welcome

Mchezo wa Keno Live ni mchezo maalum wa casino uliotengenezwa na Inbet Games. Mchezo huu uhusisha uchaguzi wa namba hadi kumbi, zinazoanza moja hadi kumi (0-10) na kumi na moja hadi themanini (11-80).

Unaweza shinda zawadi za fedha kutegemea na dau lako, idadi ya namba utazopatia, pamoja na mapato yake. Kupitia Parimatch Tanzania, unaweza cheza huu mchezo mtandaoni kupitia tovuti yetu and app ya simu ukiwa nyumbani kwako.

Jiunge na Parimatch kucheza Keno Bet Tanzania!

Nini cha Kutegemea Ukicheza Michezo ya Keno Live?

Michezo ya Keno live ina muundo msafi na uliopangiliwa vizuri na unapata majina yake kutoka kampuni ya Inbet Games. Kwenye simu au kompyuta yano, utaona namba kutoka moja (1) hadi themanini (80) na wakati wa kuweka dau lako, utaona kiasi cha fedha kwa kubonyeza sehemu tofauti za runinga kutumia kitufe cha kompyuta.

Pia, utaona dau la raundi unayocheza pamoja na rekodi za mchezo wako upande wa kulia wa runinga ya kompyuta au simu. Unaweza weka dau lako la michezo kwenye upande wa chini wa runinga ambapo pia utapata nafasi ya kuchangua nafasi zako huku idadi ya mipira ikitokea kwenye upande wa juu wa runinga.

Katika kila mchezo, mchezaji anaweza kuweka dau analotaka. Kuweka dau, bonyeza kitufe cha Done baada ya kuchagua na kuweka dau. Unaweza kuchagua mara ngapi unataka kuweka dau.

Jinsi ya Kucheza Michezo ya Keno Live

Kama unavyocheza mchezo wa Keno katika casino ya kawaida, mchezaji wa mchezo wa live Keno mtandaoni uchaguwa idadi au kundi la namba kutoka 1 hadi 80.Kisha, mipira ishirini (20) uchaguliwa bila utaratibu wowote rasmi kutoka kundi moja. Mchezaji ushinda huu mchezo kutegemea na jinsi atakavyochagua number zenye nafasi zinazokaribiana na namba kwenye mipira.

Lakini pia, huu mchezo huja na ratiba maalum. Mchezaji hupewa dakika mbili tu kuweka dau kabla raundi hajiaanza na dakika mbili zingine kuucheza huu mchezo wakati kompyuta inahesabu majibu, Mchezaji hupata dakika chache za mapumziko kabla hajacheza tena.

Cheza Keno Live

Mechi na Ulipaji Kwenye Mchezo wa Kamari wa Keno

Mchezo wa kamari ya mtandaoni wa Keno unafanana kama mchezo wa bahati nasibu wowote. Mchezo huu pia unafanana na mchezo wa karata wa kamari lakini una tofauti kidogo. Tofauti kubwa kwenye mchezo wa Keno ni mchezaji anaweza kuchagua aina ya bahati na simu wanayotaka kucheza pamoja na dau lake.

Unaweza chagua kucheza huu mchezo kupitia njia rahisi ya kuchagua namba moja na kuomba ichaguliwe. Lakini ukitaka kujaribu kushinda jackpot, unaweza chagua njia ngumu kifogo ambapo unachagua nafasi moja hadi kumi yenye namba.

Meza ya malipo ya huu mchezo (paytable) inaweza ikakuchanganya kidogo kwasababu huu mchezo unanjia kadha ya kuucheza. Idadi ya nafasi hubadilika kutokana na idadi unayochagua, kwahiyo hata mfumo wa malipo nao unabadilika.

Kwa mfano, ukichagua namba moja kushinda, lazima hiyo namba ichaguliwe kwenye mchezo. Namba hii ikichaguliwa, unapewa pointi tatu. Kumbuka kwamba dau lako la mchezo huu nikwajili ya moja kwahiyo unapoteza dau kama mchezo wowote wa sloti kama isipochaguliwa.

Ukichagua namba kadha, ulipaji pia ubadilika. Hapo chini tumeweka mfano wa meza ya mwongozo wa ulipaji kama ukichagua nafasi tano:

Idadi ya namba

Malipo

2

Uniti 1

3

Uniti 3

4

Uniti 20

5

Uniti 150

Hata kama ukicheza na nafasi saba au zaidi na ukaishia na chaguzi sifuri, utapewa kifutia jasho kwasababu ya ugumu wa kushinda. Lakini ukipata nafasi zote ishirini , utapata zawadi ya fedha ilivyozidishwa 10000x ya dau lako.

Jiunge leo na Parimatch Tanzania

Kwanini Ucheze Mchezo wa Keno Live Parimatch Tanzania?

Kuna sababu kadhaa za kukufanya kujiunga Parimatch Tanzania kucheza Keno live. Hizi ni sababu muhimu zakuzingatia:

  • Tumesajiliwa na mamlaka husika nchini kufanya biashara kama casino ya mtandaoni na kampuni ya kubeti;
  • Tuna na uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini;
  • Kujiunga Parimatch ni haraka, rahisi, na bila usumbufu wowote;
  • Tunakiwango kidogo cha hela ya kuweka kwenye akaunti yako (deposit);
  • Tunakubali aina nyingi za kutoa na kuweka hela kwenye akaunti yako ya Parimatch;
  • Tunakubali fedha za kiTanzania kwahiyo unaweza kuweka dau zako kwa fedha taslimu za kiTanzania na kulipwa kwa fedha taslimu za kitanzania – hii inamaanisha hautowaza kuhusu kubadili fedha;
  • Kutumia app ya simu ya Android au iOS;
  • Tunatoa ofa na promosheni nyingi sana kwa wachezaji wapya na waliotuzoea;
  • Unaweza kuwasiliana na huduma zetu za wateja kwa kiwango cha kimataifa huku timu yetu ya wasaidizi ikifanya kazi masaa ishirini na nne kwa kutumia chati, Telegram, Whatsapp, na barua pepe.

Jiunge Parimatch

Hitimisho

Hata kama mchezo wa Keno live sio mchangafu sana kati ya michezo ya Inbet, bado ni mchezo wa raha na unatoa njia nzuri ya kucheza mchezo wa tamaduni wa casino. Ongezeko wa saa kwenye huu mchezo pia unaongeza mazingira ya kukufanya ujisikie kama upo ndani ya casino ya kweli na sio mtandaoni ambbapo unaweza kucheza mchezo huu kama umechoka mengineyo.

Pia, huu mchezo una raha kwasababu sio lazima kuwa makini sana wakati wote. Kitu ambacho mchezaji anabidi awe makini na nikucheki majibu baada ya dakika kadhaa basi! Tunaamini utaupenda mchezo huu wa live Keno kama unataka kucheza mchezo wenye raha au kama wewe ni mzoefu wa kucheza mchezo wa Keno.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Namba Gani Tano ni Rahisi Kushindi kwenye Mchezo wa Keno Live?

Namba rahisi kabisa za kuchinda kwenye mchezo wa Keno Live ni 1, 4, 23, 34 na 72. Lakini pia unaweza kubadilisha mchezo huu kutokana na matokeo ya raundi iliyopita.

Unaweza Kushinda hadi shingapi Ukicheza Keno Live?

Mchezaji mwenye dau lolote kwenye mchezo wa Keno Live anaweza kushinda dola za kimarekani hadi 200,000 au usawa wake kwa pesa ya kiTanzania kupitia tiketi moja iliyoshinda.

Dau Gani ni Bora zaidi Kwenye Keno?

Wazoefu wengi wa mchezo wa Keno ushauri kuchagua namba 4 hadi 8.

Ninashinda Vipi Keno Live?

Unaweza kushinda Keno Live kwanza ukijiunga na casino inayoaminika na inayotoa malpo makubwa ya ushindi (kama Parimatch Tanzania). Pia chagua casino inayokuruhusu kujaribu mchezo huu bure kupitia mfumo wa majaribio wa michezo (demo). Lazima uchagua namba 4 hadi 8 ukijumisha namba zinazofatana.

Ninachezaje Keno Live?

Unaweza kuchagua hadi namba kumi tofauti za kuchezea. Unaweza chagua hizi namba kwenye tiketi kucheza hadi droo 99. Kisha, chagua dau unalotaka kuweka katika kila droo na jibu “ndio” (YES) kwenye zawadi za ziada (Bonus) ili uongeze nafasi ya kushinda.

Soma Zaidi: