Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / 🏆 CAF Champions League Prediction ya Mtabiri wa Parimatch

Wababe Africa kwenye mpira wa miguu wa michuano ya ligi ya mabingwa watarudi tarehe za mwezi hatua ya kusaka nani atashinda michuano ya ligi ya mabingwa ya CAF na atakayefanikiwa kupenya kwenye kundi lake, baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano hayo yenye hadhi barani Africa kwenye msimu wa 2023/2024. Tumeelezea CAF Champions League prediction.

🏆 Michuano ya Ligi ya Mabingwa Africa (CAF)

Parimatch tunakupatia maokoto kwenye mpira wa miguu kupitia uchambuzi na utabiri yakinifu wa michuano ya ligi ya mabingwa Africa ili kukupa nafasi ya kushinda mkeka wako ukizingatia tunakusogezea michuano hiyo mikubwa ya mpira wa miguu kwenye ligi ya mabingwa

Michuano ya ligi ya mabingwa Africa itaanza kwa kuzikutanisha timu mzunguko wa tano wa mashindano hayo ikishuhudiwa mechi nane  zenye timu pinzani 16 kupambania alama tatu kujiweka kwenye hatua ya mbele zaidi. Fuatilia utabiri wa michuano ya ligi ya mabingwa Africa kwa kujua historia ya timu zinazokutana na mwenye nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ya CAF.

Ninakukaribisha kufuatilia utabiri wa Ligi ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika wangu kwa kuangazia matokeo na mwenendo wa timu pale zilipokutana:

🥇 Utabiri wa Al Ahly

Tunaweza kusema ndio timu iliyofanikiwa zaidi katika mashindano haya tangu kuanzishwa kwake. Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Misri wametwaa taji hilo mara 11, ikiwa ni pamoja na msimu uliopita wa 2022/23, walipoifunga timu ya  Morocco; Wydad AC kwa jumla ya mabao 3-2 kwenye fainali.

Kikosi walichonacho chenye wachezaji wenye takwimu za juu kama Percy Tau, El Shahat, Ashour Emam na wengine bado kunawapa nafasi kubwa sana ya kuondoka na ushindi wa taji hili ndani ya msimu huu. Lakini pia wamekuwa na mwenendo unaovutia sana ndani ya ligi yao jambo ambalo linawafanya waonekane ni washindani wakubwa kwenye kombe hili. 

🥇 Utabiri wa Mamelodi Sundowns

Wababe hawa wa Afrika Kusini wameleta mapinduzi makubwa sana katika soka la ukanda wa Afrika: jambo ambalo limekuwa tishio sana hata kwa vigogo ambao mashindano haya yalionekana yametawala kwa majina yao kila msimu. 

Ushindi wao wa kombe la ligi ndani ya nchi yake, kombe la ligi ya Afrika (AFL) na zaidi wachezaji wakubwa alionao ambao walionekana lulu kubwa kwenye mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) wanapata nafasi kubwa ya kunyanyua kombe hilo kwani anawamudu wapinzani waliosalia kwenye mashindano. 

🥇 Utabiri wa TP Mazembe

Washindi hao mara tano wa kombe hili la klabu bingwa Afrika walikuwa wamepotea kidogo ndani ya muchuano hii; lakini wanaonekana msimu huu kuna jambo wamedhamiria baada ya kufanya usajili mkubwa wa wachezaji ambao wanaonekana kuifikisha timu kwenye mafanikio yao. 

Wachezaji kama Traore, Oladapo, Keita na wengine unawapa nafasi kubwa sana ya kuusogelea ushindi ambao waliuacha tangu waliposhinda kwa mara ya mwisho mwaka 2015. Wababe hao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanashawishi kwani hata ndani ya ligi yake ya ndani kwa sasa wapo nafasi ya kwanza ndani ya ligi yao. 

🥇 Utabiri wa Petro de Luanda

Klabu hii ya Angola ilifuzu kwenye hatua hii robo-fainali kutoka Kundi C kufuatia ushindi wao wa kihistoria wa kushika nafasi hiyo bila kuruhusu hata bao moja kutikisa nyavu zao. Petro de Luanda walimaliza kileleni mwa kundi hilo wakiwa na alama 12 baada ya ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Etoile du Sahel. 

Kunachowapa nafasi ya kushinda kombe hili ndani ya msimu huu ni ukomavu ambao wameupata tangu waanze kushiriki kwenye mashindano haya na safu yao imara ya kiungo na ulinzi; huenda wasiangaliwe sana na wengi kwa sababu hawana historia kubwa kwenye mashindano lakini wanaweza kuushangaza ulimwengu wa soka kwa kuondoka na ushindi ndani ya msimu huu wakaivunja rekodi yao ya 2001 na 2006 na hii ya mwaka huu 2024. 

🥇 Utabiri wa Esperance de Tunis

Mshindi huyu mara nne wa kombe la ligi ya mabingwa Afrka (CAF) wanapewa nafasi ya kuleta upunzani mkubwa sana kwenye mashindano haya makubwa kwani tayari walikwisha iandika historia kubwa sana ya mashindano. 

Mara yao ya mwisho kuchukua kombe hilo ilikuwa ni msimu wa 2018/19 alipomwondoa bingwa wa kihistoria Al Ahl. Wababe hawa wa Tunisia bado wana kikosi imara chenye wachezaji wa kila aina ambao ni chachu ya mafanikio na wana njaa ya mafanikio baada ya kipindi kirefu cha kulikosakombe hilo.  

Utabiri wa Bing AI kwenye Michuano ya CAF

Bing AI inatabiri timu iliyofanikiwa zaidi ya mabingwa wa sasa, Al Ahly, kushinda mchuano huu wakati huu pia. Walakini, kwa uwepo wa timu kama Mamelodi Sundowns FC, TP Mazembe, Petro de Luanda, na ES Tunis katika hali nzuri, mambo yanaweza kubadilika kidogo na pia michuano ya Afrika kama vile Kombe la Mataifa ya Afrika ilivyokuwa mwaka jana huvuma mno na hupendwa sana.

Namna ya Kutandika Jamvi Parimatch 

  • Ingia kwenye akaunti yako ya Parimatch kama umejiunga tayari; kama bado jisajili haraka.
  • Weka pesa kwenye akaunti yako. 
  • Chagua mechi unazotaka kwa kuangalia ligi yako ya CAF. Unaweza kuchagua timu ipi ishinde, sare au ifungwe au chaguzi nyinginezo.
  • Subiri mkeka wa mechi zako pendwa ulizoweka; endapo umeshinda utaona ongezeko la salio kwenye akaunti yako.
  • Furahia ushindi wako.

Hitimisho: Dondoo za Michuano ya Ligi ya Mabingwa Africa

Tuangazie dondoo hizi kuhusu mshindi wa kundi lake baada ya mechi za mzunguko huu kupitia utabiri wa michuano ya ligi ya mabingwa Africa. Kwenye dondoo hizi kundi la kwanza tunawapa Mamelodi Sundowns na TP Mazembe, kundi B ni imani kubwa ASEC Mimosas na Simba kutokana na dondoo wana uwezekano mkubwa sana wa kukaa juu ya kundi lao. Dondoo za kundi C, Petro Atletico na ES Tunis tunawapa nafasi kubwa ya kusonga robo fainali. Wababe wengine wa kundi D, Al Ahly kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika dondoo zake zinaonesha atasonga mbele akiwa na CR Belouizdad. 

Dondoo za utabiri wa michuano ya ligi ya mabingwa Africa unaupata kupitia Parimatch, yenye odds nzuri na njia salama ya kuweka na kutoa pesa zako. Karibu Parimatch ukutane na utabiri unaokupa dondoo sahihi.

Maswali Yanayoulizwa Sana

❓ Nani Ana Nafasi Kubwa ya Kushinda Ligi ya Mabingwa Africa 2024?

Ni swali ambalo bila shaka si rahisi kulitolea majibu lakini kwa mwenendo ambao msimu huu Mamelodi Sundowns amekuwa akiuonesha ana kila dalili za kulipoka kombe la ligi ya mabingwa kutoka kwa mabingwa wa kihistoria Al Ahly. 

Je, Ni Timu Gani Imeshinda Kombe la Ligi ya Mabingwa Africa Mara Nyingi Zaidi?

Mabingwa wa Misri – Al Ahly wao ndio wanashikilia rekodi hiyo ya kushinda mara 11 kombe hilo; na hilo limepelekea wao kubatizwa jina la “mabingwa wa kihistoria wa Afrika”.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.