Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / 🏆 EPL Predictions za Mtabiri wa Parimatch

Kivumbi cha michezo ya ligi kuu Uingereza kinaendelea, EPL Predictions imekuwa ni ligi kuu yenye mvuto na ushindani mkubwa sana kutokana na kuzalisha vipaji na aina ya mechi ambayo timu imekuwa ikicheza hata zile timu ambazo zipo mwishoni mwa jedwali la ligi kama Sheffield United. Karibu kwenye Premier League predictions.

⚽️ Utabiri wa Uhakika wa Ligi Kuu ya Uingereza

Parimatch tunakuletea utabiri wa soka kwa AI leo wa Ligi Kuu kwa mechi kubwa za ligi kuu ya Uingereza kwa kuona nani atapewa nafasi ya kuondoka na alama mbele ya mwenzake baada ya kujiridhisha kwa takwimu na dondoo za ligi kuu.

Ninakukaribisha sana kufuatilia EPL Predictions kutoka kwangu kwa kadri ya matokeo ya zamani ya timu hizi pale zilipokutana dimbani, twende sawa sasa:

Tarehe Nyumbani Ugenini
11 Machi Chelsea Newcastle
30 Machi Newcastle West Ham United
4 Aprili Chelsea Manchester United
7 Aprili Liverpool Manchester United
13 Aprili Arsenal Aston Villa
4 Mei Liverpool Tottenham Hotspurs
11 Mei Manchester United Arsenal
19 Mei Manchester City West Ham United

Utabiri wa ⚽️ Chelsea v Newcastle

Chelsea na Newcastle wanakaribiana sana msimu huu wa ligi kuu, na mchezo wao ujao utakuwa ni wa kuamua kwa kiasi kikubwa ni timu gani itaishia katika nafasi nzuri zaidi. Wakati nafasi ya kucheza UCL kama ilivyo kwa Manchester City ndani ya ligi kuu inaonekana ni kama ndoto kwa timu zote mbili, wote watakuwa wakitazama nafasi ya kupenya kucheza kwenye taji la Ligi ya Uropa kutokana na utabiri wa ligi kuu. 

Kabla ya kuangalia zaidi ubashiri wa ligi kuu kwa mechi za ligi kuu hususani hii, tuangalie kilichotokea pale timu hizi zilipokutana siku za nyuma kabla ya msimu wa ligi kuu unaoendelea. Utabiri wa ligi kuu unaonesha wawili hawa walikutana kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1907, wakati Newcastle ilishinda 1-0. Lakini baadae, Chelsea ilionekana kutawala zaidi.

Hadi hivi leo ndani ya ligi kuu, Chelsea wameshinda michezo 79 na kupoteza 56. Kipigo chao cha hivi karibuni kilipatikana katika mechi ya EPL mwaka huu wakati Newcastle ilipoibamiza Chelsea mabao 4-1. 

🏆 MATOKEO: 

Kutokana na odds za matokeo ya mwisho kwenye mechi iliyowekwa na Parimatch, Chelsea ina odds za chini kabisa (1.84), ikionyesha kuwa ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda. Newcastle ina uwezekano wa juu kidogo (3.95), na kuonesha wao ndio wanyonge. Sare (4.20) ndio ina odds kubwa zaidi, lakini kuna uwezekano mdogo, kulingana na watengenezaji wa odds. 

Utabiri wa ⚽️ Newcastle v West Ham United 

Tangu mwaka 1996, Newcastle United na West Ham United zimekutana katika jumla ya mechi 48. Kati ya mechi hizi, utabiri wa ligi kuu unaonesha Newcastle United waliibuka na ushindi katika mechi 20. Kwa upande mwingine ndani ya ligi kuu, West Ham United ilipata ushindi katika mechi 14. Aidha, timu hizo zilitoka sare katika mechi 14 walizokutana ikiwemo ligi kuu.

Timu zote mbili; West Ham United na Newcastle United zina matokeo ya wastani kwenye msimu huu wa ligi kuu. Wakati wa kwanza amekaa katika nafasi ya 8 na alama 39, na wa pili kwa sasa yuko katika nafasi ya 10 akiwa na alama 3 tu za kuiangusha Brighton iliyo nafasi ya 7 (kulingana na takwimu baada ya Mechi za mzunguko wa 26).

Mfululizo wa matokeo kusuasua ya West Ham United ndani ya ligi kuu ni jambo la kuwazia; katika mechi hiyo ya ligi kuu watakayokutana West Ham hawatakuwa na nafasi kubwa ya kuchukua alama kwenye mechi za ligi kuu mbali na takwimu kuwa zinakaribiana sana kulingana na utabiri wa ligi kuu ya Uingereza.

🏆 MATOKEO: 

Newcastle wameshinda mechi 2 kati ya 5 zilizopita na kupoteza moja pekee. Kinyume chake, West Ham hawajashinda katika mechi 4 zilizopita. Kwa kuzingatia mwendelezo huo na faida ya kuwa nyumbani, ninatabiri ushindi kwa Newcastle United.

Utabiri wa ⚽️ Chelsea v Manchester United

Pambano kali la ligi kuu kati ya majiji mawili London na Manchester katika uwanja wa Stamford Bridge tarehe 4 Aprili 2024 linaenda kuwa pambano la kukata na shoka.

Chelsea imekuwa na matokeo tofauti katika ligi kuu hivi karibuni, ikipoteza mechi mbili kati ya tano zilizopita. Hata hivyo utabiri wa ligi kuu unaonesha, walifanikiwa kupata ushindi katika michezo miwili na kutoka sare katika mchezo mmoja. Uchezaji wa timu kwenye ligi kuu umekuwa hauna utulivu sana, lakini wana faida kwa sababu watakuwa nyumbani mbele ya mashabiki wao.

Manchester United imekuwa imara zaidi kwenye ligi kuu, ikishinda mechi nne kati ya tano za mwisho za ligi kuu. Kiwango chao cha hivi karibuni kwenye ligi kuu kinapendekeza wako kuwa katika hali nzuri, na watakuwa wakilenga kuendeleza mfululizo wao wa ushindi ndani ya ligi kuu.

🏆 MATOKEO: 

Kwa kuangalia faida ya Chelsea wakiwa nyumbani, natarajia wataifanya mechi kuwa ngumu. Lakini pia, kwa historia ya Manchester United na mwenendo mzuri wa hivi karibuni, natarajia watacheza vizuri pia. Kwa hivyo utabiri wangu wa mwisho ni sare (yenye magoli).

Utabiri wa ⚽️ Liverpool v Manchester United

Mechi ya kwanza ya ligi kuu ya dabi ya Kaskazini-Magharibi ilichezwa mwaka 1894 wakati Manchester United ilipojulikana kama Newton Heath. Tangu wakati huo, timu zote mbili zimecheza mechi 182 za ligi kuu. Kati yao, Manchester United wameshinda 69, Liverpool wameshinda 61, na wametoka sare mara 52.

Liverpool kwa sasa wako kileleni mwa msimamo wa ligi kuu baada ya mechi 26. Wamekuwa katika mfululizo mzuri sana wa ligi kuu, wakiwa na safu kali ya ushambuliaji na ulinzi imara. Wakati Manchester United ipo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi kuu, ikipigania nafasi ya kufuzu kucheza UEFA Champions League kama ilivyo kwa majirani zao Manchester City. 

Mechi ya hivi karibuni ya dabi ya Kaskazini-Magharibi iliisha kwa sare tasa. Hata hivyo utabiri wa ligi kuu unaonesha, licha ya kutokuwa na matokeo mabaya kwenye mechi zao walizokutana wawili hawa hivi karibuni, sare dhidi ya Liverpool inaonyesha kuwa Man United wanaweza kushikilia nafasi yao dhidi ya timu za juu ya msimamo wa ligi kuu kama Liverpool na Manchester City.

🏆 MATOKEO: 

Kwa kuzingatia hali ambayo timu zote ziko, natarajia mechi hiyo itakuwa na ushindani mkubwa. Kuhusu matokeo, ninatabiri ushindi wa 2-1 kwa Liverpool.

Utabiri wa ⚽️ Arsenal v Aston Villa

Historia yao ndani ya ligi kuu inaanzia mwaka 1904. Timu zote mbili zimekutana mara 202; Arsenal wakishinda mara 87, Aston Villa wakishinda mara 70, na wakitoka sare mara 45. Kwa takwimu zao za hapo nyuma za ligi kuu zinaonyesha walikuwa sawa, lakini hivi karibuni, Arsenal imekuwa na nguvu na uwezo zaidi. Utabiri wa ligi kuu kati ya 2021 na 2023, waliweza kuwafunga Aston Villa kila walipokutana. 

Lakini msimu huu wa ligi kuu mambo yamebadilika. Aston Villa, chini ya uongozi wa Unai Emery, wamepindua meza. Katika mchezo wao wa kwanza mwaka huu, Aston Villa walishinda 1-0 dhidi ya Arsenal. Kiwango chao kizuri cha hivi karibuni kwenye ligi kuu kimewaweka kwenye nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi kuu (wakiwa na tofauti ya magoli chanya, shukrani kwa ushindi wa 5-0 dhidi ya Sheffield United), alama 6 tu nyuma ya Arsenal, ambao wako nafasi ya 3, na Newcastle wakiwa katika nafasi ya 10. Huku Sheffield United wakiwa wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi kuu. 

🏆 MATOKEO: 

Kwa kuzingatia faida ya Arsenal wakiwa nyumbani, ushindi walioupata kwa Sheffield United na kiwango cha hivi karibuni, ninatabiri ushindi kwa Arsenal. Lakini, ushindi wa hivi karibuni wa Aston Villa dhidi ya Arsenal unaongeza hali ya kutotabirika kwenye pambano hili kirahisi.

Utabiri wa ⚽️ Liverpool v Tottenham Hotspur

Baada ya Mechi za mzunguko wa 26 wa ligi kuu, Liverpool walikuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu kwa kupata ushindi katika mechi 4 kati ya 5 za mwisho za ligi kuu. Wakiwa katika nafasi ya 5, Spurs wameshinda mechi 2, sare 2, na kupoteza mechi 1 katika kipindi cha hivi karibuni. 

Katika mechi 5 za ligi kuu zilizopita (walizokutana): 

  • Sare zimekuwa 2 
  • Liverpool wameshinda 2 
  • Kipigo cha hivi karibuni kwa vijana wa Klopp kilitokana na bao la kujifunga katika dakika za majeruhi la Joel Matip.

Kupitia utabiri wa ligi kuu, Liverpool wanaonekana kama wana nafasi ya kushinda zaidi na kuwaacha Sheffield United wakishuka daraja, huku Spurs ikionekana ipo chini kulinganisha na mpinzani wake anaekutana nae ndani ya ligi kuu.

🏆 MATOKEO: 

Kwa kuangalia hali ya hivi karibuni ya Liverpool na historia katika kukutana kwao, wanaonekana kuwa na faida ya kushinda kwa sababu watakuwa nyumbani. Hata hivyo, Spurs daima imekuwa mshindani mkubwa sana. Hiyo inaonesha kuwa, sare pia inaweza kupatikana kati yao.

Utabiri wa ⚽️ Manchester United v Arsenal

Katika historia ya mechi zao za ligi kuu, Manchester United na Arsenal wamecheza jumla ya mechi 240. Kati ya hizo, Manchester United imeibuka na ushindi mara 99, huku Arsenal ikishinda mara 88, na kutoka sare mara 53. 

Mechi yao ya mwisho ya kigi kuu  ilifanyika Septemba 3 kwenye Uwanja wa Emirates, ambapo Arsenal waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United.

Ukiangalia pambano lao la hivi karibuni, katika mechi tano zilizopita kati ya timu hizo mbili ndani ya ligi kuu, Arsenal imeshinda mechi mbili, huku Manchester United nayo ikishinda mechi mbili kupitia utabiri wa mechi za ligi kuu.  

Arsenal imekuwa katika kiwango kizuri ilivhoonesha hata ilipokutana na Manchester City kwenye ligi kuu hivi karibuni, ikishinda mechi tano kati ya tano zilizopita za ligi kuu. Ushindi wao wa hivi karibuni ni pamoja na ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool na kichapo cha mabao 5-0 walichoshusha dhidi ya Palace. Lakini pia utabiri wa ligi kuu unamwangazia Manchester United pia ambaye amekuwa na mwenendo mzuri kupita dondoo za ligi kuu, kwani wameshinda mara nne na kupoteza mara moja pekee katika mechi zao tano zilizopita.

🏆 MATOKEO: 

Tukiri ni kweli, Arsenal wamekuwa vizuri sana, lakini ukizingatia jinsi wanavyoangusha alama katika nyakati muhimu, Sidhani kama watasonga wakiwa  ugenini. Kwa hiyo dondoo za kubashiri ligi kuu kwa mechi hii ni sare au ushindi kwa Manchester United.

Utabiri wa ⚽️ Manchester City v West Ham United

Manchester City wameonesha kiwango kizuri hivi karibuni kupitia utabiri wa ligi kuu, wakishinda mara 4 na kupata sare 1 katika mechi zao za hivi karibuni, wakijiweka katika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi kuu, wakiwa nyuma kwa alama moja pekee. Kinyume chake, West Ham United wanepata matokeo mchanganyiko, kwa kushinda 1 na kufungwa 3 katika mechi zao za hivi karibuni.

Zaidi ya hayo, West Ham walipoteza mbele ya Manchester City katika mechi yao ya mwisho ya ligi kuu kwenye uwanja wao wa nyumbani. Kinachoongeza faida ya Manchester City ni uwepo wa Erling Haaland wa Manchester City kwenye ligi kuu, ambaye anaongoza orodha ya wafungaji msimu huu wa ligi kuu. Inafaa kukumbukwa kuwa, ushindi wa mwisho wa West Ham dhidi ya Manchester City kwenye ligi kuu ulikuwa mwaka 2015.

🏆 MATOKEO: 

Kwa kuangalia hali za uwanjani za hivi karibuni, historia, na uwepo wa Erling Haaland kama mfungaji bora wa ndani ya ligi, Manchester City inaonekana kuwa timu yenye nguvu zaidi. Kwa hiyo utabiri wa mechi za ligi kuu ikiwepo hii unampa: Manchester City kushinda mechi, na zaidi ya mabao 2 yatapatikana ndani ya mechi hii.

Namna ya Kutandika Jamvi Parimatch 

  1. Ingia kwenye akaunti yako ya Parimatch kama umejiunga tayari; na kama hauna jisajili haraka.
  2. Weka pesa kwenye akaunti yako ili ikuwezeshe kubeti.
  3. Chagua mechi unazotaka kwa kuangalia ligi yako pendwa. Unaweza kuchagua timu ipi ishinde, sare au ifungwe au chaguzi nyinginezo.
  4. Subiri mkeka wa mechi zako pendwa ulizoweka; endapo umeshinda utaona ongezeko la salio.
  5. Furahia ushindi wako.

Hitimisho: Dondoo za Kubetia Ligi Kuu 

Utakuwa umefanya uamuzi sahihi kabisa kutuchagua sisi Parimatch kwa sababu tunakupa dondoo za kubeti ligi kuu na kile mteja wetu unataka kwa kukuletea utabiri uliochambuliwa kwa kuzingatia taarifa sahihi kabisa za kila timu na upande sahihi wa wewe kuangalia wakati unaweka mkeka wako. Tunakupa odds nzuri zenye kukujaza kwenye ushindi wako wowote unaoupata kutoka hapa Parimatch kupitia mechi za ligi kuu

Maswali Yanayoulizwa Sana

❓ Ni Tovuti Gani Inayobashiri Vyema Mechi za EPL?

Ni ndani ya Parimatch pekee unapata ubashiri wa kina na unaokupatia ushindi wa waziwazi. Hapa pia utapata uchambuzi unaokuwezesha kuchagua upande upi ni sahihi kwako. 

Je, Unabashiri Vipi Ikiwa Ndiyo Unaanza Kubeti?

  • Kama wewe ndio kwanza unaanza kujifunza kubeti, tembelea tovuti yetu ya Parimatch kwenye kivinjari chako kupitia kiunganishi. 
  • Ingia kwenye akaunti yako na uchague ligi ya mapendeleo yako kwa kuangalia timu ambazo unazitaka zikae kwenye mkeka wako. Utakutana na timu nyingi uzipendazo. 
  • Weka mkeka wako na usubiri kushangilia ushindi wako baada ya mechi kutamatika. 

Je, Unaweza Kumbetia Ambaye Atashinda Taji la Ligi Kuu?

Ndio ni rahisi kufanya hivyo. Parimatch tunakupa nafasi ya kumbetia yule atakaye nyanyua kombe la Ligi Kuu mwishoni mwa msimu pale ligi itakapikwisha. 

Ni Ligi Ipi Ambayo Ni Rahisi Kuibetia?

Kubeti ni rahisi kama utafuatilia uchambuzi na kuangalia historia za timu husika. Ligi kuu hizi ni rahisi kuchagua timuna kupata ushindi: ligi kuu ya Uingereza, ligi kuu ya Hispania, ligi kuu ya Ujerumani, ligi kuu ya Ubelgiji, ligi kuu ya Tanzania na ligi kuu ya Italia.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.