Kama ni Simba dhidi ya Namungo kwenye kombe la Mapinduzi au Ligi Kuu ya Bara, uwanja huwa unajaa kila mara pale hizi timu mbili zinapokutana. Wakiwa wametinga mavazi yao mekundu, mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi (Reds of Msimbazi) huwa na matarajio makubwa kwenye pambano hilo.
Kinyume chake, daima Wauaji wa Kusini (The Southern Killers) huimba nyimbo za “Namungo” Lakini ni nini historia iliyo nyuma ya mechi za Simba dhidi ya Namungo? Je, ni muda sahihi kupitia hizi takwimu kuhusu hizi timu? Endelea kusoma zaidi!
Maeneo | Simba | Namungo |
Jina | Uhuru Stadium | Majaliwa Stadium |
Wastani wa Uwezo wa Kubeba Mashabiki | 18000 | 2000 |
Yaliyomo
Namungo dhidi ya Simba Wakikutana Uso kwa Uso
Simba SC na Namungo FC wamemenyana kwa nyakati nane kwenye historia yao. Kati ya mitanange hiyo, Simba SC iliibuka na ushindi kwenye gemu tano, huku Namungo FC bado ikiwa haijapata ushindi, huku michezo mitatu ikiisha kwa sare. Kwa wastani, timu zote mbili zimepata goli kwenye mitanange yao pale walipokutana, wakiwa na magoli 2.63 ya kuvutia kwa kila gemu.
Ukiangalia kwa makini gemu zao za hivi karibuni, Simba SC imekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu, akiwa na wastani wa magoli 2.60 kwa kila mechi. Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani, mara kwa mara michezo yao imekuwa ni yenye zaidi ya magoli 1.5 kwenye gemu zote na zaidi ya magoli 2.5 kwenye 50% ya gemu zao za nyumbani kwenye msimu wa mwaka 2023.
Kinyume chake, Namungo FC imepata shida sana kuzifumania nyavu kwa msimu huu, ikiwa na wastani wa magoli 0.25 pekee kwa kila gemu. Mwenendo hubakia kuwa mdogo wanapotoka ugenini, wakiwa na bila mechi inayojumuisha zaidi ya magoli 1.5 au 2.5.
Hizi takwimu zinaonesha wazi mienendo kati ya hizi timu mbili, na kuifanya iwe ni mechi ya kuvutia kwa mashabiki wa soka la ligi Tanzania na kwa wale wadau wa Parimatch.
Jedwali la hapa chini linaonesha mechi za Simba dhidi ya Namungo na matokeo yake kwenye Ligi Kuu ya Tanzania.
Mataji | Simba | Namungo |
Ligi Kuu Bara | 5 | 0 |
CECAFA Club Cup | 0 | 0 |
SportPesa Super Cup | 0 | 0 |
Simba S.C
Simba ipo kwenye hali nzuri. Mpaka sasa wamecheza gemu 3 na hawajapoteza hata mchezo mmoja. Kwa sasa, Simba ipo kwenye nafasi ya 2 nyuma ya wapinzani wao Yanga FC. Hizi timu mbili zimetenganishwa tu na tofauti ya magoli. Walakini, kukutana kwao mara ya mwisho na Namungo gemu yao iliisha kwa sare ya 1-1. Hiki hapa ni kikosi kilichocheza mchezo huo wa Ligi Kuu.
Kikosi cha Simba FC
Makipa
- ALLY SALIM JUMA
- AISHI MANULA
Mabeki
- CHE FONDOH MALONE JUNIOR
- HENOC INONGA BAKA
- MOHAMMED HUSSEINI MOHAMED
- SHOMARI SALUM KAPOMBE
Wachezaji wa kati
- LUIS JOSE MIQUISSONE
- LEANDRE WILLY ESSOMBA ONANA
- SAÏDI NTIBAZONKIZA
- CLETUS CHAMA
- SADIO KANOUTE
- MZAMIRU YASSIN
Washambuliaji
- JEAN TORIA BALEKE OTHOS
- MOSES PHIRI
- KIBU DENIS PROSPER
- RAPHAEL BOCCO
- SHABANI IDD CHILUNDA
Namungo
Kulingana na takwimu za msimu huu, ukali wa Namungo kwenye hii ligi bado haujaonekana. Wamecheza jumla ya gemu 4 kama timu, lakini wamekaa kwenye nafasi ya 15, wakipoteza michezo 2 huku mingine miwili ikiisha kwa sare. Mchezo wao wa mwisho na klabu ya soka ya Simba ulikuwa ni wa kukata na shoka, lakini Wauaji wa Kusini (The Southern Killers) walishinda 1-1 ikiwa ni sare dhidi ya waliojipanga vyema, Simba. Hapa chini kuna kikosi cha timu ya Namungo kilichokutana na Simba.
Kikosi cha Namungo
Makipa
- Jonathan Nahimana
- Lucas Ally Chembeja
- Deo Munish
Walinzi
- Hamisi Fakhi Mgunya
- Frank John Magingi
- Erasto Nyoni
- – Noah Olawale Ojuola
- Paterne Counou
- Emmanuel Asante
- Miza Christom Abdallah
- Hashim Hamisi Manyanya
- Emmanuel Charles
Viungo wa kati
- Ibrahimu Ali
- Mohammed Juma
- Hamisi Khalifa Swalehe
- Abdulhalim Humoud
- Frank Domayo
- Christopher Oruchum
- James Mwashinga
- Hassan Kabunda
- Jacob Masawe
Washambuliaji
- Kelvin Sabato
- Shiza Kichuya
- Pius Charles Buswita
- – Alidor Kayembe
- Reliants Lusajo
Matokeo ya Simba vs Namungo Mpaka Leo
21/04/24 | LKB | Namungo HAIRISHWA Simba |
11/11/23 | LKB | Simbs HAIRISHWA Namungo |
03/05/23 | LKB | Namungo 1-1 Simba |
16/11/22 | LKB | Simba 1-0 Namungo |
03/05/22 | LKB | Namungo 2-2 Simba |
03/11/21 | LKB | Simba 1-0 Namungo |
18/07/21 | LKB | Simba 4- 0 Namungo |
29/05/21 | LKB | Namungo 1-3 Simba |
Mechi Inayofuata ya Simba dhidi ya Namungo
Wakati mchezo wa mwisho kati ya Simba na Namungo ukimalizika kwa sare, mechi inayofuata ni jambo la kutarajiwa. Hii ni kwa sababu timu itakuwa kwenye ubora wake. Mechi inayofuata kati ya Simba na Namungo imepangwa kufanyika tarehe 16 Novemba, 2023. Mchezo huu ni sehemu ya Ligi Kuu Tanzania. Mechi ya Simba leo inaweza kutazamwa kwenye Parimatch kwa sababu tunatoa uwezekano wa muda wa 24/7 wa kufunguliwa kwa mechi kati ya timu hizi na kutabiri matokeo ya michezo yao. Kwenye app yetu ya simu, unaweza kuifikia gemu inayofuata ya Simba dhidi ya Namungo ukiwa na simu yako ya mkononi.
Utabiri wa Simba S.C dhidi ya Namungo
Kwa muundo wao wa sasa wa hizi timu mbili, Simba anayo nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu. Mpaka sasa bado Simba hajapoteza mchezo, wakati Namungo, kwa upande mwingine, bado anajitahidi kujiweka safi kwenye gemu zote nne alizocheza mpaka sasa. Utabiri huu unatokana na vipengele vitatu vya muhimu. Unajumuisha vidokezo vya wataalamu, uchanganuzi wa takwimu na kujipanga kwa wachezaji. Sasa, hebu tutazame utabiri mbalimbali unaoweza kufanywa kwenye mechi za Simba dhidi ya Namungo.
Utabiri wa 1X2
Hapa Parimatch, utabiri wetu wa 1X2 ndiyo sehemu yako ya kuelewa matokeo ya mechi kama vile zile za Simba SC dhidi ya Namungo FC. Ili kuthibitisha usahihi wetu, zingatia utabiri wetu wa mechi ya Novemba 16, 2022, ambapo tuliunga mkono klabu ya soka ya Simba SC kushinda. Utabiri wetu ulithibitika kwani Simba SC waliibuka washindi kwa goli 1-0.
Wakati mwingine, kwenye gemu ya Novemba 3, 2021, tulitabiri kuwa Namungo atashinda. Hata hivyo, soka huwa halitabiriki, na Simba SC walipata ushindi wa 1-0 badala yake, ikionesha kwamba tunapojitahidi kupatia usahihi wa kutabiri, mambo ya kushangaza yanaweza kutokea kwenye gemu.
Utabiri wa Juu/Chini ya (Jumla)
Utabiri wetu wa juu/chini ya (jumla) huongeza hali ya kusisimua kwenye uzoefu wako wa kubetia soka. Chukulia, kwa mfano, utabiri wetu wa mechi ya Novemba 16, 2022, ambapo tulitabiri pambano la matokeo ya chini ya, kutabiri chini ya magoli 2.5. Utabiri wetu ulikuwa juu, kwani mechi ilimalizika kwa goli moja pekee.
Hata hivyo, tulitarajia mambo mengi zaidi kwenye mechi ya Novemba 3, 2021, tukitabiri zaidi ya magoli 1.5. Hata hivyo, kutotabirika kwa kandanda kulikuja kama kawaida, na mchezo huo ulikuwa na goli moja pekee, na kutukumbusha kuwa mshangao unaweza kutokea kwenye soka.
Jumla ya Kadi za Njano
Linapokuja suala la kutabiri kadi za njano, tunalenga kukupa maarifa ya muhimu sana kuhusu mienendo ya mechi za kandanda. Kwa mfano, kwenye mechi ya Novemba 16, 2022, ubashiri wetu uliegemea kwenye pambano kali, tukitarajia kadi 3 au zaidi za njano. Hata hivyo, mchezo huo ulichezwa kukiwa na kadi 2 pekee za njano.
Kwenye maoni tofauti, kwenye mechi ya Novemba 3, 2021, tulitabiri kadi 4 au zaidi za njano. Wachezaji walitimiza matarajio yetu, kwani mechi hiyo ilikuwa na kadi 5 za njano, zikionesha kasi ya mchezo.
Mechi za Moja kwa Moja kwenye Simba dhidi ya Namungo
Mchezo wa Simba wa leo wa moja kwa moja unaweza kupatikana kwenye app yetu ya simu. Hapa, unaweza kuweka mkeka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Namungo moja kwa moja. Unaweza kusikiliza matangazo ya moja kwa moja kutoka kwenye chaneli maarufu za michezo kama vile Azam TV, DSTv na Gotv moja kwa moja, takwimu na yale yanayojiri kwa wakati halisi.
Uwezekano wa wakati wa mchezo huwa na mabadiliko, hivyo basi kukupa fursa ya kutumia nyakati zinazofaa zaidi. Pia, unaweza kufuatilia matukio yanayoendelea, uchezaji wa wachezaji na mikakati ya timu kwa muda halisi. Hii inafanya kubeti kwako kuwe kimkakati na sio kubahatisha pekee. Kuweka jamvi moja kwa moja kwenye gemu za Simba dhidi ya Namungo ndipo utakapopata uwezekano mkubwa, hatua za wakati halisi, na kasi ya msisimko ambayo huchochea upendo wako kwenye mchezo.
Muhtasari
Simba dhidi ya Namungo ni mchezo wa kutarajiwa. Makala hii inaonesha matokeo yao pale walipokutana, takwimu na inaangazia matokeo yanayowezekana kujiri. Parimatch, tunakupatia app ambayo ni rafiki kwa watumiaji, kwa wakati halisi unapata msaada kwa wateja, na ofa za uchezaji ambazo hutufanya tuwe ndiyo tovuti yako bora ya kubeti. Tembelea Parimatch kupata uwezekano wa juu na uchanganue takwimu kutoka kwa timu yetu ya wataalam.
Maswali Yanayoulizwa Sana
Wapi Pa Kutazama Mechi ya Namungo FC dhidi ya Simba S.C.?
Mchezo kati ya Namungo dhidi ya Simba S.C. unaweza kutazamwa na watangazaji mbalimbali kama vile Azam TV, DSTv na Gotv.
Matokeo ya Moja kwa Moja ya Simba dhidi ya Namungo ni Nini?
Ili kuangalia matokeo ya moja kwa moja ya mechi za Simba dhidi ya Namungo, tembelea ukurasa wa kubeti moja kwa moja ukiwa na Parimatch.