Ukiwa unatafuta mchezo wenye magoli mengi na ya haraka na mzuka wa kibabe, handball ndiyo mchezo kwajili yake, ukiwa maarufu zaidi barani Ulaya, Parimatch inakuletea michezo yote ya Handball ukiwa Tanzania ndani ya app yake ya kibabe.
Kutoka kwenye mashindano ya EHF hadi Olympics, Parimatch inakupa fursa ya kujinyakulia mkwanja wa kutosha kwenye Handball kwa kubofya tu.
Odds bora zaidi kwenye Handball Tanzania zipo Parimatch, furahia kubeti kwa ushindani mkubwa wa odds, michuano kibao na masoko ya kutosha kiganjani mwako.
Odds Kali za Kubeti Kwenye Handball
Kuelewa jinsi gani ya kubeti kwenye Handball, ni muhimu kuelewa jinsi gani odds kali za handball zinapatikana, ukiwa unatafuta odds kali za kubeti kwenye handball lazima uangalie wapu utapata faida kubwa.
Kiujumla, soko maarufu zaidi la kubeti kwenye handball ni 1X2 .Masoko ya 1X2 ni marahisi mno kwani unachagua tu timu gani itashinda mchezo husika au kupata droo.
Kupata faida kubwa kwenye mkeka wako, unahitaji kupata mikeka ambayo ina uwezekanao mkubwa wa kukulipa, inabidi ufanye mchakato wa kubashiri timu gani itashinda kwa kuangalia odds, timu inayoaminika inashinda mara nyingi huwa na odds chache na inayoamonika itapoteza huwa na kubwa zaidi.
Chukua mfano wa 1X2 bet kati ya Ska Minsk na Bgufk Ska, kwa mfano:
Ska Minsk | Draw | Bgufk Ska |
1.05 | 22.00 | 12.00 |
Hapa ukiangalia utaona kabisa, Ska Minsk ana uwezekano mkubwa wa kushinda akiwa na 1.05, kujua kwa kiwango gani timu itshinda unachukua odds zake na kugawanya kwa 100, unachukua 1.05 unagawanya 100 unapata 95% kwa Ska Minsk kushinda. Kwa upande mwingine Bgufk Ska wana 8% tu ya kushinda mchezo huu.
Ni muhimu kujua ni kwa asilimia ngapi timu husika ina uwezekano wa kushinda na pia usipate wasiwasi pale unapojumlisha ailimia na timu zote mbili na kuzidi 100%, hicho kinachozidi ndiyo faida ya bookmaker.
Hapa kwa sababu Ska Minsk wana uwezekano mkubwa wa kushinda, basi faida yake pia itakuwa ndogo, kwa kutumua odds unaweza kuzidisha na kujua uwezekanao wako wa kushinda na utapata kiasi gani. Tuseme ukiweka dau la 10,000 TZS kwa Ska Minsk kushinda na wakapata ushindi kwenye mchezo huo, utapata faida ya 10,500 TZS, na utapata faida ndogo ya 500 TZS.
Kama mfano unavyoonyesha unakuwa na uwezekano mkuwa wa kushinda lakini faida yako inakuwa ndogo sana.
Mbinu mbadala, chagua mechi ambazo hamna utofauto mkubwa sanak ati ya timu kubwa na timu ndogo, hii inamaanisha unaweza kubeti kwenye timu yenye uwezekano wa kushinda na bado ukapat faida.chukua huu mfano wa hii mecho ya handball kati Kronon Grodno na Masheka Mogilev:
Kronon | Draw | Masheka Mogilev |
2.85 | 8.80 | 1.62 |
Huku Masheka Mogilev akionekana bado ndiye mshindi wa mchezo huu kwa zaidi ya 62%, hapa ukibeti 10,000 TZS utashinda 16,200 TZS, na kupata faida ya 6,200 TZS.
Masoko Gani Mengine ya Handball Yanapatikana Parimatch?
Tukiwa kampuni namba moja ya kubeti kwenye handball nchini Tanzania, Parimatch ina fursa kibao za kubeti kwajili yako, ukiachana na 1x2 unaweza ukapata masoko mengine yafuatayo ukicheza na Parimatch.
Double Chance
Double chance ni mikeka ambayo unaweza kuchagua matokeo mawili tofauti, mfano kushinda au kutoka sare kwa timu flani, Hivyo unachagua timu A kushinda au kudroo au timu A au B kushinda.
Handicap
Handicap ni soko maarufu sana kwenye handall, kwani hapa unachagua matokeo mbayo timu inayonekana itafungwa kupewa idadi flani ya magoli kabla ya mchezo.Hivyo timu yenye uwezekano wa kushinda inaanza mchezo ikiwa nyuma na kushinda kwake ni kuzidi idadi ya magoli waliyopewa vibonde wa mchezo huo.
Jumla
Hapa unabashiri matokeo ya mchezo husika yatakuwa juu au chini ya yaliyowekwa na bookmaker.
Odd/Even
Soko rahisi sana kwa wanaojifunza, odd/even haina ufundi kila kitu kipo kwenye bahati tu, unabeti kwenye matokeo yatakuwa ya namba witiri au namba shufwa.
Michuano Gani ya Handball Inavutia Zaidi Kubetia?
Tumejipanga kuwaletea watumiaji wetu burudani yote ya handball kwa upana wake, App yetu ina michuano mbali mbali ya handball kuanzia, kwenye michuano ya muda mfupi na ligi, Parimatch inawahakikishia watumiaji wote wa Tanzania kuwa hakuna mashindano makubwa ya Volleyball yatawapita.
Ukiachana na kupata mashindano yoyote tu, ni lazima uwe mfutuliaji mzuri wa michuano mbali mbali ili uzidi kuwa na mikeka ya kifundi, ifuatayo ni baadhi ya michuano mikubwa.
Ligi za Handball za Kimataifa
Kuanzia Ujerumani hadi UK, kutoka Croatia hadi Sweden, kuna michuano kibao ya kimataifa ya
Handball, ikihusisha:
- Premier Handball League
- SEHA League
- Liga ASOBAL
- Handball-Bundesliga
- EHF Champions League
- Liga Națională
- Croatian Premier Handball League
Michuano Mikubwa ya Handball Duniani
Haya ni baadhi ya mashindano makubwa zaidi ya Handball duniani kote:
- Caribbean Handball Championship
- IHF Inter-Continental Trophy
- Partille Cup
- Interamnia World Cup
- IHF World Men's Handball Championship
- IHF World Women's Handball Championship
- IHF World Men's Handball Championship
- IHF World Women's Handball Championship
Handball kwenye mashindano ya mchanganyiko
Kwa mashabiki wa kweli wa Handball, Olympic ndiyo mashindano makubwa zaidi kwako, lakini mashindano ya michezo ya mchanganyiko sio Olympic tu
- The African Games
- The Islamic Solidarity Games
- The South Asian Games
- The Friendship Games
- The World Games, and many more
Kwanini Ubeti na Parimatch?
Parimatch inajivunia kukupa fursa ya kucheza kwenye michuano mikubwa na midogo ya Handball, urahisi wa kutumia app yetu ndicho kitu kinachozidi kuvutia watu wengi zaidi, unaweza pia kucheza kupitia tovuti yetu kwenye simu au kompuyta.
Ukichagua kucheza na sisi, jiamini kuwa utapata utofauti wa kipekee kucheza nasi, tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 29 kwenye soko la kimataifa. Kampuni yetu inaaminika na mafundi kibap wa michezo ya bahati nasibu.Tunakuhakikishia urahisi wa kujisajili,kuweka pesa na malipo ya haraka, ukichana na Handball tuna michezo mingine mingi kuanzi kikapu, volleyball and beach volleyball. Na ukipata tatizo lolote huduma kwa wateja yetu itakusaidia 24/7.