Linapokuja suala la kandanda barani Africa, Tanzania inaweza isiwe nchi ya kwanza kuzungumzwa. Hata hivyo, hatua za ajabu zilizopigwa na timu ya taifa katika miaka ya hivi karibuni ni za kusifiwa sana.
Ukiiangalia historia yake ambayo ni kama hadithi yenye vipaji vingi vinavyochipukia, Taifa Stars kwa sasa ni chanzo cha fahari na matumaini kwa wapenda soka kote nchini. Ili kusherehekea hilo, tuko hapa na mwongozo maalum kwa Watanzania wote.
Hii makala itaangazia safari ya timu, kuona historia yao, kuthamini mafanikio yao, na kuuangalia mustakabali mzuri unaokuja.
Yaliyomo
Taifa Stars Leo: Maelezo Yanayoihusu
Jina la timu kimataifa | Tanzania National Football Team |
Jina la utani | Taifa Stars |
Shirikisho | Tanzania Football Federation (TFF) |
Michuano | CAF (Africa) |
Michuano mwenza | CECAFA (East Africa & Central Africa) |
Kocha mkuu | Adel Amrouche |
Kepteni wa timu | Mbwana Samatta |
Namba ya FIFA | TAN |
Msimamo wa FIFA | Current: 121 (Steady as of 26 October 2023) |
Taifa Stars Facebook | |
Taifa Stars Instagram | |
Taifa Stars Twitter |
Kikosi cha Taifa Stars 2023
Jina | Nafasi yake uwanjani | Mechi zake |
Metacha Mnata | GK | 9 |
Beno David Kakolanya | GK | 1 |
Zuberi Foba Masudi | GK | 0 |
Bakari Mwamnyeto | DF | 26 |
Abdi Banda | DF | 19 |
Dickson Job | DF | 15 |
Novatus Miroshi | DF | 12 |
Kennedy Juma | DF | 10 |
Ally Kibwana Shomari | DF | 7 |
Ibrahim Hamad | DF | 0 |
Mohammed Hussein | DF | 0 |
Kheir Makame Jecha | DF | 0 |
Lameck Elias Lawi | DF | 0 |
Datius Peter | DF | 0 |
Himid Mao Mkami | MF | 61 |
Mzamiru Yassin | MF | 36 |
Mudathir Yahya | MF | 22 |
Raphael Daudi | MF | 7 |
Ben Starkie | MF | 2 |
Ayoub Idrissa Bilali | MF | 1 |
Morice Abraham | MF | 1 |
Adolf Bitegeko | MF | 0 |
George Tibar | FW | 0 |
Simon Msuva | FW | 84 |
Ally Samatta | FW | 68 |
Denis Kibu | FW | 7 |
Abdul Hamisi Suleiman | FW | 7 |
Bernard Kamungo | FW | 0 |
Ratiba ya Taifa Stars
Tarehe | Mechi | Aina yake | Timu |
18 Novemba 2023 | Kufuzu 2026 FIFA World Cup | Hatua ya makundi | Niger v Tanzania |
22 Novemba 2023 | Kufuzu 2026 FIFA World Cup | Hatua ya makundi | Tanzania v Morocco |
17 Januari 2024 | Fainali za AFCON | Hatua ya makundi | Tanzania v Morocco |
21 Januari 2024 | Fainali za AFCON | Hatua ya makundi | Tanzania v Zambia |
25 Januari 2024 | Fainali za Africa Cup of Nations | Hatua ya makundi | Tanzania v DR Congo |
03 Juni 2024 | Kufuzu 2026 FIFA World Cup | Hatua ya makundi | Tanzania v Eritrea |
Mashindano ya Taifa Stars: Ijue Zaidi Ratiba Nzima
Timu ya taifa ya kabumbu ya Tanzania, Taifa Stars, inajiandaa kwa mashindano ya kusisimua ya michuano hiyo hivi karibuni. Hii hapa ni makala ya kile unachohitaji kujua kuhusu ratiba yao ijayo.
Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON) 2023
Mnamo 2023, timu ya taifa (Taifa Stars) imepangwa kushiriki katika Kombe la Mataifa ya Africa, ambayo mwenyeji wake ni Ivory Coast. Kufuatia kushika nafasi ya pili katika kundi lao, Tanzania imefanikiwa kutinga fainali za AFCON. Fainali hizo zimepangwa kuanza Januari, 13 hadi Februari 11, 2024.
Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2026
Kombe la Dunia la FIFA la 2026 ni tukio linalotegemewa kwa hamu, huku mataifa mwenyeji yatakuwa ni Marekani, Mexico, na Canada. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba Kombe hili la Dunia litashirikisha timu 48 kwa mara ya kwanza katika historia ya soka.Â
Tanzania imedhamiria kupata nafasi ya kuwa miongoni mwa timu zitakazofuzu ikiamini kuwa ina wachezaji bora wa kuiwezesha kufuzu kucheza Kombe la Dunia. Taifa Stars imepangwa katika kundi E. Itakabiliana na upinzani wa timu ngumu katika kufuzu kwenye Kombe la Dunia hilo kutoka kwa timu za Morocco, Niger, Zambia, Jamhuri ya Demokrasia Kongo, na Eritrea.
Mchuano Mkali: Upinzani wa Taifa Stars
Katika mechi za hatua ya makundi ya fainali zijazo za AFCON, zitakazofanyika nchini Ivory Coast, Tanzania itamenyana na wapinzani wakubwa kisoka na timu zenye uzani wa juu kisoka kama Morocco. Pambano hilo linategemewa kuwa kali na zuri ambalo mashabiki hawatataka kulikosa kabisa.
Lakini si hivyo tu; timu ya taifa pia itamenyana na timu ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na Zambia, na kufanya hatua ya makundi kuwa kama uwanja wa vita utakaoshuhudia vipaji vya kila aina na burudani ya kutosha.
Na ikiwa timu ya taifa itafanya vizuri katika hatua ya makundi, tunaweza kuwaona wakicheza dhidi ya wababe wengine wa soka la Afrika kama Nigeria, Misri, Ghana na wengine katika hatua za mtoano.
Utabiri wa Taifa Stars: Pata Pesa kwa Kubashiri Matokeo ya Mechi
Umewahi kutaka kujaribu maarifa yako ya mpira wa miguu na kupata pesa katika mchakato huo? Kwa utabiri wa Taifa Stars, umepata nafasi nzuri. Katika dokezo hili, acha tuangalie baadhi ya aina za bashiri zinazopendwa zaidi ambazo zinapatikana kwa wewe kuzijaribu mara moja, hapa Parimatch:
Utabiri wa 1X2
Utabiri wa 1X2, ni njia ya moja kwa moja ya kuweka ubashiri kwenye matokeo ya mwisho ya mechi ya ligi husika. Inahusisha kutabiri ikiwa timu ya nyumbani itashinda (1), mechi itaisha kwa sare (X), au timu ya ugenini itaibuka na ushindi (2).
Juu/Chini (Jumla ya magoli)Â
Utabiri wa Juu/Chini unaangazia jumla ya idadi ya mabao yatakayofungwa katika mechi na iwapo yatazidi au kushuka chini ya kizingiti fulani kilichowekwa.Â
Kucheza kwenye Jumla ya Kadi za Njano
Kutabiri idadi ya kadi za njano zinatakazooneshwa kwa wachezaji wa timu zote mbili wakati wa mchezo. Linaweza kuwa jambo la kuvutia katika mpango wako wa kubashiri. Inaongeza mwelekeo mwingine katika ubashiri wako na huongeza msisimko wa mchezo.
Bila shaka, kutabiri matokeo ya mechi au matukio fulani ya ndani ya mchezo kunaweza kuwa jambo la kufurahisha sana. Hata hivyo, kuimiliki kunahitaji kujaribu na kuweka jitihada. Kwa utafiti wa kina, uchambuzi, na mguso wa bahati, unaweza kufanikiwa kweli. Ijaribu na Parimatch leo!
Hitimisho
Hivi ndivyo tunahitimisha makala yetu kuhusu timu ya taifa ya soka ya Tanzania. Wakati wakiendelea na safari yao kisoka, kwa mara ya tatu: fursa ya kusisimua ya kuingia katika ulimwengu wa ubashiri wa michezo! Una changamoto wapi? Jibu liko hapa.
Huduma ya msaada inapatikana kupitia njia nyingi katika programu ifaayo kwa mtumiaji ambayo hukuhakikishia kuweka dau bila kufungwa, Parimatch hukuwezesha kutumia dau lako zaidi; kuliko hata ya lile la awali. Kwa kuongeza, tunatoa nyongeza ambayo inaweza kuongeza ushindi wako na kufanya ushindi wako kuwa mzuri zaidi.
Kwa hivyo, unaposhangilia timu ya taifa, kwa nini usijaribu kuweka dau nasi kwenye michezo na kuinua shauku yako ya kandanda hadi kwa kiwango cha juu kabisa.
Maswali Yanayoulizwa Sana
Je, Tanzania imewahi kufuzu Kombe la Dunia?
Hadi kufikia mashindano ya kombe la dunia la FIFA 2022, Tanzania haijawahi kupata nafasi katika droo kuu ya michuano ya Kombe la Dunia.
Nani ni mfungaji bora wa Taifa Stars?
Mrisho Ngasa ndiye mfungaji bora katika historia ya Taifa Stars. Akiwa na mabao 25 ​​katika mechi 100. Ngasa anafuatiwa na Mbwana Samatta mwenye mabao 22 katika mechi 68 alizocheza hadi sasa.Â
Soma zaidi:
Muongozo wa Kubetia Geita Gold FC: Timu, Takwimu, Msimamo, na Matokeo
Timu 10 Bora za Mpira wa Miguu Afrika – Ipi Ni Timu Pendwa Kwa Taifa?
Makocha 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote: Watu Wanaotawala Mpira wa Miguu