ATP Challenger. Doubles. Guangzhou. Hard · 6
1
2.93
2
1.26
1
1.43
2
2.30
1
1.16
2
3.69
1
1.26
2
2.93
Dunia. Davis Cup. National Teams. Finals · 1
-,-
2
8.51
ATP Challenger. Doubles. Dobrich 2. Clay · 7
1
1.60
2
1.96
1
2.20
2
1.47
ATP Challenger. Doubles. Rennes. Hard · 3
1
1.59
2
1.98
1
1.76
2
1.76
ATP Challenger. Wawili kila upande. Szczecin. Clay · 5
1
2.88
2
1.27
WTA. Doubles. Monastir. Hard · 2
ATP Challenger. Doubles. Las Vegas. Hard · 1
Hakuna kitu kinachovutia kama mlio wa “thwack” mpira wa tennis ukipigwa huku na huku kwa spidi ya maili 100 kwa saa, huku vichwa vya watazamaji vikigeuka huku na huku, kufuatilia kila kinachoendelea uwanjani, shukrani kwa Parimatch sasa huo mzuka hauwezi kwenda bure tu, bali unaweza kubashiri na kushinda kupitia tovuti na app yao.
Tunatoa fursa kwa wadau wa michezo ya bahati nasibu kufurahia odds kubwa na za kuvutia kwenye mashindano mbalimbali duniani kote, kuanzia kwenye Davis Cup hadi kwenye US Open, and yote hayo kupitia simu yako ya mkononi. Jisajili sasa uanze kubeti na kushinda kiulaini.
Parimatch inakuletea fursa ya kufurahia mashindano yote bila kikomo kokote ulipo ndani ya Tanzania, ukubwa wa odds na wingi wa masoko unaifanya Parimatch kampuni namba moja ya kuweka mikeka ya tennis. Chagua kubeti kabla ya michezo kuanza au ikiwa mubashara kwenye mkusanyiko wa michuano mbali mbali ya tennis duniani kote.
🏆 Masoko ya Kubetia kwenye Tenisi | Zaidi ya Masoko 100+ ya Aina Mbalimbali |
📈 Tenisi Odds za Kubetia Moja kwa Moja | Zinapatikana |
🔝 Mikeka Bora ya Tenisi | Parlay, 1X2, Handicap, Jumla, Idadi ya Magoli na mengine zaidi |
💰 Bonasi ya Ukaribisho | 100% hadi TZs 1,000,000 |
📱 App ya Simu | Android |
💳 Kiwango cha Juu na Chini cha Kuweka Pesa | TZs 2000 / ∞ TZs |
💸 Muda wa Kupokea Hela Ukishatoa | Papo Hapo |
Odds kali zaidi kubeti kwenye tennis?
Tunatoa nafasi ya kubeti upendavyo kwenye kila soko, Parimatch imejipanga kuwapa watumiaji wake odds kali na za kuvutia zaidi kwenye michuano mbalimbali ya tennis, lakini “Odds kali za tennis” tunazozizungumzia ni zipi?
Likija swala la kuweka ubashiri wako kwenye mchezo wa tennis, unaweza kubeti kwa kila seti na pia kwenye mchezo mzima. Ni muhimu kukumbuka kuwa jukwa lolote utalochagua kuweka beti zako za tennis, lazima uchague wapi kwenye odds kubwa zaidi. Lazima uweze kutengeneza usawa wa uwezekano wa kushinda na faida utakayopata
Odds nzuri za tennis ni zile zenye uwezekano mkubwa wa kukupa ushindi,kupata hizi odds inabidi ujue mchezaji gani ana uhakika zaidi wa kushinda.
Mfano, unabeti kuchagua mshindi wa mchezo wa tennis kwenye mashindano ya masters ya Urusi kati ya Marsel Kurmaev dhidi ya Lion Laru. Odds zako zitafanania hivi:
- Marsel Kurmaev: 1.16
- Lion Laru: 4.60
Ukiwa unachagua mchezaji mwenye uwekezekano mkubwa zaidi wa kushinda, mara nyingi huwa ni yule mwenye odds kidogo na mwenye nafasi ndogo ya kushinda huwa ana odds kubwa. Hii inamaanisha mchezaji mwenye odds chache ndiyo mwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza mchezo.
Kupiga mahesabu ya uhakika ya uwezekano wa mchezaji gani kushinda, unagawanya odds alizopewa kwa 100. Mfano uwezekano wa kushinda mkeka uliompa Marsel Kurmaev ni kugawanya odds zake za 1.16 kwa 100 na uwezekano wa kushinda unakuwa 86%. Vivyo hivyo kwa mahesabu hayo unaweza pia kujua uwezekano wa Lion Laru kushinda ni 21%. Hivyo basi una uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda ukimpa ushinda Kurmaev.
Kujua kiwango cha faida utakachopata baada ya kuchagua unampa mchezaji gani nafasi ya ushindi, unazidisha dau unalotaka kuweka kwa odds za mchezaji husika kisha unatoa kiwango cha dau uliloweka. Mfano: ukibeti 10,000 TZS kwa Kurmaev utapata ushindi wa 11,600 TZS, hivyo faida yako itakuwa 1,600 TZS.
Ukiangalia vizuri huu mchezo wa tennis utakuwa haujakupa faida, unaweza kusema sio mchezo sahihi sana kubetia, japo nafasi ya kushinda ni kubwa ila faida inakuwa ndogo sana. Njia sahihi ya kupata odds zenye faida kubwa na uwezekano mkubwa wa kushinda ni kuchagua michezo ambayo washindani wanakaribiana ubora.
Mfano: mchezo huu wa tennis kwenye Exihibition doubles kati ya Binda na Malofeykin dhidi ya Besednikov and Besednikov unaweza kuwa na odds kama hizi:
- Binda and Malofeykin: 1.57
- Besednikov and Besednikov: 2.30
Kwenye mchezo kama huu uwezekano wa Binda and Malofeykin kushinda ni mkubwa, kwa zaidi ya 63% lakini faida utakayopata itakuwa kubwa 5,700 TZS.
Michuano ya tennis ya kubeti
Kuanzia kwenye ATP hadi kwenye ITF, Parimatch inakuletea michuano yote mikali kutoka pande zote za dunia.Iwe ya watu wawili wawili au mmoja mmoja, kutoka kwa wanaume hadi wanawake, hapa hautakaa ukose mechi wowote mkubwa kutokea kwenye mchezo huu maridadi!
Suka mikeka kwenye mashindano yote ya tennis ya kimataifa
Kuanzia kwenye Grand Slams hadi mashindano mengine madogo, utaipata yote hii kwenye app ya Parimatch:
- Wimbledon
- French Open
- Australian Open
- US Open
- Davis Cup
- Fed Cup
- Laver Cup
Beti kwenye mashindano yote ya tennis ya ATP
Tunakuletea matukio yote ya ATP kiganjani mwako kupitia app yetu mahala popote ulipo ndani ya Tanzania, matukio yakihusisha:
- Japan Open
- German Open
- Barcelona Open
- Dubai Tennis Championships
- Rio Open
- Miami Open
- Swiss Indoors
- Rotterdam Open
- ATP Finals
Ukiachana na haya kuna mashindano mengi sana yanapatikana kwenye tovuti ya Parimatch mwaka mzima.
Masoko gani ya kubeti kwenye tennis yanapatikana Parimatch?
Parimatch imejipanga vilivyo kukuletea masoko mbalimbali ya tennis kwa upana wake wote na ndiyo maana utafuta msururu wa matukio mbali mbali unayoweza kufanyia ubashiri kwenyw mchezo husika. Baadhi ya masoko ni kama yafuatayo:
Mshindi wa mchezo au wa mshindi wa seti
Parimatch inakuwezesha kubeti na kuchagua mshindi wa mchezo au seti husika kabla ya mchezo au seti kuanza na vile vile unaweza kubeti mubashara mchezo ukiendelea. Odds za kabla ya mchezo kuanza mara nyingi hazibadiliki na kwenye upande wa odds za mchezo ukiwa unaendelea huwa zinabadilika kuendeana na hali halisi ya mchezo.
Matokeo sahihi
Kubashiri matokeo sahihi ya kwenye michezo mingine kama soka ni vigumu sana lakini mambo ni tofauti kidogo kwenye tennis kwa sababu idadi kamili ya points kwa kila mchezo inajulikana. Unachotakiwa kufanya ni kubashiri tu matokeo us mwisho kwenye mchezo au seti husika yatakuwaje.
Handicap
Hapa unaweza kubeti kwenye jumla ya idadi za alama zitakazopatikana kwenye mchezo mmoja. Bookmaker atatengeneza odds zinaruhusu mdau kubeti kwenye over na under ya alama zitazopatikana ndani ya mchezo mmoja.
Kwanini ubeti na Parimatch?
Tunapambana kuhakikisha unafurahia na kuburudika ukicheza na Parimatch. Haya ni baadhi ya mambo utakayodaidika nayo ukicheza nasi:
- Tunatoa nafasi ya kubeti kwenye michezo mingi mno, kuanzia badminton, beach volleyball, darts, hadi golf, na mingine mingi
- Unaweza kushinda mamilioni kwenye jackpot yetu kubwa
- Kiwango cha chini cha kuweka pesa ni kidogo na kutoa pesa ni rahisi na haraka sana
- Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari kukutatulia shida mbalimbali muda wote
Maswali ya Kila Mara
Jinsi gani ya kusoma alama za tenisi?
Alama ya tenisi inasomwa kwa kuzingatia mchezo, seti na mechi. Mchezo huisha mchezaji akipata alama nne, seti ni mkusanyiko wa michezo hadi kwa mchezaji ashinde sita au zaidi, na mechi inachezwa kwa seti tatu au tano bora. Kwa mfano, jedwali lenye alama 7-6, 7-5, na 2-8 kwenye seti tatu inamaanisha mchezaji wa kwanza alishinda mechi.
Jinsi gani ya kubeti tenisi?
Kuweka mkeka kwenye tenisi ukiwa Parimatch kunaanza kwa kujisajili kwenye jukwaa na kuweka muamala. Kisha, kwenye dashibodi ya akaunti yako, chagua tenisi kama mchezo wa kubetiwa na uanze kuweka mkeka wako. Daima weka mkeka kwenye michezo na wachezaji unaowafahamu.
Jinsi gani ya kubetia tenisi na kushinda?
Kwanza, linganisha na uchague uwezekano bora wa kubetia ili kuongeza nafasi zako za kushinda mkeka wa tenisi. Mbali na kujifunza zaidi kuhusu mchezo na wachezaji, fuata vidokezo vya tenisi na ubashiri wa kitaalam.
Jinsi gani ya kutabiri mechi za tenisi?
Njia bora ya kutabiri mechi za tenisi ni kurejelea takwimu za pale wanapokutana. Takwimu hutoa sehemu tofauti ya maelezo juu ya kila mchezaji kwenye mchezo husika, ikijumuisha matokeo yao ya awali na mechi za pamoja. Hii, kwa upande wake, hukuruhusu kufanya uamuzi sahihi juu ya kubeti kwako.
Je, kubetia handicap kwenye tenisi ni nini?
Kubetia handicap kwenye tenisi inarejelea wakati mchezaji anapocheza kwa idadi ya ziada ya michezo au kuweka usawa wa uwanja na kufanya ushindani zaidi kwenye kubeti. Hii ni kwa sababu mchezaji kwa kawaida hukabiliana na mpinzani anayeheshimika na anayependelewa zaidi kwenye mchezo.