Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Dondoo 7 Bora za Kubeti kwenye Esports

Kubeti esports Afrika kunaongezeka, hususani Tanzania.

Sehemu ya sababu ni kutokana na ukweli kuwa Afrika kusini ni kiongozi wa dunia katika ubunifu na ukuaji wa michezo ya video — hivyo haishangazi kwamba kubeti esports kunazidi kuwa maarufu katika nchi jirani kama Tanzania.

Wakati inawezekana tayari unaifahamu michezo ya video, esports ni nini hasa? Esports (michezo ya kielektroniki) ni mashindano ya kuwezeshwa kwa kompyuta — au katika maneno mengine, uchezaji shindani wa michezo uliyoratibiwa kupitia video.

Tasnia ya esports ni tamaduni ndogo inayostawi ya sanaa ya michezo ya video na watu duniani kote wanaigeuza kuwa mtaji kwa kuweka mikeka yao mtandaoni na Parimatch.

Endelea kusoma kujifunza zaidi kuhusu kubeti esports pamoja na dondoo za kubeti esports zilizothibitishwa kutoka kwenye timu ya Parimatch ya kitaalamu ya kucheza kamari.

Kubeti Esports ni Nini?

Kubeti esports kunafanana na kubeti michezo ya kitamaduni, ni vile tu unayabetia mashindano ya mchezo wa video badala ya mashindano ya kiriadha.

Unaweza kubeti kwenye esports nyingi kwenye Parimatch, ikiwemo Dota 2, League of Legends, King of Glory, Starcraft, na Counter-Strike.

Bahati nzuri kwa wabashiri wa msimu, nyingi kati ya kanuni hizi hizi hutumika kwenye esports na michezo ya kiriadha.

Kwa mfano, tovuti ya Parimatch hutumia mfumo wa odds za desimali kwa esports na michezo ya kiriadha. Kwenye app yetu ya kubeti, unaweza pia kubadili kwenda kwenye mitindo mingine ya odds, ikiwa unazifahamu zaidi odds za fractional, American, au Hong Kong.

Matokeo yake, watu Tanzania, ambao tayari ni wabashiri michezo wenye uzoefu, wanaweza kubadilika kwenda kwenye dunia ya kubeti esports, bila ya kujifunza mfumo mpya wa odds.

Endelea kusoma kujifunza kuhusu aina tofauti za kubeti esports zinazopatikana kwenye tovuti ya Parimatch na app ya kubeti.

Jinsi ya Kubeti kwenye Esports

Kama wewe ni mwanafunzi kabisa inapokuja kwenye kubeti mtandaoni, usiwe na wasiwasi! Huu hapa ni mgawanyiko wa aina bora za kubeti esports zinazopatikana kwenye Parimatch na kila kitu juu ya jinsi zinavyofanya kazi.

Kubeti esports kwa moneyline

Katika soko la moneyline, unabeti kwenye nani unafikiri atashinda mechi.

Moneyline betting on eSports matches

Odds za desimali huakisi ni timu ipi inapendelewa kushinda. Timu yoyote yenye odds za desimali za chini zaidi ndio timu inayopendelewa. Utofauti kati ya odds za kila timu ni kiashiria cha ukaribu kiasi gani mechi hiyo inatarajiwa kuwa. Kadri odds zinavyokuwa karibu zaidi, ndivyo mechi inavyotabiriwa kuwa shufwa zaidi — na kinyume chake.

Kubeti esports kwa totals

Kama jina linavyopendekeza, katika soko la total, unabeti kwenye ikiwa unafikiri jumla ya kiasi cha kitu fulani kinachotokea kitakuwa juu ya/chini ya tarakimu ambayo meneja ubashiri amekuja nayo. Kwa mfano unaweza kubeti kwenye jumla ya mauaji, jumla ya mizunguko inayochezwa, jumla ya mizunguko ya kushinda katika njia fulani, n.k….

Mbashiri anaweza kubeti kwenye mwenendo wa mchezo, kwa uhuru kabisa kutoka kwa mshindi au mshindwaji wa mechi.

Totals eSports betting

Kubeti esports kwa handicap

Katika soko la handicap, meneja ubashiri hutumia faida au hasara pepe kwa moja ya timu katika jitihada ya kusawazisha odds. Matokeo yake, mechi iliyo mara moja egemea upande mmoja inakuwa ya kushawishi zaidi kwa mbashiri.

Handicap bets on Parimatch

Kwa mfano, katika mtindo wa mzunguko wa bora kati ya 7, meneja ubashiri atatumia handicap katika mtindo wa kuongoza mzunguko. Kimsingi, timu dhaifu inapewa uongozi kabla hata mechi haijaanza. Odds zitachezeshwa vivyo hivyo kuakisi faida/hasara iliyopepwa kwa kila timu.

Dondoo na Mbinu za Kubeti Esports

Wakati unapobeti kwenye esports ni muhimu kutengeneza mbinu. Zingatia dondoo na mbinu hizi kuongeza nafasi zako za kushinda.

1. Cheza mchezo unaoubetia

Kamwe si wazo zuri kufanya uamuzi muhimu juu ya mada usiyojua mengi kuihusu. Vivyo hivyo ni kweli wakati wa kubeti kwenye esports. Ni muhimu kujenga maarifa yako ya kiujumla ya mchezo kabla ya kuubetia.

Baadhi ya esports maarufu zaidi zina kanuni ngumu, namna mbalimbali za mchezo, madaraja ya kipekee ya mhusika, na mambo mengine kadhaa ya kuzingatia. Ili kuweka mikeka erevu kiufanisi unahitaji kujizoeza na mchezo.

Jiweke katika viatu vya manguli kwa kucheza mchezo wewe mwenyewe. Si tu utakuwa na uelewa mzuri zaidi wa kanuni, lakini pia utaanza kuelewa adha na mwenendo wa mchezo — ili uweze kuweka mikeka iliyoshiba zaidi.

Kadri unavyojizamisha zaidi katika mchezo ndivyo utakavyouelewa vizuri zaidi. Bila kutaja, wakati ujao mtu akikusikitikia kwa kucheza michezo mingi sana ya video, unaweza tu ukamwambia unafanya utafiti!

2. Tazama wanaojirekodi wakicheza esports mtandaoni

Pamoja na kucheza esports wewe mwenyewe, unapaswa pia kuwatazama wachezaji bora wakicheza. Sehemu ya kuuelewa mchezo ni kujua jinsi mpinzani anavyoshindana.

Unaweza ukacheza mchezo kwa njia moja lakini mshindani wako anaweza kucheza kwa mbinu tofauti kabisa kufikia matokeo hayo hayo. Jenga maarifa yako ya mbinu zote tofauti wachezaji wanazotumia kufikia lengo lao la mwisho.

Kwa kuangalia namna mashindano yanavyochezwa kwa kupitia lenzi tofauti itasaidia kupanua mtazamo wako na kukusaidia kufanya tabiri za busara zaidi.

Kama bonasi ya nyongeza, wengi wanaojirekodi wakicheza mubashara hutoa ufafanuzi na dondoo zenye msaada kukupa uelewa mzuri zaidi wa uchezaji wao wa mchezo.

Ni rahisi kuwapata wanaojirekodi wakicheza esports kwenye huduma maarufu za kustream kama Twitch, Mixer, na YouTube.

3. Pata taarifa kutoka kwenye jumuiya ya michezo

Esports ina jumuiya ya mtandaoni imara sana, ambayo ni sababu moja kwanini kubeti kwenye esports kumekuwa maarufu mno.

Kulinganisha na michezo mikubwa ya kawaida kama mpira wa miguu na mpira wa magongo, idadi kubwa sana ya watu wana uzoefu wa moja kwa moja wa kucheza esports kwenye kiwango cha juu sana. Matokeo yake, kuna utajiri wa taarifa zenye thamani kusaidia kufahamisha kubeti kwako esports.

Tafuta nyuzi mtandaoni zenye wabashiri mnaofanana kimtazamo wakishirikisha dondoo za kubeti esports, maoni, uchambuzi, na aina nyingine za ufahamu. Unaweza hata kuchapisha swali maalum au mada inayohusiana na tukio unalovutiwa kulibetia.

Itumie jumuiya kukusaidia kupata uelewa wa kina zaidi wa ulimwengu wa kubeti esports.

Pamoja na ngome ya mashabiki iliyochangamka kama hii ni uerevu kuunganisha nguvu na kukusanya taarifa nyingi kutoka kwa wengine wanaobeti kwenye esports katika jitihada ya kuongeza nafasi zenu za mafanikio.

4. Zisome odds

Ufahamu wote ulimwenguni hautakufanyia mazuri sana kama hauelewi jinsi odds za sportsbook ya esports zinavyofanya kazi.

Kwa chaguo-msingi, Parimatch hutumia odds za desimali kuamua timu pendwa, kukokotoa implied probability, na kuonyesha shindi zinazowezekana. Hata hivyo, pamoja na app yetu ya kubetia, unaweza pia kubadili kwenda kwenye mitindo mingine ya odds, kama vile odds za fractional, American, au Hong Kong.

Mikeka kamili ya esports ni ile ambayo hutoa hatari ndogo, pamoja na malipo makubwa. Unahitaji kujielimisha juu ya jinsi odds za kubeti esports zinavyofanya kazi ili kwamba uweze kuzibaini mikeka yenye thamani kubwa.

Kwa kutumia maarifa yako ya mchezo na kuyalinganisha na odds kutoka kwa meneja ubashiri, utakuwa na wazo la wazi zaidi la mikeka ipi italipa.

Labda baada ya utafiti wako wote juu ya mechi maalum inayokuja, umeweza kuamua, kwa kujiamini, kuwa moja ya timu ni pendwa sana — lakini unapokwenda kuangalia kwenye moneyline, unaona kuwa odds ziko karibu sana. Hongera, umejitafutia chaguo la thamani.

5. Weka umakini kwenye vikosi

Kama tu michezo ya kitamaduni, kikosi cha siku ya mechi kinaweza kubadilika. Wachezaji wanaweza kuuzwa, kuwekwa benchi, kuondolewa, au kuachwa nje ya kikosi kwa sababu nyingine mbalimbali.

Hakuna kitu kinachofedhehesha zaidi kuliko kubeti kwenye timu za esports kushinda kuja kujua kwamba mchezaji wao nyota yuko nje kwa sababu anaumwa mafua. Unaweza kuondoa uwezekano wa hili kutokea kwako kwa kuzifahamu tu habari za hivi karibuni.

Vyanzo vipya vya taarifa kuhusu esports za kitaalamu vinaibuka kila siku. Nenda kwenye tovuti rasmi za timu zote mbili na angalia taarifa mpya. Unapaswa pia kuwa unaangalia mara kwa mara tovuti rasmi ya ligi au mashindano maalum unayoyawekea mikeka ya esports. Hii itakusaidia kuona mabadiliko yanayofanywa kabla ya wakati.

Hakikisha kuwa unaweka umakini kwenye habari zote zinazoihusu mechi kabla ya siku ya mchezo ili kwamba usifichwe ukweli kwenye siku hiyo.

6. Zingatia kiwango cha hivi karibuni cha timu

Ungebeti kwenye timu za esports ambazo zimekuwa hazifanyi vizuri hivi karibuni, au una uwezekano mkubwa wa kubeti kwenye timu ambayo uchezaji wake umekuwa ukipita matarajio?

Kwa ujumla, ni uerevu zaidi kuiunga mkono timu ambayo imekuwa inaelekea kwenye mafanikio badala ya timu ambayo iko kwenye mwelekeo wa kupoteza.

Mafanikio hujenga kujiamini na kujiamini hupelekea mafanikio. Mzunguko huu huthibitisha ukweli katika ulimwengu wa kubeti esports, namna ile ile unavyotumika kwenye maisha ya kila siku.

Ingawa, kuwa na ufahamu wa pointi ya timu kubadilika. Sawia na namna ambavyo mafanikio huchochea kujiamini, kushindwa kunaweza kukuza dhamira.

Kupoteza hakufurahishi na mwishowe timu za esports huwa zinachoka sana kwa kushindwa kiasi kwamba hufanya juu chini kupata ushindi. Pamoja na dhamira yote hiyo ya ziada, timu zilizo kwenye mwelekeo wa kupoteza hatimaye zitapata tena ushindi.

Jaribu na ingia katika akili za washindani. Licha ya esports kuwa shindano la kidijitali, ni binadamu ambao wanadhibiti kinachotokea kwenye skrini. Timu iliyopoteza ilionekana imevunjika moyo baada ya kupoteza kwao au wanaongelea kuhusu kurudi kwa nguvu katika mahojiano ya baada ya mechi?

Kumbuka mchezo wa hivi karibuni wa timu zote mbili maana husaidia kama kiashiria cha wazi cha uchezaji wao katika mechi zinazokuja.

7. Tafiti takwimu

Bila kuwa kamwe umeiona timu ikicheza, takwimu zake kutoka mechi zilizopita zitakupa ishara ya mtindo wao wa uzechaji.

Huu hapa ni mfano wa jinsi takwimu zinavyoweza kushawishi jinsi unavyobeti kwenye esports:

Tuseme unavutiwa katika kubeti kwenye esports kwenye jumla ya idadi ya mauaji katika mechi. Unatakiwa kuamua kama idadi ya jumla ya mauaji itakuwa juu ya/chini ya tarakimu ambayo meneja ubashiri ametoa.

Mbinu nzuri ya kubeti esports ingekuwa kuangalia wastani wa mauaji wa kila timu kutoka kwenye mechi zilizopita, kujumlisha wastani hizo, na halafu kulinganisha idadi hiyo na jumla ya meneja ubashiri.

Kama wastani wa jumla wa mauaji ni mkubwa zaidi kuliko idadi iliyowekwa kabla na meneja ubashiri, kubeti kwenye over kungekuwa na maana.

Historia hujirudia yenyewe vile vile? Hapana, lakini huendana. Chukua muhtasari wa karibu wa takwimu za timu pindi unabeti kwenye esports, lakini usiibetie shilingi yako ya mwisho.

Badala yake, tumia namba hizi kama zana na ziunganishe na maarifa yako yote mengine ya mchezo kuweka mikeka ya ushindi.

Taarifa zaidi kuhusu Kuweka Dau kwenye Esports:

Tumia Mbinu za Kubeti Esports kwenye Patimatch

Hatua ya mwisho kuelekea uzoefu wa kubeti esports uliokamilika ni kuchagua sportsbook sahihi.

Parimatch hutoa aina pana zaidi za kubeti esports Afrika — pamoja na machaguo ya kubeti mataji maarufu kama League of Legends, Counter-Strike: Global Offensive, Dota 2, Starcraft 2 na mengine mengi.

Matumizi erevu ya dondoo na mbinu kutoka kwenye mwongozo huu yatakusaidia unapoelekea kuwa mbashiri esports mtaalamu.

Kama unatumia app ya kubetia ya Parimatch au tovuti ya mtandaoni, ni rahisi zaidi kuliko kabla kubeti kwenye tasnia ya dola bilioni ya esport kujenga mnara wako mwenyewe wa pesa!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.