welcome

Sloti ya Sun of Egypt 3 ni mchezo maarufu wa slot wenye mazingira ya KiMisri kutoka 3 Oaks uliozinduliwa tarehe 10 Machi 2022. Ina muonekano wa kizamani wa 5x3 unaoonesha sehemu 5, mistari mitatu, mistari 25 isiyohamishika, na RTP ya 95.61%. Pia mchezo huu una vipengele vya tuzo kama mizunguko ya bure, alama za kimafumbo, michezo ya bonasi, na jakpoti. Hivyo, jisajili kwenye Parimatch sasa ili kucheza mchezo huu wa sloti wa kusisimua na wenye muonekano wa kuvutia upate pesa alisia na upate nafasi ya kupata malipo makubwa.

Jisajili Parimatch

Taarifa za Mchezo wa Sun of Egypt 3:

  • Tarehe ya Kuzinduliwa: 10 Machi 2022
  • Aina ya Sloti: Sloti za Video
  • Mazingira: Misri ya Zamani
  • Programu: 3 Oaks
  • Sehemu: 5
  • Mistari ulalo: 3
  • Mistari: 25
  • Muonekano: 5x3
  • Beti ya Chini: 0.25
  • Beti ya Juu: 20
  • Alama ya Ajabu: Ndio
  • Alama Tawanyifu: Ndio
  • Mizunguko ya Bonasi: Ndio
  • Mizunguko ya Bure: Ndio
  • Kucheza Kiotomatiki: Ndio
  • Jakpoti: Ndio
  • Ubadilikaji: Wa Juu
  • RTP: 95.61%

Muonekano na Ubunifu

Mchezo wa sloti wa Sun of Egypt 3 una muonekano wa kiwango wa 5 x 3 wenye mazingira ya Misri ya zamani, michoro ya ukweli yenye kuvutia, sauti ya kitamaduni ya KiMisri, na uchezaji wa haraka wa mchezo. Sehemu zake zina fremu za dhahabu na usuli mwekundu uliyowekwa katikati ya skrini. Sehemu ya nyuma ni ardhi ya jangwa inayovutia yenye mchanga, miti ya tende, piramidi, na mto Naili.

Alama & Jedwali la Malipo

Mchezo wa slot wa Sun of Egypt 3 una alama nane za kujitokeza mara kwa mara, moja ya ajabu, moja tawanyifu, na alama moja ya bonasi. Alama nne za KiMisri (Queen, Ankh, Eye of Horus, na Lotus) ni alama zinazolipa vizuri sana, wakati thamani nne za kadi (A, K, Q, na J) ni alama zinazolipa kidogo. Jedwali hili la malipo hubadilika badilika, na mistari ya beti hulipa kutoka kushoto kwenda kulia.

Alama

3 katika mstari mlalo

4 katika mstari mlalo

5 katika mstari mlalo

Queen

1.80

6.00

30.00

Ankh

0.60

4.80

24.00

Eye of Horus

0.60

3.60

18.00

Lotus

0.60

3.00

12.00

A

0.60

1.20

6.00

K

0.60

1.20

6.00

Q

0.60

1.20

6.00

J

0.60

1.20

6.00

Farao wa dhahabu ni alama ya ajabu ambayo inaweza kutokea sehemu yoyote kwenye vijisehemu na kubadilishana na alama zote isipokuwa alama tawanyifu na alama za bonasi. Chungu cha dhahabu ni alama tawanyifu ambayo inaweza kutokea kwenye sehemu za pili, tatu, na nne tu. Jua ni alama ya Bonasi ambayo hulipa tu wakati wa mchezo wa bonasi. Thamani inayowezekana ya alama ya Bonasi inaweza kuwa kati ya mara 1 hadi mara 15 ya beti.

Cheza Sun of Egypt 3

Vipengele vya Sun of Egypt 3

Mizunguko ya Bure

Kupata alama tawanyifu tatu au zaidi za chungu cha dhahabu wakati wa mchezo mkuu kutaanzisha uzungukaji wa mizunguko ya bure. Mizunguko 10 ya bure inatolewa mwanzoni kwenye kuanzisha uzungukaji wa mizunguko ya bure. Alama za kadi zinazolipa kidogo hazitokei kwenye mzunguko huu.

 

Kipengele cha Mizunguko ya Bure

 

Mchezo wa Bonasi

Kupata alama sita au zaidi za Bonasi kutaanzisha Mchezo wa Bonasi. Wakati wa Mchezo wa Bonasi, alama zote za bonasi hubakia kwenye vijisehemu. Uzungukaji tena mara 3 hutolewa mwanzoni mwa Mchezo wa Bonasi, huku alama ya Bonasi mpya ikitokea kwenye kijisehemu, kupangilia upya uzungukaji tena kwenda mara 3. Mchezo wa Bonasi huendelea hadi alama zote 15 zikusanywe au uzungukaji tena umalizike. Mwishoni mwa Mchezo wa Bonasi, thamani ya alama zote za Bonasi huongezwa na kulipwa.

Mchezo wa Bonasi Kubwa

Kupata Bonasi 5+ na alama moja ya Bonasi Kubwa kutaanzisha Mchezo wa Bonasi Kubwa. Katika mchezo huu, alama zote za Bonasi hubadilika kuwa alama za Bonasi Kubwa zenye thamani za juu zaidi. Alama za Bonasi Kubwa zinaweza kutokea katika mchezo mkuu na uzungukaji wa mizunguko ya bure kwenye sehemu ya tano au sehemu yoyote wakati wa Mchezo wa Bonasi.

Jakpoti

Mchezo wa sloti wa Sun of Egypt 3 una jakpoti nne za maana: Mini, Minor, Major, na Grand. Alama za Bonasi za Mini, Minor, Major, na Grand zinaweza kutokea kwa nasibu wakati wa Mchezo wa Bonasi kutolewa kwa jakpoti zinazoendana nazo. Kukusanya alama zote 15 za Bonasi za bonasi yoyote maalum kutaanzisha Jakpoti kubwa ya Royal katika Mchezo wa Bonasi.

  • Jakpoti ya Mini: 20 mara beti
  • Jakpoti ya Minor: 50 mara beti
  • Jakpoti ya Major: 150 mara beti
  • Jakpoti ya Grand: 2000 mara beti
  • Jakpoti ya Royal: 10000 mara beti

 

Jakpoti za Sun of Egypt 3

 

Alama ya Ajabu

Alama ya ajabu inaweza kutokea wakati wa Mchezo wa Bonasi na kubadilika kuwa Mini, Minor, Major,au Grand. Alama kadhaa za Ajabu zinaweza kujitokeza wakati wa Mchezo wa Bonasi lakini zikafunguka moja moja mwishoni mwa Mchezo wa Bonasi.

 

Alama za Bonasi & Alama ya Ajabu

Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Sloti wa Sun of Egypt 3

Kucheza mchezo wa sloti wa Sun of Egypt ni rahisi sana. Fuata hatua hapo chini ili kucheza mchezo wa sloti wa Sun of Egypt 3 kwenye Parimatch.

  • Chagua beti yako kwa kutumia vitufe vya ‘+’ na ‘-’ (beti ya chini ni 0.25, na beti ya juu ni 20).
  • Zungusha vijisehemu kwa kubofya kitufe cha Spin au kwa kutumia kipengele cha kucheza kiotomatiki ili kuzungusha vijisehemu kiotomatiki. Unaweza pia kubofya kitufe cha Turbo ili kuongeza kasi ya kuzunguka kwa vijisehemu.

Jisajili Parimatch

Upatano na Simu ya Mkononi

Mchezo wa sloti wa Sun of Egypt 3 umetengenezwa na 3 Oaks kwa kutumia teknolojia ya hivi karibuni ya HTML5, kuufanya kuwa na upatano kikamilifu na vifaa vya mkononi vinavyotumia Android, iOS, na mifumo inayofanya kazi kwa Windows. Hivyo unaweza kucheza mchezo huu kwa kubofya kwenye kompyuta yako na kugusa kwenye simu yako ya mkononi. Unaweza pia kupakua aplikesheni ya simu ya mkononi ya Parimatch kwa ajili ya kubeti vizuri zaidi kwa simu ya mkononi. Parimatch ni kasino ya mtandaoni maarufu Tanzania ikiwa na miaka ya uzoefu ya kutoa mazingira salama ya kubeti.

Hitimisho

Sloti ya Sun of Egypt 3 ina michoro mizuri yenye muonekano wa Misri, yenye muziki na miundo mbinu ya Kushinda na Kushikilia dau, ili kukupa uzoefu wa kucheza wenye kukutuza na kukusisimua. Unaweza kucheza mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3 kwa ajili ya kupata pesa alisia Parimatch. Hivyo jisajili sasa Parimatch na pakua aplikesheni yetu ya kasino ili kushinda pesa kubwa kwa kucheza mchezo huu kwa pesa alisia

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Je! Unashindaje katika mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3?

Ili kushinda katika mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kutoka kwenye kijisehemu cha mbali kushoto hadi mbali kulia. Kupata alama ya ajabu (farao wa dhahabu) au alama tawanyifu (chungu cha dhahabu) kunaboresha nafasi zako za kushinda pesa kubwa.

Je! Unachezaje Sun of Egypt 3?

Ili kucheza mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3, chagua beti yako kwa kutumia vitufe vya ‘+’ na ‘-’ (beti ya chini ni 0.25, na beti ya juu ni 20). Baada ya kuchagua beti, zungusha vijisehemu kwa kubofya kitufe cha Spin au kwa kutumia kipengele cha kucheza kiotomatiki ili kuzungusha vijisehemu kiotomatiki.

Je! Mbinu bora ya kushinda katika Sun of Egypt 3 ni ipi?

Mbinu bora ya kushinda katika mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3 ni kwa kucheza kwenye toleo la demo ili kuzoea uchezaji kabla ya kuhatarisha pesa yoyote ya kweli. Unaweza kucheza mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3 bure nchini Tanzania kwenye Parimatch.

Je! Unaweka vipi beti katika Sun of Egypt 3?

Ili kuweka beti kwenye mchezo wa sloti ya Sun of Egypt 3, kwanza, sajili akaunti yako Parimatch. Baada ya kumaliza usajili, chagua beti yako kwa kutumia vitufe vya ‘+’ na ‘-’. Beti ya chini unayoweza kuweka ni 0.25, wakati beti ya juu ni 20.

Soma zaidi: