Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Fahamu Mbinu za Kubashiri Matokeo ya 1×2

Kila mmoja wetu amesikia juu ya kubashiri michezo, lakini siyo kila mtu yupo tayari kutathmini sana shughuli hii kama aina ya kujipatia mapato. Lakini siku hizi, watu wengi nchini Tanzania wanapata pesa kwa njia ya kubeti. Walakini, hofu ya kupoteza pesa bado ipo, hasa ikiwa haujui kubetia matokeo ya 1×2 na mikakati mingine maarufu, haiwezekani kupata mkeka wa kushinda. Kwa hivyo, ngoja tuangalie dondoo za kubashiri matokeo ya 1×2 ili uweze kubeti kwa usalama ukiwa na Parimatch.

1×2 inamaanisha nini?

Mpira wa miguu ni moja ya michezo maarufu nchini Tanzania kwa hivyo tutaelezea kubashiri matokeo ya 1X2 kwenye mifano ya mpira wa miguu, lakini kumbuka kuwa kubashiri matokeo ya 1X2 kunawezekana kwa michezo mingine pia. Kwa hivyo, kujibu swali, “Ni maana ya kubetia matokeo ya 1×2 kwenye mpira wa miguu” – hii ni mikeka ya ushindi wa moja ya timu au sare. Nafasi hizi kwenye mstari pia huitwa matokeo makuu. Ifuatayo, ngoja tushughulikie alama:

  • 1 – ushindi wa timu ya nyumbani;
  • X – sare;
  • 2 – ushindi wa timu ya ugenini.

Kwa wale ambao wanatafuta mikeka hii hasa kwenye mstari, utafutaji utakuwa ni rahisi sana – unapobetia 1×2 kila wakati hufungua orodha ya mechi maalum. Odds zinaoneshwa kila wakati karibu na chaguo la mkeka, na kuichagua, unahitaji tu kubonyeza. Hiyo inasemwa, ni vyema kwako kusoma muongozo wetu juu ya jinsi ya kusoma odds za soka 1×2.

Ngoja tufikirie kuwa unataka kubeti kwenye mechi kati ya Chelsea na Villarreal katika App ya Parimatch.

1X2

Beti kwa “1” inamaanisha kuwa ushindi wa timu ya nyumbani – Chelsea. Ubashiri wa “2” unamaanisha kuwa unabashiri ushindi wa ugenini – Villarreal. Na “X” inamaanisha kuwa wewe unabetia sare.

Namna gani ya kuhesabu malipo kutoka kwenye matokeo ya mkeka wa 1×2?

Sasa hebu fikiria kwamba umeamua kubetia timu iliyopo nyumbani kwa 1×2 kwenye mechi inayojulikana kati ya Chelsea na Villarreal. Kama tunaweza kuona, odds ya 1×2 ni “1”, ambayo ni Chelsea ni sawa na 1.91, “X”, ambayo ni sare – 3.45, na nafasi ya ushindi kwa Villarreal inakadiriwa kuwa 4.20. Ili kuhesabu ushindi unaowezekana, unahitajika kuzidisha kiwango cha mkeka kwa odds ya kampuni.

1X2 Chelsea v Villareal

  • Endapo utabeti 500 TZS kwenye matokeo “1” na odds ya 1.91: ikiwa mechi itaisha na Chelsea kushinda, basi mkeka wako utapita na utashinda 500 x 1.91 = 886 TZS.
  • Ukibeti TZS 500 kwenye “X” ukiwa na odds ya 3.45 na mechi itaisha kwa sare, unashinda 1541 TZS.
  • Na ukibetia TZS 500 kwenye “2” na odds 4.20 na Villarreal, ushindi wako utakuwa 1,860 TZS.

Mkakati na Dondoo za Ubashiri wa Matokeo ya 1×2

Kwa kuweka mikeka iliyofanikiwa, unahitajika kufanya hitimisho sahihi juu ya uwezo wa kila timu na, usisahau kufuatilia odds, kwa sababu zinaweka wazi ni matokeo gani ya mechi ndiyo yanayowezekana. Ili iwe rahisi kwako kuweka mkeka, timu ya Parimatch inashiriki nawe kwenye dondoo za kubashiri matokeo ya 1×2.

Jifunze kuelewa odds

Ikiwa unabashiri kwenye michezo, lazima uwe na uhakika wa kusoma odds kwa usahihi. Shukrani kwa hili, unaweza kuelewa ni timu gani inayoweza kushinda na inaweza kuhesabu ushindi wako. Soma muongozo wa Parimatch juu ya jinsi ya kusoma odds na uanze kushinda.

Chunguza historia

Ili kuweka mikeka ya kushinda, unahitaji kusoma historia ya timu. Zingatia mafanikio na hasara za timu, tafuta ikiwa kuna wachezaji wana majeraha, na pia kiwango cha jumla cha timu unachotaka kubetia. Ikiwa utazingatia mambo haya yote, basi una nafasi nzuri ya kupata mkeka wa ushindi.

Usiruhusu hisia zako zipotee

Kila mtu anapenda kubashiri kwenye timu anazozipenda na kuona jinsi wanavyoshinda. Baada ya yote, mikeka inapaswa kuleta raha zaidi kutoka kwenye mechi. Lakini wakati mwingine kupata faida nzuri, lazima ubashiri kwenye timu ambayo huipendi. Lakini wakati huo huo, ushindi wako unaweza kuwa mkubwa mara kadhaa.

Beti kwa busara

Kwa timu yoyote unayochagua kuibashiria, ni muhimu kuhakikisha kuwa hawatakuangusha. Ikiwa unabashiri kwa timu inayocheza mechi moja 1×2 vizuri na ile nyingine ni mbaya, basi unapaswa kufikiria ikiwa unafanya kila kitu sawa. Kwa hivyo, unapaswa kufikiria kwa uangalifu juu ya kila chaguzi zako, kwa sababu ushindi wako unategemeana na hilo.

Masoko Zaidi ya Kubashiri kwa Ajili Yako

Daima fikiria uwezekano wa sare

Ikiwa unataka kuweka mikeka ya kushinda, unapaswa kuzingatia kila wakati uwezekano wa sare kwenye mechi. Wachezaji, mara nyingi, hawafikirii matokeo kama haya kwa sababu hawafurahii. Lakini kupata ushindi, lazima utathmini kwa utulivu uwezo wa timu na usikose matokeo ya sare.

Mawazo ya Mwisho

Kuna idadi kubwa ya matokeo tofauti katika machaguo ya kampuni, lakini kila mtu anaweza kusema, ni 1×2 aina ya mikeka iliyochaguliwa zaidi. Wakati mwingine ni rahisi sana kuchambua ushindi wa moja ya timu au sare kuliko kutabiri jumla ya magoli ya mchezo, au uwiano kati ya timu. Na kwa kweli, unapaswa kubashiri Parimatch kwa sababu ndiyo jukwaa bora zaidi la kubashiri michezo na tunaweza kuthibitisha juu ya hilo:

  • Kwa miaka 29, Parimatch imekuwa ofisi mashuhuri ya kubetisha inayoaminika kwa wachezaji.
  • Parimatch hutoa michezo mbalimbali ya kubashiri, pamoja na esports na michezo ya virtual.
  • Katika Parimatch unaweza kuweka mikeka ya kabla ya mechi au iliyo live.
  • Parimatch inahitaji kiwango kidogo cha kuweka pesa
  • Parimatch inakuhakikishia malipo ya haraka na rahisi.
  • Parimatch ina programu ya mkononi ambayo hukuruhusu kuweka mikeka popote pale ulipo.
  • Timu ya huduma kwa msaada ya Parimatch ipo tayari kukusaidia uwapo na maswali yako kwa muda wa 24/7 kupitia kuchati mtandaoni, WhatsApp, au barua pepe.
  • Parimatch ina ofa na promosheni mbalimbali kwa ajili ya wachezaji.

Maswali ya Mara kwa Mara

Kubetia 1×2 ni nini kwenye mikeka?

Kuweka mkeka wa 1 x 2 ni mfano wa mkeka wa njia tatu. Aina hii ya kubetia huja na matokeo matatu. 1 inawakilisha ushindi wa nyumbani, X inawakilisha sare huku 2 ikiwakilisha ushindi wa ugenini.

Je, ninawezaje kushinda mkeka wa 1×2?

Hivi ndivyo unavyoshinda kwenye dau la 1 x 2. Kwa mfano, ikiwa unachezea timu X katika mchezo wa timu X dhidi ya Timu Z. Ikiwa timu X itashinda mechi, utashinda dau la 1×2 moja kwa moja.

Je, unaweza kupoteza mkeka wa 1×2?

Unaweza pia kupoteza kwenye mechi ya mkeka wa 1×2. Hivi ndivyo unavyopoteza kwenye mkeka wa 1 x 2. Kwa mfano, ikiwa unabetia timu X kwenye mchezo wa timu X dhidi ya Timu Z. Kama timu X itapoteza mechi, utapoteza dau moja kwa moja.

Ninawezaje kuweka dau kwenye 1×2?

Kwenye kubetia 1×2, kuna matokeo matatu. Kwa mfano, ikiwa unabetia timu X kwenye mchezo wa timu X dhidi ya Timu Z – utapata pesa ikiwa timu X itashinda na kushindwa ikiwa timu Z itashinda au mchezo kumalizika kwa sare.

Jinsi ya kusoma odds za soka 1×2?

Odds za soka 1×2 ndiyo chaguo la mikeka ya kawaida kwa michezo ya soka. “1” inarejelea timu ya nyumbani iliyoshinda, “x” inarejelea sare, na “2” inarejelea timu ya ugenini inayoshinda. Kwenye Parimatch, uwezekano huwasilishwa katika desimali na kuwakilisha uwiano wa malipo kwenye mkeka ulioshinda.

Kwa mfano, kama uwezekano wa ushindi wa timu ya nyumbani ni 2.50, basi mkeka wa TZs 10 utarudisha TZs 25 ikiwa utafanikiwa. Unaweza kutumia kigeuzi cha odds kukusaidia kusoma odds za soka.

Soma zaidi:

Simba S.C.: Fahari ya Watanzania na Timu Kubwa ya Soka Africa

Simba dhidi ya Yanga: Ushindani wa Kibabe kwenye Soka la Tanzania

Simba dhidi ya Azam: Ushindani Mkubwa wa Soka kwenye Uwanja wa Michezo wa Tanzania

Namna ya Kubeti kwenye Soka: Kuweka Mikeka ya Soka kutoka A hadi Z

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.