NFL. Msimu wa kawaida ยท 1
1
1.48
2
2.75
Beti kwenye Mpira wa Miguu wa Kimarekani Tanzania
Mpira wa miguu wa Kimarekani ni mchezo maarufu sana nchini Marekani. Hata hivyo, si watu wote wanafahamu kuwa una uwepo wa kimataifa pia. Kuna ligi nyingi za kandanda la Kimarekani, ndogo kuliko NFL, duniani kote, ikiwemo zilizopo Ulaya (Ujerumani), Asia (Japani), Australia, na Afrika. Kubeti kandanda la Kimarekani ni maarufu pia duniani kote miongoni mwa mashabiki wanaofurahia mchezo huu.
Wakati hakuna ligi ya kandanda la Kimarekani iliyozinduliwa nchini Tanzania, mchezo huu ni maarufu nchini. Mwaka 2011, Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza ya Kiafrika kuwa mwenyeji wa mchezo wa mpira wa miguu vyuoni kwenye Global Kilimanjaro Bowl. Baadhi ya watu walisubiri kwenye mistari kwa zaidi ya masaa 3 ili kuangalia mchezo huu, hii inamaanisha kuwa kuna mashabiki wanaopenda aina hii ya kandanda la Kimarekani nchini.
Watanzania wanapenda pia kubeti kwenye kandanda la Kimarekani, kitu ambacho hakishangazi — mchezo una ushindani sana, na mechi za mara kwa mara, mtazamo wa kimbinu nyuma yake, na wachezaji wenye vipaji utakaotaka kuwashangilia. Parimatch inatoa njia rahisi na salama ya kushiriki zoezi hili pia. La zaidi, ni kwamba ni halali kabisa, na tunatoa baadhi ya nafasi nzuri zaidi za kandanda la Kimarekani kwenye soko.
Zipi ni Nafasi Nzuri Zaidi za Kubeti kwenye Mpira wa Miguu wa Kimarekani?
Zipi ni Nafasi Nzuri Zaidi za Kubeti kwenye Soka la Kimarekani? Kabla ya kuanza kuweka beti za mpira wa miguu wa Kimarekani wewe mwenyewe, inabidi ujifunze zaidi kuhusu aina zote za kubeti, ipi ina nafasi nzuri zaidi za kushinda na ipi inaahidi tuzo kubwa zaidi. Kuna njia nyingi tofauti ambazo unaweza kuweka beti kwenye timu yako pendwa ya mpira wa miguu wa Kimarekani, hivyo hebu tuangalie nafasi maarufu zaidi.
Kushinda
Aina hii ya kubeti ni rahisi kama inavyoisikia — unachagua tu timu ambayo unafikiri inakwenda kushinda mechi na unaiwekea kiasi cha pesa unachotaka. Ni ya wazi na inayoeleweka, kwa hiyo kama wewe ni mpya katika masoko ya kubashiri soka la Kimarekani, itakubidi uanze na aina hii ya beti.
Kubeti kiujumla
Kubeti kiujumla (pia inajulikana kama kubashiri juu ya — chini ya) pia ni aina rahisi ya kubeti. Kuweka bashiri, unahitaji kuamua, kama jumla ya pointi zilizofungwa wakati wa mechi zitakuwa kubwa zaidi (juu ya) au ndogo zaidi (chini ya) kuliko namba fulani ya uchaguzi wako.
Wakati kuna mengi zaidi ya kuzingatia wakati wa kubeti kwenye alama ya jumla, kwa kawaida pia kuna tuzo nyingi zaidi kama ukiweza kushinda. Kwa hiyo, unahitaji kupima kwa uangalifu hatari dhidi ya tuzo. Pia kuna machaguo mengi zaidi ya wewe kuchagua kulingana na aina ya kubashiri iliyopita, ambayo inakupa uthibiti zaidi juu ya nafasi.
Kubeti punguo
Kubeti mpira wa miguu wa Marekani kwa punguo hakuna tofauti na aina sawa za beti zinazowekwa kwenye michezo mingine. Ni ngumu kidogo zaidi kuliko aina nyingine za beti zilizotajwa kabla, hivyo acha tuipitie kwenye mfano wa mechi. H
ebu tuangalie mechi kati ya New England Patriots na Denver Broncos. Nafasi kwa Patriots ni 1.21, na kwa Broncos ni 4.90. Ukitumia namba hizi, unaweza ukaamua kirahisi uwezekano wa kila timu kushinda kwa kugawanya 100 kwa nafasi. Hii inamaanisha kuwa Patriots wana karibia 80% ya nafasi ya kushinda na ndio wapendwao katika mechi hii, na Broncos wana nafasi ya asilimia 20 (20%) ya kupata ushindi na ndio dhaifu.
Namna kubashiri punguo kunavyofanya kazi ni kuwa dhaifu wana punguo chanya na wapendwao wana punguo hasi. Kama una uhakika kuwa New England watashinda na tofauti ya alama itakuwa pointi 8 au zaidi, utawabetia na punguo la -7.5.
Unabeti Vipi kwenye Mashindano ya Soka la Marekani?
Wakati kuna mashindano madogo mengi ya mpira wa miguu wa Marekani duniani kote, hamna kati ya hayo ambayo ni ya kitaalamu na yaliyojaa matukio kama ambayo yanafanyika Marekani. Kwa hiyo, kama unataka kufurahia kuangalia na kubeti, weka umakini kwenye mashindano yafuatayo.
NFL
Ligi ya Kitaifa ya Mpira wa Miguu, au NFL, ndio ligi kubwa zaidi duniani ya mpira wa miguu wa Marekani. Yakiwa na timu 32, mashindano haya daima yanafurahisha kuyafuatilia. Msimu wa NFL huanza baada ya Jumatatu ya kwanza ya Septemba na huisha karibu na Krismasi. Kwa hiyo, usikose kinyang’anyiro hiki. Michezo kwa kawaida huchezwa Jumapili, kwa hiyo usikose nafasi yako ya kubashiri na kushinda kwenye fursa nyingi.
Super Bowl
Ingawa Super Bowl ni sehemu ya NFL, mashindano haya yanastahili kutajwa yenyewe. Ni moja ya matukio ya kimichezo makubwa zaidi duniani na matangazo ya televisheni ya Kimarekani yanayoangaliwa zaidi kwa mwaka. Kubeti Super Bowl ni miongoni pia mwa makundi maarufu zaidi ya beti.
Super Bowl inachezwa Jumapili ya kwanza ya Februari, kwa hiyo fuatilia timu zako pendwa na tengeneza pesa kwa kuzibetia kwenye Parimatch.
NCAA
Kama matukio yaliyoelezewa sio ya kutosheleza kwako, unaweza ukajaribu kufuatilia mpira wa miguu wa Marekani wa chuo. Michezo ya chuo mara nyingi inavutia kushangilia kama michezo ya kitaalamu, lakini nafasi zake ni ngumu zaidi kukokotoa, sababu wachezaji hawajulikani vizuri na hawachezi mara nyingi kwenye macho ya hadhira ili kujua kuhusu juzi zao. Na zaidi, ijapokuwa kuna shirikisho moja nyuma ya timu za chuo (NCAA, au Shirikisho la Wanariadha wa Vyuo la Kitaifa), wao sio waandaji rasmi wa mashindano, kwa hiyo wanaweza kuwa ngumu kuwafuatilia.
Dondoo za Kubeti kwenye Mpira wa Miguu wa Kimarekani
Kugundua nafasi za mpira wa Marekani na kutabiri matokeo ya mechi ni kazi yenye changamoto, lakini ndio unayotakiwa kuimudu kama unataka kufanikiwa kwenye kubeti mpira wa miguu wa Marekani. Sababu nyingi zinaweza zikashawishi matokeo ya mchezo, kwa hiyo haya ndio unayohitaji kuyazingatia na kutathmini zaidi:
- Tathmini timu zote mbili zinazocheza — Mafanikio na makosa yaliyopita ya kila mchezaji wa timu zote yanaweza kukwambia mengi kuhusu matarajio ya matokeo ya mechi;
- Tathmini majeraha — mpira wa miguu wa Marekani ni mchezo uliojawa kugusana kwa miili ya wachezaji, kwa hiyo matukio ya majeraha yanatokea sana. Kama moja ya timu ina wachezaji waliojeruhiwa, timu hiyo haitakuwa kwenye nafasi nzuri na unapaswa kujuwa l kuhusu hilo;
- Zingatia nani anacheza nyumbani na nani anacheza ugenini — wachezaji wakipata hamasa kutoka kwa mashabiki wao wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani, wataweza kucheza vizuri zaidi ya uwezo wao;
- Angalia utabiri wa hali ya hewa — hali ya hewa huathiri hali ya uso wa uwanja, ambayo inaweza kuathiri mchezo kwa namna zisizotabirika.
Kwanini Ubeti kwenye Soka la Marekani na Parimatch?
Masharti ya kubashiri mpira wa miguu wa Marekani ni sawa kwenye kila jukwaa ambalo linatoa bashiri za michezo huu. Kwa hiyo, kwanini uchague Parimatch? Hizi ni baadhi tu ya sababu:
- Tuna historia ya miaka 29 ya watumiaji walioridhika kutoka duniani kote
- Wekezo la chini linalohitajika ni dogo na malipo ni ya haraka
- Kuna nafasi ya wewe kushinda jakpoti kubwa kirahisi kwa kubeti tu
- Tuna huduma ya wateja ya kiwango cha juu ambayo ipo tayari kukusaidia
- Unaweza kubashiri kwenye michezo mingine mbalimbali kama soka, futsal, na raga. Na kama umeboreka na michezo ya spoti ya kitamaduni, unaweza ukajaribu kubeti kwenye esports.