welcome

Kombe la Dunia la mpira wa miguu ni tukio la ushindani linaloangazia timu thelathini na mbili bora za taifa kutoka ulimwenguni kote. Linalofanyika mara moja kila miaka minne, tukio hili la mwezi mzima bila shaka ndilo shindano la heshima zaidi ulimwenguni.

Licha ya ukweli kwamba Tanzania kamwe haijawahi kufuzu Kombe la Dunia la FIFA, watu wa nchii hiyo bado hupendelea kutazama shindano hili kadri linavyoendelea.

Weka beti za kabla ya mechi kwenye Kombe la Dunia la FIFA

Kombe la Dunia la FIFA bila shaka linasisimua. Lakini pindi ukiunganisha kitendo cha mchezoni na beti ya wastani ya mtandaoni, unaweza ukahitaji kufunga mkanda wako wa kiti.

Hakuna haja ya kusubiri mpaka Kombe la Dunia la FIFA 2022 kuonja msisimko. Kutokana na kwamba mashindano ya kufuzu yalianza 2019, unaweza kubeti kwenye kitendo kabla ya kuanza kwa shindano la ubingwa kwenye tovuti ya Parimatch au aplikesheni ya kubeti ya simu ya mkononi.

Endelea kusoma kujifunza jinsi ya kubeti mtandaoni, msimamo wa sasa wa Kombe la Dunia la mpira wa miguu unaonekana vipi, na matukio mengine maarufu ya mpira wa miguu kwa ajili ya kuyabetia mtandaoni.

Kombe la Dunia la FIFA 2022

Mtindo wa sasa wa FIFA una awamu ya kufuzu ambayo huwa na lengo moja — kuamua timu zipi za mpira wa miguu zinaweza kucheza katika awamu ya mashindano (timu 32 tu zitaingia hatua hiyo).

Ufaransa ndio bingwa wa sasa wa Kombe la Dunia la FIFA. Shindano linalokuja linategemewa kuwa toleo la 22 ambalo litafanyikia Qatar. Linakwenda kuwa Kombe la Dunia la kwanza la wakati wote kufanyikia katika nchi za Kiarabu. Juu ya hilo, Kombe la Dunia la FIFA 2022 litakuwa ndilo shindano la mwisho ambalo linahusisha timu 32. Shindano linalofuata, lililopangwa kwa ajili ya 2026 litahusisha timu 48.

Kiujumla, hili Kombe la Dunia la mpira wa miguu sio tu ndilo tukio la mpira wa miguu zuri sana kwa mara ya kwanza, lakini ni fursa nzuri kwa ajili ya kubeti pia. Unaweza kubeti kwenye timu yako pendwa ya mpira wa miguu kwenye tovuti ya Parimatch na hata kushinda jakpoti!

Mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

Mashindano yanayokuja yatafanyika Qatar kutoka Novemba 21 hadi Disemba 18 mwaka 2022. Kwa sababu ya joto kubwa la kiangazi katika nchi hii, Kombe la Dunia limepangwa miezi ya vuli na baridi. Mechi ya ufunguzi itachezwa Novemba 21 mwaka 2022. Mechi ya mwisho imepangwa Disemba 18 mwaka 2022 (itachezwa katika Mnara wa Doha).

Ikiwa unahitaji ratiba ya kina, nenda kwenye tovuti ya Parimatch na usikose michezo ya timu zako pendwa.

Kubeti kwenye Kombe la Dunia la FIFA Mubashara

Faida kubwa ya kutumia jukwaa la kubeti la Parimatch ni uwezo wa kuweka beti mubashara ambazo zinasisimua zaidi hata kuliko beti za kawaida za kabla ya mechi. Kwenye Parimatch, unaweza kuufuatilia mchezo na kuweka beti za ndani ya mchezo kadri mchezo unavyoendelea!

Furahia Kubeti Mubashara kwenye Kombe la Dunia la FIFA

Msimamo wa Kombe la Dunia la FIFA

Kitu kikubwa ambacho unapaswa kukiweka akilini wakati unaweka beti zako ni msimamo wa Kombe la Dunia la mpira wa miguu wa timu bora. Unabadilika muda wote kadri shindano linavyoendelea. Kwa hivyo, unahitaji kuifuatilia michezo ili kuwa na ufahamu. Hebu tuangalie kwa karibu zaidi timu tatu bora za taifa kulingana na Viwango vya FIFA Ulimwenguni vya hivi karibuni:

  • Timu ya mpira wa miguu ya Ubelgiji

Timu ya taifa ya Ubelgiji ina ustadi na shindi nyingi zinazotambulika. Walishiriki katika mashindano matatu makubwa ya mpira wa miguu ya kila baada ya miaka minne na pia walionekana katika hatua za mwisho za Makombe 13 ya Dunia ya FIFA na Mashindano 5 ya Ulaya ya UEFA. Jan Vertonghen anafikirika kuwa ndio mlinzi bora anayechezea timu ya Taifa ya Ubelgiji. Romelu Lukaku ndio mfungaji wao bora ambaye amefunga magoli 52. Katika nyakati za sasa, timu hii imewekwa nafasi ya tatu ulimwenguni kulingana na makadirio ya FIFA. Eden Hazard ndio kapteni wa timu hii.

  • Timu ya mpira wa miguu ya Ufaransa

Timu ya taifa ya Ufaransa pia inaweza kujisifia tuzo nyingi, ikihusisha Makombe mawili ya Dunia ya FIFA, Makombe mawili ya Shirikisho ya FIFA, Shindi mbili za UEFA Ulaya, na hata ushindi mmoja wa Olimpiki. Hugo Lloris ndio kapteni wa timu ya taifa ya Ufaransa (anafikiriwa zaidi kuwa golikipa bora ulimwenguni). Oliver Giroud ndio mshambuliaji kiongozi ambaye anachezea timu hii. Rekodi yake ni magoli 44. Kylian Mbappe ndio mfungaji kinara kwenye hii timu.

  • Timu ya mpira wa miguu ya Brazili

Timu ya mpira wa miguu ya Brazili imekuwa mwanachama wa FIFA tangu 1923. Leo, ni moja ya timu za taifa zenye mafanikio zaidi katika Kombe la Dunia la FIFA kwa sababu ni washindi mara tano wa shindano hili. Pele bado anabaki kuwa mfungaji kinara wa Brazili akiwa na magoli 77! Leo, Brazili ndio nchi pekee ya wakati wote yenye magoli zaidi yaliyofungwa. Thiago Silva ndio kapteni wa sasa wa Timu ya Taifa ya Brazili. Yeye pia ni mlinzi wa kati anayechezea klabu ya Ligi Kuu Chelsea.

Mashindano Mengine Maarufu ya Mpira wa Miguu

Kama wewe ni mpya kwenye mpira wa miguu, inawezekana unakutana na shida kiasi ukijaribu kuelewa shindano lipi ni la muhimu zaidi. Hebu twende katika taarifa za kina na kufahamu utofauti kati ya mashindano yanayojulikana vizuri kama vile Kombe la Dunia la FIFA na Kombe la Dunia la FIFA la Vilabu.

Kombe la Dunia la FIFA la Vilabu ni shindano la kimataifa la vilabu ambalo uhusisha timu saba ambazo hushindania taji. Ni tukio la kila mwaka ambapo washindi wa shindano kubwa la kila bara hukutana ana kwa ana. Kuiweka kiurahisi, washindi wa shindano muhimu la kila bara hushiriki katika tukio hili.

Kombe la Dunia la FIFA hufanyika kila baada ya miaka minne, ambapo timu za taifa 32 hushindania taji hilo. Leo, Kombe la Dunia la FIFA linafikirika kuwa ndio shindano la heshima zaidi ulimwenguni.

Hata hivyo, mashabiki wa mpira wa miguu wanaweza pia kubeti kwenye mashindano yafuatayo kwenye tovuti ya Parimatch:

MASHINDANO YA ZIADA YA SOKA ILI KUBATI KWENYE

Nenda kwenye jukwaa letu la kubeti, fahamu zaidi kuhusu shindano hili, timu, au mchezaji na weka beti zako za kwanza! Nani anajua, labda utakuwa mshindi anayefuata!

Kubeti Kombe la Dunia la FIFA kwa Parimatch

Pindi mwishowe unapokuwa umejifunza kuhusu shindano hili, timu na wachezaji bora, ni muda wa kujaribu bahati yako na mwishowe kuweka beti zako za kwanza. Hapa ndipo huduma za jukwaa la kubeti la Parimatch zinapoingia! Kwenye Parimatch Tanzania, unaweza ukajizamisha mwenyewe katika ulimwengu wa kubeti michezo, ukizisapoti timu zako pendwa, na hata kushinda pesa! Angalia sababu za msingi kwanini unatakiwa kutuchagua sisi:

  • Tunatoa odds bora kwenye soko.
  • Tuna timu ya msaada kwa wateja iliyo rafiki na ya kitaalamu, iliyo tayari kuchakata maombi yako mara moja!
  • Tuna uchaguzi mpana wa masoko ya kubeti ya kuyachagua.
  • Tuna aplikesheni ya simu ya mkononi iliyo rafiki kwa mtumiaji ambayo hufanya kubeti kuwe rahisi zaidi. Ipakue kutoka kwenye tovuti yetu na furahia kubeti muda wowote!
  • Mchakato wa usajili wa moja kwa moja.
  • Uwezo wa kuweka beti za kabla ya mechi au mubashara!
  • Malipo ya haraka sana na mawekezo madogo. Hakuna hitaji la kuweka lundo la pesa kujaribu! Unaweza kuanza kazi yako ya kubeti kwa jumla ndogo.

Kubeti ni rahisi na Parimatch! Fanya haraka na weka beti zako za kwanza mara moja.