Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kubadili Odds za Kubeti

Unaweza ukawa umegundua kwamba mameneja ubashiri tofauti huziwakilisha odds za kubetia katika njia tofauti. Kama unahisi kuchanganyikiwa na unataka kuzielewa, umekuja kwenye sehemu sahihi. Makala hii ipo hapa kukusaidia kuelewa uhusiano kati ya aina tofauti za odds. Lakini kabla haujaanza kusoma, kuna kitu kimoja unachohitaji kukijua. App ya kubetia ya Parimatch hukuruhusu kubadilisha mitindo ya odds kwa urahisi. Jisajili tu, nenda kwenye maelezo yako mafupi na chagua mtindo pendwa: odds za desimali, fractional, American na Hong Kong. Hakuna hitaji la kufanya mahesabu wewe mwenyewe! Nini zaidi? Daima unaweza kupata mifano ya muda halisi ya tunachokijadili kwenye tovuti ya Parimatch.

Bado, kama unataka kuelewa yote, tupo kukuhudumia. Na kama unataka kuanza na odds kutokea mwanzoni kabisa, unaweza kurejea kwenye miongozo yetu ya odds za kubetia:

Jinsi ya Kubadili Odds

Kwa chaguo la msingi, tovuti na app ya Parimatch hutumia odds za desimali. Hii ni kwa sababu odds za desimali ni rahisi zaidi kuzielewa. Hata hivyo, siyo kila jukwaa la kubetia michezo lipo hivyo hivyo. Baadhi hutoa mifumo migumu zaidi ya odds za kubetia kama vile odds za fractional au odds za moneyline (mara nyingi hujulikana kama odds za American).

Kama tu odds za desimali, odds za fractional na odds za moneyline huwawezesha wabashiri kuamua uwezekano wa mkeka kulipa na faida inayowezekana kutoka kwenye ushindi wa mkeka hiyo. Hata hivyo, wakati odds za kubetia za desimali zinaweza kubadilishwa kwa urahisi kwenda kwenye uwezekano uliotegemewa na ushindi unaowezekana, odds za moneyline na odds za fractional ni ngumu zaidi kidogo kuzielewa.

Kwa shukrani, timu ya kitaalamu ya kucheza kamari ya Parimatch ipo hapa kukupatia mchanganuo juu ya jinsi ya kubadili odds za desimali kwenda kwenye odds za fractional, na jinsi ya kubadili odds za desimali kwenda kwenye odds za American. Muongozo huu pia utakufundisha jinsi ya kubadili odds za kubetia kwenda kwenye uwezekano, bila kujali odds zipo katika mtindo gani. Kanuni muhimu ambayo unahitaji kuielewa wakati wa kubadili odds ni kuwa ni mchakato wa hatua tatu:

  1. Jua mtindo wa odds unazozibadili — desimali, fractional, American
  2. Badili odds za kubetia kwenda kwenye uwezekano unaotegemewa
  3. Badili uwezekano unaotegemewa kwenda kwenye mtindo wako wa odds za kubetia uliyouchagua

Jinsi ya Kubadili Odds za Fractional Kwenda kwenye Odds za Desimali

Odds za fractional mara nyingi hutumiwa na mameneja ubashiri wa Uingereza na tovuti za kubetia mtandaoni. Kama ungependa kuzielewa odds za fractional, ni rahisi zaidi kuzibadili kwenda kwenye odds za desimali maana odds za desimali ni mtindo unaosomeka kwa urahisi zaidi. Unaweza pia kutaka kubadili odds za desimali kwenda kwenye odds za fractional kulinganisha odds za kubetia kwenye majukwaa mengine. Tunajivunia kusema Parimatch ina odds za kubetia mtandaoni ambazo ni shindani zaidi Afrika. Kwa kubadili odds za desimali kwenda kwenye odds za fractional na kinyume chake, unaweza kulinganisha odds bora za kubetia za Parimatch na zile zinazotolewa kwenye majukwaa mengine. Hatua ya kwanza kwenye kubadili odds za fractional kwenda kwenye odds za desimali ni kuhakikisha kuwa unatumia odds za fractional! Odds za fractional zinawakilishwa kama sehemu — ndiyo maana ya jina hilo. Kama unashangaa ikiwa odds unazofanya nazo kazi ni odds za fractional, zinapaswa kuonekana kitu fulani kama “3/1” au “5/2” au “4/1”. Hii inatamkwa kama “tatu kwa moja” au “tano kwa mbili” au “nne kwa moja”. Kama odds zako zinawakilishwa kama namba mbili zenye mkwaju katikati, unashughulika na odds za fractional.

Jinsi ya Kubadili Odds za Fractional Kwenda kwenye Uwezekano Unaotegemewa

Hatua inayofuata ni kubadili odds za fractional kwenda kwenye odds za desimali na ni kufahamu uwezekano unaotegemewa. Hili si tu litakusaidia kubadili odds zako kwenda kwenye mtindo rahisi zaidi wa kung’amua, lakini kuelewa uwezekano unaotegemewa kutakusaidia pia kuamua uwezekano wa matokeo kutokea. Kufanya hili, unahitaji kuelewa jinsi sehemu inavyofanya kazi. Namba ya juu ni namba ya kwanza kabla ya mkwaju, wakati namba ya chini ni namba ya pili baada ya mkwaju. Kufahamu uwezekano unaotegemewa, unahitaji:

  1. Kuongeza namba ya juu kwenye namba ya chini
  2. Kugawanya namba ya chini kwa namba hii (namba ya juu + namba ya chini)
  3. Kuzidisha jibu kwa 100 kukupa uwezekano unaotegemewa katika asilimia

Kwa mfano, kama odds ni 5/2:

  1. 5+2 = 7
  2. 2/7 = 0.286
  3. 0.286 x 100 = 28.6%

Hii humaanisha kuwa odds ya fractional ya 5/2 ina uwezekano unaotegemewa wa 28.6%.

Jinsi ya Kubadili Uwezekano Unaotegemewa Kwenda kwenye Odds za Desimali

Sasa una uwezekano wako unaotegemewa wa mkeka wako wa 5/2, unataka kuibadili hii kwenda kwenye odds za kubetia za desimali. Hili hufanya iwe ni rahisi kulinganisha mkeka na ile iliyopo kwenye jukwaa la Parimatch, ambapo odds zote za kubetia zinawasilishwa kama odds za desimali. Hebu tutumie mfano huohuo kama hapo juu ambapo una odds ya kubetia ya 5/2. Odds ya kubetia ya fractional ya 5/2 humaanisha kuwa una uwezekano unaotegemewa wa 28.6%. Kuamua odds za kubetia za desimali, unahitaji kufanya kinyume na ulivyofanya hapo juu. Wakati wa kukokotoa uwezekano unaotegemewa kutoka kwenye odds za desimali, unagawanya 100 kwa odds za desimali. Katika hali hii, kubadili uwezekano wako kwenda kwenye odds za desimali, unagawanya tu 100 kwa uwezekano unaotegemewa. Katika suala hili, odds ya kubetia za 5/2 zinatoa uwezekano unaotegemewa wa 28.6%. Gawanya 100 kwa 28.6, kukupa odds ya desimali ya 3.50 (imekaribishiwa).

Jinsi ya Kubadili Odds za Fractional Kwenda kwenye Faida

Wakati wa kubadili odds za fractional kwenda kwenye faida, namba hurejea kwenye faida kiasi utakayoipata kwa kila sehemu ambayo unaibetia. Kwa mfano, “3/1” au tatu kwa moja humaanisha kuwa utapata tatu kwa kila moja unayoibetia. Kama ukibeti TZs 100, utapata TZs 300 katika faida jumlisha dau lako la mwanzo la TZs 100. Sasa fikiria kuwa unaweka mkeka wa TZs 10,000 kwenye odds ya 5/2. Hii ingemaanisha kuwa kwa kila sehemu 2 unazozibetia, unapata sehemu 5 katika faida, jumlisha dau lako. Kukokotoa faida hii, kwanza, ungegawanya dau lako kwa namba ya chini — katika suala hili ni mbili. Kinachofuatia, unazidisha namba hii kwa namba ya chini. Hivyo kwenye mkeka wa TZs 10,000 wenye odds ya kubetia za fractional ya 5/2, ungegawanya 10,000 kwa 2, kukupa 5,000. Sasa, zidisha 5000 kwa namba ya juu — katika suala hili ni 5 — kukupa faida ya TZs 25,000. Kama ungeshinda mkeka hii, ungepokea faida ya TZs 25,000 jumlisha dau lako la mwanzo la TZs 10,000. Hebu tuilinganishe na hesabu ya desimali kuangalia tu. Kama unavyojua, odds ya fractional ya 5/2 ni sawa na odds ya desimali ya 3.50. Hivyo, zidisha dau lako la TZs 10,000 kwa 3.50, kukupa faida ya TZs 35,000. Toa dau lako la mwanzo la TZs 10,000, kukupa faida ya TZs 25,000.

Jinsi ya Kubadili Odds za Desimali Kwenda kwenye Odds za Fractional

Muda mwingine unaweza kutaka kufanya hesabu kwa njia nyingine. Kwa mfano, unaweza kutaka kulinganisha odds za desimali kwenye jukwaa la Parimatch na odds unazoona kwenye tovuti nyingine ya kubetia ambayo hutumia odds za fractional. Hesabu hii ni ngumu zaidi na huhitaji uhodari kidogo wa kihisabati. Hautahitaji kikokotoo kufanya ubadilishaji huu, ni mgumu kidogo tu. Kwanza, unahitaji kuchukua odds zako za desimali. Hebu tutumie 3.50 tena ili ujue nini unapaswa kuishia nacho. Unahitaji namba nzima (hivyo hakuna sehemu za desimali) kufahamu odds za fractional hivyo unahitaji kuendelea kuziongeza odds za desimali zenyewe kwa zenyewe hadi iwe namba nzima. Katika suala hili ni, 3.50 + 3.50 = 7.00 7.00 ni namba nzima hivyo unaweza kuitumia hii. Kama ulivyohitaji kuongeza 3.50 pamoja mara mbili, 2 inakuwa namba ya chini. Kufahamu namba ya juu, unahitaji kutoa 2 kutoka kwenye 7.00 7.00 – 2 = 5. 5 ni namba ya juu Kama ilivyogunduliwa hapo juu, namba ya juu ni namba ya kwanza na namba ya chini ni namba ya pili, kufanya odds ya fractional 5/2. Hebu tuioneshe kwa mfano wa mazingira halisi. Angalia mechi hii ya soka kati ya Iceland na Uingereza. Iceland vs England football betting on Parimatch Odds za desimali za Iceland kushinda ni 5.20. Kwanza, tafuta namba nzima. 5.20 x 2 = 10.40 5.20 x 3 = 15.60 5.20 x 4 = 20.80 5.20 x 5 = 26.00 Sasa, toa namba ya idadi ya ulizozidisha odds za desimali kutoka kwenye jumla: 26.00 – 5 = 21.00 Odds za fractional ni 21/5. Kwa kila sehemu 5 unazobetia, unapata sehemu 21 katika faida. Hivyo kwenye kushinda mkeka wa TZs 10,000, ungepata TZs 42,000 katika faida, jumlisha dau lako la TZs 10,000. Kuangalia kama ni sahihi, ongeza dau lako kwenye faida yako, kukupa TZs 52,000. Sasa gawanya kiwango hicho (mapato yako) kwa dau lako (TZs 10,000), ambayo itakupa odds ya desimali ya 5.20.

Jinsi ya Kubadili Odds za Monyeline (Odds za American) Kwenda kwenye Odds za Desimali

Odds za moneyline mara nyingi zinatumika zaidi na mameneja ubashiri wa Marekani na tovuti za kubetia mtandaoni. Ndiyo maana mara nyingi utaona odds za moneyline zikiitwa kama “Odds za American”. Kama unataka kubadili odds za moneyline kwenda kwenye odds za desimali ili kuzilinganisha kwa urahisi zaidi na odds shindani kwenye jukwaa la Parimatch, kwanza utahitaji kuhakikisha kuwa ni kweli unafanya kazi na odds za moneyline. Odds za moneyline ni ngumu zaidi. Huonekana kama hivi: -200 au +300. Kitu cha kwanza kuelewa ni + na – humaanisha nini. Alama ya kutoa daima itaendana na timu pendwa. Alama hii ya kutoa huonesha ni pesa kiasi gani unalazimika kulipa ili kushinda dola 100. Kwa mfano, odds ya -300 humaanisha unahitaji dau la dola 300 kushinda faida ya dola 100. Alama ya kujumlisha daima huendana na timu dhaifu. Alama ya kujumlisha huonesha ni pesa kiasi gani utakachoshinda ukiweka dau la dola 100. Hivyo odds ya American ya +300 ingemaanisha kuwa ungeshinda dola 300 kwa kila dau la dola 100 uliloliweka. Mfumo huu unachanganya. Mkanganyiko huu ndiyo sababu kubwa kwa nini watu hubadili odds za American kwenda kwenye odds za desimali. Kwa bahati, mahesabu ya ubadilishaji huu ni rahisi sana.

Jinsi ya Kubadili Odds Hasi za American Kwenda kwenye Odds za Desimali

Kama unajaribu kutambua odds za desimali za timu pendwa katika mechi, utakuwa unajaribu kubadili odds hasi za moneyline kwenda kwenye odds za desimali. Kufanya hili, itoe alama ya kutoa kwanza. Sasa gawanya 100 kwa odds za American na ongeza 1. Hivyo odds ya American ya -300 ingekuwa ni: (100/300) + 1 = 1.33 Ni rahisi tu kama hivyo!

Jinsi ya Kubadili Odds Chanya za American Kwenda kwenye Odds za Desimali

Kama unajaribu kukokotoa odds za desimali kwa ajili ya timu dhaifu katika mechi, utakuwa unajaribu kubadili odds chanya za American kwenda kwenye odds za desimali. Hii ni rahisi tu kama hivyo. Tena, unahitaji kwanza kuondoa alama ya kujumlisha. Sasa gawanya odds ya American kwa 100 na halafu ongeza 1. Hivyo odds ya American ya +300 ingekuwa NI: (300/100) + 1 = 4.00

Jinsi ya Kubadili Odds za American Kwenda kwenye Uwezekano Unaotegemewa

Kama ungependa kufahamu nafasi zako za kushinda mkeka kutoka kwenye odds za American, unaweza kufahamu uwezekano unaotegemewa. Wakati inawezekana kubadili odds zako kwenda kwenye odds za desimali kukokotoa uwezekano unaotegemewa, unaweza kuifahamu moja kwa moja kutoka kwenye odds za American. Tena, hesabu hii ni tofauti kidogo kwa odds chanya na hasi.

Jinsi ya Kubadili Odds Hasi za American Kwenda kwenye Uwezekano Unaotegemewa

Kama ungependa kutambua uwezekano unaotegemewa wa timu pendwa kushinda mchezo, hesabu hii hapa. Fikiria kuwa odds za moneyline kwa timu pendwa ni -250. Kufahamu uwezekano unaotegemewa, unatoa kwanza alama ya kutoa. Halafu, ongeza 100 kwenye odds za American. Kinachofuatia gawanya odds za American kwa jumla ya odds kujumlisha 100. Kinachofuatia, zidisha tarakimu nzima kwa 100 kukupa uwezekano unaotegemewa kama asilimia. Kanuni: Uwezekano Unaotegemewa = [Odds Hasi za American/(Odds Hasi za American + 100)]x 100% Hivyo, kwa odds ya -250 ni: [250/(250+100)]x 100 = 71.4%

Jinsi ya Kubadili Odds Chanya za American Kwenda kwenye Uwezekano Unaotegemewa

Kufahamu uwezekano unaotegemewa kwenye timu dhaifu kutoka kwenye odds za American, hesabu ni hii hapa: Kwanza ondoa alama ya kujumlisha. Kinachofuatia, ongeza odds za moneyline kwenye 100. Sasa gawanya 100 kwa odds za moneyline kujumlisha 100. Halafu zidisha tarakimu nzima kwa 100%. Kanuni: Uwezekano unaotegemewa = [100 / (odds chanya za moneyline + 100)] x 100% Hivyo kama ulikuwa na odds ya moneyline ya +250 ni: [100 / (250 + 100)] x 100 = 28.6%

Jinsi ya Kubadili Odds za Desimali Kwenda kwenye Odds za American

Unapotaka kubadili odds kwenda kwenye odds za moneyline, unatakiwa kwanza kuamua ikiwa odds za desimali unazotumia zitakuwa odds za kujumlisha au kutoa. Hili ni rahisi kuifahamu. Desimali za 2.00 au kubwa zaidi ni odds chanya za moneyline, wakati desimali chini ya 2.00 ni odds hasi za moneyline. Kama odds zako za desimali ni 2.00 au zaidi, hesabu ni hii hapa: (Odds za desimali – 1) x 100 = odds chanya za moneyline Hivyo kama odds zako za desimali ni 3.50: (3.50 – 1) x 100 = +250 Kama odds zako za desimali zipo chini ya 2.00, unabadili kwenda kwenye odds hasi za moneyline. Hesabu ni hii hapa: (-100) / (desimali -1) = odds hasi za moneyline Hivyo kama odds zako za desimali ni 1.75: (-100) / (1.75 -1) = -133

Jinsi ya Kubadili Odds za American Kwenda kwenye Faida

Odds za kutoa za American ni odds zinazotumika kwa timu pendwa. Hizi huwakilisha odds chini ya 2.00. Kwenye odds za kutoa za American, odds hukuonesha ni kiasi gani unachohitaji kubetia kutengeneza faida ya dola 100. Kwa mfano, -200 ingemaanisha unahitaji kubetia dola 200 kutengeneza faida ya dola 100. Kukokotoa faida yako, kwa hiyo, unahitaji kuondoa alama ya kutoa, halafu gawanya dau lako kwa odds, na izidishe kwa 100 (Dau/Odds) x 100 = Faida Hivyo kwenye odds ya -200 na dau la TZs 10,000: (10,000/200) x 100 = Faida ya TZs 5000 Odds za kujumlisha za American zinatumika kuonesha timu dhaifu na huwakilisha odds za 2.00 au zaidi. Odds za kujumlisha za American huonesha ni faida kiasi gani utakayoitengeneza kwa kila dau la dola 100 unaloliweka. Hivyo odds ya +200 ingemaanisha ungetengeneza faida ya dola 200 kwenye mkeka wa dola 100. Kukokotoa faida kwenye odds za kujumlisha za American, unatoa alama ya kujumlisha, zidisha dau lako kwa odds, na halafu igawanye kwa 100. (Dau x Odds) / 100 = Faida Hivyo kwenye odds ya +200 na dau la TZs 10,000: (10,000 x 200) / 100 = Faida ya TZs 20,000

Kufupisha…

Kwa wale wanaotafuta kufaidika na odds nzuri sana za kubetia, jisajili kwenye app ya Parimatch ya kubetia michezo leo. Si tu huonesha odds za desimali zilizo rahisi kuzielewa, app hii pia hukuruhusu kubadili kwenda kwenye mitindo mingine ya odds ndani ya muda mchache tu. Na bila kujali mtindo, Parimatch ina mkusanyiko mpana zaidi wa matukio ya kimichezo Afrika pia odds nzuri sana ambazo huzishinda kabisa tovuti nyingine za kubetia.

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, unabadilishaje odds za kubetia?

Ili ubadilishe uwezekano wa kubetia, unachofanya ni kubadilisha uwezekano uliodokezwa kuwa muundo wako uliouchagua wa odds za kubetia. Parimatch hukuruhusu kutumia chaguo la miundo mitatu ya odds, yaani desimali, mtindo wa sehemu na muundo wa Kimarekani.

Je, uwezekano wa kucheza kamari huhesabiwaje?

Ili kukokotoa uwezekano wa kubetia, gawanya 100 kwa thamani inayodokezwa ya uwezekano. Hivi ndivyo unavyobadilisha uwezekano uliodokezwa kuwa odds za desimali – kwa mfano, kama una uwezekano wa kubetia sehemu ya 5/2, utakuwa na uwezekano uliodokezwa wa 28.6%. Ili kubadilisha namba hii kuwa odds ya desimali, gawanya tu 100 kwenye uwezekano wa kukupa karibia 3.5 ambayo ni odds zako za desimali.

Je, uwezekano wa kubetia hufanya vipi kazi?

Odds za kubetia ni muhimu kwenye kuonesha jinsi unavyoweza kushinda. Odds za kubetia zinaonesha jinsi ambavyo dau lilivyo na hatari ya kupoteza na uwezekano wa kulipwa huo mkeka. Kwa kawaida, iliyo na alama ya plus (+) au minus (-) mbele ya thamani, thamani huonesha ni kiasi gani unachokihitaji kuweka ili ushinde.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.