Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kubeti na Kushinda Kila Siku: Dondoo za Uhakika za Kubeti kutoka Parimatch

Kubeti ni mchezo wa bahati nasibu,hii inamaanisha kuwa hauwezi kuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 100 mara zote. Japo kuna baadhi ya mafundi hutengeneza mshiko muda wote kwa kupitia michezo ya kubeti, je, hii inakuwaje?

Jinsi ya Kubeti na Kushinda Kila Siku

Ukijua baadhi ya mambo yatakusaidia, kuzidi kujiongezea nafasi ya kushinda, ukitaka kujua jinsi ya kucheza na kushinda, inabidi ujifunze kuhusu mbinu mbalimbali za kubeti na namna ya kulinda mtaji wako na vingine vingi, bahati nzuri kwako, tupo hapa kwa ajili yako. Jifunze zaidi kuhusu mbinu za uhakika ukiwa na Parimatch! Mbinu nyingine nzuri zaidi utazipata kwenye makala hii ya mbinu za kubeti.

Download the best betting app

CHANGANUA MSIMBO WA QR HAPO JUU ILI KUPAKUA PROGRAMU

Dondoo Fupi za Jinsi ya Kubeti na Kushinda

Kwanza, ngoja tupitie dondoo zinazojulikana zaidi ambazo zitakusaidia kupunguza idadi ya makosa unayoyafanya na kuzidi kujiongezea nafasi ya kushinda kila siku:

  • Chagua michezo unayotaka kuicheza – kuliko kupoteza nguvu zako na ubunifu kuhangaika kucheza michezo mingi ni bora uchague mchezo mmoja ambao unauelewa vizuri zaidi na ubaki nao huohuo. Hii itakusaidia kuelewa mambo mbalimbali yanayohusiana na mchezo husika ili uweze kuweka mikeka ya ushindi.
  • Dhibiti hisia zako – kubeti kwa mihemko ndiyo njia ya kwanza ya kuanza kupoteza pesa zako, na hata kupoteza mtaji wako wote wa kubeti, hata uwe ni shabiki wa timu husika kwa miaka mingapi lazima utulize akili kwanza kabla ya kufanya maamuzi ya kuweka mkeka, vilevile usiruhusu furaha au uchungu wa kupoteza mkeka mmoja ikunyime hamasa ya kucheza na kushinda mkeka mwingine.
  • Usisahau kupumzika – ubora wa mkeka wako ni muhimu zaidi ya wingi wa mkeka wako, hivyo kama umechoka sana baada ya kuchambua mkeka uliopita kwa muda mrefu au una uchungu wa kupoteza mkeka mwingine ni bora uchukue muda kupumzika na kujipanga upya.
  • Jifunze kutokana na makosa yako yaliyopita – kama wewe ni mgeni kwenye michezo ya bahati nasibu, basi lazima tu utafanya makosa ambayo utakuja kuyajutia baadaye, hivyo basi hauna haja ya kujilaumu sana pindi unapokosea kwani ni nafasi yako ya kuweza kujifunza.
  • Fanya utafiti wa kutosha – moja ya dondoo muhimu zaidi za kubeti  ni kufanya upembuzi na uchambuzi yakinifu kwenye kusuka na kupangilia mikeka yako, kufanya utafiti kuhusu takwimu za timu na wachezaji husika vitakusaidia kupata uelewa mkubwa zaidi wa kufanya maamuzi kamilifu.

Mikakati ya Kuweka Beti: Vidokezo vya Kuweka Beti kwenye Michezo kwa Wanaoanza

Kwa miaka mingi sana, watalaamu wa hisabati wamejaribu huhangaika kupata mbinu za uhakika zaidi za kubeti ambazo zitapunguza uwezekano wa kupoteza na kuongeza uwezekano wa kushinda, matokeo yake ni baadhi ya mbinu chache kupatikana huku zikitofautiana ubora, hizi ni baadhi ya mbinu za kuaminika zaidi kwa sasa:

Martingale

Mfumo wa kwanza unaojulikana zaidi na husaidia kupunguza uwezekano wa kupoteza kwenye michezo mbalimbali ni mfumo wa martingale. Hii kwa urahisi kabisa ni kwamba kila timu husika inapopoteza basi kwenye mchezo unaofuatia inakupasa uweke hela mara mbili yake ili kushinda.

Kwa mfano, unataka kujifunza jinsi ya kutumia mfumo huu kwenye soka na ubeti na kushinda, unaweza kubeti TZs 200,000 kwenye mchezo wako wa kwanza, ukabeti na ukapoteza basi unatakiwa uweke angalau TZs 400,000 kwenye mkeka wako unaofuata, kama ikitokea umeshinda basi utakua umeweza kurudisha mshiko wako uliopoteza kwenye mkeka wa kwanza, japo kitu kibaya kuhusu mfumo huu ni kwamba unatakiwa kuongeza kiwango unachobetia ambacho mara nyingine huenda hautakuwa nacho.

Kiwango Maalumu cha Kubeti

Kama ulivosoma kwenye jina lake, huu mfumo ni rahisi kuufuata kwani unahusisha kuwa na kiwango maalamu kabisa kinachojulikana kila mara unapotaka kubeti, hii ni rahisi kulinda mtaji wako na kupunguza nafasi ya kupoteza hela nyingi bila ya sababu, hapa unakuwa unatumia angalau asilimia 1-5% ya mtaji wako

Kwa mfano, unaweza kuamua kiwango unachotaka kubetia kwenye kila mechi ni TZs 100,000, haijalishi aidha ushinde au upoteze kwenye mkeka wako, kiwango kitabaki vilevile kwenye mkeka wako unaofuatia, huku matokeo ya baadhi ya mechi yanaweza kuwa ni ya uhakika kuliko kwenye michezo mingine lakini ni lazima uheshimu mfumo wako, ili uweze kudumu na mtaji wako kwa muda mrefu zaidi.

Kubeti kwa Uwiano

Kubeti kwa uwiano ni mfumo wa kubeti ambao unahusisha kubeti kwa kuangalia kiwango cha mtaji wako na kutumia kiasi au kiwango kinachoendana na mtaji wako, hivyo basi kwa kuwa kiwango cha mtaji wako kinaweza kuwa kinakua au kinapungua hivyo kiwango chako cha kubeti kinapungua kila muda unapokuwa unacheza.

Kwa mfano, tuchukue mfano wa jinsi ya kubeti na kushinda kwenye soka kwa kutumia mfumo wa uwiano wa kiwango cha dau lako, tuchukulie kuwa kiwango cha mtaji wa kubeti ni TZs 1,000,000, na kiwango ulichoamua kubetia ni 10% na huku matokeo ya odds zako ni 1.7 na ukashinda, jumla ya mtaji wako utaongezeka na kuwa TZs 1,071,000, hivyo basi kwa kuwa kiwango chako cha kubetia ni 10% mkeka wako unaofuata utakuwa wa TZs 107,100, huku ukipoteza basi na kiwango chako cha kubeti kitapungua pia.

Mfumo wa Fibonacci

Mfumo wa Fibonacci ni maarufu kwenye hesabu, ambapo namba inayofuata hupatikana kwa kujumlisha namba mbili zilizopita:

1, 1, 2, 3, 5, 8, 13, 21, 34, …

Ni kwa jinsi gani ya kubeti na kushinda kwenye soka kwa kutumia mfumo wa Fibonacci? Tengeneza mkeka wako kwa kuangalia matokeo ya mkeka uliopita, kwa mfano, ukibetia TZs 100,000 kwenye mkeka wa kwanza basi unacheza tena TZs 100,000 kwenye mkeka unafuata basi ukipoteza tena unacheza TZs 200,000 kisha baada ya muda unaongeza dau kufika TZs 300,000, huu mfumo unafanana kidogo na martingale, tofauti yake ni kwamba dau halipandi kwa kasi sana kwenye mfumo huu.

Lazima Ujue Jinsi ya Kulinda Mtaji Wako

Moja ya dondoo muhimu zaidi za kubeti ni kuhakikisha hautumii hela zako zote kizembe na kuishiwa kabisa na hela ya kubetia, hivyo lazima uulinde mtaji wako.

Kwanza, lazima utumie kiwango ambacho unaweza kupoteza, usikubali kutumia hela yako ya mwisho hata mara moja, ukishachagua mbinu unayoiamini kabisa kulingana na kiwango cha mtaji wako na utulie nayo, hata kama kuna mechi inakutamanisha kiasi cha kuvuruga mipango yako ni lazima ujue kuvumilia, ukiamua kuongeza ukubwa wa dau lako ni lazima utumie muda mrefu kujitathmini na kufanya uchambuzi wa kuaminika

Jifunze Zaidi

Mwisho

Kiujumla, ili uweze kuwa fundi wa kubeti ni lazima utimize baadhi ya vigezo, unahitaji uwe na uzoefu kwenye mchezo husika, uwe na muda mrefu wa kubashiri ili uwe unaelewa aina mbalimbali ya masoko yatakayokuwezesha kujua ni namna gani unaweza kuibuka mshindi kwenye kubeti.

Ukitaka kujaribu baadhi ya hizi dondoo  ukiwa mwenyewe, Parimatch ni mahali sahihi kwako kuanza kujaribu kucheza na kushinda, ikiwa ni chapa ya kuaminika duniani kote, kukiwa kuna michezo kibao kwa ajili yako, unaweza kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti yako kwa urahisi mkubwa sana, hivyo, usiendelee kupoteza muda kwingineko, anza kucheza na Parimatch sasa.

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, ninafanyaje kushinda mikeka kila mara?

Kuna mambo kadhaa:

  1. Kuchagua michezo yako. Badala ya kubetia kwenye michezo mbalimbali, chagua mchezo fulani na ushikamane nao.
  2. Usiruhusu hisia zako na msukumo vikushinde – jiongezee kasi na uweke pesa kidogo unayoweza kuimudu.

Je, ni dau gani rahisi zaidi kushinda?

Baadhi ya mikakati maarufu ya kubeti ni pamoja na mikakati ya kubeti ya martingale, kiasi kisichobadilika, kiasi sawia na mikakati ya kubeti ya Fibonacci.

Unabetije mikeka bila ya kupoteza?

Unaweza kutumia mbinu mbalimbali kuweka mikeka bila kupoteza pesa zako. Hizi ni pamoja na kufanya mapema utafiti wa kutosha kuhusu mchezo na wachezaji, kushikamana na mchezo fulani na kuufahamu, kudhibiti pesa zako za kubetia, na kujua wakati wa kuacha. Unaweza pia kutumia mikakati tofauti ya kiufundi ya kubeti, kama vile Martingale, ili kuongeza ushindi wako na kupunguza hasara.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.