welcome

Ligi ya Mabingwa Afrika imeanza kwa kasi, na ubora mkubwa wa mpira wa miguu uliotarajiwa umekuwa ukionekana tokea mwanzo. Sisi hapa Parimatch tutatoa dondoo na machaguo bora ya kubetia kwa ajili ya matumizi. Pia tutakupa taarifa kuhusu mashindano haya katika makala hii.

Jiunge kwenye Parimatch upate Bonasi!

Ligi ya Mabingwa Afrika ndio mashindano makubwa zaidi ya vilabu vya mpira wa miguu barani yanayoshuhudia timu bora zaidi za vilabu vya Afrika zikishindana kujuwa nani ndio bora zaidi barani. Kwa sababu ya ukubwa wake, mashindano haya huwa yanaangaliwa kwa sehemu kubwa na mashabiki wa mpira wa miguu barani kote na zaidi.

Ni mashindano yanayoangaziwa kwa mapana, ikimaanisha unaweza kukusanya taarifa za kutosha ikiwa unataka kuyabetia. Hebu tuendelee na tujifunze kila taarifa inayowezekana kwa ajili ya kubetia Ligi ya Mabingwa Afrika 2023-24 kwa Parimatch.

Taarifa za Ligi ya Mabingwa Afrika

CAF Champions League 2023-24

Tarehe za Ligi ya Mabingwa Afrika 2023-24

18 Agosti – 26 Mei 2024

Msimamizi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

Klabu zinazoshiriki

Wydad Athletic Club, Petro de Luanda, JS Kabylie, AS Vita Club, Al Ahly, Mamelodi Sundowns Al Hilal, Coton Sport, Raja Club Athletic Horoya AC Simba SC, Vipers SC, Esperance, Zamalek, CR Belouizdad, Al Merrikh

Uwanja wa Fainali

Fainali ya mechi mbili

Mtindo wa kucheza

Hatua ya Makundi, Mtoano

Washindi wa CAFCL 2022-23

Al Ahly

Timu Yenye Mafanikio Zaidi

Al Ahly

Mtindo wa Kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika

  • Michuano hii ina timu 16 kwa ujumla ambazo zinawekwa katika makundi 4;
  • Washindi wa kwanza na wa pili katika kila kundi watatinga kwenye hatua za robo fainali;
  • Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) 2023-24 itakuwa ni ya mechi mbili kati ya timu mbili zitakazoingia hatua ya fainali.

Ukweli Kuhusu CAFCL

  • Ligi ya Mabingwa Afrika ilianzishwa mnamo mwaka 1964 na hapo mwanzo iliitwa Kombe la Afrika la Klabu Bingwa;
  • Mshindi wa kwanza wa michuano hii alikuwa Oryx Douala ya Cameroon, ikiichapa Stade Malien ya Mali bao 2-1 katika siku ya uzinduzi wa fainali; Jina la michuano hii lilibadilishwa kuwa Ligi ya Mabingwa Afrika mnamo mwaka 1997, na muonekano wa jina hili ulibadilishwa na kuonekana zaidi kama Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA);
  • Mfungaji bora wa muda wote katika mashindano haya ni Trésor Mputu, ambaye ameweka kambani mabao 39 katika mechi 69 alizocheza.

Nyota wa CAF Champions League

  • Tiago Azulão: Mshambuliaji huyu wa Petro De Luanda alikuwa mfungaji bora katika mashindano haya msimu uliopita akiwa na magoli sita na anatazamia kuwa mfungaji bora tena.
  • Zizo: Kiungo huyu shujaa wa Zamalek tayari anavutia kwa kiwango chake katika eneo la kiungo na atakuwa na mchango wa muhimu ikiwa Zamalek wanataka kupata mafanikio katika mashindano haya.
  • Cassius Mailula: Mshambuliaji huyu wa Mamelodi Sundowns kwa sasa ndiye mfungaji bora wa michuano hii. Ikiwa unatafuta kumbetia mtandoni mtu anayeweza kufunga kwenye mchezo wowote katika michuano hii, hii ndio mashine ya kuchakata magoli.

Tabiri Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Bashiri za Ligi ya Mabingwa Afrika

Hatua za makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika zinatoa fursa kubwa sana kwa mashabiki wa mpira wa miguu mtandaoni kutumia machaguo ya kubeti yanayopatikana Parimatch.

Haitoshi kuwa unasapoti tu timu na unataka ishinde, unaweza pia kuwa mshindi kwa kubeti na kwa kubashiri timu yako ishinde.

Kwa mfano, ikiwa timu yako ni bora sana mbele ya goli na mpinzani wako ni yule ambaye anajulikana kwa kuruhusu nafasi na magoli mengi, unaweza kubashiri kuwa timu yako itafunga kiwango cha magoli “X” katika mechi husika kwa kutumia app yetu ya kubetia mtandaoni.

Kwa upande mwingine, ikiwa timu zote mbili ni nzuri katika kupachika magoli, unaweza kubeti kuwa timu zote mbili zitafunga huku timu unayoisapoti itashinda mwisho wa mchezo.

Kubeti Kabla ya Mechi & Odds

Kubeti kabla ya mechi ni moja ya mitindo bora ya kubeti kwa sababu unaweza kuzifahamu timu unazotaka kuzibetia na kufanya maamuzi mapema.

Unaweza kutazama orodha ya michezo ya CAF iliyopo kwa siku hiyo ya mechi na hata zaidi, tazama wapinzani wanaokutana nao, rudi na tazama historia zao na halafu amua aina gani ya beti itakuwa nzuri kwako.

Faida nyingine ya kubeti kabla ya mechi ni kuwa odds hazibadiliki badiliki kwa kiasi kile mara kwa mara. Hata kama odds zikibadilika badilika siku nzima hadi kwenye namba usiyoipenda, unaweza kwa urahisi kuondoa chaguo husika na kuchagua jingine kutoka kwenye mkusanyiko wetu mkubwa wa odds.

Hasara kubwa ya kubeti kabla ya mechi ni kuwa ukishaweka beti yako, haiwezi kubadilishwa pindi mechi ikiwa imeanza.

Beti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hapa

Kubeti Laivu & Odds

Pindi ukiweka beti kwenye tukio husika baada ya kuwa limeanza lakini kabla halijamalizika, hii inaitwa kubeti laivu. Kwa mechi za mpira wa miguu, hii inaweza kutokea katika wakati wowote muda wote wa mchezo, aidha ni wakati wa kipindi cha kwanza, cha pili, au mapumziko. Katika kubeti laivu, odds huwa zinabadilika badilika muda wote kutegemeana na nini kinatokea wakati wa mechi.

Faida ya kubeti laivu ni kuwa kwa sababu unabeti kulingana na hali ya mchezo, unaweza kubashiri nini kinaweza kutokea muda mchache ujao. Kwa mfano, ikiwa timu husika imekuwa ikifanya mashambulizi mara kwa mara kwa muda mrefu, unaweza kubeti kuwa watafunga goli litakalofuata. Kubeti laivu kunakupa unyumbulifu huo.

Hasara ya kubeti laivu ni kuwa kwa sababu ya aina yake, unaweza kuweka mawazo yote kwenye mechi moja na kupuuza mechi nyingine inayoendelea wakati huo huo. Ukifanya hili, unaweza kukosa chaguo lingine pendwa linaloweza kukupa ushindi katika mchezo mwingine wa laivu.

Inapokuja kwenye kubeti laivu, tunatoa odds bora za kubetia Ligi ya Mabingwa Afrika, ambazo unaweza kuzitumia kadri ya uwezo wako.

Jaribu Beti Laivu za Mpira wa Miguu kwa Ushindi wa Haraka

Orodha ya Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Michuano hii mwanzoni ilianza na timu 58 ambazo zilicheza mizunguko miwili ya kufuzu kuwa sehemu ya michuano mikubwa. Baada ya mizunguko hiyo, timu 16 bora zilizofuzu ziliwekwa kwenye makundi manne.

Ni timu mbili tu kati ya kila timu nne zilizogawanywa kwenye makundi zitatinga nane bora ya mashindano. Mizunguko yote ya mtoano itakuwa ya mechi mbili, ikihusisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hatua

Mzunguko

Tarehe ya droo

Mechi ya kwanza

Mechi ya pili

Kufuzu

Mzunguko wa kwanza

25 Julai 2023

18-20 Agosti 2023

25-27 Agosti 2023

Mzunguko wa pili

15-17 Septemba 2023

29 Septemba-1 Oktoba 2023

Hatua ya Makundi

Siku ya 1 ya Mechi

Oktoba 2023

26 Novemba 2023

Siku ya 2 ya Mechi

3 Desemba 2023

Siku ya 3 ya Mechi

10 Desemba 2023

Siku ya 4 ya Mechi

20 Desemba 2023

Siku ya 5 ya Mechi

23-24 Februari 2024

Siku ya 6 ya Mechi

1–2 Machi 2024

Hatua ya Mtoano

Robo Fainali

Machi 2024

29–30 Machi 2024

5-6 Aprili 2024

Nusu Fainali

19–20 Aprili 2024

26-27 Aprili 2024

Fainali

19 Mei 2024

26 Mei 2024

Fainali ya CAF Champions League

Tofauti na misimu mitatu iliyopita, fainali ya msimu huu itachezwa katika mechi mbili, kama ilivyoamuliwa na CAF kwenye kikao cha kamati ya wakurugenzi tarehe 3 Julai jijini Rabat, kufuatia lalamiko rasmi kutoka Al Ahly kwenda CAF kufuatia chaguo la Stade Mohammed V wa jijini Casablanca kuwa uwanja wa fainali za mwaka 2022.

Ingawa lengo lilikuwa ni kwamba fainali ichezwe kwenye uwanja usio wa nyumbani kwa timu zote mbili zilizoingia fainali, michuano ya 2022 ilichagizwa na uwanja huo kuwa ndio dimba la nyumbani kwa wapinzani wao, Wydad Casablanca.

Fainali itachezwa kati ya timu mbili bora katika mashindano haya zilizofuzu kutoka kwenye makundi yao na kupitia hatua za mtoano, kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao, na kutinga kwenye mechi ya mwisho. Timu itakayoshinda kwa jumla ya matokeo kwenye mechi zote mbili katika hatua ya mwisho itakuwa ndio mshindi wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Msimamo wa Ligi ya Mabingwa Afrika

Kwa sasa hakuna taarifa zaidi kuhusu msimamo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa sababu bado mechi za Makundi hazijaanza mpaka hapo Mzunguko wa Pili wa Kufuzu utakapoanza katikati ya mwezi Septemba, 2023. Ikiwa unabeti, ni muhimu kufahamu msimamo huu na pia orodha ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika ili uweze kuziwekea alama tarehe na michezo muhimu kwenye kalenda yako unayohisi unaweza kuibetia na kupata ushindi mzuri.

Machaguo & Dondoo za Kubetia CAF Champions League

Katika sehemu hii, tutakupa baadhi ya dondoo za kubetia Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo zitakusaidia katika beti zijazo.

1. Kitu kimoja unachoweza kufanya ni kuziunga mkono timu pendwa. Namna ya kulifanya hili ni kutazama odds za kabla ya mechi na kutafuta timu yenye odds ndogo katika kila mchezo na kuisapoti kushinda mechi husika.

Kwa mfano, mabingwa watetezi Wydad AC Casablanca watacheza na Petro de Luanda tarehe 24 Februari. Odds za Wydad kupata ushindi nyumbani ni 1.27 wakati wapinzani Petro de Luanda wana odds za 11.0. Hii inamaanisha kuwa timu ya nyumbani ndio timu yenye uwezo mkubwa wa kushinda mechi hii na kunyakua alama tatu.

Ukiwa unabeti kama hivi, kutazama odds ni muhimu lakini pia unahitaji kuangalia kiwango cha hivi karibuni cha timu hizi. Na pia kiwango cha timu iliyo nyumbani. Kutokana na kwamba haya ni mashindano ya bara, ubora wa Ligi ambazo timu zote mbili zinacheza huwa unakuwa tofauti pia. Hii ni muhimu katika kuamua muongozo wa viwango utakuwa wa kutegemea kiasi gani.

2. Namna nyingine ya kubeti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ni kwa kubeti kwenye kipindi cha kwanza na cha pili. Ukibeti kwenye vipindi, iwe ni kipindi cha kwanza au cha pili, kimsingi unaibana beti husika kwenye yatakayotokea katika kipindi hicho tu.

Ikiwa, kwa mfano, katika mechi kati ya Esperance de Tunis na Zamalek tarehe 25 Februari, ungeweza kubeti kuwa katika kipindi cha kwanza, kutakuwa na zaidi ya magoli 1.5 kwenye ubao wa magoli kabla ya mapumziko. Hii inamaanisha kuwa walau magoli mawili yatafungwa katika kipindi cha kwanza. Unaweza pia kuamua kubeti kuwa timu moja itashinda kwenye kipindi cha kwanza.

Ukiamua kubeti kwa vipindi, ni muhimu kutazama timu zote mbili na mida ambayo timu hizi zimepata magoli yao. Ikiwa timu zote mbili zimezoea kufunga mara nyingi katika kipindi cha kwanza cha mechi, basi unaweza kuweka beti yako kulingana na matokeo ya utafiti wako.

3. Dondoo ya tatu ya Kubetia Ligi ya Mabingwa Afrika tunayokupa ni kubeti kwenye timu ipi itafunga goli la mwisho. Ili kuweka beti sahihi kwenye chaguo hili husika, unatakiwa kuzingatia vitu vichache.

Kwanza, unatakiwa kutazama mida ya magoli ya timu husika. Timu unayochagua kwa chaguo hili la beti inatakiwa kuwa timu ambayo hufunga magoli dakika za lala salama katika michezo yake. Timu hii si lazima iwe bora. Ili mradi inaweza kukupa matokeo haya, unaweza kuichagua.

Pili, unahitaji kufikiria kuhusu rekodi za kujilinda. Kwa timu unayoichagua, idadi ya mechi walizocheza bila kuruhusu magoli ni muhimu, hasa wakiwa wanautawala mpira mbele ya goli. Kwa timu pinzani, unatakiwa kuangalia ni magoli mangapi huwa wanaruhusu na ni wakati gani wanayaruhusu pia. Ikiwa wao ni timu isiyo nzuri kwenye kujilinda, utaweza kufanikiwa kwenye beti yako.

Pindi ukikamilisha utafiti wako, utaweza kuweka beti fanisi zaidi.

Parimatch haitoi tu odds na machaguo ya kubeti ya kiwango cha juu, lakini pia tunakupa ujuzi wa kitaalamu. Kituo chetu cha uchambuzi, bashiri, na makala za machaguo ya mechi bora za mpira wa miguu ni sehemu nzuri ya kutazama ukiwa na mashaka au ukiwa unahitaji ujuzi zaidi kuhusu kubetia CAFCL na zaidi.

Beti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika

Michuano Mikubwa Zaidi

Hitimisho

Ligi ya Mabingwa Afrika bado iko kwenye hatua zake za awali, na kuna michezo mingi ambayo ipo kwa ajili ya wewe kufaidika! Na hakuna sehemu nzuri zaidi ya kufaidika nayo zaidi yetu sisi hapa Parimatch kwa sababu tunatoa machaguo na odds babukubwa za kubeti ambazo utahangaika sana kuzipata sehemu nyingine!

Jiunge Parimatch sasa hivi ili kutumia jukwaa bora zaidi Afrika na upate bonasi nono!

Jisajili Parimatch

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je! Nani ndiye mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika?

Mfungaji bora wa muda wote kwa sasa wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni Trésor Mputu wa Mazembe Kabuscorp, akiwa na magoli 39.

Je! Ipi ndio timu yenye mafanikio zaidi katika Ligi ya Mabingwa Afrika?

Al Ahly ndio klabu yenye mafanikio zaidi katika historia ya CAFCL. Wana rekodi ya kuwa washindi wa michuano hii mara 11.

Je! Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itachezewa katika uwanja upi?

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakuwa ni ya mechi mbili. Kwa kuwa hivyo, kutakuwa na viwanja viwili.

Je! Ligi ya Mabingwa Afrika itaonyeshwa kwenye televisheni?

Ligi ya Mabingwa Afrika itaonyeshwa kwenye televisheni barani kote Afrika, haswa kupitia Supersport.

Je! Ligi ya Mabingwa Afrika ina thamani gani?

Washindi wa Ligi ya Mabingwa Afrika watapata dola milioni 4.0 kama zawadi ya kifedha.