Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Mbinu 10 Rahisi za Kubeti Michezo Zinazofanya Kazi

Pindi unapovinjari mtandao, kwa hakika utakuta mapendekezo mengi juu ya jinsi ya kufikia mafanikio ya kubeti michezo. Hata hivyo, inakubidi kuweka akilini kuwa kubeti michezo sio tu kunahusu bahati yako. Kama unatamani kuwa mbashiri anayeshinda, inakubidi kujua jinsi ya kubeti kwa mafanikio kwenye michezo.

Kumbuka kuwa kubeti michezo kwa mafanikio uhitaji muda, ujuzi, uzoefu, na maarifa. Hata hivyo, tunaishi katika karne ya 21, na hakuna uhitaji wa kufikiria na kujaribisha mfumo wako mwenyewe wa kubeti. Unaweza kufuata dondoo zetu za ushauri na kuchagua mbinu yako pendwa ya kubeti michezo.

Katika chapisho hili, tumeorodhesha mbinu bora, thabiti za kubeti kwa ajili ya wabashiri wanaoanza na wataalamu wazoefu. Kwa hakika zitakuokolea pesa na kukufanya uhisi furaha ya kushinda!

Simamia Bajeti Yako

Ni kanuni kuu ambayo unahitaji kuifuata, kuweka mikeka yako mtandaoni. Kama haudhibiti bajeti yako, hakuna atakayeweza. Haijalishi ikiwa wewe ni mbashiri michezo mzoefu au mtaalamu katika tasnia hii, unatakiwa kuamua ni pesa kiasi gani unaweza kutumia.

Bila shaka, mengi hutegemea kwenye hali yako ya kifedha. Hauwezi kubeti zaidi ya unachoweza mudu kupoteza. Pindi unapoamua kiasi cha pesa ya kubetia ulichopanga, unahitaji kuamua juu ya saizi ya yuniti. Kuna pendekezo kwa ajili ya wabashiri wanaoanza: hautakiwi kuweka zaidi ya 1-5% ya kiasi chako cha pesa ya kubetia kwenye kila mikeka.

Kumbuka kuwa unatakiwa kudhibiti bajeti yako na haupaswi kutumainia tu mazuri. Wawekaji dau wazoefu daima hufanya mahesabu kabla ya matukio.

Kamwe Usibeti kwa Ushawishi wa Pombe

Baadhi ya watumiaji hawaweki umakini kwenye suala hili na hupoteza pesa! Kama dhumuni lako muhimu zaidi ni kushinda, unapaswa kuepuka kubeti kwa ushawishi wa pombe.

Kama unabeti ukiwa umelewa, hisia zako hushinda na akili yako ya kujitambua huwa imelala kwa muda mfupi. Kumbuka kuwa huwezi kuruhusu tu hisia zako zidhibiti mchezo. Hii inaweza kupelekea kufanya maamuzi duni na kupoteza pesa.

Tazama tu kasino zote za kisasa za brick-and-mortar; zote hutoa vileo wakati wa kucheza kamari. Pindi unabeti ukiwa haujalewa, haudhibiti hali hiyo. Hata hivyo, Parimatch kama jukwaa la kubeti mtandaoni kwamwe haishawishi maamuzi yako kama hivyo. Pamoja na tovuti na app yetu, unaweza kubeti muda wowote wa mchana na usiku pindi unapokuwa katika hali nzuri zaidi kiakili.

Tafiti Kabla ya Kuweka Mikeka Yako

Wakati tunachambua dondoo zote za kubeti michezo, tusingeweza kuipita hii. Kabla haujahatarisha pesa yako, inakubidi kufanya utafiti kidogo kuhakikisha mbinu yako ndio nzuri zaidi na fanisi zaidi. Ni dhahiri kuwa utafiti huchukua muda na jitihada. Lakini mwishoni, unaweza kuwa na uhakika kwamba chaguzi zako ni shindi.

Kwanza, unatakiwa kutazama takwimu za uso kwa uso. Kwa uwezekano wote, timu hizi zilicheza dhidi ya kila mmoja kabla. Unahitaji tu kugugo taarifa hii, na utaelewa ni timu ipi hucheza vizuri zaidi. Kwa mfano, Manchester United ina sifa nzuri zaidi, lakini sote tunajua kwamba walipambana dhidi ya Swansea katika miaka iliyopita. Unatakiwa kuzingatia taarifa hii wakati unapojenga mbinu yako ya kushinda na ya muda mrefu.

Timu hizo zinachezea wapi? Hii ni sababu nyingine ambayo lazima izingatiwe. Uwanja ambapo mchezo unafanyikia ni sehemu muhimu ya utafiti. Unatakiwa kuchunguza takwimu za timu kwa walau michezo mitano iliyopita kufahamu tu wamekuwa wakicheza vizuri kiasi gani nyumbani na ugenini.

Elewa Malengo na Uthubutu Wako

Sote tuko tofauti. Baadhi yetu tungependelea kuthubutu, wakati wengine hufanya utafiti wa kina kabla ya uwekezaji pesa. Hata hivyo, kama unataka kujifunza jinsi ya kubeti kwenye michezo kwa mafanikio, lazima uelewe malengo yako.

Unatakiwa kufanya utafiti wako na kuamua aina gani ya mikeka unataka kuiweka. Baadhi yetu hupendelea kuzibetia timu dhaifu au matukio yasiyoelekea kuwa kweli. Katika kesi hii, long odds huwavutia zaidi ya zote. Lakini watu wengine hupendelea faida ndogo zaidi. Ni wazi kwamba hawashindi jumla kubwa sana, lakini wanashinda mara kwa mara zaidi.

Wachezaji wengine hupendelea kujenga mbinu zao wenyewe kutegemea uzoefu wao uliyopita. Hutumia muda zaidi kujifunza historia za wachezaji, wasifu wao, hali ya afya, n.k. Hata hivyo, kiukweli huwekeza muda kujifunza taarifa hizi.

Unaweza ukabeti kila siku au mara moja kwa mwezi. Kama wewe ni mgeni kwenye tasnia hii, lazima uelewe malengo yako na matokeo yapi unataka kufikia.

Kuwa na Matarajio Yenye Uhalisia

Pindi umeweka mikeka, inawezekana unaanza kuwa na ndoto ya maisha ya anasa, ndio? Lakini haupaswi kukimbia kabla ya mbwa. Kumbuka kwamba hata wabashiri wakubwa zaidi hushinda 60% tu ya mikeka yao. Haishangazi unataka kufikia matokeo hayo hayo haraka iwezekanavyo. Lakini hata kama ukishinda mikeka yako kumi, inawezekana ukaja kudondoka.

Unatakiwa kukumbuka kwamba kubeti sio tu kunahusu bahati. Kwa hiyo, unahitaji kuweka matarajio yenye uhalisia. Vinginevyo, utafanya makosa au hata kuvunjika moyo. Kumbuka kuwa matarajio yasiyoridhisha ni wauaji wa haraka zaidi wa wabashiri. Pindi ukiweka malengo yenye uhalisia, utakuwa na umakini zaidi na kamwe hautatafsiri vibaya matokeo yako.

Zaidi ya hilo, kwa kuwa na matarajio yenye uhalisia, utajizuia pia wewe mwenyewe kuvunjika moyo pindi umepoteza.

Beti kwenye Mchezo Mmoja

Inawezekana unataka kuwa na keki yako na kuila, lakini kanuni hii haifanyi kazi inapokuja kwenye kucheza kamari. Ingekuwa vizuri zaidi kwako kuwekeza katika michezo ambayo unaijua vizuri kutosha. Kama wewe ni mpya kwenye tasnia hii, lakini kwa shauku unataka kuijaribu mikono yako kwenye kucheza kamari, unatakiwa kutumia muda fulani kujifunza kanuni na vitu vya kipekee vya kubeti vya mchezo mmoja.

Zaidi ya hilo, unahitaji kuhakikisha unajua kanuni za mchezo huu. Pindi unapojua jinsi mchezo unavyochezwa, ni rahisi zaidi kutabiri matokeo. Unawajua washiriki wa timu, uwezo wao uliyojificha, kufuatilia rekodi zao, n.k. Kuiweka kirahisi, unajua vizuri kutosha jinsi ya kuwatathmini wachezaji wote na wapi pa kupata taarifa kuhusu mafanikio yao. Mbashiri mwenye mafanikio hujua kila kitu kuhusu mchezaji huyu au yule. Ndio maana unatakiwa kubeti kwenye mchezo mmoja tu (kama wewe ni mwanafunzi). Hii ni kanuni kuu ambayo bila shaka itakusaidia kupata bashiri erevu zaidi na zenye faida.

Fikiria Mikeka ya Parlay na System

Hebu tuanze na misingi. Parlay ni mikeka ya muunganiko ambapo unahitaji kuzikusanya katika ubashiri mmoja. Unapotumia mikeka ya parlay, malipo kwa kawaida ni makubwa zaidi, na unahatarisha kidogo zaidi. Bashiri za parlay ni za kuvutia sana kwa wacheza kamari kwa sababu katika kesi hii, wana fursa nzuri ya kushinda jumla nzuri ya pesa. Kumbuka kuwa pindi unapoweka mikeka kwa kutumia mfumo wa kubeti wa parlay, unaweza kuongeza mikeka yako kirahisi kila baada ya ushindi.

Tumeorodhesha faida kuu za kubeti parlay:

 • Rahisi sana kuwekeza. Unapowekeza mikeka yako, utaongeza kwa urahisi kwenye malipo yako na kukomesha hatari. Kumbuka kuwa kama ukiziunganisha timu tatu au nne kushinda pamoja, kuwekeza mikeka hii, unahitaji pia kuweka mikeka kwenye michezo yote hii mmoja mmoja (kwa kiasi cha chini zaidi). Katika kufanya hivyo, utaongeza zaidi kwenye chungu.
 • Utakuwa na nafasi ya kupata malipo makubwa.
 • Rahisi sana kuongeza.

Mikeka ya system pia zimekuwa maarufu sana ndani ya miaka mitano iliyopita. Pindi unapochagua chaguo hili, unaweza pia kushinda hata wakati haupati kila tukio/mechi kiusahihi kabisa. Katika kesi hii, hatari ni ndogo zaidi kulinganisha na parlays, lakini faida yako inayowezekana pia ni ndogo zaidi. Wabashiri wazoefu hupendelea kutumia mbinu hii wakati wakijishughulisha na michezo hatari.

Jifunze Point Spread

Kama unataka kufikia mafanikio katika tasnia hii, inakubidi kujifunza jinsi ya kushughulika na point spread — mstari ambao watengeneza odds kwa kawaida huuweka kwenye mchezo. Ulaya, haina hii ya kubeti huitwa handicap.

Mara nyingi inatumika katika kubeti mpira wa miguu na mpira wa kikapu, pia michezo mingine. Hebu tuuangalie mfano wenye mechi ya Marekani ya mpira wa miguu:

 • New York Giants: +4.5;
 • Dallas Cowboys: -4.5;

Katika kesi hii, kama unataka kuweka mikeka, unahitaji kuchambua uwezo wa timu zote mbili na kuamua kama Cowboys ni wazuri zaidi kwa alama 4.5 kuliko wapinzani wao na ufanye tabiri kama wanaweza kushinda mchezo.

Kabla ya kuweka mikeka yako, inakubidi kujifunza kila kitu kuhusu timu hii na ujifunze point spread.

Chagua kati ya Pre-match na Live Betting

Pamoja na mkusanyiko mpana wa machaguo ya kubeti yaliyo nje huko, inaweza kuwa ngumu sana kuamua ni aina zipi za mikeka ya kuchagua. Kama wewe ni mbashiri mgeni, unahisi hauna maamuzi, hasa inapokuja kwenye kuchagua kati ya machaguo mawili — prematch na live betting. Hebu tuyaangalie maneno yote mawili kwa kina zaidi.

Kama ukichagua kubeti prematch, unahitaji kuweka mikeka yako kutegemeana na matokeo kutoka kwenye mechi zilizopita. Kuiweka kirahisi, unatakiwa kuchambua matokeo kutoka kwenye michezo ya mapema zaidi.

Kama ukichagua live betting, unahitaji kuweka mikeka yako baada ya mechi kuwa imeanza na mpaka mechi itakapoisha. Ukiwa unashughulika na mbinu hii, unatakiwa kuufuatilia mchezo huu mtandaoni na kufanya tabiri zako kutegemeana na utendaji wa kiujumla wa wachezaji.

Kama kwa sasa unatafuta jukwaa zuri zaidi la kubetia ambapo unaweza kujaribu machaguo yote mawili ya kubeti, Parimatch ni chaguo lako namba moja. Tunazo odds za live na prematch kukidhi mahitaji ya aina zote za wachezaji. Haijalishi uko wapi, unaweza kuweka mikeka yako ndani ya mibofyo michache na tovuti ya Parimatch au app ya kubetia ya simu ya mkononi!

Jifunze Zaidi:

Mjue Meneja Ubashiri Wako

Soko hili la kisasa limezidiwa sana na machaguo ya kubeti, lakini unatakiwa kukumbuka kwamba mafanikio yako katika tasnia hii hayategemei tu uzoefu na maarifa yako. Unahitaji kuchagua meneja ubashiri wako kwa busara. Meneja ubashiri au bookmaker ni mtu ambaye hupanga odds, hukubali na huweka mikeka yako na hufanya malipo.

Kama unakwenda kujaribu kubeti mtandaoni kwa ajili ya pesa fulani za ziada, unatakiwa kuwa makini sana na kuchagua majukwaa yanayoaminika na kuheshimika tu. Hapa ndipo Parimatch inaingia! Kwa sasa, tuna uzoefu mzuri katika eneo la kubeti na kucheza kamari. Kuwa kwenye soko tangu 1994, tuna ukadiriaji bora sana miongoni mwa wachezaji duniani kote!

Parimatch ni jukwaa lenye leseni kamili lililo na michezo mingi unayoweza kuchagua, aina mbalimbali za kubeti, na malipo ya haraka. Zaidi ya hilo, pia kuna app ya simu ya mkononi kufanya kubeti kwako nchini Tanzania kuwe rahisi zaidi. Kama una maswali fulani kuhusu odds, bashiri, au aina za kubeti, unaweza kuwasiliana na timu yetu ya msaada, tutafurahi kukusaidia!

Kama unavyoelewa, kuwa mbashiri mzuri huchukua muda na ujuzi. Hauwezi kushinda milioni kwa kuweka mikeka ya kwanza kwenye kisio la bila kufikiria (lakini nani anajua, labda utakuwa na bahati nzuri!). Bado, kwa matokeo ya kuaminiwa zaidi, unatakiwa kujifunza ulimwengu wa kubeti michezo nje ndani.

Sasa kwa kuwa unazifahamu hizi mbinu nzuri zaidi katika kubeti michezo ni muda wa kufanya mazoezi. Tunakutakia kubeti kwenye kufurahisha na kwenye matunda!

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, ni mkakati gani wenye mafanikio zaidi wa kubeti?

Inabidi utumie mikakati mbalimbali ili kuhakikisha kuwa unashinda kwa mafanikio zaidi. Mbinu namba moja ya kukuza mikeka yako yote ni kuwa na maarifa kamili ya mchezo na timu zinazohusika. Kisha, wakati wa kubeti kiuhalisi, epuka kufukuzia hasara au kuweka dau kupita kiasi – kucheza kamari kupita kiasi hatimaye kunaweza kukupukutisha sana mifuko yako kwa haraka sana!

Ni dau gani ambalo ni rahisi kushinda?

Dau la nafasi mbili ndilo rahisi kushinda. Hii ni kwa sababu haijalishi mchezo au matokeo, pia utakuwa na matokeo mawili ya ushindi kati ya matatu yanayowezekana, na kuongeza nafasi zako za ushindi.

Je, ni mkakati gani bora wa kubetia michezo?

Lazima uunganishe mikakati tofauti ili kupata mafanikio zaidi. Kando na maarifa yako ya mchezo, ni lazima ujumuishe ujuzi mwingine kama vile usimamizi wa pesa, kumuelewa mtunza pesa, na mchakato mzima wa kubeti.

Mikakati bora zaidi ya kamari ni ipi?

Baadhi ya mikakati bora ya kamari ya michezo iliyopendekezwa na Parimatch ni pamoja na;

 • Usimamizi wa bajeti
 • Epuka kucheza kamari ukiwa na ushawishi wa pombe au madawa ya kulevya
 • Chunguza mchezo na timu/wachezaji kabla ya kuweka mkeka
 • Elewa malengo na hatari yake – kuwa mtu halisi!
 • Fuata mchezo mmoja
 • Chagua kati ya mchezo wa kabla ya mechi au dau la moja
 • Jua mtunza fedha wako

Ninawezaje kuboresha ujuzi wangu wa kubeti?

Njia rahisi zaidi ya kuboresha ujuzi wako wa kubeti ni kwa kujipatia maarifa sahihi ya mchezo, timu na/au wachezaji. Unapoanza, shikamana na aina moja ya mchezo ili uweze kuujua kwa urahisi zaidi. Kisha, jifunze ufundi tofauti wa kubeti na mikakati ya kuboresha nafasi zako za kufaulu zaidi.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.