welcome

Kwenye ligi za kandanda barani Africa, Kombe Kuu la CAF ni kilele cha ubora wa michezo. Kwa hapa Tanzania, tukio hili ni pambanalto linalokamata kiini cha kabumbu.

Kombe Kuu la CAF ni zaidi ya ushindani ambapo hadithi huzaliwa na ndoto zinatimizwa.

Kwenye hii makala, tutatazama kwenye umaarufu na umuhimu wa Kombe Kuu la CAF, kuchunguza umuhimu wake kwenye kandanda la Tanzania.

Jisajili Parimatch Sasa

Msimamo wa Kombe Kuu la CAF

Parimatch inakupa zawadi ya mechi za Kombe Kuu la CAF 2023. Zamani waliitwa Kombe Kuu la CAF 2023 TotalEnergies, hili ni tukio kuu la kabumbu nchini Africa iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Africa (CAF).

Huu ushindani utawaleta washindi wa mwaka 2022–23 kwenye Ligi ya Mabingwa Africa na misimu ya Kombe la Shirikisho la CAF.

Tunatoa muda halisi na takwimu za kina za muda huu kuonesha hali yako ya utumiaji kama shabiki na mdau wa kubashiri kimkakati. Jedwali la hapa chini linaonesha historia fupi ya Kombe Kuu la CAF tangu kuanzishwa kwake.

Bodi inayoandaa

CAF

Ilianzishwa

1993

Eneo

Africa

Idadi ya timu

2

Mabingwa wa sasa

RS Berkane (Taji la 1)

Klabu zilizofanikiwa zaidi

Al Ahly (mataji 8)

Kombe Kuu la CAF linachezwa kama mechi moja iliyowekwa kwenye hatua ya upande wowote ambapo mabingwa wa Ligi Kuu ya CAF kuchukua nafasi ya timu ya "nyumbani".

Kwenye matokeo ya kiwango cha wakati wa kawaida, hakuna muda wa ziada unaoongezwa. Badala yake, penati zinapendelewa kama ilivyo kwenye kanuni ya Ligi ya Mabingwa Africa XXVII na Kombe la Shirikisho Africa na kanuni ya XXV.

Mkeka wa kwenye Gemu Zako Pendwa

Ratiba ya Kombe Kuu la CAF

Mchezo wa Kombe Kuu la CAF 2023 umepangwa kuchezwa tarehe 1 Septemba, 2023 saa 21:00 kwa saa za Africa Mashariki kama inavyooneshwa hapa chini.

Timu

Tarehe

Uwanja

Muamuzi

Al Ahly v USM Alger

1 Septemba, 2023

Cairo, Misri

Daniel Nii Larya (Ghana)

Fahamu uwezekano bora zaidi wa Kombe Kuu la Africa CAF kwa msimu wa mwaka 2023 kwenye masoko yote huko Parimatch. Pata matumizi bora ya kubeti kwenye tukio hili la kusisimua.

Timu za Kombe Kuu la CAF 2023

Tofauti ya ligi nyingine za kandanda barani Africa ambapo timu hutolewa kutoka kwenye aina mbalimbali za migawanyiko na kukusanywa kwenye mechi za makundi ya nyumbani na ugenini, waandaaji wa Ligi Kuu ya CAF ni wawili wa kwenye mashindano makubwa ya Soka la Africa kwenye fainali moja iliyopo.

Inashangaza, huu msimu waliofika fainali ni timu ya Kaskazini kwenye mataifa ya Africa; Al Ahly ya Misri v USM Alger kutoka Algeria.

Timu

Eneo

Sifa

Ushiriki wa Zamani

Al Ahly Sporting Club

UNAF-Africa Kaskazini

Washindi wa Ligi ya Mabingwa CAF mwaka 2022-2023

mara 10

USM Alger

UNAF-Africa Kaskazini

Washindi wa Kombe la Shirikisho la CAF mwaka 2022-2023

Hakuna

Beti Moja kwa Moja kwenye Kombe Kuu la CAF 2023

Al Ahly

Ilianzishwa mwaka 1907, Al Ahly SC ni moja ya vilabu bora vya mpira wa miguu duniani. Waite Nadi El Shayateen El Homr (The Red Devils); Al Ahly ni nguvu ya kuwa nayo na alishinda Ligi Kuu ya Misri inayotamaniwa.

Ubabe Al Ahly umewekwa kwenye mashindano ya ndani na kwenye hatua ya michuano ya bara, ambapo inashindana mara kwa mara kwenye mashindano ya CAF.

Ikiwa na mkusanyiko usio na kifani wa sifa, Al Ahly imepitia msimu wa ajabu na mafanikio ikilinganishwa na vilabu vingine kwenye ligi nyingine za kandanda. Ni kwa sababu hizo hizo ndipo klabu hiyo ilipopigiwa kura na CAF kuwa klabu ya Africa ya karne ya 20 kwa kubeba mataji yafuatayo;

  • Rekodi ya Mataji 11 ya Ligi ya Mabingwa Africa
  • Kombe 1 la Shirikisho Africa
  • Rekodi 8 za Kombe Kuu la CAF
  • Vikombe 4 vya Washindi wa Kombe la Africa
  • Ubingwa 1 wa Klabu ya Afro-Asia
  • Kombe 1 la Klabu Bingwa ya Kiarabu
  • Kombe 1 la Washindi wa Kombe la Kiarabu
  • Makombe 2 ya Kombe Kuu la Arab

USM Alger

Pia, inajulikana kama L'Ouled El Bahdja, USM Alger ni miongoni mwa klabu kongwe barani Africa ilianzishwa mwaka 1937. USM Alger ndiye bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Africa, baada ya kuichapa Young Africans S.C. mwishoni mwa mwaka 2023.

Kwa sasa anacheza Ligi ya Algeria Professionnelle 1, USM Alger ni mojawapo ya timu bora sana za kabumbu za Algeria ikiwa na vikombe vifuatavyo kwenye makabati yao.

  • Rekodi 8 za Ligi ya Wataalamu ya Algeria
  • Rekodi ya Vikombe 8 vya Algeria
  • Vikombe 2 vya Ligi Kuu ya Algeria
  • Kombe 1 la Shirikisho Africa
  • Kombe 1 la Klabu Bingwa UAFA

Pakua App ya Parimatch Ubeti kwenye Kabumbu

Kombe Kuu la CAF 2023 Kubeti Kabla ya Mechi Kuanza

Uwanja wa Kombe Kuu la CAF 2023

Ni dhahiri kwamba matarajio kama ya Kombe Kuu la CAF 2023 yana mbwembwe, tayari kuamsha hisia za mashabiki wetu wa Tanzania. Sisi Parimatch ni jukwaa lako la kipekee la kubetia kabla ya mechi kwenye mechi zote za kandanda za mataifa ya Africa.

Kama kituo kikuu cha kubetia michezo, tunaelewa shauku ambayo huletwa na Kombe Kuu la CAF. Je, mapenzi ya Al Ahly ni kuendeleza urithi wao kwa ushindi mwingine walioshinda hapo mwanzo? Unaweza kuwabetia vibonde wa USM Alger ili kutushangaza sisi sote na kudai utukufu wa mwisho? Kwa chaguzi zifuatazo, chaguzi ni zako kuzichunguza.

  • Matokeo ya Mechi
  • Handicap ya Asia
  • Masoko ya Over/Under
  • Timu Kufungana
  • Jumla ya Kona
  • Ushindi
  • Draw No Bet
  • Mfungaji wa Goli la Kwanza

Kama kutabiri mshindi ya mashindano ya Kombe Kuu la CAF 2023 au kufuatilia kwa kina kwenye maelezo ya kumbetia mchezaji, jukwaa letu limeundwa ili kushughulikia mikeka yako ya kandanda.

Kumbuka, kubeti kabla ya mechi ni kuhusu kufaidika zaidi na maarifa yako. Kwa kutumia jukwaa moja kwa moja na linalomfaa mtumiaji, Parimatch inahakikisha kwamba mechi yako ya awali inalingana na mkeka imewekwa kwa urahisi.

Aina zetu za njia za malipo hutoa mchakato laini na salama, hukuruhusu kuzingatia mashindano. Tunaamini kwenye kukupa zana za kufanya maamuzi sahihi zaidi.

Parimatch inahusu kupiga mbizi kwa kina kwenye takwimu, kuvinjari kupitia mambo ya hivi karibuni kwenye ratiba, na kupata vitu bora sana kwa kadri hatua inavyoendelea.

Beti Sasa Ushinde

Kubetia Kombe Kuu la CAF 2023 Moja kwa Moja

Ni muda wa kuinua ushiriki wako ukiwa na Kombe Kuu la CAF 2023 kupitia kubeti moja kwa moja. Shuhudia kila pasi, goli, na mabadiliko ya matukio ukiwa umeunganishwa kupitia matokeo ya moja kwa moja ya Kombe Kuu la CAF popote pale duniani.

Pamoja app yetu ya simu iliyopo, utashuhudia mabadiliko ya odds kwa kila goli, kona, na hoja ya kimbinu mchezoni. Tembelea tovuti yetu kupata mechi za Kombe Kuu la CAF na kufanya uzoefu wako wa kubeti uwe ni wa kukumbukwa.

Ratiba ya Kombe Kuu la CAF 2023

Ratiba ya Kombe Kuu la CAF 2023 ni kitu cha kutarajia. Hii ni kwa sababu ni ya kipekee kwenye ushindani na timu mbili tu; Al Ahly dhidi ya USM Alger ndani ya gemu ya mwisho, tofauti na makundi ya AFCON ambayo yana timu nne.

Kama ni marekebisho ya leo, au mechi zijazo, michezo yote iliyojaa matukio inaweza kufuatiliwa kwa urahisi kwenye Parimatch. Pamoja na takwimu kwa niaba yako, upo huru kujihusisha na michezo kwa kiwango kipya kabisa.

Weka Dau kwenye Kandanda Hapa

Fainali ya Kombe Kuu la CAF 2023

Kwa kuzingatia ukweli kuwa washindi wa Ligi ya Mabingwa CAF huchukua nafasi ya timu ya "nyumbani", ile Fainali ya Kombe Kuu la CAF 2023 itafanyika mjini Cairo, Misri tarehe 1 Septemba, 2023.

Matokeo ya Kombe Kuu la CAF

Kombe Kuu la CAF 2023 linaendelea na presha inazidi kupanda huku kila timu ikiwa na nia ya kuongeza vikosi vyake kulingana na hali yao ya sasa na takwimu zao.

Wakati RS Berkane aliposhinda mashindano ya mwisho, njaa ya Al Ahly ya kunyanyua kombe la michuano hii inaongeza safu ya ziada ya kuchuana kwenye mashindano.

Huku wachezaji kama Mohamed El Shenawy wakiwa walinda mlango na mchanganyiko wa Salah Mohsen na Walter Bwalya kama washambuliaji wa kati, wanatarajia vita vikali kwenye hii mechi.

Hata hivyo, USM Alger haiwezi kupuuzwa. Klabu hiyo inajivunia kuwa na washambuliaji wenye kiu ya magoli kama vile Abderraouf Othmani, na Tumisang Orebonye hivyo kuwa makini.

Jiunge Parimatch Ili Ubeti

Vidokezo vya Utabiri wa AFCON

Kuchambua Utabiri wa Kitaalamu

Boresha mkakati wako wa kubeti ukitumia maarifa kutoka kwenye ubashiri wa kitaalamu wa Parimatch. Nenda kwenye sehemu ya Uchanganuzi kwenye tovuti yetu ili kuufikia utabiri muhimu wa matukio ya mashindano.

Simamia Bajeti Yako kwa Hekima

Udhibiti mzuri wa bajeti ni muhimu. Weka mikeka yako kulingana na eneo lako la starehe za kifedha - chagua dau moja ukiwa na uwezekano wa 1.5 hadi 2.0 kwa kubetia kwa tahadhari.

Wabetie Wachezaji Nyota Wanaoongezeka

Angazia vipaji vinavyochipukia: zingatia kuweka mkeka kwa wachezaji nyota wanaochipukia ambapo uchezaji wao unaweza kubadilishwa kwa fursa nzuri za kubeti.

Soma Rekodi za Ana kwa Ana

Historia ni muhimu: chunguza mikutano ya awali ya timu ili kuelewa rekodi za uso kwa uso. Kutambua mambo na mitindo hutoa maarifa muhimu kwenye matokeo yanayoweza kulinganishwa.

Endelea Kufahamu Kuhusu Habari za Timu

Pata habari kuhusu timu, ikiwa ni pamoja na majeraha na mabadiliko ya safu, ambayo yanaweza kuathiri mienendo ya mechi. Kufahamishwa huhakikisha dau lako linapatana na matukio ya hivi punde kwenye uwanja.

Muhtasari

Furahia msisimko wa kubeti kwenye Kombe Kuu la CAF 2023 kwa uwezo wa taarifa popote pale ulipo.

Parimatch inatoa ubashiri wa kitaalamu, ushauri wa usimamizi wa bajeti, maarifa kuhusu nyota wanaochipukia, uchanganuzi wa rekodi za ana kwa ana, na habari za hivi punde za timu - yote hayo ni muhimu kwa mafanikio ya kimkakati ya kubetia kwenye ligi zote za kandanda za mataifa ya Africa.

Kupitia jukwaa letu linalowafaa watumiaji, unaweza kuvinjari na kufanya maamuzi sahihi.

Tembelea app yetu ya kubetia upate uzoefu wa kubeti bila kikwazo na uweze kubeti kistaarabu.

Jiunge Parimatch!

Maswali Yanayoulizwa Sana

Ni timu gani zipo kwenye Kombe Kuu la CAF 2023?

Timu zinazoshiriki, Al Ahly na USM Alger zinajiandaa kutoa tamasha lisilosahaulika, na kufanya michuano ya mwaka huu ya Kombe Kuu la CAF kuwa ni tukio la lazima kutazamwa na wapenzi wa kandanda wa kila mahali.

Kombe Kuu la CAF 2023 litaanza lini?

Michuano hiyo imeratibiwa kuanza tarehe 1 Septemba, 2023, na kuwapa mashabiki shindano linalosubiriwa kwa hamu na kuahidi kuwavutia watazamaji kote duniani.

Soma zaidi

  • Kombe la Shirikisho la CAF 2023–2024
  • Ligi ya Mabingwa Africa
  • Michuano ya Mataifa ya Africa CHAN
  • Ligue 1
  • Serie A
  • La Liga
  • Muongozo wa Kubetia Kombe la Dunia Klabu FIFA 2023-2024