Marekani ikiwa ndiyo nyumbani kwa wapenzi wengi zaidi wa baseball, lakini kiujumla baseball umekuwa ni mchezo unaozidi kupata umaarufu zaidi duniani kote, Kuanzia Mexico, Japan na Taiwan, kuzidi kunogesha kuongezeka kwa umaarufu wa baseball, Parimatch inatoa fursa ya kubeti kwenye kwa watumiaji wake wote.
Weka mkeka kwenye michezo mbali mbali ya Major League Baseball (MLB), cheza kwenye kombe la dunia la baseball au uzidi kufaidi mkwanja kwa kubeti kwenye mashindano ya dunia ya Big League, Michuano yoyote ya baseball inakuvutia wewe utaipata Parimatch kwenye app ya michezo ya kubashiri.
Ukiwa unataka kuweka beti kwenye michezo ya kijanja ya baseball basi umekuja mahala sahihi, tunawapa nafasi kwa wadau wote wa kmichezo ya kubashiri kutoka pande zote za nchi kubashiri na kushinda kwenye michezo mbali mbali ya kimataifa ya baseball, utapa odds kali na za kuvutia kwa kubofya mara moja tu.
Odds Gani ndiyo za Kijanja zaidi Kubeti Kwenye Baseball
Ukiwa unajaribu kuchanganua ni odds gani ndiyo kali zaidi kubeti kwenye baseball, lazima utulie na kuchambua odds zote kwanza. Parimatch imekurahisishia kujua ni odds gani ndiyo zenye faida zaidi kwa kutumia decimali.
Ili kuweza kujua ni wapi unatakiwa uweka pesa zako unapokuwa ubabeti kwenye baseball, inakubidi ujue kwanza ni kwa jinsi gani baseball betting odds inavofanya kazi, sheria ya kwanza zaidi ni odds chache zinamaanisha uwezekanao mkubwa wa kushinda lakini faida kuwa ndogo, odds kubwa zinamaanisha uwezekano mdogo wa kushinda lakini faida ni kubwa ukishinda.
Ukiwa unajaribu kubashiri matokeo, mara nyingi odds ndogo zinamaanisha timu hiyo ndiyo yenye nguvu zaidi na huku odds kubwa zikiashiria udhaifu wa timu husika. kama kukiwa na utofauti mkubwa sana kati ya odds hili linamaanisha, timu kubwa ina uwezekano mkubwa sana wa kushinda.
Odds pia zinaonyesha ni kiwango gani cha pesa kinaweza kutengenezwa kwenye mchezo husika, mbina sahihi ya kufaidi kubeti kwenye baseball ni kutafuta timu zenye uwezekano mkubwa wa kushinda lakini zikiwa na odds kubwa kiasi ili uweze kupata faid kubwa kwenye kila mkeka.
Kupiga hesabu ya faida, zidisha odds mara dau kisha toa dau lako la awali, kwa mfano; umweka beti ya 10,000 TSH kwa timu yenye odds 1.02 kushinda, unatakiwa uzidishe 10,000 mara 1.02 utapata 10,200 TSH na faida kidogo sana ya TSH 200 tu.
Upande mwingine kama odds zikiwa 2.20, utapata malipo ya 20,2000 TSH na utapata zaidi ya mara mbili ya dau lako la awali. Hapa utapata angalau faidi.
Michuano Gani ya Baseball ya Kufuatilia?
Parimatch inafurahi kuwapa watumiaji wake fursa ya kubeti kwenye michuano mbalimbali ya Baseball duniani kote.kuweka mikeak ya ushindi ni lazima ufuatilia matokeo ya ushindi ya timu yako pendwa, angalia listi hii ya mashindano yote makubwa ya baseball. Mashindano ya Baseball nchini marekani
Michuano mbalimbali ya kuvutia nchini marekani kuanzia Major league baseball, state leagues na mengine yanahusisha:
- Major League Baseball (MLB)
- Alaska Baseball League
- California Collegiate League
- New York Collegiate Baseball League
- West Coast League
- Cactus League
- Texas League
- Continental Baseball League na mengineyo
Mashindano ya Baseball ya Kimataifa
Michuano mbali-mbali ya baseball duniani kote ni kama ifuatayo:
- The World Series
- The Baseball World Cup
- World Baseball Classic
- Caribbean Series
- Intercontinental Cup na mengine mengi
Ligi za Baseball za Ndani ya Nchi
Marekani sio nchi pekee inayofanya vizuri kwenye mashindano kuandaa na kuongoza mashindano ya baseball, ligi ziko nyingi duniani kote:
- Japan’s Central League
- South Korea’s KBO League
- China National Baseball League
- Baseball League Austria
- Switzerland’s Nationalliga
- Italian Baseball League
- Irish Baseball League and many more
Baseball kwenye Michuano ya Michezo ya Mchanganyiko
Baseball inavozidi kupata umaarufu duniani kote, mchezo huu unazidi kuhusishwa kwenye mashindano mbali-mbali ya michezo ya mchanganyiko:
- The African Games
- The Asian Games
- The Summer Olympics
- The Southeast Asian Games
- The Pan American Games
- The Pacific Games
- The World Games, and more.
Je, ni aina Gani ya Masoko ya Baseball yapo Parimatch?
Parimatch imejizatiti kutoa nafasi kwa kila mteja wake kucheza kwenye michuano mbali mbali ya baseball, kuanzia money bets hadi handicap bets, Parimatch wana masoko mengi za baseball kwa upana wake kwa wateja wake wote.
Moneyline (Kushinda) Baseball Bets
Moneyline bets ni rahisi sana kuelewa, unachotakiwa kufanya ni kuweka beti yako kwenye timu ambayo unaamini itashinda, bila kusahau unaweza ukatumia ukubwa au udogo wa odds kubashiri nani atashinda.
Runline (Handicap) Baseball Bets
Hapa timu moja inapata faida ya kunadharia ya kutangualia kwa alama 1.5 hadi 2.5, ambayo inadhiri odds zao.
Total Baseball Bets
Total bets inahusisha kubeti kwenye idadi kamili ya runs ambayo timu husika itapara kwenye innings 9. Bookmaker anatoa numba ambazo zitawakilisha idadi ya run kwenye mchezo husika kwa kutumia takwimu, wabashiri wanabeti kama idadi ya runs itakuwa juu au chini ya hii namba
Kwanini Ubeti kwenye Baseball na Parimatch?
Parimatch tunakitahidi kadri tuwezavyo wewe uzidi kufrahia kubeti na kushinda kiulaini, ukiachana na baseball tunakupa nafasi ya kubeti kwenye American football, masumbwi, UFC, na volleyball, vile vile michezo ya kielektroniki na virtual sports.
Mchezo wowote unautaka upo, huku ukicheza kwa dau dogo na ukifurahia malipo ya haraka zaidi kuliko kwingine kote. Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari muda wote kukuhudumia na kutatua changamoto mbali mbali. Jiunge na Parimatch leo!