welcome

Mchezo wa Evoplay Thimbles ni mchezo wa kuvutia wenye uhakika wa kushinda haraka. Mchezo huu hutumia teknolojia ya kutengeneza namba bila kutegemea binadamu (random number generator) na kutoa matokea ya mchezokila roundi. Huu mchezo ni kati ya michezo michache mtandaoni inayofanana na michezo ya kamari ya kale.

Jiunge na Parimatch!

Huu mchezo hutumia mawe ya thamani na vyombo vitatu, kimoja wapo kikiwa kimeficha jiwe la thamani.Vyombo hivi voittu uchezeshwa kwa njia ya mchanganyo ili kuhakikisha mchezaji haoni kila jiwe la thamani limefichwa kwenye chombo kipi.

Nia ya mchezo ni mchezaji kuhotea chombo gani kimeficha jiwe. Mchezaji akihotea sahihi anashinda zawadi ya fedha chap chap. Mchezo wa Thimbles ni rahisi sana kuelewa na kiucheza kwa vile unategemea bahati. Hakuna roundi za ziada, ujuzi wa kubeti, wala jackpot endelevu katika huu mchezo. Lakini hii haimaanishi kwamba mchezo huu wa casino sii raha kucheza.

Unaweza cheza mchezo wa Thimbles wa majaribio katika tovuti ya Parimatch ili kujitayarisha na mchezo rasmi unaoweza kukushindia fedha ukiwa tayari kubeti. Kama wewe ni mkazi wa Tanzania, unaweza jiunga Parimatch TZ leo.

Sheria Za Kucheza Parimatch Thimbles

Sheria za mchezo wa casino wa Thimbles ni raisi kuelewa na kufata. Kama ilivyo ainishwa nyuma,huu mchezo hutumia vyombo vitatu, moja wapo kikiwa kimeficha jiwe ya thamani. Vyombo hivi uchanganywa kwa kasi mpaka mchezaji ashindwe kujua chombo gani kimebeba jiwe gani.

Jukumu la mchezaji ni kuhotea chombo kipi kimebeba jiwe. Mchezaji anayeotea chombo sahihi lenye jiwe hupata kizidishi cha 2.88x zaidi ya kiasi cha fedha alichoweka kama dau (stake). Lakini mchezo wa pili hutumia mawe mawili badala ya jiwe moja kwa kila chombo. Mchezo huu ubadili kizidishi hicho na kukishusha hadi 1.44x.

Mchezaji akishindwa kuotea hata chombo kimoja hupoteza kiasi alichobeti nacho. Lakini hupewa nafasi ya kucheza roundi ya pili.Huu mchezo ni wa haraka na hukakikisha matokeo ya haraka pia. Mchezaji ashinde au ashindwe, bado mchezo ni mraisi na wa haraka.

Cheza Mchezo Wa Thimbles Parimatch

Jinsi Ya Kubeti Kwenye Mchezo Wa Thimbles

Mchezaji huweza kucheza mchezo wa Thimbles kupitia aina mbili. Njia ya kwanza ya kucheza huu mchezo huitwa”one-stone game”. Njia hii hutumia kizidisho cha 2.88x kwa kila roundi unayoshinda. Lakini wakati wa mchezo wa pili, mawe mawili hutumiwa badala ya jiwe moja kwa kila chombo.Hii uongeza uwezekano wa kushinda mara mbili lakini uhushusha kizidisho kutoka 2.88x hadi 1.44x. Kwahiyo mchezaji anaeshinda atapata dau lake la hela liliyozidishwa kwa 1.44x.

Mchezaji huweza kuweka dau kati ya 2,407.97 TZS na 240,796.94 TZS (€1 and €100) . baada ya kuweka kiasi cha pesa (dau), changua kuanza mchezo kwenye menyu inayoshuka.unaweza pia kuchagua mchezo wa jiwe mmoja (one ball game) au mchezo wa majiwe mawili (two stone game).

Mchezo wa mawe mawili (two stone game) ni salama zaidi ya mchezo wa jiwe moja kwasababu chombo kimoja lazima kisiwe na kitu chini yake. Hii uhakikisha mchezaji anashinda kirahisi. Lakini kizidisho cha dau kwenye mchezo wa mawe mawili pia hushuka kwasababu ya urahisi wake. Kizidisho cha dau hushuka hadi 1.44x. Lakini asilimia ya zawadi ambazo mchezaji hupata(RTP) hubakia 96% katika michezo yote yani mchezo wa jiwe moja na mawe mawili.

Unaweza kucheki roundi za mchezo huu zilizopita kwenye menyu ya Round History (Historia ya Roundi) iliyopo upande wa kulia wa simu au kompyuta yako. Historia hii husaidia mchezaji na makadirio ya roundi zifuatazo. Lakini pia, kumbuka mchezo ya slot wa Thimbles hutegemea bahati nasibu pia kwa vile unatumia teknolojia ya kutengeneza namba (random number generator).

Hii teknologia huamua mawe yataishia kwenye chombo gani, na sio binadamu amba anaamua. Muundo huu wa mchezo huhakikisha kila mchezaji anacheza kwa fursa sawa na yenye haki kila roundi. Mchezo huu pia hutumia sheria ya teknolojia ya Provably Fair algorithims ambayo hutumiwa na makampuni ya kamari kumruhusu mchezaji kuhakiki kwamba kila roundi ya mchezo imechezwa kwa haki na bila huvunjaji wowote wa sheria za kamari.

Taarifa kutoka kwenye roundi zilizopita hubadilishwa kutengeneza kanuni za kiteknologia amabazo mchezaji anaweza kuzisoma kwenye upande wa kulia wa juu ya simu au komputya yake. Unaweza pia angalia hizi taarifa kwenye menyu ya Historia. Mchezaji huweza tumia hizi kanuni kucheki huasilia wa roundi aliyocheza kwenye menyu ya hash generator kuhakiki mchezo ni wa haki na umefata sheria zote za kamari.

Maelezo ya Kiufundi Ya Mchezo Wa Kamari Wa Thimbles

Kila mchezaji anapoanza kucheza mchezo wa casino wa thimbles lazima aweke kiasi cha dau la mchezo huo. Mchezaji anaweza kuweka kiasi hicho kwa kutumia menyu ya Min or Max (kuongeza au kupunguza kiasi) na /2 or x2 sliders.

Mchezaji pia anaweza kuweka dau lililo dogo hadi 0.01 au kubwa zaidi hadi sarafu elfu moja kwa kila roundi. Dau hugawanywa kwa mbili pale mchezaji anapochagua na kubonyeza /2. Mchezaji akichagua na kubonyeza x2, dau lake uzidishwa mara mbili.

Upande wa kushoto wa simu au kompyuta yako kuna menyu inayoruhusu mchezaji kusawazisha dau lake (/2 au x2). Mchezaji pia anaweza kuchagua mchezo na sauti au bila sauti kwenye menyu ya Sound on/off upande wa kulia wa simu au kompyuta. Mchezaji anaweza bonyeza alama ya swali (?) kuangalia sheria na mwongozo wa mchezo huu.

Kumbusho: Mchezaji anaweza kushinda na kulipwa hadi sarafu 2,880 katika huu mchezo.

Cheza Thimbles na Parimatch

Parimatch Thimbles: Mchezo Unaofata Sheria za Provably Fair Game

Wachezaji wa mchezo wa Thimbles huweza kucheki kumbukumbu za dau zao upande wa kulia wa simu au kompyuta. Wachezaji pia huweza kuangalia kumbukumbu za dau, faida, na maeneo ya mawe ya thambani na vyombo vyake kwenye menyu ya Historia/Kumbukumbu (History tab).

Rekodi ya dau huwekwa kwenye makundi mawili, i.e. kudi jekundu na kundi jeusi. Kundi jeusi huisharia vyombo vilivyogeuzwa bila kuficha mawe ya thamani. Kundi jekundu huisharia vyombo vilivyo ficha mawe ya thamani. Mchezaji anaweza pia angalia kumbukumbu ya chaguzi zake zote kwenye kila roundi kwenye haya makundi. Kumbukumbu hizi zimeashiriwa na rangi ya njano.

Mchezaji pia anaweza hakiki matokeo ya kila roundi kwa kutumia teknolojia ya SHA256 Hash Generator. Hii ni ishara kwamba mchezo huu ni wa haki na unaofata sheria zote za kamari. Mchezaji anaweza angalia majibu ya kila roundi kwa kubonyeza kitufe cha “Info” kinachokuwa pembeni ya kila round kwenye menyu ya betting history.

Kupata taarifa ya matokeo ya kila round kwenye SHA256 Hash generator, weka taarifa ya SALT kwenye hash generator. Matokeo yatayotolewa na generator yatafanana na taarifa ya HASH iliyopo kwenye kumbukumbu/historia yadau la mchezaji. Matokeo yakifanana, hii ni ishara kwamba mchezo ni wa haki na umefata sheria zote.

Hitimisho

Mchezo wa Thinbles ni wa furaha na watofauti katika fani ya michezo ya mtandaoni. Mchezo si mgumu lakini bado huvutia kucheza. Pia, mchezo huu unampa mchezaji aina mbili ya changamoto za kuchagua ilikuvutia zaidi.

Mchezo huu ni mzuri kwa mtu yeyote anataka kubadili mazingira na kucheza mchezo ambao upo tofauti na michezo ya kawaida ya sloti. Kama unataka kucheza kamari ya mchezo tofauti, mcheso wa Thimples ni mzuri kujaribu leo kwenye app ya simu yako ya Android / IOS.

Jiunge na Patimatch Tanzania

Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Ninashindaje Thimbles?

Unaweza kushinda mchezo wa Thimbles kakuotea sahihi moja kati ya sehemu (vyombo) tatu amabazo mawe ya thamani yamefichwa.

NinachezajeThimbles?

Mchezaji huitaji kuweka dau la sarafu 0.01 hadi 1000 na kuamua kipi kati ya vyombo vitatu kimeficha jiwe la thamani.

Soma Zaidi: