Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kutafuta Odds Bora za Kubeti — Dondoo na Mbinu

Parimatch imejitoa kuhakikisha kuwa watumiaji wote wana furaha wakati wa kubeti. Hii inamaanisha kuwa Parimatch inataka kukuhimiza kuelewa jinsi ya kufanya machaguo yenye maana ya kucheza kamari ambayo yatakupa marejesho yenye faida bila hatari ya kupita kiasi.

Pia tumeandaa mkusanyiko wa makala kukusaidia kujifunza kila kitu kuhusu odds za kubeti michezo. Zirejelee kama unahisi dhana baadhi hapo chini hazieleweki:

Sasa, msingi wa kuweka mikeka mizuri ni kutafuta odds nzuri za kubeti. Lakini “odds nzuri za kubeti” inamaanisha nini?

Odds nzuri za kubeti ni odds ambazo hutoa mikeka yenye thamani. Mikeka yenye thamani ni mikeka ambapo hatari inaweza kudhibitika na marejesho ni yenye faida. Msawazo kati ya hivi viwili ndio sehemu nzuri unayoitafuta.

Hizi hapa ni mbinu 6 ambazo zitawasaidia wale wanaotafuta mikeka yenye thamani zenye odds nzuri za kubeti:

Tafuta Implied Probability Kubwa

Wakati hatari kwa hakika ndio kichocheo ambacho husisimua wabashiri fulani, kupunguza hatari yako husaidia kuboresha nafasi za mikeka yako kulipa. Kwa maana hii, pindi tunapotafuta odds nzuri, tunataka odds ambazo huashiria kuwa mikeka italipa.

Kama ilivyotajwa juu, kadri odds zinavyokuwa ndogo, ndivyo inavyowezekana zaidi kwa timu kushinda, kulingana na mahesabu ya meneja ubashiri. Odds ndogo huwakilisha hatari ndogo. Odds za desimali zinavyokuwa karibu zaidi na 1, ndivyo inavyowezekana zaidi kwa mikeka kulipa.

Chukulia mechi hii ya tenisi kati ya Paulo Lorenzi na Preston Brown.

Paulo Lorenzi dhidi ya Preston Brown wakicheza kamari ya tenisi kwenye Parimatch

Kama unavyoweza kuona, odds za Lorenzi kushinda ni 1.03 kulinganisha na odds za Brown za 8.60. Lorenzi ndio mchezaji pendwa hapa kutokana na odds ndogo sana.

Kubadili odds hizi kwenda kwenye implied probability, gawanya 100 kwa 1.03. Hii hutoa implied probability ya 97%. Hii humaanisha kuwa kama ungembetia Lorenzi, una nafasi kubwa sana ya mikeka kulipa.

Angalia Mapato Mazuri

Tukizingatia mechi hii kati ya Lorenzi na Brown hapo juu, tunaweza kuamua kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa Lorenzi atashinda. Kwa mtindo huu, mikeka juu ya Lorenzi ina uwezekano kufanikiwa.

Hata hivyo, hizi kiukweli haziwezi kufikirika kama odds nzuri maana mapato kwenye aina hii ya mikeka yangekuwa madogo sana. Pindi ukikokotoa faida kwenye mikeka ya TZS 10,000 juu ya Lorenzi, ungetengeneza faida ya TZS 300 tu. Hii ni ndogo sana.

Katika muktadha huu, kwa odds kuanishwa kama odds nzuri, utataka mikeka ambayo implied probability ni kubwa lakini uwezekano wa faida uwe mkubwa kiasi fulani pia — au mzuri walau!

Badala yake, chukulia mechi hii ya tenisi kati ya Lorenzi na Andreev.

Paulo Lorenzi dhidi ya Adrian Andreev wakicheza dau la tenisi kwenye Parimatch

Lorenzi bado ni mchezaji pendwa mwenye odds za 1.46 kulinganisha na odds za Andreev za 2.42. Katika mazingira haya, implied probability ya Lorenzi ni 68.5% kulinganisha na implied probability ya Andreev ya 41.3%. Kama ilivyo wazi, bado inawezekana sana kuwa Lorenzi atashinda.

Hata hivyo, katika kesi hii, ukingo wa faida ungekuwa mzuri zaidi. Kama ungeweka mikeka ya TZS 10,000 kwa Lorenzi kushinda, faida yako ingekuwa TZS 4,600.

Kwa maana hii, unataka kutafuta odds ambazo si tu zinazoonesha uwezekano mkubwa wa kushinda, lakini pia zinazotoa marejesho yenye faida.

Tafuta Mikeka Yenye Mchezaji Pendwa Ambayo Ni Dhahiri

Wakati odds zenye implied probability kubwa na marejesho mazuri yanayowezekana zina maana, pia unataka kuhakikisha kuwa kuna utofauti wazi kati ya mchezaji dhaifu na mchezaji pendwa.

Kumchagua mchezaji pendwa kuna uwezekano zaidi kulipa, lakini kama tu mchezaji huyo pendwa anafikirika kuwa na ujuzi zaidi kuliko mchezaji dhaifu.

Hebu tuangalie mfano huu kutoka kwenye ligi ya Urusi ya mpira wa meza, Liga Pro. Angalia mechi hii kati ya Gribkov na Lyfenko.

Aleksander Gribkov dhidi ya Nikita Lyfenko akiweka dau la tenisi kwenye Parimatch

Kama unavyoweza kuona, Gribkov ndio mchezaji pendwa mwenye odds za 1.82 kulinganisha na odds za Lyfenko za 1.89. Katika hali hii, mikeka ya TZS 10,000 kwa Gribkov ingerudisha faida ya TZS 8,200.

Wakati hii ni faida nzuri, tatizo ni kuwa wapinzani hawa wawili wanafanana kiasi fulani. Implied probability ya Gribkov kushinda ni 53%. Pindi ukilinganisha hii na implied probability ya Lyfenko kushinda, ambayo ni 53%, unaona kuwa wawili hawa ni jozi sawa.

Hii humaanisha mechi ingeweza kwenda upande wowote na ungeweza kupoteza dau lako, ijapokuwa unambetia mchezaji pendwa.

Badala yake, angalia mechi ambapo kuna utofauti wazi kati ya mchezaji pendwa na mchezaji dhaifu, pia mechi ambapo mchezaji pendwa ana implied probability nzuri na uwezekano mzuri wa faida.

Chukulia mfano huu:

Trushkin vs Ovchinnikov kamari ya tenisi kwenye Parimatch

Katika kesi hii, Ovchinnikov ni mchezaji pendwa mwenye odds za 1.55, kulinganisha na odds za Trushkin za 2.31.

Implied probability ya Ovchinnikov kushinda ni 64.5%, kulinganisha na nafasi ya 43.3% ya Trushkin kushinda. Kwenye mikeka ya TZS 10,000 kwa Ovchinnikov, ungeweza kutengeneza faida nadhifu ya TZS 5,500 — zaidi ya nusu ya dau lako.

Kwa mfano huu, unapata marejesho mazuri bila kuwa na wasiwasi kwamba mchezaji dhaifu anaweza kuingilia ghafla na kuchukua ushindi.

Chunguza Aina Mbadala za Mikeka

Wakati mara nyingi zaidi wabashiri huelekea kubeti kwenye mikeka ya outright winners na 1X2, utakuta pia odds nzuri ndani ya aina nyingine za mikeka kwenye jukwaa la Parimatch.

Kwa mfano, ambapo timu mbili zinaweza kuendana sawia kiujumla, mikeka ya 1X2 na “To Win” zitakuwa na odds shufwa kwa timu zote mbili. Hata hivyo, timu moja inaweza kuwa mfungaji wa goli haraka zaidi kuliko nyingine, kutegemeana na michezo ya hivi karibuni ambapo wamefunga ndani ya dakika kumi za mwanzo kila muda. Kwa maana hii, unaweza kukuta odds nzuri kwenye mikeka ya “Goli la Kwanza” ambapo timu moja ina implied probability kubwa hasa ya kufunga kwanza kulinganisha na timu nyingine.

Kama hauna uhakika timu ipi ya kuibetia, au timu zote mbili zinaendana sawia, unaweza mara nyingi kupata odds nzuri kwenye mikeka ya jumla. Kubeti kwa totals ni ambapo unakisia idadi ya jumla ya magoli ambayo timu zote mbili zitafunga juu ya au chini ya tarakimu iliyoamuliwa na meneja ubashiri. Kama timu zote mbili ni pande zinazofunga sana, utakuta implied probability kubwa kwenye idadi kubwa zaidi ya jumla ya magoli.

Tumia Handicap Kupunguza Hatari

Unaweza kukuta kwamba kuna wasaa, unataka kubeti kwenye timu dhaifu. Hii mara nyingi ni kesi kama timu hiyo dhaifu ni timu ambayo unaiunga mkono. Kupunguza hatari kwenye aina hizi za mikeka, unaweza kuweka mikeka ya handicap. Kwa kufanya hivi, unaongeza implied probability ya upande wako dhaifu kushinda.

Kwa mfano, chukulia mechi hii kati ya Uturuki na Hungary, ambapo Hungary ni timu dhaifu sana.

Uturuki Sare Hungary
(+2) – 1.02 1 (+2) – 10.00 (-2) – 35.00
(+1) – 1.14 1 (+1) – 6.00 (-1) – 15.00
(-1) – 2.85 2 (+1) – 3.35 (+1) – 2.16
(-2) – 6.20 2 (+2) – 4.70 (+2) – 1.36

Fikiria unaweka mikeka ya TZS 10,000 kwenye mikeka ya Hungary (+2). Hii ingemaanisha kuwa unaibetia Hungary kushinda kwa faida ya magoli 2. Hii inamaanisha kuwa aidha magoli mawili yanaongezwa kwenye alama ya mwisho ya Hungary.

Lifikirie hilo katika maisha halisi, Uturuki inashinda 1:0. Kwa handicap, hii ingemaanisha kuwa Hungary ingeshinda 1:2. Katika hali hii, mikeka yako ingelipa.

Pindi ukizingatia kuwa odds za Hungary kushinda bila handicap ni 5.20, unaweza kuona kwamba implied probability ni 19.2%. Wakati marejesho ni ya uwezekano wa juu, yenye faida inayowezekana ya TZS 42,000 kwenye mikeka ya TZS 10,000, kuna uwezekano mdogo sana kuwa hii italipa.

Hata hivyo, kwa mikeka ya handicap, unaongeza implied probability maana odds kwa sasa ni 1.36. Hii inatoa implied probability ya 73.5%. Faida ni ndogo zaidi, lakini bado yenye maana, kwenye TZS 3,600.

Tumia Mikeka ya Accumulator Kuongeza Marejesho

Wabashiri wanapozingatia odds nzuri, wanataka kusawazisha hatari na rejesho. Kwa mikeka ya accumulator (au mikeka ya parlay) unaongeza hatari sana, lakini unaongeza marejesho kwa kiasi kikubwa sana.

Kwa mikeka ya accumulator au parlay, unahitaji kupatia tabiri zako zote kiusahihi ili kulipwa chochote. Kimsingi, unaweka mkeka mmoja kwenye mechi nyingi. Unapofanya hili, odds kutoka kwenye kila chaguo zinazidishwa pamoja. Hii hutengeneza odds kubwa mno, ikimaanisha marejesho mazuri lakini implied probability ndogo.

Njia erevu ya kuifanya mikeka ya accumulator ifanye kazi ni kuchagua mikeka mingi ambazo implied probability ni kubwa kiasi fulani. Hii humaanisha kuwa kila mechi moja ndani ya parlay ina nafasi kubwa ya kushinda peke yake. Kwa kufanya hivi, kuna nafasi zaidi kwamba machaguo yako yote yatakuwa sahihi.

Kwa wale ambao hawana wasiwasi sana kuhusu hatari na wanafikiri odds kubwa kuwa odds nzuri, mikeka ya parlay ni njia nzuri ya kuongeza odds.

Hebu tuangalie mfano huu wa mikeka ya parlay:

Mechi Aina ya Mikeka  Betia Odds
Uturuki — Hungary 1×2 Uturuki 1.64
Moldova — Kosovo 1×2 Kosovo 1.44
Latvia — Andorra 1×2 Latvia 1.50

Hebu kwanza tuangalie kwenye implied probability binafsi ya kila mechi.

  • Uturuki kushinda — 61%
  • Kosovo kushinda — 69%
  • Latvia kushinda — 67%

Katika kila mechi, timu pendwa ina karibia nafasi ya mbili ya tatu kushinda. Hii ni nzuri sana.

Hata hivyo, implied probability ya mechi zote kushinda humaanisha kuzidisha odds zote pamoja, kukupa nafasi ya 28% ya kushinda parlay.

Kilicho cha muhimu hapa ni kuwa wakati nafasi za kushinda parlay nzima zinaweza kuonekana ndogo, nafasi za kushinda kila mikeka moja moja bado ni kubwa sana.

Unapoangalia kwenye faida za kuweka mikeka moja moja kwa kulinganisha na parlay, unaelewa kwa nini unaweza kuthubutu. Ikiwa uliweka mikeka yote kama moja moja kwa dau la TZS 10,000, faida zako zinazowezekana zingekuwa:

  • Uturuki kushinda — TZS 6,400
  • Kosovo kushinda — TZS 4,400
  • Latvia kushinda — TZS 5,000

Hii inatoa faida inayowezekana ya TZS 15,800 kama mechi zote zikishinda. Kama mechi moja au mbili zikipoteza, bado unapata shindi kutoka kwenye mechi ulizotabiri kwa usahihi.

Kwa parlay, machaguo yote yanahitajika kuwa sahihi kupata faida yoyote. Hata hivyo, kwa nafasi ya mbili ya tatu kwenye kila mechi, hii inawezekana sana. Katika kesi hii, faida ingeamuliwa kwa odds kuzidishwa pamoja:

1.64 x 1.44 x 1.50 = 3.54 – Hii ingetoa faida inayowezekana ya TZS 25,424 kwenye mikeka ya TZS 10,000.

Kwa maana hii, mikeka ya accumulator hukupa odds kubwa, lakini unaweza kuipoteza yote kama chaguo moja likiwa sio sahihi!

Muhtasari

Sasa unajua jinsi ya kuamua odds zipi ni odds nzuri. Ili kuweka mikeka mizuri, lazima uangalie mikeka yenye thamani, ambayo ni ile yenye odds nzuri.

Mikeka ambayo hutoa thamani ni mikeka ambayo ina odds zinazoonesha implied probability kubwa na marejesho mazuri yanayowezekana. Kupata mikeka hii, unapaswa kutafuta matukio ya kimichezo ambapo kuna utofauti mkubwa kati ya timu pendwa na timu dhaifu. Jaribu kuangalia aina mbadala ya mikeka, hasa mikeka ya handicap. Unaweza pia kufikiria kutumia kubeti kwa accumulator kuongeza marejesho yako yanayowezekana.

Bila kujali mtindo wako wowote ule wa kubeti, daima unaweza kupata odds shindani zaidi kwenye app ya Parimatch ya kubeti michezo. Ipakue leo na jisajili kwa ajili ya mikeka yenye thamani kubwa, wigo mpana wa aina za mikeka, na mikeka bora kwenye soko.

MMM

Je, ni kampunigani ya kubetiyenye odds nzurizaidi?

Kampuniya kubetiyenye odds nzurizaidi inategemea vitu mbalimbali, kama vile aina ya mkeka unaoweka, michezo au tukio unalolitabiri, na kampuni unayobetia. Linapokuja suala la kubetia michezo, odds nzurizaidi zinapatikana Parimatch. Tunafanya kazi masaa 24/7 ili kutoa msaada bora zaidi, odds kubwa zaidi, na matangazo ya ziada.

Je, ni aina gani ya mkeka ambao ni salama zaidi?

Aina ya mkeka ambao ni salamazaidi kwenye michezo ni ule ambao upo kwenye ushindi wa kawaida. Ushindi wa kawaida ni aina ya mkeka matokeo ya tukio la kimichezobila ya kuzingatia mgawanyo wa matokeo. Aina hii ya ubashiri hutoa odds nzuri zaidi wa ushindi, na kufanya kuwa mkeka salamazaidi.

Je, ni mkakati gani wa kubetiwenye faida zaidi?

Mkakati wa kubeti wenye faida zaidi utategemea mtu binafsi na uthubutu wake. Kupunguza hasara zako ni bora kuliko kujaribu kuongeza faida zaidi. Mbinu bora zaidi itahusisha utafiti wa kina na uchanganuzi wa soko mahsusikabla ya kuweka mkeka. La nyongeza, ni muhimu kutambua kuwa mambo yanayoathiri soko mahsusi, kama vile uborawa timu au hali ya hewa.

Namna gani ya kushinda mkeka wenye mechi nyingi?

Kushinda mkeka wenye mechi nyingi, pia inajulikana kama mkeka wa parlay au mkeka wa accumulator, kunaweza kuwa na changamoto ila kuna faidisha. Kushinda mkeka wa accumulator, ni lazima ubashiri kwa usahihi matokeo ya matukio mawili tofauti au zaidi. Hivyo, ni muhimu kuchagua matukio kwa umakini sana, kuwa na ufahamu wa aina ya kila timu au mtu binafsi unayembetia, na kuudhibiti mtaji wako.

Je, uwezekano wa kushinda una maana ipi kwenye kubeti?

Uwezekano unaodokezwa kwenyeubashiri ni dhana inayotumika kulinganisha uwezekano wa tukio kutokea na uwezekano unaotolewa na kampuni. Inapimwa kwa kuchukua kinyume cha desimali ya odds na kuionesha kama asilimia. Kwa mfano, kama kampuni inatoa odds 2.50 kwenye ubashiri fulani, basi uwezekano unaodokezwa wa ubashiri huo kutokea ni 40%.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.