THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Live beti ni kitu gani?

Ikiwa unataka kupata msisimko na mzuka wa kibabe basi live beti ipo kwaajili yako. Je, live beti ni kitu gani? Live beti ni aina ya beti inayowekwa kipindi mchezo au tukio mara tu linapoanza.

Live beti inamruhusu mtumiaji kufurahia yale yote yanayojiri kutoka katika eneo la tukio, unachagua kile unachokitaka kutokana na mchezo unavyoendelea. Odds huwa zinabadilika kutoka na hali ya mchezo, unaweza kufurahia fursa hii ya odds kwa kucheza live betting kupitia Parimatch.

Unataka kujua zaidi kuhusu live betting kutoka Parimatch na jinsi utakavyo faidika nayo? Unaweza ukawa unaikimbia kila siku bila ya kujua. Angalia muongozo huu utakao kuongoza live betting.

Live betting inafanyikaje?

Kwa ufupi, live betting ni kitendo cha kuweka ubashiri katika michezo au tukio ambalo linaendelea kwa wakati huo. Wale wote ambao huweka beti zao kabla ya mchezo kuanza hutegemea historia ya timu hizo mbili au michezo waliyowahi kukutana. Hata hivyo, watumiaji wa live betting huweka beti zao baada ya mchezo kuanza kwa kuzingatia, matokeo ya wakati huo mchezo unapoendelea.

Live beti ni nini?

Wakati unapokuwa umeweka beti yako kabla ya tukio, odds huwekwa kulingana na historia ya awali ya wapinzani hao wawili. Ikiwa unajiuliza, live betting inafanyikaje, ni tofauti kidogo na hatua zinazofanywa kabla ya mechi kuanza.

Live betting — watumiaji wanaweza kubashiri matokeo ya mchezo kwa kuweka mikeka yao mara tu mechi inapoanza. Timu A inaweza kuwa na uwezo mkubwa kabla mchezo, goli la mapema kutoka Timu B linaweza kubadilisha matokeo ya ushindi wa Timu A. Na hii inaweza kupelekea kubadilika kwa odds.

Kwa watumiaji, hii inaamanisha kuwa unaweza kuweka matokeo tofauti tofauti kipindi mchezo unapoendelea. Matokeo yoyote ya mchezo hupelekea kubadilika kwa odds, weka live betting upate msisimko wa kweli, kwa wale wote wanaofuatilia kila kitu tukio katika mchezo kwa njia mbalimbali huweza kufanya maamuzi ya haraka.

Weka mikeka kwenye mechi za live kwa kutumia app ya Parimatch au ingia kwenye tovuti na upakue app ya Parimatch na ufuate hatua hizi chache:

 • Jisajili au ingia na uweke pesa katika akaunti yako ya Parimatch
 • Ni rahisi bonyeza “Live” chini kushoto kwa skrini
 • Shuka chini kutazama michezo yote ya live betting kutoka Parimatch
 • Chagua mchezo ambao unataka kubeti na angalia orodha ya mashindano na michezo katika browser
 • Kuweka mkeka wako, chagua odds unazozitaka kuweka
 • Nenda kwenye “Betslip” chini ya skrini ili kuona beti zako
 • Ikiwa beti zako zote zipo sawa, bonyeza “Make a Bet”

Ni michezo ipi bora ya kubeti live Parimatch?

Usimng’ojee mbetishaji wa kampuni akuchagulie mchezo bora wa Live betting kwa ajili yako. Parimatch tunajivunia kuwa na michezo bora ya live na yenye chaguzi nyingi. Tunawapa fursa mashabiki wote wa michezo ile inayojulikana na hata isiyokuwa maarufu ulimwenguni. Kwa ujumla tunatoa michezo nane ya Live Betting, Parimatch ndio sehemu sahihi ya kupata Live betting ya soka, tenisi, baseball, basketball, handball, cricket, futsal pamoja na ice hockey.

Beti soka live Parimatch

Kutoka Uingereza kwenda Cyprus, kutoka Zimbabwe hadi Chile, Parimatch ina uwanja mpana wa matukio yote ya umuhimu ya soka kwa ajili yako ya kubeti. Haijalishi ikiwa unatafuta mashindano makubwa kama Ligi ya Mabingwa ya UEFA, au michuano ya klabu bingwa Afrika au umependelea kutazama Manchester United na Liverpool ikichuana kwenye EPL, Parimatch ina matukio yote ya kimichezo kwaajili ya watumiaji wake.

 • Ni rahisi bonyeza kitufe cha “Live”, chagua soka, na ufurahie orodha kubwa ya matukio
 • Kuweka beti, bonyeza odds unazotaka kuweka
 • Beti zako zitaonekana kwenye mkeka wako, kwa kubonyeza “Make a Bet”

Ikiwa utaingia kwenye programu ya Parimatch au tovuti, utaweza kupata chaguzi nyingi za kubeti live soka kama vile:

 • Ushindi mwisho
 • Timu zote mbili zifunge
 • Ifunge kipindi cha kwanza
 • Magoli mengi yapatikane kipindi cha kwanza
 • Kabla ya mapumziko wafunge
 • Double chance, na mengi zaidi

Watumiaji wa live betting ya Parimatch huwa wanaburudika kubeti kwa kutumia mfumo matukio ya live.

Je! unataka kuweka beti kwenye basketball kutumia Parimatch?

Ni rahisi kucheza odds za basketball kwa kutumia Parimatch. Kutoka kwenye Mashindano ya Dunia ya FIBA ​​kwa kila mchezo wa NBA, Parimatch hutoa orodha ya michezo ya kimataifa ya basketball na mashindano. Ikiwa unataka kubeti Lakers ishinde au LeBron James a danki, nenda kwenye sehemu ya kubeti ya Parimatch kisha ubonyeze “Basketball” ili uone kinachoendelea.

 • Bonyeza “Live” na uchague basketball
 • Chagua michezo yako
 • Bonyeza odds
 • Eelekea kwenye mkeka na uweke beti yako

Beti tenisi na Parimatch

Parimatch ina chaguzi bora zaidi za kubetia tennis nchini Tanzania – tunayo mashindano yote ya ulimwenguni ya tenisi yanayopatikana kwenye mtandao wetu kwaajili ya kubeti. Mtandao wetu unamruhusu mchezaji kufikia michezo yote kwa wakati — Davis Cup, Fed Cup, Wimbledon na nyingine nyingi. Kutokana na mpangilio wetu wa mashindano ya tenisi, weka mkeka wako kwa kufuata njia hizi:

 • Ingia kwenye tovuti ya Parimatch au app
 • Bonyeza “Live” mara tu unapoingia na kuweka salio lako la kwanza kisha chagua tenisi
 • Bonyeza mashindano na unayopenda kuweka
 • Weka beti zote za tenisi kwenye mkeka wako

Weka beti kwenye baseball kupitia Parimatch

Je! Wewe ni mfuatiliaji wa MLB World Series kila mwaka? Labda wewe ni zaidi ya shabiki wa Series ya Dunia kwa njia yoyote, ikiwa uko kwenye baseball, basi Parimatch ndio sehemu nzuri ya kugeuza shauko lako na kuwa pesa. Unaweza kuweka beti kwenye michezo ya live ya baseball ya ulimwenguni — na yenye chaguzi nyingi za odds.

 • Jisajili kupitia tovuti ya Parimatcha leo na uingie
 • Weka pesa kwenye akaunti yako
 • Bonyeza “Live” chini ya skrini na uchague baseball
 • Chagua mchezo na odds zake
 • Hakikisha beti yako na uiweke

Je! naweza kuweka beti live tukio zaidi ya moja kupitia Parimatch?

Parlay beti ni miongoni mwa sehemu ya mchezo ambapo mtumiaji anaweza kuongeza odds wakati akiwa anaweka beti nyingi. Badala ya kuweka beti moja yenye odds tofauti, unaweza kuongeza mfumo mzuri wa Parimatch kwa kucheza Parlay betting.

Unapokuwa unaweka parlay beti Parimatch, unachanganya beti mbili au zaidi. Kwa kuziweka sehemu moja, utapata nafasi ya kuhakikisha kuwa beti zako zipo sawa. Ikiwa beti yako moja itakuwa haipo sawa basi utakuwa umekosa beti zote. Hata hivyo endapo Parlay beti zikishinda, unalipwa malipo makubwa.

Unaweza kucheza Parlay beti kwa kubonyeza “Betslip” chini ya tovuti ya Parimatch.

System beti kwenye Parimatch inafanyikaje?

Ikiwa mkeka wako una matukio mawili au zaidi yake, unaweza kutumia system beti.

Ili kuweka bet ya system, ingia kwenye betslip na uchague “System” kwa upande wa juu.

System beti ipo tofauti kidogo na parlay beti kwani hii bado unaweza ukawa umeshinda hata kama umepoteza baadhi ya matukio. Kwa mfano, ikiwa beti yako ina michezo mitatu, na ukashinda 2/3 basi beti yako itakuwa imeshinda.

Kuna system beti chache zinazopatikana kwaajili ya watumiaji, inategemea na idadi ya matukio yaliyowekwa katika mkeka. Mtumiaji anaweza kubeti single, double, triples, four-fold, five-fold, six-fold na kuendelea. Idadi kubwa ya beti unazoziweka ndio unapata idadi kubwa ya makundi — huongeza ushindi, lakini huongeza dau lako.

Kwa ufupi

Parimatch imejitolea kuacha duka moja kwaajili ya mahitaji ya esporting betting. Sio kwamba tunayo orodha kubwa ya beti za kawaida na chaguzi mbalimbali za virtual betting, lakini tunajivunia kwa kuweza kuwahudumia watumiaji wetu wengi kwenye mtandao unaovutia.

Shukrani kwa dashibodi yetu kwa kuweza kutoa chaguzi nyingi, watumiaji wetu wanaweza kufurahia live betting wakati wa michezo — kwa michezo tofauti kwa kuanzia place, parlay pia teknolojia za mfumo wa betting kukusaidia kupata zaidi kutoka kwa wavu zako za sports.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.