ICC World Cup. Twenty20. ICC World Cup. Asia Region Qualifiers · 3
Timu za kitaifa. Test match · 1
1
4.95
2
1.17
Timu za kitaifa. Women. ODI Series (3 matches) · 1
1
9.99
2
1.03
Great Britain. County Championship · 9
1
1.70
2
2.03
1
2.30
2
1.53
1
1.76
2
1.94
1
1.54
2
2.48
1
2.68
2
1.40
1
2.24
2
1.57
1
1.45
2
2.50
1
1.41
2
2.64
1
1.84
2
1.84
Timu za kitaifa. Wanawake. ODI. 2nd ODI · 1
1
6.95
2
1.08
India. Uttar Pradesh T20 · 1
1
1.86
2
1.94
Kutokea kwenye misitu ya Uingereza, kriketi umekuwa mchezo wa kupenda duniani kote kwenye mashindano ya ndani ya ya kimataifa.Kuanzia kwenye kombe la dunia la kriketi hasi kwenye Ashes, sauti za magongo kupiga mpira na wachezaji kukimbizana na mpira kati kati ya wickets, mzuka huu unawafurahisha mashabiki wa kriketi na kuzidi kuvutia watu kubeti kwenye kriketi.
Kwa bahati nzuri, Parimatch inaelewa vilivyo mzuka ulioko kwenye mchezo huu na kutengeneza mazingira murua kwa wadau wa michezo ya ubashiri, kusuka mikeka yao kutoka kwenye viganja vya mikono yao.
Kwa kutoka odds za kuvutia na fursa mbalimbali za kubeti na kushinda kwenye kriketi, app ya Parimatch inakupa mkwanja wa kutosha kubeti kwenye michuano ya ndani na ya kimataifa ya kriketi kwa mafundi wa mikeka wa Tanzania.
Unazijua odds za kijanja kubeti kwenye kriketi?
Kama kuna kitu kimoja kinachovutia zaidi kubeti kwenye kriketi basi ni ukubwa wa odds zake, hii utaifaidi zaidi ikija kubeti kwenye michuano ya kimataifa. Kwa wakali wengi wa mikeka ya kriketi wanapenda zaidi kucheza moneyline bets, hii ni aina ya kubeti inayohusisha kuchagua mshindi wa mchezo husika.
Ujanja wa kujua nani anashinda, unahusisha uwezo wa kuzisoma odds za kriketi, faida ya kwa wakali wa mikeka Tanzania,Parimatch inatumia mfumo rahisi wa decimali. Ikifanya iwe rahisi sana kuchambua odds zetu za kriketi.
Lakini neno “odds kali” linamaanisha nini? Odds kali zinamaanisha kuwa na mkeka wenye uwezekano mkubwa wa kushinda na kukuletea faida. Ili tuweze kusema mkeka wako ni wa kifundi lazima uwe na uwezekano mkubwa wa kushinda huku ukikuletea faida nzuri.Hiyo ndio mbinu kuu ya kupata odds kali za kriketi, uzuri ni kwamba odds zote zinazopatikana kwenye parimatch zina ushindani mkubwa hivo kukupa nafasi kubwa ya kushinda na kupata faida.
Kitu cha kwanza cha kujua kuhus odds za decimali ni kwamba itakuonysha vitu viwili, kitu cha kwanza namna ya kushinda na utashinda kiasi gani,ukiwa unatafuta odds nzuri kwenye kriketi lazima uzingatie hivo vitu viwili, moja uwezekano mkubwa wa kushinda na cha pili kiwango au faida utakayopata ukishinda.
Tofauti na baadhi ya mechi za soka ambazo unaona uwezekano wa timu flani kushinda kwa zaidi ya 95%, kidogo ni tofauti kwa kriketi hivyo lazima uwe makini kwenye kufanya uchambuzi wako.
Njia rahisi ya kujua timu gani ina uwezekano mkubwa wa kushinda ni kuangalia odds, timu ikiwa na odds chache maana yake ina aminika zaidi na timu ikiwa imepewa odds kubwa basi unajua hao ndiyo wana uwezekano mkubwa wa kupoteza.
Ili ujue timu gani ina uwezekano mkubwa wa kushinda unachukua odds zake na kugwanaya kwa 100, ngoja tuangalie odds kwenye hizi timu mbili kutoka Australia, Melbourne Stars and Brisbane Heat
- Melbourne Stars — 1.68
- Brisbane Heat — 2.11
Kitu kingine unachoweza kujua kupitia odds ni kiwango utakachoshinda ukibeti. Ukiweka 10,000 TZS kwa Melbourne Stars na wakapata ushindi, nasi utaondoka na 10,000 TZS x 1.68 = 16,800 TZS, ambayo ni swa na faida ya 6,800 TZS. Ukibeti kiwango hicho hicho kwa Brisbane Heat, utajipatia 21,100 TZS na faida ya 11,100 TZS.
Hivyo basi, wzo zuri zaidi ni kubeti kwa timu yenye uwezekano mkubwa wa kushinda na pia kuwe na uwzekano mkubwa wa kushinda.
Je, ni aina Gani ya Masoko ya Kriketi Yanapatikana Parimatch?
Ukiwa unahitaji kutengeneza mkwanja kwa kubeti kwenye kriketi, Parimatch ina masoko ya kutosha kwajili yako, likija swala la kubeti kwenye kriketi mtandaoni basi hapao ndiyo mwisho wa matatizo yote.Parimatch ina wigo mpana wa masoko yake kote barani Afrika, haya ni baadhi ya masoko maarufu.
Kushinda
Zama Parimatch kuchagua mshindi wa mchezo husika wa kriketi mshiko usikupite, bia kushau odds zikiwa ndogo kwa timu fulani basi zinaashiri mshindi, lakini huu ni uwezekano tu sio uhakika, ndiyo kunanogesha mzuka wa kubeti
Jumla ya Runs
Hapa tunabashiri jumla ya idadi ya runs, aidha ziwe juu ya au chini ya kiwango kilichowekwa na mtu alitengeneza odds au kwa jina lignine bookmaker. Unaweza kubeti kwenye jumla ya runs kwa timu moja au kwenye mechi nzima.
Mshindi wa Droo
Hapa unabeti timu gani itashinda kwenye droo ya kabla ya mechi na timu gani itacheza bar ya kwanza na kuendelea, kucheza innings ya kwanza
Masoko ni mengi sana yanayotolewa kutegemeana na mechi yenyewe hivyo usiache kutembelea kurasa za Parimatch.
Beti kwenye Michuano yote ya Kriketi
Parimatch inajivunia kukuletea michunao kibao ya kriketi ya ndani na ya kimataifa ukiwa Tanzania, and kuwa fundi wa mikeka, inakubidi uwe mfuatiliaji wa michuano inayokuvutia ili kuziona fursa za kupata hela kupitia timu unayoikubali zaidi.
Furahia Michuano ya Kimataifa ya Kriketi
Chagua mashindano unayoikubali zaidi kati hii ya wanaume na wanawake ya kimataifa, yakihusisha:
- ICC Men's T20 World Cup
- ACC Twenty20 Cup
- ICC Women's World Twenty20
- 2020 Central American Cricket Championship
- European Cricket Championship
- ICC EAP Cricket Trophy (One Day International/ODI)
- Africa T20 Cup
- Women's Asia Cup and many more
Fuatili Ligi za Ndani na za Kimataifa za Kriketi
Kama unapenda michuano ya muda mrefu kama ligi, basi michuano hii itakufaa zaidi;
- Champions League Twenty20
- World Cricket League
- European Cricket League
- Afghanistan Premier League
- Indian Premier League (IPL)
- Mzansi Super League
- Lankan Premier League, and more
Furahia Kriketi Kwenye Mashindano ya Michezo Mchanganyiko
Kriketi inapatikana kwenye mashindano mengi ya michezo mchanganyiko mfano;
- The Asian Games
- The Commonwealth Games
- The Maccabiah Games
- The Summer Olympics
- The Pacific Games, and more
Kwanini Ubeti kwenye Kriketi na Parimatch?
Wataalamu wa kubeti wanaelewa ilivyo muhimu kuchagua kampuni sahihi ya kubeti ili usipoteze pesa zako, Parimatch ina vigezo vyote vya kuwa moja ya kampuni kubwa duniani za michezo ya kubashiri.
- Tuna uzoefu wa kutosha tukiwa sokoni kwa zaidi ya miaka 29 na tunajulikana kwa ubora wetu.
- Timu yetu ya huduma kwa wateja iko tayari kukusaidia muda wote kutimiza malengo yako.
- Unaweza kubeti kwa dau dogo na malipo yetu ni ya haraka sana
- App za Parimatch za iOS and Android zimetengenezwa kwa namna ya kukurahisishia wewe kucheza kwa utulivu wa hali ya juu.
- Ukiwa na Parimatch unaweza kucheza kwenye michezo mingi mno, kuanzia soka, baseball, badminton, na motor sports.