welcome

Kama unavyojua, soka ndio mchezo maarufu zaidi nchini Tanzania. Kote nchini, soka bado ni mchezo muhimu ambao una mashabiki wengi. Baadhi ya mashabiki hutazama tu mechi na kushabikia timu zao wanazozipenda huku wengine wapata pesa kwa kubeti kwenye timu hizi.

JISAJILI PARIMATCH UPATE BONASI

Kombe la FA la Emirates (au Kombe la FA) ni mojawapo ya mashindano ya soka makongwe, ya kifahari zaidi na yanayozungumziwa sana ya nchini Uingereza. Ni mashindano ya mtoano ambapo zaidi ya timu 700 huchaguliwa kwa bahati nasibu kushindana kati yao wenyewe - kutoka kwa vilabu tajiri zaidi vya soka ya kulipwa kama vile Manchester United na Chelsea hadi kwa timu za ridhaa. Usawa huu wa usawaziko ambapo timu za ridhaa zinaweza kumenyana dhidi ya nyota mashuhuri bila shaka huletea Kombe la FA mapenzi ya kipekee na ubora ikilinganishwa na mashindano mengine yoyote.

Ikiwa unapenda soka, unaweza kujiburudisha na matukio katika moja ya vikombe maarufu zaidi. Hapa Parimatch, tunakuleta karibu hali ya Kombe la FA la Emirates iwezekanavyo!

KOMBE LA FA 2023/2024

Hali ni ya kusisimua na kila mtu amefurahia kuhusu msimu huu wa Kombe la FA. Ni wakati wa kuweka dau lako na na kuchukua fursa hii nzuri ya kubeti kwenye soka hapa Parimatch. 2023–2024 litakuwa toleo la 143 la mashindano haya.

Timu zisizo za ligi na timu za ridhaa za muda maalum huanzisha mashindano haya katika mwezi wa Agosti. Na vilabu vikubwa vya kitaaluma kama Chelsea na Manchester City haviingii hadi katika raundi ya 3.

RATIBA YA KOMBE LA FA

FA CUP 2023

Ratiba ya Kombe la FA 2023-24 ilianza mnamo 4 Novemba, 2023, na mechi adhimu ya mwisho itakuwa kwenye uwanja wa Wembley, siku ya Jumamosi, Mei 25, 2024.

Nafasi za kubeti hazina mwisho hapa Parimatch, kutoka raundi za mapema hadi kwenye fainali maarufu Wembley. Aidha, odds ya Parimatch ndiyo yenye ushindani zaidi barani Africa; kwa hivyo kwa uhakika unahitaji kuziangalia, chagua timu yako unayoipenda na, hatimaye, weka beti zako! Kubeti kwenye Kombe la FA la Emirates ni kipishia wakati kinachopendwa na watu wengi kutoka kote dunaini. Hapa Parimatch, unaweza jiunga nao na uhisi msisimko huo huo. Tayari tumechapisha ratiba ya kina kwenye tovuti ya Parimatch. Kwa hivyo iangalie, chagua timu yako unayoipenda na weka beti kwenye timu hiyo. Hakuna ajuaye, labda utakuwa na bahati ya kuwa mshindi atakayefuata!

KOMBE LA FA MOJA KWA MOJA

Ni vigumu kutovutiwa na hisia kali za Kombe la FA na kubeti kwenye kombe la FA. Lakini jambo la kipekee ni kuwa na uwezo wa kuweka beti wakati michezo inaendelea. Mabao yanafungwa, odds hubadilika haraka na unaweza kujibu matukio yote yanayofanyika uwanjani. Baadhi ya wabashiri walikiri kwamba kuweka beti za live inasisimua zaidi ikilinganishwa na beti za kabla ya mechi! Unaweza kwa kirahisi kutazama mabadiliko ya matokeo ya Kombe la FA Cup na kuunda beti za moja kwa moja za busara kwenye Parimatch. Inashangaza, siyo? Kwa hivyo ijaribu!

BETI MOJA KWA MOJA KOMBE LA FA 2023-2024

TIMU ZILIZOSHINDA KOMBE LA FA MARA NYINGI ZAIDI

Sasa, kile kilichobakia ni kuchagua migawo unayoipenda, na uanze safari yako ya kubeti kwenye Kombe la FA! Iamini bahati yako na ushindi mkubwa! Hebu tupitie timu bora na wachezaji ambao wanaostahili umakini wako. Linapokuja suala la kuweka mikeka yako ya kwanza, habari hii inaweza kuwa ni ya muhimu kwako:

TIMU

IDADI YA MATAJI YA FA

Arsenal

14

Machester United FC

12

Chelsea FC

8

Liverpool FC

8

Tottenham Hotspurs FC

8

Manchester City FC

7

Aston Villa FC

7

Newcastle United FC

6

Blackburn Rovers FC

6

Everton FC

5

BETIA KOMBE LA FA 2023-2024

NANI ALISHINDA KOMBE LA FA MSIMU ULIOPITA?

Manchester City ilimshinda Manchester United kwenye fainali ya Kombe la FA 2022-2023 ili kupata taji hilo kwa mara ya saba kwenye historia yao.

Magoli kutoka kwa Ilkay Gundogan yalileta ushindi wa 2-1, huku United wakisimamia goli moja pekee, penati ikiwa ni ya Bruno Fernandes.

Bado kikosi cha Pep Guardiola kitakuwa na hamu ya kuhifadhi taji lao, lakini daima kuna nafasi ya kushinda timu nyingine.

WAFUNGAJI BORA KOMBE LA FA 2023

Wrexham nyotaPaul Mullin alitawazwa kama mfungaji bora wa Kombe la FA 2022-23. Tuzo ya Mpira wa Dhahabu kwa ushirikiano na Miter ilikabidhiwa kwa Paul Mullin wa AFC Wrexham baada ya Fainali ya Kombe la FA la Emirates ili kumtambua kama mfungaji bora wa shindano hilo.

Jedwali la hapa chini linaonesha wafungaji bora wa Kombe la FA 2023-2024:

BETI KWA SIMU USHINDE

MCHEZAJI

TIMU YAKE

MECHI ALIZOCHEZA

MABAO

P Mullin 

Wrexham AFC 

7

9

N Haughton 

Flyde 

5

5

A Dobra 

Chesterfield 

5

5

R Mahrez 

Manchester City 

5

5

J Clements 

Biggleswade Town

3

4

HAKI ZA KUONESHWA KWENYE TELEVISHENI

Vyombo vikubwa viwili vya habari, BBC Sport na ITV Sport vitarusha hewani mechi za Kombe la FA hadi msimu wa mwaka 2025-2026.

KUBETI KWENYE KOMBE LA FA 2023/2024 NA PARIMATCH

Mojawapo ya vikombe bora na vya kifahari zaidi katika ulimwengu wa soka kinastahili tovuti bora ya kubeti mtandaoni. Unajua kwamba mafanikio ya mikakati yako ya kubeti inategemea jukwaa la kubeti ambalo utatumia. Ikiwa unataka kufurahia uteuzi mpana wa migawo ya kubeti, kupata malipo ya haraka, na upate majibu ya haraka kwa maswali yako, nenda kwenye tovuti ya kubeti wa Parimatch. Hizi ndizo sababu za msingi za kwa nini unapaswa kubeti kwenye Parimatch. Zinaweza kupunguza wasiwasi wako:

  • Tunatoa nafasi ya kushinda jakpotI kubwa kupitia kubeti soka
  • Tunatoa aina mbalimbali za namna ya kubeti
  • Parimatch ina odds zaidi Tanzania
  • Huduma yetu ya wateja ipo tayari kukusaidia
  • Tunahitaji ekezo ndogo tu na kuhakikisha malipo ya haraka

Parimatch inakuletea odds nzuri zaidi katika michezo yote kutoka kwenye mashindano haya maarufu yenye mkusanyiko wa kina wa michezo kwa ajili ya kubeti kwenye Kombe la FA.

JIUNGE PARIMATCH NA KUBETI

MASWALI YANAYOULIZWA SANA

Muundo wa Kombe la FA wa 2023-2024 umekaaje?

Michuano ya Kombe la FA 2023-2024 inashirikisha timu 124 zinazoshiriki kwenye mtoano. Raundi za mchujo huanza, zinazoongoza kwenye raundi ya kwanza, ya pili, ya tatu na ya nne, ikifuatiwa na awamu ya tano, robo fainali, nusu fainali na mwishowe fainali.

Je, Chelsea itacheza Kombe la FA msimu wa 2023-2024?

Ndiyo, Chelsea itacheza Kombe la FA msimu wa 2023-2024.

Fainali ya Kombe la FA 2024 itachezwa tarehe ngapi?

Fainali ya Kombe la FA 2024 itachezwa Mei 25, 2024, kwenye uwanja wa Wembley jijini London.

Je, ni timu ngapi zimeshiriki Kombe la FA 2023?

Jumla ya timu 124 zitashiriki Kombe la FA 2023.

Soma zaidi

CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023-24

BETI KWENYE LIGI YA MABINGWA YA UEFA 2023-2024

KUBETIA AFCON 2023