welcome

Kila mtu amesikia kuhusu kubeti kwenye soka: ni aina ya burudisho, ambayo ni tofauti moja muhimu sana – inakuwezesha kupata pesa. Kwa hiyo, kwa wengi, kubeti kumekuwa chanzo muhimu cha mapato.

Kubeti soka nchini Tanzania kumekuwa maarafu sana na ni wakati wa kuzungumza kuhusu LaLiga, mojawapo ya ligi za kifahari zaidi za kandanda barani Ulaya na duniani. Haishangazi kwamba beti kwenye ubingwa huu hutolewa na karibu kampuni zote za kubeti.

Kwa mtazamo wa kwanza, kila kitu ni rahisi katika ubingwa wa ligi ya Uhispania: unahitaji kubeti kwenye ushindi wa Real Madrid au Barcelona, na utakuwa mshindi mkubwa. Hata hivyo, mishangazo kufanyika mara kwa mara. Hapa Parimatch, tuliunda ukurasa hii ili ujifunze zaidi kuhusu timu kuu katika La Liga pamoja na wachezaji ili uweze kufanya ubashiri sahihi na kubeti kwa busara. Habari inayofuata kuhusu La Liga itakuwa muhimu kwa wabashiri wapya na waliobobea.

La Liga 2020-2021

Kama ilivyoelezewa hapo juu, mashindano ya La Liga ni mojawapo ya mashindano ya kifahari zaidi na yanayosubiriwa kwa ghamu sio tu barani Ulaya bali duniani kote. Mwaka huu, mashindano yalianza tarehe 12 mwezi Septemba kwa mara yake ya tisini. Ili kufika kileleni na kulitwaa taji la ubingwa, vilabu 20 vya soka vya Uhispania vimeanza mashindano dhidi yao wenyewe. Katika mashindano haya, timu 17 bora kutoka msimu uliopita wa Ligi Kuu Primera Division,na wagombea 3 kutoka Ligi ya Pili, Segunda Division hushiriki.

Mpangilio wa La Liga 2020-2021

Kwa mujibu wa kanuni za shindano hili, kila klabu cha kandanda kina fursa ya kucheza dhidi ya wapinzani wake mara mbili (moja ya mechi hizi huchezewa uga wa nyumbani, na ya pili huchezewa ugenini).

Wakati wa msimu, timu za soka hukusanya pointi ambazo hubaini mshindi wa shindano hili. Mfumo wa kukusanya pointi ni rahisi iwezekanavyo: mshindi wa mechi hupata pointi tatu; iwapo kutakuwa na sare basi timu zote mbili hupata pointi 1, na mshindwa hukabia bila pointi zozote. Madhumuni ya shindano hili ni kutwaa nafasi ya kwanza kati ya timu nyingine zote za La Liga. Mechi ya mwisho imeratibiwa kuchezwa Mei 23, 2021.

Huenda ikawa umesikia kwamba kuna divisheni mbili nchini Uhispani zinazo zinastahili kutazamwa, ambazo ni Primera Division na Segunda Division (La Liga 2). Shirikisho la soka la Uhispania limeunda mfumo wa mashindano ambao unaruhusu vilabu kadhaa kutoka Segunda Division kupandishwa daraja na kushiriki katika shindano la La Liga. Ni timu tatu bora tu kutoka La Liga 2 ambazo huingia kwenye Ligi Kuu; na vilabu vitatu vyenye alama za chini kabisa huteremshwa ngazi kutoka divisheni kuu hadi ile ya chini.

Wakati shindano likiendelea, mvuto unazidi kuongezeka na wakati wa kuweka beti zako umewadia. Nenda kwenye tovuti rasmi ya Parimatch, angalia ratiba ya La Liga, na ujitayarishe kubeti kwenye mechi zote kali.

La Liga: Tengeneza Beti za Kabla ya Mechi

La Liga Live

Mbali na kubeti soka kabla ya mechi kuanza, kuna chaguo moja la kupendeza zaidi la kufanya mfumo wa kubeti kuwa wa kuvutia hata zaidi – kubeti mechi zinazoendelea. Ni rahisi sana kubeti kwenye mechi zinazoendelea na Parimatch kwa kuwa tovuti yetu inaweza kufuatilia mipangilio yote ya shindano na kutabiri kwa urahisi matokeo ya La Liga.

La Liga: Furahia Kubeti Mechi Zinazoendelea

Msimamo wa La Liga na Timu za Juu

Sasa kwa kuwa unajua mengi kuhusu ubingwa wa La Liga, ni wakati mzuri wa kuchambua kwa kina zaidi na kuangalia vilabu bora na wachezaji wa kandanda ambao bila shaka watakuelekeza kwenye ushindi. Wakati mwingine, sio uamuzi bora kubeti kwenye timu yako unayoipenda. Kwa sababu hii, ni muhimu kujua zaidi kuhusu vilabu vingine na wachezaji ili kuongeza nafasi zako za kushinda.

Real Madrid

Real Madrid ni klabu cha soka ya Uhispania kinachocheza La Liga na moja ya timu maarufu zaidi duniani. Walipigiwa kura kuwa klabu bora zaidi katika karne ya ishirini katika kura ya FIFA. Haishangazi kwa kuwa Real Madrid ijivunie vikombe na tuzo zaidi ya mia moja, ilizoshinda nchini Uhispania na pia kimataifa.

Barcelona

Barcelona, kwa kifupi Barca, ni klabu ya soka cha Kicatalani kutokea jiji la Barcelona. Kwa sasa, ni moja ya timu zenye nguvu zaidi katika soka ya Uhispania na duniani. Klabu hiyo imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania kwa mara 26, imeshinda Kombe la Uhispania mara 30, na mshindi wa Super Cup ya Uhispania mara 13. Barcelona pia imechukua ushindi mara tano katika mashindano ya kifahari zaidi ya Ulaya – Kombe la Ligi ya Mabingwa.

Atletico Madrid

Atletico Madrid ni klabu cha soka cha Uhispania kutokea jiji la Madrid. Ni mshindi wa mara kumi wa Ligi Kuu ya Uhispania. Klabu hii pia imeshinda Ligi ya Europa mara mbili, katika misimu ya 2009/10 na 2011/2012.

Sevilla

Klabu hii ya soka inajulikana kama moja ya timu zinazo onyesha matumaini zaidi katika ligi ya Ulaya. Katika historia yake yote, klabu hii imechukua taji la mshindi wa Ligi ya UEFA Europa mara sita. Aidha, Sevilla imeshinda Kombe la Uhispania mara tano, imetwaa Kombe la Super Cup mara moja, na Kombe la UEFA Super Cup mara moja.

Valencia

Valencia ameshinda ubingwa wa kitaifa mara sita. Ushindi wake wa mwisho ulikuwa mnamo mwaka wa 2004. Katika upambanuzi wa kihistoria wa Ligi Kuu, Primera Division, klabu hii inashikilia nafasi ya nne, nyuma ya Real Madrid, Barcelona, na Atlético.

Real Sociedad

Real Sociedad ni klabu cha soka cha Uhispania kilicho katika mji wa San Sebastian. Ilikuwa moja ya timu za kwanza katika Ligi Kuu, Primera Division ilipoanzishwa mwaka wa 1929. Timu hii ilichukuwa ubingwa wa La Liga mara mbili mwanzoni mwa mwongo wa 1980. Katika msimu wa 2002-03,

Real Sociedad pia ilichukua nafasi ya pili katika shindano hili.

Villarreal

Villarreal ni klabu cha soka cha Uhispania kutokea jiji la Villarreal, ikicheza katika Ligi Kuu, Primera Division. Timu hii imewahi fuzu kwa nusu fainali za Kombe la Ligi ya Mabingwa, pamoja na kushinda medali ya fedha ya shindano la Ubingwa wa Uhispania.

Wafungaji Mahiri na Wachezaji Bora katika La Liga

Ikiwa unataka kuongeza msisimko zaidi kwenye ubashiri wa soka na kufanya mchakato huu kuwa na manufaa zaidi, basi unahitaji kujua habari zaidi kuhusu wafungaji mabao mahiri wa La Liga kutoka vilabu bora vya soka vya Uhispania.

Lionel Messi

Lionel Messi ndiye mchezaji mashuhuri zaidi katika soka la kisasa na labda hata mchezaji bora wa soka wa wakati wote. Uvumilivu wake, uwezo wake wa kipekee wa kuwakepa walinzi wa upinzani na miondoko yake ya kushangaza itabaki milele katika kumbukumbu ya mashabiki. Amepewa tuzo nyingi, lakini Messi mwenyewe anadai kuwa hajazitilia maanani tuzo za kibinafsi, na kuwa jambo la muhimu zaidi ni mafanikio ya timu.

Eden Hazard

Eden Hazard ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji, kiungo wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji. Wachambuzi wa soka wameibua sifa ya mchezaji huyu kama "kiungo mshambulizi mahiri asiye na uoga ambaye anaweza kubadilisha mkondo wa mechi kwa pasi moja." Mbelgiji huyo pia alipachikwa jina la utani la "Jinamizi la Walinzi" kwa mtindo wake mgumu na usiotabirika wa kucheza. Hivi sasa, yeye ni sehemu ya familia ya Real Madrid.

Sergio Ramos

Mlinzi wa Uhispania na nahodha wa Real Madrid Sergio Ramos amewekwa sawa na mahasimu wa jadi Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao walipata umaarafu wa uchezaji wa soka duniani wakati wa enzi zao. Wataalamu wanamtaja Sergio Ramos miongoni mwa walinzi wenye nguvu zaidi wa kizazi chake na viongozi wa timu wenye mafanikio mengi zaidi.

Luis Suarez

Watu wengine humuita Luis Suarez mwendawazimu asiye sawa, huku wengine wakimuona kama mrithi wa mwanasoka hodari Lionel Messi. Kwa miaka kadhaa, hamu yake ya kushinda inayopakana na uazimu imemsaidia Muruguay huyu kuishikilia nafasi yake kama mshambuliaji tegemeo wa FC Barcelona.

Antoine Griezmann

Antoine Griezmann ni mchezaji wa soka wa Kifaransa, mshambuliaji wa zamani wa Atletico Madrid, na kwa sasa ni mchezaji wa safu ya ushambulizi ya Barcelona na timu ya taifa ya Ufaransa. Yeye ni mmoja wa wachezaji bora zaidi msimu wa sasa wa La Liga.

Philippe Coutinho

Philippe Coutinho Correia ni mchezaji maarufu wa soka kutoka Rio de Janeiro, Brazil. Mnamo mwaka wa 2008, Internazionale ya Italia ilimsajili mwanaspoti huyu akiwa na umri wa miaka 16 kutoka Vasco da Gama. Kipaji cha Coutinho kilikadiriwa kuwa zaidi ya € 3 milioni.

Ansu Fati

Mchezaji huyo mwenye kipaji cha soka Ansu Fati amekwea vyeo kwa haraka ajabu hadi kwenye kikosi kikuu cha Barcelona. Wakati huo huo, aliweka rekodi kadhaa, kuwa mchezaji limbukeni mchanga zaidi wa klabu hiyo ya Uhispania baada ya Vicente Martinez.

Karim Benzema

Karim Benzema ni mchezaji wa soka wa KIfaransa, mshambuliaji wa Real Madrid, na timu ya taifa ya Ufaransa. Karim alijitengenezea jina lake katika Klabu cha Soka cha Lyon, ambao alishinda nao mataji manne ya ligi na pia alifikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Ligi ya Mabingwa. Baada ya msimu mzuri wa 2008/09, ambapo Benzema alitikisa nyavu mara 17, kulikuwa na ofa kutoka Real Madrid ya euro milioni 35. Kikombe cha kwanza alichokishinda Karim huko Real Madrid kilikuwa Kombe la Uhispania mwaka wa 2011, na mwaka wa 2014, Mfaransa huyo aliinua Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya juu ya kichwa chake kwa mara ya kwanza.

Joao Felix

João Felix alifika fainali ya Ligi Mabingwa ya Vijana. Akiwa mtoto, alifanya mazoezi katika akademia ya Porto kwa miaka saba lakini aliachiliwa kwa kuwa na mwili mdogo. Lakini sasa anaichezea Atletico Madrid. Wachezaji hawa wa soka wanapenda sana bila shaka yoyote. Lakini kuna wachezaji wengine wachache wanaopaswa kufuatiliwa, ikiwa ni pamoja na Mikel Oyarzabal, Iago Aspas, Gerard Moreno, Paco Alcácer, Joao Felix, na Luis Suarez. Kuanzia Desemba 2020, wanachukua nafasi za mbele katika orodha ya wafungaji bora wa La Liga.

Kubeti La Liga na Parimatch

Maarifa ni nguvu, na sasa umeelimika zaidi kuhusu timu za soka za Ligi Kuu ya Uhispania, wachezaji wake bora, na kadhalika. Ili kutumia maarifa haya, unaweza kujaribu kubeti kwenye soka na Parimatch.

Bila shaka, majukwaa mengi ya Kiafrika yanatilia maanani kubeti kwenye soka lakini hizi ni sababu kadhaa mbona unapaswa kuchagua Parimatch kama huduma aliyeaminika zaidi:

  • Parimatch inatoa jumla ya makisio ya beti ya juu zaidi ya yote sokoni;
  • Programu yetu ya simu inakurahisishia kuweka beti kwenye timu unazozipenda;
  • Idara yetu ya huduma kwa wateja infanya kazi masaa 24;
  • Kiwango cha chini sana cha pesa unazohitaji kuweka katika Parimatch;
  • Kutoa pesa ni rahisi na haraka.

Si hivi ndivyo vitu ambayo kila mchezaji wa beti anahitaji? Parimatch hutoa habari zote muhimu na jumla nzuri ya makisio ya beti ili kuongeza nafasi zako ya kushinda na kukuletea faida nzuri.

Soma Zaidi: