Beti kwenye UFC Tanzania
Martial arts mchanganyiko inatambulika kuwa moja ya michezo ya kusisimua zaidi nchini Tanzania.Japo chaguo la mashirikia mbalimbali ya kupigana ni pana duniani kote, hakuna linalolingana na umaarufu wa Ultimate Fighting Championship au UFC. Hili ndilo shirika maarufu zaidi ambalo linalokutanisha martial arts mchanganyiko zote.Wapiganaji wengi sana wana ndoto za kushiriki katika matukio yanayoandaliwa na UFC.Lakini kabla hatujakimbilia kwenye kubashiri UFC inakubidi ujifunze mbinu zilizo nyuma yake.
UFC ni kampuni ya promosheni ya MMA iliyoko Marekani ambayo inamilikiwa na Endeavor Group Holdings. Leo,ndio kampuni kubwa zaidi ya promosheni ya MMA duniani kote ambayo huangazia wapiganaji wazoefu na wataalamu.Huandaa matukio mbali-mbali ya kimichezo ambayo huwa na makundi kumi na mbili ya uzito. UFC tayari imeshaanda zaidi ya mapambano 500 kwenye miji mbalimbali duniani kote. Awali, lengo la msingi la mapigano kama hayo lilikuwa ni kumtambua mshindi katika shindano kwa kanuni chache. Kulikuwa hakuna madaraja ya uzito kati ya washindani. Lakini leo, wameunda mtindo tofauti wa kupigana.
Sababu kubwa inayowashawishi wachezaji Tanzania kuweka beti za UFC mtandaoni ni kuwa hakuna maarifa au vifaa vya kipekee vinavyohitajika kufanya hili Zaidi ya hilo, ni rahisi sanana Parimatch. Mchakato mzima huchukua chini ya dakika 5, lakini unakuwa tayari kushinda na kuingiza pesa nzuri!
Kuna wachezaji wengi wakali na wenye nguvu wa UFC unaoweza kuwawekea ubashiri, lakini maarufu zaidi ni Conor McGregor, Israel Adesanya, Paige VanZant, Georges St-Pierre, na Zubaira Tukhugov.
Jinsi ya Kubashiri kwenye Mapambano ya UFC?
Kama unatamani kuwa mbashiri mwenye mafanikio, UFC inavyofanya kazi na uwajue wapiganaji ni kina nani. Historia ya UFC imejawa na milima na mabonde.
Bout ni pambano fupi baina ya wapiganaji wawili. Kila pambano imegawanyika kwenye mizunguko na yote inasimamiwa na mwamuzi. Bouts za Kiwango za UFC zina mizunguko mitatu (dakika tano kila mmoja na mapumziko ya dakika moja). Kwenye michezo ya UFC, washiriki wanaruhusiwa kutumia mateke, kupigania magoti, ngumi, kujisalimisha, au viwiko ili kushinda. Zaidi ya hilo, inaruhusiwa pia kupiga juu na chini ya mkanda. Hata hivyo, kuna kanuni ambazo zinatakiwa kufuatwa na wachezaji wote:
- Kutoboana haruhusiwi wakati wa mashindano ya UFC;
- Mashambulizi kwenye sehemu za siri hayaruhusiwi kwenye mashindano ya UFC;
- Hauruhusiwi kutumia vidole kukamata mdomo wa mpinzani.
Mapambano kwa kawaida hufanyika ndani ya ulingo, unaoitwa Octagon.
Unazipataje Odds kali za UFC?
Kubeti kwenye UFC ni rahaisi kuliko unavyoweza kufikiria. Kuelewa kikamilifu mada hii, inakubidi ujifunze zaidi kuhusu aina kuu za kubeti na odds za UFC. Beti kwenye mshindi wa mchezo.
Hii ndiyo beti rahisi zaidi iliyopo Unatakiwa tu unangalie ubora wa kila mpiganaji na uchague mshindi. Kwa maneno mengine, inakubidi ujifunze zaidi kuhusu wapiganaji, sifa zao, uwezo, n.k. Pitia kuangalia taarifa kuhusu washiriki wote wawili na amua yupi kati yao unafikiri atashinda.
Beti kwenye jumla ya idadi ya mizunguko
Kuna masoko mengi ya kubeti UFC., lakini kama ukichagua hili, inakubidi ufanye kifuatacho — changanua uwezo wa wapiganaji na amua mizunguko mingapi unafikiri pigano litadumu. Kwa mfano, Conor McGregor sio rahisi kumaliza mizunguko yote mitano. Lakini Tyron Woodley anapenda kurefusha pigano. Kama unakwenda kubeti kwenye jumla ya mizunguko, unahitaji muda kiasi kuzisoma sifa na wasifu wa wapiganaji waliochaguliwa.
Nini cha Kuzingatia ukiwa Unabeti kwenye UFC?
Kama wewe ni mgeni kwenye kubeti, inakubidi kupitia kuangalia dondoo zetu za kubeti UFC.Itakusaidia kupata uelewa zaidi.
- Pata taarifa kuhusu wapiganaji, husika Usibeti bila kupata takwimu nzuri za mchezo, hili litakusaidia kufanya ubashiri wa uhakika, huku ukizidi kufurahia kucheza na kushinda kwenye mapambano mbali mbali ya UFC.
- Siku zote zingatia, uzoefu na ujuzi wa mpiganaji uliyemchagua.Kwa mfano, mpiganaji akiwa na rekodi ya 9-0, usiishie hapo bali angalia na rekodi za mpinzani wake. Kama ni mgeni, mpiganaji huyu si rahisi kupata ushindi dhidi ya mwanamichezo mzoefu zaidi.
- Usisahau kuangalia mambo mengine kama vile majeraha aliyopata mpiganaji hivi karibuni, uzito wake, historia ya mazoezi n.k.
- Vigezo vingine kama vile muda wa maandalizi, hali ya hewa, na ulingo ulivyo pia yanaweza kuleta utofauti.
- Beti upapoamini kuna ushindi.
- Tengeneza takwimu zako mwenyewe; angalia mara ngapi uko sahihi. Muda mwingine, historia yako mwenyewe ya kubeti inaweza kuleta rejesho zuri kwenye uwekezaji.
Kwanini Ubeti kwenye UFC na Parimatch?
Ukiwa unapitia pitia mtandaoni, bila shaka utakuta tovuti mbalimbali za kubeti UFC. Hata hivyo,sio zote ni majukwaa yenye sifa. Kabla ya kufanya beti zako, inakubidi kuangalia makadirio yao.
Hii hapa ni orodha ya kina ya sababu za msingi ambazo zitaweza kuondoa mashaka kuhusu Parimatch:
- Tunaruhusu kiwango kidogo cha kuweka fedha na malipo ya haraka.
- Tunatoa huduma za uhakiki na watoa huduma wetu kwa wateja wanapatikana masaa yote 24 katika siku zote 7 za wiki, tayari kabisa kutatua shida zak.
- Sisi ni kampuni ya kimataifa yenye uzoefu katika tasnia hii. Parimatch ipo kwenye soko la michezo ya kubashiri kwa zaidi ya miaka 29.
- Kucheza na Parimatch ni rahisi zaidi kuliko kwenye Casino.
- Ukiamua kucheza na Parimatch, unaweza kucheza kwenye michezo mbal-imbali kama masumbwi na mapigano ya MMA.
Tunatumaini kuwa dondoo zote hizi na mapendekezo yatakusaidia kwenye mbinu zako za kubeti na kushinda na Parimatch.Jaribu Parimatch leo! Tunakuhakikishia! Utapata burudani inayoambatana na ushindi kwenye mapambano mbali-mbali ya UFC.