THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Kubeti kwa Over/Under (Total) Kumeelezewa katika Maneno Rahisi

Je! Hauna uhakika kidogo kuhusu neno “kubeti kwa over/under”? Je! Ni sawa na “kubeti kwa total”? Husiofu, tuko hapa kukusaidia, kukupa mwongozo huu wa kina, uliojawa kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kanuni za kubeti kwa over/under. Aina hizi za beti ni rahisi kuzielewa, na zinaweza kuwa na faida sana kama zikitumika kwa busara.

Mwongozo huu rahisi kutumia wa kubeti kwa over/under utakupitisha kwenye maana ya aina hii ya beti na jinsi ya kuweka beti za under/over kwenye Parimatch. Tutakupa mkusanyiko wa dondoo na mbinu ambazo zitakusaidia kukupa uelewa wa kina wa nguvu ya beti za over-under na jinsi ya kuziweka kwa uzuri. Mwongozo huu pia utajibu maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu kubeti kwa over na under, ili kila kitu kiwe wazi akilini mwako.

Sasa, angalia mifano ya maisha halisi ya beti za over/under kwenye tovuti ya Parimatch na tumia mwongozo huu kuanza kubeti!

Kubeti kwa Over/Under Kunamaanisha Nini?

Kubeti kwa over/under (O/U) muda mwingine hujulikana kama kubeti kwa total. Sababu ya hili ni kwa sababu kubeti kwa O/U kumejikita kwenye alama za jumla katika mchezo. Tunapoongelea kuhusu total, tunarejelea kwenye jumla ya idadi ya pointi au magoli katika mchezo. Hii humaanisha idadi ya pointi au magoli yaliyofungwa na timu zote mbili yakijumlishwa pamoja. Hivyo kama Chelsea inacheza na Leicester City na Chelsea inafunga goli moja na Leicester City inafunga mbili, jumla ya yote ingekuwa magoli matatu (1+2=3).

Wakati wa kuweka beti za over-under, unabeti juu ya au chini ya jumla fulani. Kwa maana hii, meneja ubashiri anaweka odds kwenye sportsbook dhidi ya kila tokeo linalowezekana na unabeti ikiwa alama ya jumla itakuwa juu ya au chini ya jumla hizi zilizopangwa.

Huu hapa ni mfano wa odds za total kwa mchezo kati ya Gwambina FC na Azam.

Gwambina FC vs Azam total football betting on Parimatch

Angalizo dogo tu. Kama unavyoweza kugundua, totals zimepangwa kama .5, kama vile magoli au pointi 1.5 au 2.5. Wakati, bila shaka, haiwezekani kupata nusu ya goli au pointi, hii ni kwa ajili ya kuepuka mkanganyiko. Kwa mfano, kama meneja ubashiri anapanga totals kwenye namba nzima kwenye sportsbook, kama vile 2 na jumla ya yote ilikuwa 2, ingekuwa juu ya au chini ya 2? Kuepuka mkanganyiko huu, meneja ubashiri angeiorodhesha jumla kama juu ya na chini ya 1.5 na 2.5.

Wakati unaweka beti ya O/U, haubetii alama fulani, unabetia mlolongo wa magoli (isipokuwa ukibeti chini ya 0.5 ambayo yangekuwa magoli sifuri). Kwa mfano, kama unabeti kuwa jumla yote itakuwa chini ya 2.5, unabeti kuwa idadi ya jumla ya magoli yote ingekuwa sifuri, moja au mawili.

Kinyume chake, kama unabeti juu ya 2.5, unabeti kwamba kutakuwa na magoli matatu, manne, matano, sita, saba, nane, n.k.

Kama unataka kubashiri kwenye kubeti kwa over/under, unaweza pia kuweka beti kwenye alama ya muda wa mapumziko badala ya mchezo wa muda kamili. Iliyo ngumu kidogo zaidi kutabiri, unaweza kuweka beti juu ya alama ya jumla ya timu zote mbili itakuwa ipi katika kipindi cha kwanza na kipindi cha pili kwa kujitegemea.

Beti za Over/Under Zimeelezewa kwa Mifano

Muda mwingine ni rahisi kuelewa kubeti kwa over na under pindi ukikuona kimatendo. Hii hapa ni mifano kadhaa ya kubeti kwa totals kwa kutumia soka na mpira wa kikapu.

Kubeti kwa O/U katika Soka

Chukulia mfano huu chini wa West Ham dhidi ya Liverpool:

Jumla ya magoli Over Under
0.5 1.02 14.00
1.5 1.18 5.00
2.5 1.36 2.45

Kama unavyoweza kuona, odds za chini ya 0.5 ni 14.00. Hii ingemaanisha kuwa kama hakuna magoli yaliyofungwa katika huu mchezo, odds zingekuwa 14.00. Kama uliweka TZS 10,000 kwenye magoli sifuri kufungwa katika mchezo huu, ungeshinda TZS 130,000 (jumlisha dau lako la TZS 10,000). Odds ziko juu kwa sababu hili halina uwezekano mkubwa kwa maana Liverpool wako vizuri sana kuliko West Ham, hivyo mashabiki wangetegemea walau goli moja.

Kama unavyoweza kuona, odds za jumla kubwa zaidi kuliko 0.5 ni ndogo sana. Hii ni kwa sababu beti hii inatabiri kuwa idadi yoyote ya magoli itafungwa juu ya sifuri, kitu ambacho kina uwezekano mkubwa kutokea.

Kubeti kwa Over-Under katika Mpira wa Kikapu

Mpira wa kikapu ni mchezo unaochezwa haraka sana ukiwa na pointi nyingi zinazofungwa. Wachezaji wanaweza kufunga pointi 1 kutoka kwenye mrusho huru mmoja, pointi mbili kutoka ndani ya mstari wa alama tatu, na pointi tatu kama wakifungia upande wa pili kutoka mstari wa alama tatu. Kutokana na kwamba mchezo huu ni wa haraka sana, timu huwa zinafunga walau pointi 100 wakati wa mechi ya mpira wa kikapu. Hii ndio maana meneja ubashiri mara nyingi huianzia beti ya over/under juu sana kwenye zaidi ya pointi 200. Kumbuka kuwa beti ya over/under iko kwenye alama ya jumla, hivyo hii ingekuwa walau pointi 100 kwa kila timu.

Hebu tuangalie kwenye mchezo huu wa NBA unaokuja kati ya Charlotte Hornets na New York Knicks:

Jumla ya pointi Over Under
202.5 1.43 2.60
203.5 1.48 2.47
204.5 1.53 2.34
205.5 1.59 2.22

Kama unavyoweza kuona, meneja ubashiri ameianza beti ya over-under kwenye alama 202.5. Inawezekana zaidi kwamba pointi zaidi ya 202.5 zitafungwa wakati wa mchezo huu, kutokana na kwamba odds za chini ya 202.5 ni 2.60, wakati odds za juu ya alama 202.5 ni 1.43.

Michezo Ipi Yenye Kubeti kwa Over/Under Inapatikana kwenye Parimatch?

Hapa kwenye Parimatch, tunajivunia kwenye kuwa na mkusanyiko bora wa fursa za kubeti mtandaoni barani Afrika. Hatuamini tu kuwa wateja wetu wanapaswa kuweza kubeti kwenye aina zote tofauti za mbinu za kubeti, lakini pia tunataka kuhakikisha kwamba tunatoa fursa nyingi za kubeti kwenye michezo mingi kwa ujumla. Unafikiria kuweka beti ya total kwenye NBA? Unaifikiria beti ya over/under kwenye kombe la UEFA? Labda ungependa kuweka beti ya O/U kwenye NHL? Parimatch ina katalogi nzima ya beti za over/under inayopatikana kwenye aplikesheni yetu ya kubeti mtandaoni leo.

Inapokuja kwenye kubeti kwa totals, utashangazwa sana na kile tulichonacho kwenye ofa. Kwanza, tunapenda kuangazia aina zote za uchezaji. Hii ndio maana tunatoa machaguo ya over/under kwa ajili ya kabla ya mechi, mubashara, na kubeti michezo kwa virtual.

Katika kundi letu la kubeti kabla ya mechi, watumiaji wetu wanaweza kufurahia kuweka beti za over/under kabla ya mechi kwenye soka, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa magongo wa kwenye barafu, na michezo mingine zaidi.

Kwenye sehemu yetu mubashara, tunatoa beti mubashara za over-under kwenye michezo na mechi zinazochezwa katika wakati ule ule. Chagua mchezo unaovutiwa nao na beti mubashara kwenye totals katika michezo iliyoangaziwa.

Kama unapenda kubeti kwenye michezo ya virtual, pia tuna rundo la machaguo ya kubeti kwa over/under kwenye sehemu hii ya tovuti yetu. Bofya kwenye sehemu ya “Virtual” kwenye skrini yako na unaweza kuchagua kuweka beti za O/U kwenye Kombe la Mataifa la Soka la Virtual, Kombe la Dunia la Soka la Virtual, Ligi ya Soka la Virtual, Ligi ya Mpira wa Kikapu wa Virtual, na zaidi.

Kinachovutia, kutegemeana na mchezo, unaweza kubetia aina tofauti za totals. Mara nyingi zaidi, kubeti kwa over/under hurejelea kwenye idadi ya pointi au magoli katika mchezo mzima au katika kila kipindi. Hata hivyo, katika aplikesheni ya kubeti ya Parimatch, unaweza kubeti kwenye aina nyingine ya totals pia. Kwa mfano, katika mechi ya soka, unaweza kubeti kwenye jumla ya kona na jumla ya kadi za njano na nyekundu zitakazotolewa.

Jinsi ya Kuweka Beti Zako za Over/Under kwenye Parimatch

Unatazamia kuweka beti ya over/under kwenye jukwaa la kubeti michezo la Parimatch? Kamwe usiogope! Ni rahisi sana kulielewa hili. Kwa urahisi jisajili kupata akaunti kwa kutumia kitufe kilichotolewa kwenye skrini. Fuata maelekezo rahisi kujisajili na kuweka pesa na utakuwa tayari kubeti kwa totals kwenye Parimatch.

Sasa, huu hapa ni mwongozo wa haraka wa kuweka beti za over/under:

 1. Chagua (“Upcoming matches”), “Live” (“In-Play”), au “Virtual” (“Virtual sports”) kwenye tovuti au katika aplikesheni
 2. Chagua mchezo ambao ungependa kuuwekea beti ya over-under
 3. Bofya kwenye nchi
 4. Chagua mashindano au ligi
 5. Tafuta mchezo
 6. Bofya kwenye beti ya over/under ambayo ungependa kuiweka
 7. Nenda kwenye tiketi ya ubashiri kumalizia beti yako

Vipi kama Jumla Iliyopangwa ni Namba Nzima?

Kama tulivyoona kabla, kamwe hautoona jumla iliyopangwa kama namba nzima. Meneja ubashiri daima ataifanya jumla iliyopangwa .5 ya namba nzima. Kwanini hivi? Hii ni kwa sababu hautaki mkanganyiko wowote kuhusu kama beti yako ilikuwa juu ya au chini ya.

Chukulia mfano wa Watford dhidi ya Everton katika Ligi Kuu:

Jumla ya magoli Over Under
0.5 1.06 9.00
1.5 1.32 3.40
2.5 2.01 1.81

Fikiria kuwa ungependa kuweka beti ya over-under kwenye alama ya jumla ya mchezo huu. Unafikiri kuwa idadi ya jumla ya magoli yote itakuwa goli moja au mawili. Ungeweza kubeti kuwa alama ingekuwa juu ya 0.5 au chini ya 1.5 kama unafikiri itakuwa moja. Kama hauna uhakika na unafikiri ingekuwa moja au mbili, aidha utabeti juu ya 0.5 au chini ya 2.5. Katika mazingira yote haya mawili, jumla iliyopangwa ya goli moja au mawili ingeshinda. Hata hivyo, kutokana na kwamba unataka kubeti kwenye odds kubwa zaidi, ungebeti chini ya 2.5 kwa sababu odds ni 1.81, kinyume na juu ya 0.5 ambapo odds ni 1.06.

Hivyo, tuseme unaweka beti ya TZS 10,000 kwenye chini ya magoli 2.5 kwa ujumla kwenye muda kamili. Hii humaanisha kuwa jumla iliyopangwa ni sifuri, moja, au mawili, utashinda.

Katika hali zote hizi mbili, tunajua kuwa goli moja ni zaidi ya 0.5 na tunajua kuwa magoli mawili ni chini ya 2.5. Kama tungekuwa tunabeti kwenye namba nzima, hata hivyo, ingekuwa inakanganya zaidi. Fikiria kuwa badala ya 0.5 na 2.5, tungeweza kubeti kwenye juu ya au chini ya goli 1 na 3. Sasa pata picha kuwa unafikiria magoli mawili yatafungwa hivyo unabeti kwenye magoli “chini ya 3”. Kama kuna magoli mawili kwa ujumla, hakuna tatizo. Hata hivyo, kama kuna magoli matatu katika mechi hiyo utashinda au utapoteza beti? Magoli matatu yangekuwa chini ya 3 au yangehusishwa ndani ya 3?

Kuepuka mkanganyiko huu, meneja ubashiri anaongeza .5 kwenye kila namba nzima. Kama unabeti kuwa magoli yatakuwa chini ya 3.5, unajua kwa uhakika kama namba hiyo nzima iko juu au chini ya tarakimu hiyo.

Muda wa Ziada Huathiri Totals za Beti ya Over/Under?

Kwenye Parimatch, tunapenda kuweka wazi na rahisi kadri inavyowezekana kutumia aplikesheni yetu ya kubeti mtandaoni. Hii ndio maana tunaziwekea beti zozote alama ambapo muda wa ziada unahusishwa. Hii kwa kawaida inategemeana na mchezo.
Kwa michezo mingi, muda wa ziada hauhusishwi katika jumla iliyopangwa kwenye kubeti kwa over/under. Hii humaanisha kuwa kama goli limefungwa katika muda wa ziada wakati wa mechi ya soka, goli hili halihesabiwi katika jumla iliyopangwa na hivyo haliathiri beti yako.
Kwa mfano, chukulia mechi hii inayokuja kati ya Club Brugge na Manchester United.

Jumla ya magoli Over Under
0.5 1.06 9.20
1.5 1.32 3.45
2.5 1.99 1.83
3.5 3.40 1.32

Fikiria ungeweka beti ambapo kungekuwa na magoli machache zaidi kuliko matatu yaliyofungwa katika mechi nzima. Unaweka TZS 20,000 kwenye magoli chini ya 3.5 kwenye odds ya 1.32.

Pindi mechi ikifika dakika 90, idadi ya magoli inajumlishwa pamoja na magoli matatu yanakuwa yamefungwa katika mchezo mzima. Sasa fikiria kuwa kuna dakika 7 za muda wa ziada na Club Brugge inafunga goli la nyongeza. Kama goli hili la nyongeza linahesabika katika kipindi cha muda wa ziada, ungepoteza beti. Kwa bahati, kwenye Parimatch, hatuzingatii magoli yaliyofungwa katika soka wakati wa muda wa ziada. Hii ingefanya jumla iliyopangwa kuwa 3 na ungeshinda faida ya TZS 6,400 (na dau lako la TZS 20,000).

Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa katika hali baadhi, jukwaa letu la kubeti halizingatii muda wa ziada. Katika hali hizi, tovuti na aplikesheni daima zitaliweka hili wazi. Kwa mfano, kubeti kwa under/over kwenye mpira wa kikapu kunaweza kuzingatia muda wa ziada.

Faida za Kubeti kwa Over/Under

Kubeti kwa over/under ni mbinu nzuri pindi unajitahidi kufanya utabiri kwenye tokeo la mwisho la mchezo na hii ndio kwanini:

 • Hauhitaji kuchagua mshindi

Kama hauna uhakika mshindi wa mchezo atakuwa nani kwa sababu kuna pande mbili zinazofananishwa kiusawia, kubeti kwa over/under ni chaguo zuri. Kama una pande mbili zinazofananishwa kiusawia na zenye kujilinda sana, unaweza kuweka beti za unders kwa maana mchezo huo una uwezekano wa kuwa na ufungaji mdogo. Kama una timu mbili zinazofananishwa kiusawia zenye upinzani sana na ambazo zinakosa kujilinda, unaweza kubeti zaidi kwenye overs. Katika mazingira yote mawili, hauhitaji kuchagua mshindi.

 • Hauhitaji kuchagua alama sahihi kabisa

Kwenye kubeti kwa overs/unders, una mkusanyiko wa alama ambazo zingeweza kushinda (isipokuwa ukichagua chini ya 0.5). Hii ni kweli hasa kama ukichagua beti za overs kwenye michezo ambayo ina uwezekano wa kuwa na ufungaji mkubwa. Kama tu mchezo wa Manchester United na Tranmere Rovers ambao ulimazika kwa 6-0 kwa Man U, kama ungebeti juu ya 3.5, ungeshinda kama wangefunga magoli 4,5,6,7,8, n.k.

 • Hakuna sare katika mlinganyo

Moja ya vitu vigumu kwenye beti za 1X2 ni kuwa mazingira ya sare hufanya kuwa ngumu kuweka beti sahihi. Kwa sababu kubeti kwa over/under hakukuhitaji kuhagua ushindi kwa upande wowote au sare, hii inatolewa nje ya hali hiyo. Hiyo hufanya rahisi zaidi kuweka beti. Kwa mfano, kwenye pande mbili zinazofananishwa kiusawia, kama ungebeti chini ya 2.5, ungeshinda kama mechi ilikuwa 1-0, 2-0, 0-2, au 0-1, lakini pia ungeshinda kama ilikuwa 0-0 au 1-1.

 • Kuna njia nyingi za kubeti kwenye over/unders

Beti za over/under hazitakiwi tu kuwa kwenye mchezo mzima pekee. Zinaweza kuwa kwenye vipindi au mchezo au kwenye uchezaji wa kila timu. Sawia, hata hivyo, beti za over-under zinaweza kuwekwa kwenye vitu vingine, kama vile kadi za njano au faulo. Kama unabeti kwenye mchezo wa soka wenye timu au mchezaji ambaye amepokea idadi kubwa ya kadi za njano, unaweza kubetia overs kwenye hili.

Kilicho cha zaidi, kuna mbinu nyingi za kushinda beti zako za total. Tumeweka pamoja mwongozo maalum juu ya mbinu za kubeti kwenye over/under kukusaidia kufahamu mbinu bora.

Aina Nyingine za Beti kwenye Parimatch ni Zipi?

Aina za beti (pia zinajulikana kama masoko ya beti) ni aina za bashiri unazoweza kuweka kwenye matukio ya kimichezo. Kwenye Parimatch, tuna mkusanyiko mpana wa aina za beti ili kwamba uweze kuchagua zile ambazo unaziona zinavutia na zenye faida zaidi:

Muhtasari

Kubeti kwa over-under au kubeti kwa total ni njia nzuri ya kujipa mwenyewe uhuru fulani wakati wa kubeti kwenye michezo. Amua ikiwa mchezo utakuwa wa kufunga sana au kidogo na halafu unaweza kubeti aidha chini ya au juu ya idadi fulani ya magoli au pointi. Kama hauvutiwi katika magoli, unaweza kubeti dhidi ya idadi za kona, faulo, kadi nyekundu, na vipengele vingine vingi vya michezo mbalimbali kwenye Parimatch.
Kama unavutiwa katika kuweka beti za over/under, ingia kwenye aplikesheni yetu ya kubeti michezo iliyo rahisi kutumia au nenda kwenye tovuti yetu na furahia kubeti kwa total kwenye soka, mpira wa magongo wa kwenye barafu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, na michezo mingine. Tuna mkusanyiko wa machaguo ambayo huruhusu watumiaji kuweka beti za over-under kwenye michezo mubashara na virtual, pia kuweka beti kabla ya mechi.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.