welcome

Je! Wewe ni mshabiki wa mpira wa miguu wa Afrika unayetafuta mwongozo kamili wa kubetia CAFCC? Usijiangaishe tena kutafuta. Aidha wewe ni mbashiri wa msimu au mshabiki wa mara moja moja, unaweza kubetia droo ya Kombe la Shirikisho la CAF kwenye Parimatch.

Jisajili Parimatch upate Bonasi!

Kombe la Shirikisho la CAF ni mashindano la vilabu ya kila mwaka yanayoratibiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Ni mashindano ya pili ya vilabu kwa ukubwa barani Afrika, nyuma ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Hivyo, hebu tutazame kiundani zaidi tukio hili la mpira wa miguu na tuchambue dondoo baadhi juu ya jinsi ya kulibetia na kushinda!

Sasa hebu tutazame kwa ukaribu tukio hili la kandanda na tujifunze baadhi ya vidokezo kuhusu namna ya kuibetia michuano hii na kushinda.

Jedwali la Kombe la Shirikisho la CAF 2023-2024

Tarehe za Kombe la Shirikisho la CAF 2023-2024

18 Agosti 2023 – 17 Mei 2024

Msimamizi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

Washiriki

Timu 52

Viwanja

Viwanja mbali mbali kote barani Afrika

Mtindo wa uchezaji

Hatua za Makundi na Mtoano

Bingwa wa Kombe la Shirikisho la CAF 2022/23

USM Alger

Timu Yenye Mafanikio Zaidi

CS Sfaxien (mataji 3)

Mitanange ya Kombe la Shirikisho Africa msimu wa mwaka 2023-24 ina hatua kuu tatu - hatua ya Mchujo, hatua ya Makundi na hatua ya Mtoano.

Hatua hizo za kufuzu zinajumuisha vilabu 52 kutoka sehemu zote za bara la Africa, ambazo zimepangwa kuchezwa dhidi ya kila mmoja kwa muundo wa mtoano. Hatua ya mchujo itachezwa kwa raundi mbili za mechi za nyumbani na mechi za ugenini.

Timu 16 bora kutoka raundi ya kwanza na raundi ya pili ya hatua ya Mchujo ndizo zitakazoingia kwenye hatua ya Makundi.

Kombe la Shirikisho la CAF lina hatua mbili – hatua ya makundi na hatua ya mtoano. Hatua ya makundi huwa na timu 16 za Kombe la Shirikisho la CAF, zilizogawanywa katika makundi manne ya timu nne kwa kila kundi. Timu mbili za juu kwa kila kundi huenda kwenye hatua ya mtoano, ambayo huwa na timu nane. Hatua ya mtoano huwa na robo fainali, nusu fainali, na fainali.

Ukiwa unaangalia jedwali la Kombe la Shirikisho la CAF, ni muhimu kuzingatia kiwango cha hivi karibuni cha timu, rekodi ya walipokutana uso kwa uso na wapinzani wao, na kiwango katika matoleo ya mashindano yaliyopita. Mbali na hayo, unapaswa pia kuchambua majeruhi, adhabu, faida ya nyumbani, na matokeo mengine makubwa ya Kombe la Shirikisho la CAF.

Beti kwenye Kombe la Shirikisho la CAF

Beti Kabla ya Mechi kwenye Kombe la Shirikisho la CAF

Kama wewe ni shabiki wa kweli wa michuano hii na unatafuta sehemu ya kubetia inayoaminika mtandaoni ambapo unaweza kutia jamvi katika gemu unazozipenda, usitazame pengine zaidi ya Parimatch Tanzania.

Kwenye tovuti yetu kuna ratiba ya sasa ya Kombe la Shirikisho la CAF. Pia, unaweza kujifunza zaidi kuhusu timu ziwapo uwanjani, na upate kila kitu unachokihitaji ili kuweka mkeka wenye mafanikio.

Kama wewe ni mshabiki wa kweli wa michuano hii, na unatafuta tovuti inayoaminika ya kubashiri mtandaoni ambapo unaweza kuweka beti zako, kwenye tovuti yetu, unaweza kutazama ratiba ya Kombe la Shirikisho la CAF ya hivi sasa, kujifunza zaidi kuhusu timu zilizopo uwanjani, na kupata kila kitu unachohitaji kwa ajili ya kubetia michezo kwa mafanikio.

Tunalenga kuwapa watumiaji wetu mkusanyiko wa masoko ya kubetia, dondoo, na bashiri ambazo kwa hakika zitakusaidia kufanya maamuzi ya hiari zaidi kabla ya kubetia michezo ya Kombe la Shirikisho la CAF.

Unaweza aidha kuweka beti za kabla ya mechi au beti za laivu. Beti za kabla ya mechi humaanisha kuweka beti zako kabla ya mchezo kuanza. Hii hukuruhusu kuchukuwa muda kuchambua timu, viwango vyao vilivyopita, msimamo wa Kombe la Shirikisho la CAF, na takwimu nyingine zinazohusika. Kwa kubetia kabla ya mechi kwenye Makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF, unaweza kubetia masoko mengi mbali mbali, ikihusisha mshindi wa mechi, idadi ya jumla ya magoli, timu ya kwanza kufunga, na mengine mengi.

Kwa kuweka mkeka wa kabla ya gemu kwenye Kombe la Shirikisho la CAF kwenye hatua za Kufuzu, unaweza kuweka jamvi kwenye masoko mbalimbali, hii ni pamoja na mshindi wa gemu, idadi ya jumla ya magoli, timu ya kwanza kufunga bao, na chaguzo zingine nyingi.

Kubetia Laivu Kombe la Shirikisho la CAF

Hata hivyo, ikiwa wewe ni mwenye kuchukuwa hatari, unaweza kujaribu kubetia laivu matokeo ya Kombe la Shirikisho la CAF leo. Ukichagua chaguo hili, unabeti tu pindi mechi ikianza. Katika kesi hii, unafuatilia nini kinaendelea kwenye skrini ya kifaa chako na kuweka beti zako kwenye wakati sahihi. Ni lazima utazame alama za laivu za Kombe la Shirikisho la CAF na ufanye maamuzi ya haraka kulingana na jinsi mchezo unavyoendelea.

Kubeti laivu kunaweza kuwa pa kusisimua na kwenye faida, lakini pia ni kwa hatari zaidi kuliko kuweka beti ya kabla ya mechi. Odds zinaweza kubadilika kwa haraka kadri mchezo unavyoendelea, matukio ya kutokutegemea kama kadi nyekundu, majeruhi, au magoli ya ghafla yanaweza kwa haraka kubadili nguvu ya mchezo na kuathiri matokeo. Daima fuatilia alama za laivu za Kombe la Shirikisho la CAF ili kufanya maamuzi ya hiari zaidi.

Jaribu Kubetia Laivu Kombe la Shirikisho la CAF

Michezo ya Kombe la Shirikisho la CAF 2023-2024

Ili kubakia mwenye kufahamu michezo la Kombe la Shirikisho la CAF ya hivi karibuni na kuhakikisha haukosi wasaa wa tukio hili, ni muhimu kuifuatilia ratiba kwa ukaribu. Angalia Parimatch upate taarifa juu ya mechi zinazokuja, ikihusisha muda wa kuanza, viwanja, na timu. Kutoka kwenye Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF hadi kwenye mechi za fainali, kila mechi inategemewa kuwa ya kufurahisha, hivyo usikose nafasi yako ya kushiriki.

Hebu tuangalie matokeo ya Kombe la Shirikisho la CAF na ratiba inayokuja. Kama huwa unalibetia, lazima utakuwa unafahamu hatua tofauti tofauti na jinsi zinavyofanya kazi.

Hatua

Mzunguko

Tarehe ya droo

Mechi ya kwanza

Mechi ya pili

Kufuzu

Mzunguko wa kwanza

25 Julai 2023

18 - 20 Agosti 2023

25 - 27 Agosti 2023

Mzunguko wa pili

15 - 17 Septemba 2023

29 Septemba - 1 Oktoba 2023

Hatua ya makundi

Siku ya 1 ya mechi

Oktoba 2023

26 Novemba 2023

3 Desemba 2023

10 Desemba 2023

20 Desemba 2023

25 Februari 2024

3 Machi 2024

Siku ya 2 ya mechi

Siku ya 3 ya mechi

Siku ya 4 ya mechi

Siku ya 5 ya mechi

Siku ya 6 ya mechi

Hatua ya Mtoano

Robo fainali

Machi 2024

31 Machi 2024

7 Aprili 2024

Nusu fainali

21 Aprili 2024

28 Aprili 2024

Fainali

10 Mei 2024

17 Mei 2024

Fuatilia mechi za CAFCC

Hatua ya Kufuzu Kombe la Shirikisho Africa

Hatua ya Mchujo itaanza mnamo Agosti 20 baada ya droo iliyofanyika Julai 25 kuweka wazi kila mpinzani wa timu inayoshiriki michuano hiyo. Hakikisha kwamba umepitia mfumo na muundo uliopo huku chini ili ufanye maamuzi sahihi ya kubashiri.

CAF 2023-2024: Duru za Kufuzu

CAF Confederation Cup 2023-2024 ilikuwa na michezo ya kuchagua timu kwa ajili ya mashindano makubwa. Duru ya Kwanza ilikuwa kuanzia Julai 25 hadi Agosti 27. Bendel Insurance (Nigeria) ilicheza dhidi ya ASO Chlef (Algeria) tarehe 19 na 26 Agosti. Katika Duru ya Pili kuanzia Septemba 15 hadi Oktoba 1, FUS Rabat (Morocco) ilicheza dhidi ya AS Loto FC (Benin) tarehe 20 na 27 Agosti. Timu zilijitahidi sana kuingia kwenye mashindano makubwa. Mashabiki walifurahia michezo yenye kusisimua.

Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF 2022/2023

Hatua ya Makundi tayari imekamilika, hivyo tunafikiri ni muda wa kukushirikisha matokeo ya Kombe la Shirikisho la CAF. Tunatumaini taarifa hii itakusaidia kufanya maamuzi ya hiari zaidi wakati ukiweka beti zako!

Kundi A

 

Pos

Timu

Pld

W

D

L

Pts

1

Marumo Gallants

6

4

0

2

12

2

USM Alger

6

3

2

1

11

3

Saint-Éloi Lupopo

6

1

2

3

5

4

Al Akhdar

6

1

2

3

5

Kundi B

Pos

Timu

Pld

W

D

L

Pts

1

ASEC Mimosas

6

4

1

1

13

2

Rivers United

6

3

1

2

10

3

Diables Noirs

6

1

3

2

6

4

Motema Pembe

6

0

3

3

3

Kundi C

Pos

Timu

Pld

W

D

L

Pts

1

ASFAR

6

4

2

0

14

2

Pyramids

6

3

2

1

11

3

ASKO Kara

6

1

1

4

4

4

Future

6

1

1

4

4

Kundi D

Pos

Timu

Pld

W

D

L

Pts

1

Young Africans

6

4

1

1

13

2

US Monastir

6

4

1

1

13

3

Real Bamako

6

1

2

3

5

4

TP Mazembe

6

1

0

5

3

Betia timu yako pendwa

Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho la CAF

Sasa, hebu tusonge mbele na tuchambue ratiba kwa ajili ya mechi zijazo katika hatua ya mtoano.

Kundi

Washindi

Washindi wa pili

A

Marumo Gallants

USM Alger

B

ASEC Mimosas

Rivers United

C

ASFAR

Pyramids

D

Young Africans

US Monastir

Robo Fainali za Kombe la Shirikisho la CAF

Timu ya 1

Agg.

Timu ya 2

Mechi ya kwanza

Mechi ya pili

Pyramids

QF1

Marumo Gallants

23 Apr

30 Apr

US Monastir

QF2

ASEC Mimosas

23 Apr

30 Apr

USM Alger

QF3

ASFAR

23 Apr

30 Apr

Rivers United

QF4

Young Africans

23 Apr

30 Apr

Nusu Fainali za Kombe la Shirikisho la CAF

Daima tazama mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Shirikisho la CAF kabla ya kujitosa katika kubetia moja ya mechi hizi. Tazama jedwali hapo chini!

Timu ya 1

Agg.

Timu ya 2

Mechi ya kwanza

Mechi ya pili

Mshindi wa QF4

SF1

Mshindi wa QF1

14 Mei

21 Mei

Mshindi wa QF2

SF2

Mshindi wa QF3

14 Mei

21 Mei

Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF

Timu ya 1

Agg.

Timu ya 2

Mechi ya kwanza

Mechi ya pili

Mshindi wa SF1

Fainali

Mshindi wa SF2

28 Mei

3 Juni

Tazama Odds za Kombe la Shirikisho la CAF

Ubashiri wa Kombe la Shirikisho la CAF 2023-2024

Kombe la Shirikisho la CAF 2023 linategemewa kuwa moja ya michuano ya kusisimua zaidi ya mpira wa miguu kwa mwaka huu, ikiwa na timu kutoka kote barani Afrika zikishindania kombe lenye hadhi. Kama tu ilivyo kwenye tukio lolote la kimichezo, kubashiri matokeo ya mechi inaweza kuwa changamoto, lakini tutajaribu.

Kuna timu mbalimbali zenye nguvu katika michuano hii, ikihusisha CS Sfaxien ya Tunisia, RS Berkane ya Morocco, na TP Mazembe ya DR Congo, zote zikichukuliwa kama washindani wakubwa wa taji hili. Hata hivyo, timu yoyote inaweza kuwa bingwa, na litakuwa ni jambo ya kusisimua kuona jinsi Kombe la Shirikisho la CAF litakavyoendelea.

Washindi wa Kombe la Shirikisho la CAF

Hili hapa ni jedwali la taarifa kamili lenye orodha ya washindi wa Kombe la Shirikisho la CAF. Tazama matokeo ya historia yake, na utajifunza kuhusu wachezaji wenye mafanikio zaidi.

Mwaka

Mshindi

2012

AC Leopards (Congo)

2013

CS Sfaxien (Tunisia)

2014

Al Ahly (Egypt)

2015

Etoile du Sahel (Tunisia)

2016

TP Mazembe (DR Congo)

2017

TP Mazembe (DR Congo)

2018

Raja (Morocco)

2018-19

Zamalek (Egypt)

2019-20

RS Berkane (Morocco)

2020-21

Raja CA (Morocco)

2021-22

RS Berkane (Morocco)

2022-23

USM Alger

Weka ubashiri wako wa CAFCC

Dondoo za Ubashiri wa Kombe la Shirikisho la CAF

Ikiwa wewe ni mshabiki wa mpira wa miguu unayetafuta kukuza makali yako inapokuja kwenye kubashiri matokeo ya mechi za Kombe la Shirikisho la CAF, umekuja katika sehemu sahihi. Lengo letu la msingi ni kukupa dondoo za kina ambazo zitakupa uwezo unaohitaji kuweka bashiri zenye usahihi zaidi. Hivyo tulia, zisome, na beti kwenye kombe la shirikisho la CAF leo!

Tukizingatia lengo letu kuu la kutoa vidokezo vya maarifa ambavyo vitakupa kila unachohitaji ili ufanye ubashiri sahihi zaidi, hapa kuna vidokezo muhimu vya kukusaidia kuweka mkeka wenye faida na mafanikio kwenye Kombe la Shirikisho la CAF kupitia Parimatch leo.

  • Simamia bajeti yako: Unapaswa kuamua ni kiasi gani unaweza kumudu kupoteza na kamwe usibeti zaidi. Ikiwa bajeti yako imebana, unapaswa kuchagua odds kutoka 1,5 hadi 2,0. Zaidi ya hizi, inapendekezwa kuweka beti moja moja. Lakini ikiwa wewe ni mtu wa kuchukua hatari na pesa sio ishu kwako, unaweza kuchagua beti mchanganyiko.
  • Wabetie wachezaji nyota wanaochipukia: Waangalie kwa ukaribu wachezaji makinda ambao wamejiunga kwenye timu hivi karibuni au ambao wamekuwa wakionesha viwango vya kuvutia katika michezo ya hivi karibuni. Wanaweza wakawa ndio wa kupindua matokeo kwa ajili ya bashiri zako na kukusaidia kushinda pakubwa.
  • Kisome kiwango cha timu na historia yake: Tazama kiwango chake cha hivi karibuni, uwiano wa kushinda na kupoteza, na idadi ya magoli waliyofunga na waliyoruhusu. Zaidi ya hili, unapaswa pia kuzingatia mambo kama faida ya timu ya nyumbani, majeruhi, na adhabu kuelewa vizuri zaidi nguvu na udhaifu wa timu.

Kombe la Shirikisho la CAF 2023-2024: Muhtasari

Hapa, kwenye Parimatch Tanzania, unaweza kujaribu bashiri zako na kubetia timu zako pendwa. Tuna zana zote zinazohitajika kwa ajili ya kubeti kwenye mafanikio, kutoka kwenye mkusanyiko mkubwa wa masoko ya kubetia hadi odds zenye faida zaidi, promosheni kubwa, na mchanganyiko wa masoko ya kubetia.

Zaidi ya hili, unaweza kupakua aplikesheni yetu ya simu ya mkononi na kubetia ligi zote papo hapo, popote ulipo. Hivyo, tulia, tazama matokeo ya CAFCC, chambua alama laivu za Kombe la Shirikisho la CAF leo, linganisha odds za kubetia, na weka beti zako kwenye mechi zijazo!

Jiunge Parimatch!

Maswali ya Mara kwa Mara juu ya Kombe la Shirikisho la CAF

Je! Kombe la Shirikisho la CAF ni nini?

Kombe la Shirikisho la CAF ni mashindano ya kila mwaka ya vilabu vya mpira wa miguu yanayoratibiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Ni mashindano ya pili makubwa ya vilabu katika mpira wa miguu wa Afrika, yanayoangazia timu kutoka kote barani ambazo bado zinahitaji kufuzu Ligi ya Mabingwa ya CAF.

Je! Unabeti Vipi kwenye Kombe la Shirikisho la CAF?

Ili kubeti kwenye Kombe la Shirikisho la CAF 2023-24, nenda kwenye tovuti rasmi ya Parimatch au aplikesheni, sajili akaunti yako, na weka pesa. Halafu unaweza kuvinjari masoko ya kubetia yaliyopo na kuweka beti zako. Aina maarufu za beti zinahusisha beti za moneyline (kubetia ni timu ipi itashinda), muachano wa alama, na beti za over/under kwenye idadi ya jumla ya magoli yatakayofungwa.

Je! Inawezekana kuweka beti za laivu kwenye mechi za Kombe la Shirikisho la CAF?

Ndio, kabisa, unaweza kuweka beti za laivu kwenye Kombe la Shirikisho la CAF kwenye Parimatch. Kubeti laivu, pia kukijulikana kama kubeti huku mchezo unaendelea, kunakuruhusu kubeti kwenye mechi wakati zikiwa zinaendelea, na odds husasishwa katika wakati huo huo kulingana na hali ya mechi.

Soma Zaidi

  • Kombe la Mataifa ya Afrika
  • Ligi ya Mabingwa ya CAF
  • Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN)
  • Muongozo wa Kubetia Kombe la Dunia Klabu FIFA 2023-2024