welcome

Ligue 1 ni shindano lenye vipaji la vilabu kwa ajili ya timu za mpira wa miguu nchini Ufaransa. Baadhi ya majina madogo yanayosisimua zaidi katika mpira wa miguu leo yanacheza katika shindano hili. Pia limezalisha wachezaji kadhaa wenye ujuzi, thabiti, na wa kustaajabisha. Zaidi ya hilo, falsafa ya mpira wa miguu wa kushambulia huifanya ligi hii iwe ya kuvutia.

Nchini Tanzania, Ligi ya Ufaransa ni maarufu, na ingizo la majina nyota kama Neymar na Pochettino limeongeza ukubalikaji wake. Hata hivyo, Ligi Kuu ya Uingereza na La Liga zimekuwa maarufu kwa muda mrefu. Matokeo yake, itachukua muda fulani kwa Ligue 1 kuzifikia na kupata msingi imara wa mashabiki.

Hata hivyo, uwepo wa wachezaji walio bora ulimwenguni na mitindo ya mpira wa miguu ya kustaajabisha katika mashindano ya Ligue 1 huyafanya kuwa chaguo zuri la kubeti. Jiunge Parimatch na jisajili kwenye tovuti kuwa sehemu ya kitendo.

Ligue 1 ya Ufaransa 2020 — 2021

Ligue 1 ya Ufaransa imekuwepo kwa muda mrefu. Hadi mwisho wa msimu huu, itakuwa imehitimisha mwaka wake wa 83 wa kutoa mpira wa miguu wa kusisimua. Hadi sasa, msimu huu umezalisha mechi nyingi za kusisimua toka wiki ya ufunguzi na unaahidi zaidi kabla ya mwisho wa msimu.

Paris Saint-German ndio mbeba taji wa sasa. Lorient na Lens zilipandishwa msimu uliopita kutoka Ligue 2 kuchukua nafasi ya timu zilizoshushwa daraja, Toulouse na Amiens. Tishio la kushuka daraja huongeza ushindani wa kila msimu. Zaidi ya hayo, AS Monaco ndio timu pekee isio ya Ufaransa inayocheza katika Ligue 1 ya Ufaransa.

Hivi karibuni mashabiki watakuja viwanjani, kurudisha tena aina ya kipekee ya shangwe kwenye mchezo. Timu baadhi hucheza vizuri zaidi zikiwa na sapoti ya mashabiki wao viwanjani. Lakini mashabiki wanaweza pia kusapoti timu zao kutoka nje ya kiwanja kwa kutabiri katika upendeleo wao kwenye tovuti ya Parimatch.

Mechi za Ligue 1 2020 — 2021

Kabla ya msimu kuanza, menejimenti ya ligi hutoa mechi kwa ajili ya msimu. Husaidia vilabu na mashabiki wao kujiandaa kwa michezo inayokuja. Msimamo wa Ligue 1 hutegemea kwenye tokeo la kila mechi inayochezwa. Mwishoni mwa msimu, timu yenye alama kubwa zaidi hushinda ligi. Wakati ikiwa sare, timu yenye utofauti mkubwa zaidi wa magoli hutangazwa mshindi.

Muda mwingine, tarehe za mechi zinaweza kubadilika pindi zikiingiliana na tarehe za Ligi ya Mabingwa ya UEFA, Ligi ya Europa, na mashindano mengine. Zaidi ya hilo, michezo inaweza kupelekwa mbele kutokana na janga la Covid. Shirikisho la mpira wa miguu la Ufaransa litatakiwa kutatua suala lolote kabla ya mechi yoyote kuweza kuendelea. Pata taarifa zaidi za sasa juu ya jedwali la Ligue 1 ya Ufaransa kutoka kwenye tovuti ya Parimatch kwa ajili ya tabiri zilizo sahihi zaidi.

Beti za kabla ya mechi kwenye mechi zote za Ligue 1

Kubeti Ligue 1 Mubashara

Kubeti kwenye michezo kabla ya mechi kunafurahisha, lakini matokeo muda mwingine hayatabiriki. Lakini kwenye beti mubashara, odds ziko katika upendeleo wako. Unaweza kuamua upande gani wa kuubetia wakati unaangalia mchezo. Hii hukupa udhibiti mkubwa zaidi juu ya tabiri zako. Beti mubashara zilizowekwa wakati wa kuangalia mchezo huongeza dhamana ya kushinda na huufanya uwe wa kuvutia zaidi. Parimatch hutoa chaguo la kubeti mubashara kwenye Ligue 1 na ligi nyingine za kuvutia kama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Bundesliga, n.k.

Shinda zaidi kwa beti kwenye Ligue 1

Timu za Juu za Ligue 1

Msimu huu ulikuwa una matokeo yasiyoaminika ukiwa na timu mbalimbali zikiibua mishangao hapa na pale. PSG FC imemfukuza kocha wake kutokana na kutofanya kwao vizuri mfululizo. Meneja mpya, Mauricio Pochettino alilazimika kudumisha uongozi mwembamba dhidi ya FC Lille. Lille pia ana mchezo mkononi.

Hebu tuzipitie timu kubwa kusaidia kuamua nani wa kumsapoti au kumbetia.

Baadhi ya vilabu vyenye ubora wa juu vya kuvifuata katika Ligi ya Ufaransa ni:

 • Paris Saint-Germain

PSG imepata haki ya kuitwa kilabu bora barani Ulaya. Kwa muda fulani sasa, wamekuwa wababe katika Ligue 1 ya Ufaransa. Wameshinda karibia mataji yote ya Ligue 1 tangu 2012 kasoro moja. Ubabe wao bado haujaenea katika Ligi ya Mabingwa, ndio maana kocha wao aliyepita alifukuzwa. Wanaendelea kuwa na malengo na utukufu wa Ulaya ulio mgumu kuufikia.

 • Lille OSC

Lille imeshinda shindano hili mara 3 hapo zamani na wanalenga kurudia hivyo. Wamezalisha vipaji vingi vya kusisimua hapo zamani, moja wa hao akiwa ni Nicolas Pepe wa Arsenal FC. Kwa sasa wako nyuma ya PSG katika nafasi ya pili katika jedwali la ligi ya Ufaransa. Pia, bado wana mchezo wa ziada mkononi, ambao unaweza kuongeza nafasi yao ya kushinda taji.

 • Lyon

Olympique Lyonnais wameitawala pia ligi hii hapo zamani, kutoka 2002 hadi 2008. FC Lyon ilishinda ligi kwa misimu saba mfululizo. Tangu wakati huo, wamekuta ni ngumu kurudia siku za utukufu kama hizo.

 • AS Monaco

AS Monaco, timu pekee katika Ligue one ambayo sio klabu ya Kifaransa. Ni miongoni mwa vilabu tajiri zaidi katika ligi hiyo na hili limewasaidia kuvutia vipaji vya kustaajabisha kutoka ulimwenguni kote. Monaco ndio timu pekee kushinda taji la ligi tangu 2012 ukiachilia mbali PSG.

 • Rennes

Moja ya timu zinazosisimua kuzitazama katika ligi hii. Ingawa hawajawahi kamwe kushinda ligi hii. Wanaweza kunyakua taji kama watakuwa na hamasa na umakini kisawasawa.

 • Marseille

Olympique Marseille wameshinda taji kwa rekodi ya mara 9. Kwa sasa wako sawia na PSG kwenye makombe 9 ya Ligue 1. Marseille bado ni klabu bora katika Ligi ya Ufaransa, ingawa kwa sasa wanapambana kujitahidi. Kuwa ndio klabu pekee ya Ligue 1 kushinda Ligi ya Mabingwa ya UEFA, bado kuna tumaini la kufufuka.

 • Bordeaux

Bordeaux imeshinda shindano hili mara 6. Bado wako katika ushindani kuwania taji la ligi. Pamoja na wingi wake wa wachezaji wenye uzoefu, wanaweza kulenga nafasi ya juu.

 • Montpellier

Montpellier wamewahi kufanya kiinimacho hapo kabla. Mwaka 2012, walishinda kombe hili dhidi ya hali zote. Kwa sasa, uwezekano wao wa kushinda kombe hili ni mkubwa, lakini hawapaswi kutolewa moja kwa moja.

 • Nice

Nice FC ni mshindania taji mwingine. Wamebeba taji la Ligue 1 mara 4 hapo zamani. Wachezaji wenye uzoefu katika timu yao watawasaidia kuendelea kushindania utukufu.

 • Saint-Etienne

Saint-Etienne wana mataji 10 ya ligi zaidi kuliko PSG na Marseille, ambao wameshinda 9 kila mmoja. Wanaweza kurudi tena katika ligi licha ya mwanzo wa taratibu kwenye msimu. Sehemu ya pili ya msimu inaleta fursa ya kipekee kwa wao kujiboresha.

Wafunga Magoli Bora wa Ligue 1

Wafunga magoli huzifanya timu ziende juu. Kila timu uhitaji mfunga magoli anayetegemewa ambae anaweza kubadili nafasi na kushinda michezo. Baadhi ya wafungaji bora katika Ligue 1 ni wenye majina mashuhuri na wanaopendwa na mashabiki. Fahamu zaidi kuhusu wafungaji wako pendwa bora na jinsi wanavyoendelea kwa wakati huu.

Japo kuwa, orodha hii ya wafunga magoli bora imesasishwa Januari 2021. Mabadiliko yanaweza kutokea kabla ya mwisho wa msimu.

Kylian Mbappe

Hadi sasa, ana magoli 14 na pasi sita za mwisho zilizozaa magoli msimu huu. Alikuwa ni sehemu ya timu ya AS Monaco ambayo iliuchukua ulimwengu kwa mshangao. Michango yake ya magoli iliisaidia Monaco kumaliza kinara wa ligi na hata kushindana kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa. Baadae, alikuwa sehemu ya timu ya Ufaransa ambayo ilibeba Kombe la Dunia la FIFA. Nguvu na kasi yake ni vya kipekee, na humsaidia kuendelea kufunga.

Memphis Depay

Memphis Depay amefunga magoli 11 msimu huu na anaendelea kuongoza hata katika timu yake ya taifa. Depay alipambana kujitahidi kufanya vyema baada ya uhamisho wake kwa ada kubwa kwenda Manchester United. Kwa sasa, ni mchezaji tofauti; amekuwa mchezaji wa kiwango cha juu.

Kevin Volland

Ushirikiano wa Volland na Harvertz pale Leverkusen ulikuwa ni wa kusisimua kuutazama. Uliwapatia wachezaji hawa wote wawili hamisho kubwa zaidi. Ameendeleza kiwango chake cha kustaajabisha akiwa Monaco, akifunga magoli 10 ikiwa ni nusu ya msimu.

Andy Delort

Kasi ya Andy Delort na uwezo wa juu wa kumalizia umeisaidia Montpellier kubakia washindani. Hii pia imemsaidia kupata wafuasi wengi katika Ligi Kuu.

Burak Yilmaz

Burak Yilmaz alithibitisha thamani yake akiwa Galatasaray kwa mbinu yake ya kipekee ya ‘bully-ball’. Unajua nini cha kutegemea pindi akiwa kwenye timu yako. Yeye pia amefunga magoli 10 na anaendelea kufanya alichoahidi.

Boulaye Dia

Kiwango cha juu cha Boulaye kimesaidia kuipeleka timu yake mbele. Mashambulizi ya Reim yanalenga kwenye kumtafuta yeye katika boksi. Amefanya hivyo kwa kufunga hat-trick ya kwanza ya klabu tangu 1978. Licha ya hilo, Dia ana jumla ya magoli 12 katika ligi na anatumainia zaidi.

Moise Kean

Kean kipindi cha nyuma ameonyesha mitazamo ya uwezo wake akiwa Juventus. Muda wake akiwa Everton haukuwa wenye kumbukumbu, lakini amerudi tena. Kwa sasa, Moise Kean amefunga magoli 11, na yuko katika kiwango cha juu PSG.

Wissam Ben Yedder

Kwa sasa, Ben Yedder yuko kwenye magoli tisa na pasi nne za mwisho zilizozaa magoli. Wissam Ben Yedder aliichezea na kuifungia timu ya Ufaransa ya futsal na pia timu ya mpira wa miguu. Hii inamfanya kuwa mchezaji pekee wa Kifaransa kuwahi kufanya hivyo. Ben Yedder alitengeneza jina lake akiwa Sevilla baada ya mchezo wake maarufu dhidi ya Manchester United. Pia alibeba mataji kadhaa ya Ligi ya Europa kabla ya kuhamia AS Monaco.

Karl Toko Ekambi

Mchezaji huyu wa Kiafrika mwenye ushawishi alifika Olympique Lyonnais kutokea klabu ya La Liga, Villarreal. Alijiunga na Lyon msimu uliyopita na amekuwa wa muhimu kwenye ushindaniaji wao wa taji la Ulaya. Hadi sasa, ana jumla ya magoli tisa kwa Lyon msimu huu.

Ludovic Ajorque

Ludovic amekuwa wa kuvutia katika nusu ya kwanza ya msimu. Magoli yake tisa yamekuwa ya muhimu kwa Strasbourg, na yamewasaidia kubakia wanaofaa katika mbio za kusaka taji.

Bila shaka, kuna wachezaji wengine kadhaa nyota katika ligi. Neymar, Alexander Golovin, Marco Veratti, na Steve Mandanda ni wachache kati ya majina makubwa ambayo yanaifanya Ligi iwe ya kusisimua.

Kubeti Ligue 1 kwa Parimatch

Lengo la timu iliyopo Parimatch ni mteja. Vipengele vyetu vyote vimebuniwa kukupa uzoefu wa ajabu wa kubeti. Baadhi ya machaguo haya ya kustaajabisha yanaonekana hapa chini.

 • Watumiaji wana nafasi nzuri ya kushinda jakpoti kubwa na bonasi za kusisimua.
 • Tunatoa machaguo ya kubeti mengi kwenye michezo yote.
 • Tunatoa huduma kwa wateja wakati wote.
 • Unaweza kupakua aplikesheni ya simu ya mkononi iliyo rahisi kutumia kwa ajili ya vipengele zaidi.

Beti kwa Parimatch kushinda zaidi na kufurahia faida nyingi za mteja.

Soma Zaidi: