welcome

NBA ni moja ya ligi za michezo maarufu zaidi ulimwenguni, na umaarufu wake umejiakisi katika kiwango kikubwa cha matukio kwenye tovuti za kubetia michezo mtandaoni. Kwanini isiwe? Licha ya hayo, ndio stoo ya hazina ya fursa kwa wabashiri ulimwenguni kote, na Tanzania haijaachwa nyuma.

Jisajili Parimatch Upate Bonasi!

Endelea kusoma huku nasi tukijiweka sawa kukupa mwongozo ulioshiba zaidi juu ya kubetia NBA.Usisahau kunakili pembeni dondoo na mbinu zote za kubetia NBA ambazo makala hii inakwenda kuzifichua. Safari yako ya kuwa mtaalamu katika kubetia michezo ya mpira wa kikapu inaanza!

Vitu vya Msingi Kwenye NBA Msimu wa 2022/2023

Tarehe za Msimu wa NBA mwaka 2022/2023

Oktoba 18, 2022 - Juni 2023

Mchezo Unaokutanisha Mastaa Wote

Februari 19, 2023

Msimamizi

National Basketball Association

Timu zinazoshiriki

30

Mtindo wa uchezaji

Msimu wa kawaida & Michezo ya kutafuta mshindi

Bingwa wa NBA mwaka 2022

Golden State Warriors

Timu Yenye Mafanikio Zaidi

Boston Celtics & LA Lakers (17 titles)

National Basketball Association, aka NBA kwa sasa inasherehekea msimu wake wa 77, ukifungulia mwanzo wa hivi karibuni zaidi katika uwepo mashuhuri wa ligi hii. Likiangazia timu 30 zilizogawanywa sawia kati ya Safu za Mashariki na Magharibi, tukio hili linaandaliwa kisawasawa liandike sura nyingine ya kusisimua.

Odds Maarufu Zaidi Za Kubetia NBA: Jinsi Ya Kubeti Kwenye NBA

Kubeti kwenye michuano ya NBA inaweza kuwa uzoefu dhahiri, haswa wakati una Parimatch kama msaada. Tukiwa ndio sehemu yenye soko pana la odds za kubetia, tunahakikisha kwamba watumiaji wetu kamwe hawaishiwi machaguo. Ndio, kuna njia nyingi unazoweza kubeti kwenye NBA; hata hivyo, ni chache ndio zilizotuvutia kuziangazia. Zipitie:

Beti kwenye Matukio ya NBA

Kubetia Over/Under (Total) kwenye Mpira wa Kikapu

 

Over/Under (Total) kwenye Parimatch

 

Beti za over na under ndizo aina zilizo rahisi zaidi miongoni mwa zote kwenye tovuti zote za kubetia NBA mtandaoni. Hapa, wabashiri wanahitajika kubashiri idadi ya jumla ya alama zitakazofungwa katika mchezo na timu zote mbili. Kwa wale ambao hawajui, alama za jumla katika mchezo wa NBA huwa ni kati ya alama 180 - 250, na tovuti za kubashiri huweka odds ndani ya namba hizi kuwakilisha uwezekano wa pande zote mbili kufunga zaidi ya au pungufu ya idadi hiyo.

Chukulia odd imepangwa kwenye alama 212.5; jumla ya alama zote zitakazofungwa na timu zote mbili ni lazima zifike hadi 213 ili kushinda beti ya over. Ikitokea mchezo umeisha kwenye, tuseme, 98 - 104, jumla hii ni zaidi kwa alama 0.5; hivyo unashinda beti hii!

Kubetia Muda wa Mapumziko / Muda Kamili

Katika kubetia NBA, beti ya muda wa mapumziko/muda kamili (HT/FT) ni beti ya kipekee ambayo kwa kawaida hupendelewa na wabashiri wabobezi. Hapa, unahitaji kubashiri matokeo ya mchezo kwenye muda wa mapumziko na muda kamili kwa pamoja. Mahesabu ya kushinda beti ya HF/FT ni ya wazi kabisa—ni lazima utabiri timu itakayoongoza muda wa mapumziko na itakayoongoza mwishoni.

Ikiwa una hisia chanya kuhusu matokeo ya mchezo kwenye vipindi vyote viwili, beti za HT/FT ni njia nzuri kujiongezea tuzo yako inayowezekana. Hata hivyo, zinaweza pia kuwa za hatari, kwa maana ni lazima ubashiri matokeo ya mchezo kwa usahihi katika sehemu mbili tofauti ndani ya muda. Hilo likiwa limesemwa, ni lazima ufanye utafiti wako na kuzingatia sababu kama vile kiwango cha timu cha hivi karibuni, majeruhi, na rekodi ya timu hizo mbili zilipokutana kabla ya kuweka beti ya HT/FT.

Chagua soko lako la kubetia

Beti za Prop za NBA

Player Props on Parimatch

 

Beti za proposition, au beti za prop za NBA, ni aina ya pekee kati ya makundi ya bashiri za michezo ambapo wabashiri wanaweka bashiri kwenye matukio maalum ndani ya mchezo ambayo hayana hatima kwenye matokeo ya mwisho. Mifano ya bashiri maarufu za prop ndani ya NBA inahusisha:

 • Props za mchezaji: Hizi ni beti zinazowekwa kwenye uchezaji wa mchezaji binafsi. Tunapoongelea uchezaji, tunazingatia vipengele tofauti kutoka idadi ya alama na uokoaji wa mipira iliyoshindwa kuwa magoli hadi pasi za magoli na mipira mchezaji aliyopokonya.
 • Propos za timu: Sawia na prop ya mchezaji, props za timu ni beti zinazowekwa kwenye uchezaji wa timu. Hapa vitu kama idadi ya alama ambazo timu itafunga katika robo au nusu ya mchezo vinatathminiwa.
 • Props za Mchezo: Hizi ni beti zinazowekwa kwenye matukio au matokeo ambayo hutokea wakati wa mchezo.
 • Props za msimu: Hizi ni beti zinazowekwa kwenye matukio au matokeo ambayo hutokea wakati wote wa msimu wa NBA, kama vile timu ambayo itachukua ubingwa, MVP wa msimu, au jumla ya idadi ambayo timu itashinda wakati wa msimu wa kawaida.

Beti za NBA za Muachano wa Alama (Handicap)

 

Muachano wa Alama za NBA kwenye Parimatch

 

Kubetia handicap kunakufahamisha namna maarufu ya kubetia michezo ya NBA. Ni mapinduzi katika baadae ya kubashiri kwa maana inaweza kutoa uwezo wa kuvutia zaidi na wa tofauti tofauti wa kubeti, mwishowe kutengeneza mazingira ya kubetia yenye usawa, haswa kwa ile michezo ambapo timu moja inaonekana kuwa na uwezo mkubwa sana zaidi ya nyingine.

Kubeti handicap katika kubetia NBA wazi ni maarufu pia kwa jina la kubetia muachano wa alama. Kama ilivyotajwa tayari, ni aina ya bashiri ambayo huzingatia utofauti katika kiwango cha ujuzi kati ya timu mbili za mpira wa kikapu na kufanyia hili kazi ipasavyo. Tujikumbushe kwa haraka: Tukiongea kimahesabu, muachano wa alama au handicap ni idadi ya alama ambazo timu moja inatarajiwa kushinda zaidi ya nyingine.

Kubetia NBA Laivu kwenye Parimatch

Hadi kwenye hatua hii, umeshajifunza kuhusu vilivyo bora kutoka kwenye soko la kubetia ambalo litakuruhusu kubeba ushindi kwenye uwanja wa ubashiri wa mpira wa kikapu. Hilo likiwa limesemwa, sasa upo tayari kuweka bashiri zako zote na kuanza kushinda pakubwa. Lakini swali lililopo ni, jinsi gani utafanya vitu hivi? Jibu ni Parimatch.

Tunajivunia kuwa ndio sehemu ya pekee kuonesha upendo wako kwa mpira wa kikapu na kupokea tuzo kama malipo. Ukiwa na Parimatch inakuhakikishia kwamba kubetia kwenye NBA kunakuja na uwezekano usio na kikomo. Wakati daima utakuwa una odds za kawaida za NBA kabla ya mechi, kubetia laivu kulikokuwa ndio pa kisasa leo pia ni kitu ambacho hautojutia kujaribu.

Kubetia NBA laivu ni aina ya kubetia michezo ambapo unaweza kuweka beti kwenye mchezo wa NBA wakati ukiwa unaendelea. Aina hii ya kubeti inaweza kuwa ni ya kusisimua kwa sababu odds na lines hubadilika mara kwa mara katika mchezo wote kulingana na alama ya muda huo na sababu nyingine. Shukrani kwa kipengele cha kubetia laivu, unaweza kufurahia misisimko hii ya hatua ya juu, kana kwamba tu upo kwenye uwanja wa mpira wa kikapu ukiwa umevalia jezi ya timu yako pendwa na ukiikabili kistaa nusu ya uwanja wa wapinzani. Wakati mchezo ukiwa unaendelea, unaweza kuweka bashiri kwenye lines za hivi karibuni za pesa, miachano ya alama (handicap), na zaidi. Je! Hilo si la kuvutia?

Odds za Kubetia NBA

Odds za kubetia NBA zinawakilisha uwezekano wa matokeo fulani yanayotokea katika mecho yoyote ya NBA. Kimsingi hivi ni viashiria vya kinamba ambavyo huangazia ni timu gani ina uwezekano zaidi wa kushinda. Pamoja na uwezekano ya kushinda unaoambatana nazo, odds humsaidia mbashiri kufahamu faida inayowezekana ya beti yenye mafanikio.

Chukulia mechi kati ya timu A na timu B ina odds za 1.22 kwa timu A na 1.77 kwa timu B. Zingatia, kwa timu A kuwa na odds ndogo zaidi, ina uwezekano mkubwa zaidi kushinda. Kama tu unavyousoma msimamo wa NBA kwa msimu wa kawaida, unaweza pia kulisoma jedwali la odds na kuchambua odds zako ipasavyo. Hii ndio jinsi ya kufanya:

Odds za Timu A

Odds za Timu B

1.22

1.77

Pindi ukibetia 10,000 TZS kwa timu A kushinda na matokeo yakiwa upande wako, unaweza kukokotoa faida yako kama:

 • (10,000 x 1.22 - 10,000) TZS = 2,200 TZS

Odds za Kubetia Laivu NBA

Michezo Mashuhuri Zaidi ya NBA kwa ajili ya Kuibetia

Pasipo kusema, kuna michezo mashuhuri ya NBA chungunzima inayochezwa katika msimu wote wa kawaida na hatua za mtoano. Hii hapa ni baadhi ya ile inayotambulika zaidi ambayo inahitaji umakini wako moja kwa moja:

Michezo ya Kufungua Msimu

Kama tu jina linavyopendekeza, michezo ya kufungua msimu kimsingi ni michezo ya ufunguzi wa msimu wowote wa NBA. Hizi mara kwa mara huzingatiwa kuwa ndio mgodi wa kubetia kutokana na ukweli kwamba baada ya mapumziko, wachezaji pamoja na washangiliaji hujikukuta wakijikokota kurudi kwenye mstari, na kwamba nguvu hiyo huonekana katika kila mechi. Mbali na ratiba ngumu ya NBA, ulimwengu unabakia kwenye kilele cha msisimko, na hilo huashiria ndio muda sahihi wa kubeti na kufurahia kwa pamoja.

Michezo ya NBA ya Mtoano

Inapokuja kwenye michezo, michezo ya NBA ya mtoano ni miongoni mwa matukio yanayotazamwa na kuongelewa zaidi ulimwenguni. Kuna sababu nyingi za kwanini michezo mingi ya NBA ya mtoano ina mashiko makubwa. Hisia zake ni tofauti na matukio mengine ya kimichezo kwa sababu ya madau makubwa na upinzani mkali.

Washangiliaji wapo kwenye viti vyao kwa sababu ya mashindano ya kiwango cha juu yenye ushindani, yenye jitihada za kila timu kushinda mchezo, na nyakati nyingine za kuacha kumbukumbu.

Fainali za NBA

Fainali za NBA ni mfululizo wa michuano ya ubingwa kwa michezo ya NBA ya mtoano, ambapo mabingwa husika kutoka Safu za Magharibi na Mashariki hukutana katika mfululizo wa timu saba bora. Mfululizo wa mechi za kusisimua husaidia kumfahamu bingwa wa NBA kwa msimu husika. Muulize shabiki yoyote wa mpira wa kikapu, na atakwambia jinsi fainali ndio mchezo wa NBA wenye thamani zaidi na hutazamwa na mamilioni ya watu ulimwenguni kote.

Fuatilia Ratiba ya NBA Hapa

Timu za NBA 2023

Kwa sasa, kuna timu 30 ndani ya National Basketball Association (NBA), zikiwa zimegawanywa kwa usawa katika safu mbili ziitwazo safu ya Mashariki na Magharibi. Pamoja na hilo, michuano hii uhusisha madaraja sita huru. Hii hapa ndio orodha ya timu zote 30 za NBA ambazo unapaswa kuzifahamu:

Safu ya Mashariki:

 1. Atlanta Hawks
 2. Boston Celtics
 3. Brooklyn Nets
 4. Charlotte Hornets
 5. Chicago Bulls
 6. Cleveland Cavaliers
 7. Detroit Pistons
 8. Indiana Pacers
 9. Miami Heat
 10. Milwaukee Bucks
 11. New York Knicks
 12. Orlando Magic
 13. Philadelphia 76ers
 14. Toronto Raptors
 15. Washington Wizards

Safu ya Magharibi:

 1. Dallas Mavericks
 2. Denver Nuggets
 3. Golden State Warriors
 4. Houston Rockets
 5. Los Angeles Clippers
 6. Los Angeles Lakers
 7. Memphis Grizzlies
 8. Minnesota Timberwolves
 9. New Orleans Pelicans
 10. Oklahoma City Thunder
 11. Phoenix Suns
 12. Portland Trail Blazers
 13. Sacramento Kings
 14. San Antonio Spurs
 15. Utah Jazz

Weka beti kwenye NBA

Mechi Bora za H2H za NBA za Kubetia

Golden State Warriors vs. Cleveland Cavaliers

Mechi kati ya Warriors na Cavs zimeitambulisha zama nzima ya mpira wa kikapu. Walikutana kwenye fainali nne mfululizo za NBA kati ya 2014 na 2017, mafanikio yasiyo na kifani. Sio tu kwamba haya yalikuwa mashindano thabiti kati ya timu mbili bora za mchezo huu, lakini pia ziliwatambulisha wachezaji wawili manguli LeBron James na Steph Curry wakikutana uso kwa uso.

Walipokutana uso kwa uso Warriors waliibuka washindi kwa kushinda mara 3 kati ya 4 walizokutana. Hata hivyo, 2016 iliwashuhudia Cavs wakiwapiga Warriors katika fainali za NBA ambazo bila shaka ndio zilikuwa kubwa kwa muda wote. Warriors waliingia katika mashindano wakiwa nyuma kwa rekodi ya 73-9 ya msimu wa kawaida, ambayo ndio rekodi ya juu ya kushinda/kupoteza katika historia ya msimu wa kawaida.

Boston Celtics vs. Los Angeles Lakers

Lakers dhidi ya Celtics ndio mchezo mkongwe wenye upinzani mkali zaidi katika historia ya NBA na bila shaka katika michezo. Wote wana mataji 17, kila mmoja upinzani wake ukianzia nyuma kabisa tangu kuanza kwa ligi. Ubingwa mara 11 wa Celtics ulipatikana kwa mfululizo katika miaka ya 1960, huku Lakers wakiwa vibonde wao katika fainali hizi mara 7 wakati huo..

Timu zote mbili zilijikuta zikikutana uso kwa uso miaka ya 80 katika mechi zenye dau kubwa zilizokuwa na wachezaji nguli wa muda wote kama Magic, Bird, Kareem, James Worthy, na Robert Parish. Timu hizi zote mbili siku hizi hazina tena nguvu ya mastaa kwa usawa, lakini wachezaji kama Kobe Bryant, Kevin Garnett, na LeBron wameendelea kuchagiza mechi hii.

Detroit Pistons vs. Chicago Bulls

Upinzani kati ya Bulls na Pistons katika miaka ya 80 ulikuwa ni ushindani mkubwa na mkali kati ya miji na timu mbili zilizonuia kushinda. Bulls, muda huo, ikiwa na mchezaji mkubwa kuwahi kutokea ambaye ni hatari ukimpa mpira, Michael Jordan, na Pistons wakifanya juu chini kumzuia Jordan na timu nzima ya Bulls. Wakati wa kukutana kwao mara nyingi katika muongo huo, Pistons walitumia mbinu iliyokuwa maarufu dhidi ya Jordan iliyojulikana kama “Sheria za Jordan”, ambazo zilihusisha ulinzi wa nguvu sana dhidi ya Jordan.

Hata hivyo, pamoja na upinzani wote mkubwa NBA, timu zote mbili zilikuwa na furaha. Bulls walitengeneza ufalme wao kufuatia vipigo vyao kwa Pistons. Walitwaa ubingwa wa NBA kwa mara tatu katika nyakati mbili kati ya 1993 na 1999, huku Michael Jordan akiendelea kutetea hadhi yake kama mchezaji nguli wa muda wote.

Ingia Katika Kubetia Mpira wa Kikapu

Dondoo za Kubetia NBA Mwaka 2023: Kuwa Mtaalamu na Ushinde

Je! Unapanga kutazama michezo ya NBA inayoendelea leo? Kwanini usitengeneze mbinu kwa haraka sana na kufanya bashiri ya NBA ambayo itavuna faida kubwa? Subiri! Hebu tukusaidie kwa hilo.

Fanya Sehemu yako

Inawezekana umeshasikia mara elfu, lakini umuhimu wa utafiti wa kina kamwe hauwezi kupuuzwa. Kabla ya kuweka beti, unapaswa kuhakikisha unazisoma timu, wachezaji, yanayojiri hivi karibuni, na kila kitu kinachohusiana nazo.

Wekeza muda kuelewa matokeo ya NBA ya hivi karibuni zaidi na yatumie kutengeneza uchambuzi mzuri zaidi. Kwa hilo, daima unaweza kuzingatia alama za NBA na kupanga ubashiri ipasavyo. Mbali ya haya yote, ni muhimu kuweka macho kwenye ripoti za majeruhi, kwa maana kuwepo na kutokuwepo kwa wachezaji kunaweza kuathiri matokeo ya mwisho.

Kuwa Makini na Kiwango cha Mchezaji

Kubali! Wachezaji bora wa mpira wa kikapu huwa wana tabia ya kubadilika badilika kiviwango. Tukiiweka kirahisi, timu za NBA huwa zimebarikiwa wachezaji wenye viwango vya moto muda wowote wa msimu na wana uwezo wa kutosha kupindua meza katika hali yoyote kuzibeba timu zao. Hilo likiwa limesemwa, kabla ya kuweka beti, daima unapaswa kuchunguza wachezaji wenye kiwango cha juu.

Tumia Bashiri za Kitaalamu za Kubetia Mpira wa Kikapu

Ndio, daima unapaswa kuamini busara zako, lakini, kuwaiga wataalamu kamwe sio wazo baya. Watu hawa wamelitafiti soko la ubashiri la NBA na taarifa za kina za kila timu na staa ili kukupa bashiri yenye usahihi zaidi. Wana uwezo wa kuwafuatilia kwa ukaribu wachezaji wa NBA kutokea ndani kabisa. Yote haya ni yenye faida katika uwanja wa kubeti.

Hitimisho la Bashiri za NBA

Hiyo ndio taarifa ya kutosha kuhusu kubetia NBA! Hapa, tumejadili fursa yenye kuvutia ambayo michezo ya NBA huwapa mashabiki wako nchini kote Tanzania. Zaidi, tumekusaidia kuelewa kuwa kwa jinsi tunavyotoa kila kitu ambacho mbashiri anaweza kukiulizia, Parimatch inasimama imara kama tovuti bora ya kubetia NBA katika nchi.

Mtu yoyote anayevutiwa katika kutengeneza pesa wakati akitazama mastaa wake pendwa wakiwa mchezoni anaweza kufaidika na mwongozo huu wa kubetia NBA. Si hilo tu, lakini dondoo hizi za kubetia mpira wa kikapu kutoka kwa wataalamu wetu wenye uzoefu zinatosha kuanzisha safari yako kwenye mwendo chanya. Haiwezi kupita bila kusema kwamba sisi Parimatch, moja ya tovuti bora za kubetia michezo ulimwenguni, tuko tayari kukusaidia kuibuka kama mbashiri staa. Tunatoa lines bora, machaguo ya soko, na ushauri kwenye kubetia NBA. Pia tunatoa app iliyo rahisi kutumia, uwekaji pesa papo hapo, na kutoa pesa ulizoshinda.

Ni kati kati ya msimu sasa, unataka kuwa na furaha zaidi? Tazama kwa karibu machaguo yetu ya Ligue 1, Serie A, La Liga, na Ligi Kuu ya Tanzania. Tuamini, unaweza kutengeneza beti za ushindi ndani ya muda mfupi mno!

Jisajili Parimatch Sasa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je! Ninatengeneza vipi pesa kwa kubetia michezo ya NBA?

Lazima mtu atabiri kwa usahihi mfululizo wa matokeo ya NBA ili kupata faida kutoka kwenye kubashiria ligi hii. Ili kufanya hilo litokee, hata hivyo, unapaswa kuwa umejifahamisha vizuri sana na tukio husika na soko la ubashiri kwa pamoja. Kwa kutumia busara yako na ukiichanganya na mnyumbuliko wa soko la kubeti la Parimatch, unaweza kutegemea kushinda pesa kubwa.

Je! Kubetia handicap NBA ni nini?

Kubetia handicap ni aina ya beti ambayo hufanya kazi kwenye sheria ya kuusawazisha mchezo kati ya timu mbili zenye odds za juu kwa kuzingatia utofauti katika viwango vyao vya ujuzi. Ikiwa pia maarufu kwa jina muachano wa alama yaani point spread, handicap ni idadi ya alama ambazo timu moja inatarajiwa kushinda zaidi ya nyingine.

Je! Kubetia NBA kunafanya vipi kazi?

Kubetia NBA ni sawa vile vile na jinsi kubashiri kulivyo katika mchezo mwingine wowote. Unapaswa kufanya sehemu yako juu ya washiriki, kuzisoma lines zilizotolewa na tovuti za ubashiri, na kufanya bashiri za mpira wa kikapu NBA baada ya hilo. Pindi unachofikiria ukikipatia kwa usahihi, unashinda bashiri na kinyume chake ni kweli.

Je! Overtime ni nini katika kubetia mpira wa kikapu?

Overtime katika mpira wa kikapu ni namna ya kuamua mshindi, haswa wakati ambapo kuna sare. Dhana hii inatumika wakati ambapo timu zote mbili zina alama sawa kwenye ubao baada ya muda wa kawaida. Weka akilini kwamba overtime kwa kawaida huchukuwa dakika 5, ambayo inaweza kurudiwa kutegemeana na ama au la mchezo badi ni sare.

Je! Muachano wa alama ni nini katika kubetia mpira wa kikapu?

Muachano wa alama katika kubetia mpira wa kikapu huwakilisha aina maalum ya bashiri ambapo line ya kubetia kwa makusudi imepangiliwa ili kuweka usawa wa pengo hisivu la ujuzi kati ya washiriki wawili. Muachano wa alama katika mchezo wowote kwa urahisi ni idadi ya alama ambazo moja kati ya timu inapendelewa kuzishinda dhidi ya mpinzani. Katika muktadha huu, timu inayopendelewa kushinda inajulikana kama “favorite”, na nyingine huitwa underdog.

Soma zaidi:

KOMBE LA SHIRIKISHO LA CAF 2023-2024: MWONGOZO WA UCHAMBUZI WA MECHI NA BASHIRI ZA KUBETIA

MKEKA WA KWENYE KOMBE KUU LA CAF 2023: MUONGOZO WA KUBETI PARIMATCH