Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Taifa Stars Leo: Fahari ya Africa kwenye Muongozo wa Kubeti Soka Kimataifa

Linapokuja suala la kandanda barani Africa, Tanzania inaweza isiwe nchi ya kwanza kuzungumzwa. Hata hivyo, hatua za ajabu zilizopigwa na timu ya taifa katika miaka ya hivi karibuni ni za kusifiwa sana.

Ukiiangalia historia yake ambayo ni kama hadithi yenye vipaji vingi vinavyochipukia, Taifa Stars kwa sasa ni chanzo cha fahari na matumaini kwa wapenda soka kote nchini. Ili kusherehekea hilo, tuko hapa na mwongozo maalum kwa Watanzania wote.

Hii makala itaangazia safari ya timu, kuona historia yao, kuthamini mafanikio yao, na kuuangalia mustakabali mzuri unaokuja.

Taifa Stars Leo: Maelezo Yanayoihusu

Jina la timu kimataifa Tanzania National Football Team
Jina la utani Taifa Stars
Shirikisho Tanzania Football Federation (TFF)
Michuano CAF (Africa)
Michuano mwenza CECAFA (East Africa & Central Africa)
Kocha mkuu Adel Amrouche
Kepteni wa timu Mbwana Samatta
Namba ya FIFA TAN
Msimamo wa FIFA Current: 121 (Steady as of 26 October 2023)
Taifa Stars Facebook
Taifa Stars Instagram
Taifa Stars Twitter

Kikosi cha Taifa Stars 2023

Jina Nafasi yake uwanjani Mechi zake
Metacha Mnata GK 9
Beno David Kakolanya GK 1
Zuberi Foba Masudi GK 0
Bakari Mwamnyeto DF 26
Abdi Banda DF 19
Dickson Job DF 15
Novatus Miroshi DF 12
Kennedy Juma DF 10
Ally Kibwana Shomari DF 7
Ibrahim Hamad DF 0
Mohammed Hussein DF 0
Kheir Makame Jecha DF 0
Lameck Elias Lawi DF 0
Datius Peter DF 0
Himid Mao Mkami MF 61
Mzamiru Yassin MF 36
Mudathir Yahya MF 22
Raphael Daudi MF 7
Ben Starkie MF 2
Ayoub Idrissa Bilali MF 1
Morice Abraham MF 1
Adolf Bitegeko MF 0
George Tibar FW 0
Simon Msuva FW 84
Ally Samatta FW 68
Denis Kibu FW 7
Abdul Hamisi Suleiman FW 7
Bernard Kamungo FW 0

Ratiba ya Taifa Stars

Tarehe Mechi Aina yake Timu
18 Novemba 2023 Kufuzu 2026 FIFA World Cup Hatua ya makundi Niger v Tanzania
22 Novemba  2023 Kufuzu 2026 FIFA World Cup Hatua ya makundi Tanzania v Morocco
17 Januari 2024 Fainali za AFCON Hatua ya makundi Tanzania v Morocco
21 Januari 2024 Fainali za AFCON Hatua ya makundi Tanzania v Zambia
25 Januari 2024 Fainali za Africa Cup of Nations Hatua ya makundi Tanzania v DR Congo
03 Juni 2024 Kufuzu 2026 FIFA World Cup Hatua ya makundi Tanzania v Eritrea

Mashindano ya Taifa Stars: Ijue Zaidi Ratiba Nzima

Timu ya taifa ya kabumbu ya Tanzania, Taifa Stars, inajiandaa kwa mashindano ya kusisimua ya michuano hiyo hivi karibuni. Hii hapa ni makala ya kile unachohitaji kujua kuhusu ratiba yao ijayo.

Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON) 2023

Afcon 2023

Mnamo 2023, timu ya taifa (Taifa Stars) imepangwa kushiriki katika Kombe la Mataifa ya Africa, ambayo mwenyeji wake  ni Ivory Coast. Kufuatia kushika nafasi ya pili katika kundi lao, Tanzania imefanikiwa kutinga fainali za AFCON. Fainali hizo zimepangwa kuanza Januari, 13 hadi Februari 11, 2024.

Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2026

2026 Fifa World Cup

Kombe la Dunia la FIFA la 2026 ni tukio linalotegemewa kwa hamu, huku mataifa mwenyeji yatakuwa ni  Marekani, Mexico, na Canada. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba Kombe hili la Dunia litashirikisha timu 48 kwa mara ya kwanza katika historia ya soka. 

Tanzania imedhamiria kupata nafasi ya kuwa miongoni mwa timu zitakazofuzu ikiamini kuwa ina wachezaji bora wa kuiwezesha kufuzu kucheza Kombe la Dunia. Taifa Stars imepangwa katika kundi E. Itakabiliana na upinzani wa timu ngumu katika kufuzu kwenye Kombe la Dunia hilo kutoka kwa timu za Morocco, Niger, Zambia, Jamhuri ya Demokrasia Kongo, na Eritrea.

Mchuano Mkali: Upinzani wa Taifa Stars

Katika mechi za hatua ya makundi ya fainali zijazo za AFCON, zitakazofanyika nchini Ivory Coast, Tanzania itamenyana na  wapinzani wakubwa kisoka na timu zenye uzani wa juu kisoka kama Morocco. Pambano hilo linategemewa kuwa kali na zuri ambalo mashabiki hawatataka kulikosa kabisa.

Lakini si hivyo tu; timu ya taifa pia itamenyana na timu ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na Zambia, na kufanya hatua ya makundi kuwa kama uwanja wa vita utakaoshuhudia vipaji vya kila aina na burudani ya kutosha.

Na ikiwa timu ya taifa itafanya vizuri katika hatua ya makundi, tunaweza kuwaona wakicheza dhidi ya wababe wengine wa soka la Afrika kama Nigeria, Misri, Ghana na wengine katika hatua za mtoano.

Utabiri wa Taifa Stars: Pata Pesa kwa Kubashiri Matokeo ya Mechi

Ball On A Field

Umewahi kutaka kujaribu maarifa yako ya mpira wa miguu na kupata pesa katika mchakato huo? Kwa utabiri wa Taifa Stars, umepata nafasi nzuri. Katika dokezo hili, acha tuangalie baadhi ya aina za bashiri zinazopendwa zaidi ambazo zinapatikana kwa wewe kuzijaribu mara moja, hapa Parimatch:

Utabiri wa 1X2

Utabiri wa 1X2, ni njia ya moja kwa moja ya kuweka ubashiri kwenye matokeo ya mwisho ya mechi ya ligi husika. Inahusisha kutabiri ikiwa timu ya nyumbani itashinda (1), mechi itaisha kwa sare (X), au timu ya ugenini itaibuka na ushindi (2).

Juu/Chini (Jumla ya magoli) 

Utabiri wa Juu/Chini unaangazia jumla ya idadi ya mabao yatakayofungwa katika mechi na iwapo yatazidi au kushuka chini ya kizingiti fulani kilichowekwa. 

Kucheza kwenye Jumla ya Kadi za Njano

Kutabiri idadi ya kadi za njano zinatakazooneshwa kwa wachezaji wa timu zote mbili wakati wa mchezo. Linaweza kuwa jambo la kuvutia katika mpango wako wa kubashiri. Inaongeza mwelekeo mwingine katika ubashiri wako na huongeza msisimko wa mchezo.

Bila shaka, kutabiri matokeo ya mechi au matukio fulani ya ndani ya mchezo kunaweza kuwa jambo la kufurahisha sana. Hata hivyo, kuimiliki kunahitaji kujaribu na kuweka jitihada. Kwa utafiti wa kina, uchambuzi, na mguso wa bahati, unaweza kufanikiwa kweli. Ijaribu na Parimatch leo!

Hitimisho

Hivi ndivyo tunahitimisha makala yetu kuhusu timu ya taifa ya soka ya Tanzania. Wakati wakiendelea na safari yao kisoka, kwa mara ya tatu: fursa ya kusisimua ya kuingia katika ulimwengu wa ubashiri wa michezo! Una changamoto wapi? Jibu liko hapa.

Huduma ya msaada inapatikana kupitia njia nyingi katika programu ifaayo kwa mtumiaji ambayo hukuhakikishia kuweka dau bila kufungwa, Parimatch hukuwezesha kutumia dau lako zaidi; kuliko hata ya lile la awali. Kwa kuongeza, tunatoa nyongeza ambayo inaweza kuongeza ushindi wako na kufanya ushindi wako kuwa mzuri zaidi.

Kwa hivyo, unaposhangilia timu ya taifa, kwa nini usijaribu kuweka dau nasi kwenye michezo na kuinua shauku yako ya kandanda hadi kwa kiwango cha juu kabisa.

Maswali Yanayoulizwa Sana

Je, Tanzania imewahi kufuzu Kombe la Dunia?

Hadi kufikia mashindano ya kombe la dunia la FIFA 2022, Tanzania haijawahi kupata nafasi katika droo kuu ya michuano ya Kombe la Dunia.

Nani ni mfungaji bora wa Taifa Stars?

Mrisho Ngasa ndiye mfungaji bora katika historia ya Taifa Stars. Akiwa na mabao 25 ​​katika mechi 100. Ngasa anafuatiwa na Mbwana Samatta mwenye mabao 22 katika mechi 68 alizocheza hadi sasa. 

Soma zaidi:

Muongozo wa Kubetia Geita Gold FC: Timu, Takwimu, Msimamo, na Matokeo

Timu 10 Bora za Mpira wa Miguu Afrika – Ipi Ni Timu Pendwa Kwa Taifa?

Makocha 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote: Watu Wanaotawala Mpira wa Miguu

 

 

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.