Beti kwenye MMA nchini Tanzania
Kubeti MMA ni moja wapo ya shughuli zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Mamilioni ya watu tayari wanafaidika ulimwenguni kote. Kwa hivyo ikiwa haujawahi kusikia juu ya aina hii ya mchezo, Parimatch ndio mahali sahihi pa kuanza. Tutaelezea kubeti kwenye MMA ni nini na kushirikisha dondoo bora ambazo zitakusaidia kuongeza faida!
Hebu tuanze na misingi. MMA ni nini (au mchezo wa kupigana ngumi na mateke)? Ni mchezo maarufu wa kupigana ambapo watu hupigana na kupambana na wapinzani wao. Mmoja wa wapinzani atakuwa mshindi. Sheria za mchezo huu wa kupigana ni tofauti na taekwondo au karate. Katika kesi hii, lengo kuu la washiriki ni kulazimisha mpinzani kushindwa. Lengo la wapiganaji ni kugombea mikanda. Pindi lengo likitimizwa, wanahitaji kutetea mataji yao.
Neno MMA linajumuisha taaluma mbalimbali za kupigana. Kwa kuongezea, kuna mamlaka nyingi za MMA zinazodhibiti mapigano. UFC, au Ultimate Fighting Championship, ndio chama maarufu zaidi cha MMA, ambapo wapiganaji nguli huzaliwa.
Katika miongo miwili iliyopita, MMA yamekuwa mashindano maarufu ambayo yamezalisha wapiganaji wengi wazuri kama Conor McGregor, Anderson Silva, Georges St-Pierre, Randy Couture, na Royce Gracie.
Unabeti Vipi kwenye Mapigano ya MMA?
Ikiwa wewe ni mgeni katika mashindano kama haya, sheria zake zinaweza kuonekana kuwa ngumu kidogo. Hebu tupitie sheria za msingi za mashindano haya. Njia rahisi zaidi ya kushinda ni kupitia mtoano — mmoja wa wapinzani husababisha madhara, na mpinzani mwingine hawezi kuendelea na pambano.
Kujisalimisha ni njia nyingine ya kushinda. Katika kesi hii, mpiganaji humuweka mpinzani kwenye vizuizi hadi atakapokata tamaa. Kila pambano hudumu mizunguko mitano (dakika 5 kila mmoja).
Matukio mengi ya MMA uhusisha vipindi vichache na vifupi vya kupigana. Kwa hivyo, kila wakati una chaguo zuri kwa ajili ya beti zako za MMA mtandaoni. Hebu tupitie aina maarufu zaidi za beti.
Beti kwenye mshindi wa mechi
Hii ndio aina maarufu zaidi ya kubashiri MMA na mara kwa mara huitwa kubeti mechi. Hapa, lengo lako ni kumbetia mmoja wa wapiganaji wawili wa MMA. Lazima uchanganue nafasi zao za kushinda na kumbetia mmoja wao. Wachezaji wengine wanaweza pia kuruhusiwa kubeti kwenye sare katika matukio baadhi.
Beti kwenye jumla ya mizunguko
Pia ni chaguo maarufu katika kubashiri MMA. Katika hali kama hiyo, unatakiwa kubeti kwenye idadi ya mizunguko ambayo itafanyika. Kwa mfano, kama mstari wa idadi ya mizunguko ni 1.5, aidha utabeti kwamba pigano litakuwa na mzunguko mmoja (under) au mizunguko miwili au zaidi (over).
Yapi ni Mashindano Mazuri Zaidi ya MMA ya Kuyabetia?
Hebu tupitie Mashindano makubwa ya MMA unayoweza kuyabetia kwenye Parimatch. Tunakuhakikishia kwa hakika utafurahia uzoefu.
Ultimate Fighting Championship
Ni shirika kuu ambalo hutoa jukwaa zuri zaidi la mapigano. Faida kubwa zaidi ya UFC ni kwamba ina suluhisho bora kwa martial arts zote. Ingawa UFC iko Marekani, ndilo jukwaa kuu kwa ajili ya matukio mbalimbali ya kimataifa.
Kabla ya kumbetia mpiganaji fulani, lazima ujifunze kila kitu juu ya mtu huyu, ujue uwezo wake na nafasi za kushinda. Mbali na hilo, unapaswa pia kujua zaidi juu ya rekodi yake ya UFC, wakufunzi wake, na majeraha yake ya zamani ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mapigano. Ikiwa unakwenda kubeti kwenye UFC, lazima ujue kila kitu juu ya uwezo wa mpiganaji.
Bellator MMA
Ni promosheni ya MMA inayojulikana vizuri ambayo inashika nafasi ya pili baada ya UFC. Iliundwa na Bjorn Rebney mnamo 2008.
Tukio la kwanza lilifanyika mnamo 2009, na tangu wakati huo, zaidi ya matukio 200 yalifanyika. Matukio yote ya Bellator yameundwa vizuri, na mshindi hutuzwa kwa hundi ya $100,000. Kubeti kwenye Bellator ni rahisi sana — unahitaji tu kuchagua mpiganaji na uweke beti juu ya matokeo ya mapigano. Rahisi kuweka, unachagua mpiganaji na kushinda pesa taslimu kulingana na jumla ambayo unaibetia.
Absolute Championship Berkut
Ni shirika la Kirusi la martial arts mchanganyiko ambalo linachukuliwa kama promosheni inayoongoza Ulaya. Mashindano mengi ya Absolute Championship Berkut kwa kawaida huwa yanafanyikia Grozny, Urusi.
Shirika hili lilianzishwa na Mairbek Khasiev, mwanaharakati mashuhuri wa michezo mwenye tuzo mbalimbali zinazotambulika. Hapo awali, lengo kuu la shirika hili lilikuwa ni kusaidia wapiganaji wachanga na kuwapa nafasi ya kushiriki katika mapigano ya kiwango cha juu. Leo hii ni promosheni namba moja nchini Urusi.
ONE Championship
Ni tukio lingine ambalo unaweza kulibetia. Hapo awali lilijulikana kama ONE Fighting Championship, ni MMA maarufu huko Singapore. Ilianzishwa mnamo 2001 na Chatri Sityodtong na Victor Cui. Tukio la kwanza lilifanyika miaka tisa iliyopita kwenye Uwanja wa Ndani wa Singapore. Tangu wakati huo, wamefanya matukio zaidi ya 100 huko Asia.
Mwanzilishi wa tukio hili anaamini kuwa MMA ni hazina ya kitamaduni ya Asia. Kwa kuongezea, lengo la msingi la matukio kama hayo ni kukuza heshima, unyenyekevu, na kujiboresha.
Nini cha Kuzingatia Wakati wa Kubeti kwenye MMA?
Haijalishi kama wewe ni mchezaji mzoefu na unapenda kubeti kwenye michezo ya kupigana au wewe ni mpya kwenye michezo hii, inakubidi upitie dondoo zetu za kubashiri MMA. Unahitaji kujifunza ni mambo gani unaweza usiyajali na ni yapi kati ya hayo yanayoweza kuongeza odds zako. Ukifuata dondoo zilizoorodheshwa hapa chini, bila shaka utashinda:
- Daima fuatilia vipimo vya uzito. Unapodhibiti vipimo vya uzito, utajua jinsi mpiganaji atakavyofanya wakati wa pambano linalofuata.
- Angalia ukubwa wa kizimba au ulingo. Kizimba kikubwa zaidi kina futi za mraba 746, na kidogo kina futi za mraba 518. Mara tu unapojua taarifa hii, unaweza kubashiri nafasi za mpiganaji huyu au yule kushinda. Jambo lenyewe ni kwamba wapiganaji wengine hufanikiwa katika nafasi ndogo, na wengine hawapendi kuwa kwenye mwendo. Unaweza kumbetia mpiganaji maarufu na mwenye nguvu, lakini nafasi yake ya kushinda inategemea ulingo ambapo watacheza.
- Umri wa wapiganaji pia unapaswa kuzingatiwa. Kwa kitakwimu, wapiganaji wazee zaidi hupigwa kwa knock-out mara nyingi zaidi kuliko washindani wachanga.
- Daima zingatia kasi ya mpiganaji, usimamaji wake, na umbali anapopigania.
- Usiweke beti kulingana na unachopenda wewe binafsi.
Kwa nini Ubeti kwenye MMA na Parimatch?
Leo, tuna tovuti nyingi za kubashiri MMA. Kwa hivyo labda unashangaa kwanini inakubidi uchague Parimatch. Tunatumai kuwa sababu zilizoorodheshwa hapa chini zitapunguza wasiwasi wako:
- Sisi ni chapa ya kimataifa iliyo na historia ya miaka 29. Tumekuwa tayari kwenye michezo hii kwa robo karne na tunajua kwa hakika jinsi ya kukupa uzoefu bora wa kubashiri.
- Kwenye Parimatch, kiwango kidogo cha kuweka pesa kinahitajika. Tunatoa pia malipo ya haraka.
- Tuna huduma kwa wateja rafiki ambayo iko tayari kukusaidia kila wakati. Ikiwa una maswali, unaweza kuwasiliana nasi wakati wowote. Tuko tayari kusaidia kila wakati!
- Unaweza kubashiri kwenye mapigano ya MMA, masumbwi au michezo mingine kwenye Parimatch.
Kumbuka kuwa kubashiri kwenye mapigano Live ya MMA hutofautiana na michezo mingine. Unapaswa kujua kwamba odds za MMA zinaweza kubadilika haraka, na lazima uwe tayari kuweka beti kabla ya pambano kubadilika. Hata hivyo, kubeti MMA ni tasnia inayokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania. Ikiwa unataka kujaribu bahati yako, ni wakati muafaka wa kuweka pesa zako za kwanza!