ya La Passe |
Mzunguko wa Pili
TIMU (Washindi wa Raundi ya Kwanza) Mechi za Kwanza 17 Septemba na Mechi za Pili 1 Oktoba |
FR1 dhidi ya RS Berkane |
FR2 dhidi ya USM Alger |
FR3 dhidi ya Rivers FC |
FR4 dhidi ya Zamalek |
FR5 dhidi ya Future |
FR6 dhidi ya Club Africain |
FR7 dhidi ya Kampala |
FR8 dhidi ya Rayon |
FR9 dhidi ya Lupopo |
FR10 dhidi ya Diables |
FR11 dhidi ya Sagrada |
FR12 dhidi ya SuperSport |
FR13 dhidi ya FR14 |
FR15 dhidi ya FR16 |
FR17 dhidi ya FR18 |
FR19 dhidi ya FR20 |
Washindi wa Kombe la Shirikisho Africa
Hii hapa ni orodha ya washindi wa Kombe la Shirikisho Africa kutoka mwaka 2015 hadi 2023.
Timu |
Mwaka |
Étoile du Sahel |
2015/16 |
TP Mazembe |
2016/17 |
TP Mazembe |
2017/18 |
Raja Casablanca |
2018/19 |
Zamalek |
2019/20 |
Raja Casablanca |
2020/21 |
RS Berkane |
2021/22 |
USM Alger |
2022/23 |
Vidokezo vya Utabiri wa Kombe la Shirikisho la Africa
Dhibiti Bajeti Yako
Fanya kila mkeka uhesabiwe kwa kudhibiti bajeti yako kwa busara. weka dau moja kwa matumaini kuanzia 1.5 hadi 2.0.
Wabetie Wachezaji Nyota Wanaoongezeka
Weka macho kwenye nyota inayochomoza miongoni mwa wachezaji na muelekeo wao wa utendaji na kuona mapato yako yakikua. Mara nyingi wao ni wafungaji wa magoli.
Chambua Mienendo ya Timu
Zingatia muundo wa hivi karibuni, rekodi za ana kwa ana, majeraha, na faida za nyumbani/ugenini ili kuona maamuzi yako ya kubetia kwenye huu ushindani.
Tafiti Walipokutana Mwanzo
Angalia kwenye historia ya matukio ya zamani kati ya timu ili kupata maarifa muhimu kuhusu jinsi wao wanavyoshindana dhidi ya kila mmoja.
Tumia Utabiri wa Kitaalam
Tumia utabiri wetu wa Kombe la Shirikisho la Africa leo kwa mtazamo wa kina wakati wa kubeti. Maarifa haya yanakamilisha uchanganuzi wako, na kuimarisha mkakati wako wa kubetia.
Muhtasari
Chunguza app ya Parimatch kuona mchezo wa kabla ya mechi na kubetia moja kwa moja, ufuatiliaji wa ratiba ya Kombe la Shirikisho la Africa, na vidokezo vya utabiri wa kitaalam kwenye bara la Africa. Ielewe mienendo ya mashindano na uongeze maarifa ya wataalam kwa ajili ya mafanikio. Na kuona masoko mbalimbali, mechi za wakati halisi, na muonekano mzuri sana unaomfaa mtumiaji, Parimatch huongeza uwezo wako wa kushinda.
Maswali Yanayoulizwa Sana
Fainali ya Kombe la Shirikisho la Africa 2023-2024 ipo wapi?
Mahali pa kuona mechi za mwisho za Fainali ya Kombe la Shirikisho la Africa mwaka 2023-2024 bado hapajatangazwa na CAF. Endelea kufuatilia taarifa za viwanja hivyo.
Nani Atafuzu Kombe la Shirikisho?
Timu zilizojihakikishia nafasi za juu kwenye ligi au kombe lao la kitaifa ndizo hufuzu kushiriki mashindano ya Kombe la Shirikisho Africa. Kwa kubetia Kombe la Shirikisho la Africa kwa mashabiki, sasa ni wakati wetu kujihusisha.
Je, Ni Kiasi Gani cha Pesa za Tuzo za Kombe la Shirikisho la Africa 2023-2024?
Pesa ya zawadi ni dola 2,000,000. Ni muda wa kubeti kwenye Kombe la Shirikisho la Africa msimu huu na kushinda sana!
Ni Timu Gani ya Afrika Ilishinda Kombe la Shirikisho?
Timu bora ya milele yenye muundo mzuri, USM Alger walikuwa ni mabingwa. Harakati za Simba kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Africa zilishindikana wakati huu.
Jinsi Gani ya Kubeti kwenye Kombe la Shirikisho la Africa 2023-2024?
Kuweka dau kwenye Kombe la Shirikisho la Africa mwaka 2023-2024, tembelea tovuti rasmi ya Parimatch au app ili kujisajili, weka pesa, chunguza masoko yanayopatikana ya kubetia, na uweke mikeka yako. Aina za mikeka ya kawaida ni pamoja na mikeka ya ushindi wa kawaida, usambazaji wa alama, na mikeka ya magoli kuwa zaidi ya/chini ya jumla ya magoli tajwa.