THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Jinsi ya Kubeti Kijanja Kutumia Uniti za Kubeti

Kama wewe ni mgeni kwenye ulimwengu wa kubeti basi, hautakuwa unajua maana ya uniti za kubeti, lakini kama wewe ni mzoefu basi hautapata shida kuijua, hiki ni kipimo kinachotumika na mafundi wote wa kubeti na hata makampuni ya kubeti.

Na kama ukitaka kujifunza basi ni rahisi sana, uniti za kubeti zinasaidia sana, kama ukitaka kulinganisha ubora wa mbinu zako unazotumia, uniti za kubeti kwenye michezo hazina mipaka, zinabaki hivo hivo ukiwa Tanzania, Canada, and Germany.

Tuanze sasa, uniti za kubeti na ni jinsi gani utatumia kipimo hiki kuongeza ubora wako, ngoja tuangalie kipimo huku kwa ukaribu zaidi kwenye kupangilia salio lako na kujilingansha na waday wenzako wa kubeti kutafuta mbinu bora.

Uniti za Kubeti ni Nini Hasa?

Uniti kwenye kubeti ni kiwango cha fedha ambacho mtu anajisikia amani kutumia au kuweka kwenye kubetia mkeka mmoja, lakini kiwango hiki kinatofautiana kwa kila mtu, je kitatumikaje kwa kila mtu? Hii hupatikana kama asilimia flani ya salio lako.

Kwa mfano, kama kiwango cha fedha ambacho uko tayari kukitumia ni 30,000 TZS, halafu uniti moja ya kubeti inatakiwa ipatikane kwa kuangalia jumla ya asilimia utakayotumia kwenye mkeka mwingine. Kama kiwango cha mwisho cha mkeka wako wa mechi moja ni 3%, basi uniti za kubeti kwako zitakuwa 900 TZS.

Kwa kuangalia kiwango cha fedha kwenye akaunti yako, uniti za kubeti zinaweza kutumika kulinganisha takwimu za wakali wa kubeti. Kiwango cha fedha mtu alichoshinda hakiwezi kuonyesha mafanikio yake kwa kuangalia uniti za kubeti wanazopata. Unaweza pia kufuatilia ubora wa mbinu za kubeti kutumia uniti za kubeti pia.

Jinsi ya Kutambua Kiwango cha Uniti Zako za Kubeti

Sheria ya kwanza na nyepesi ni kuchagua uniti ya kubeti na kuchanganua kwenye 1-5% ya kiwango cha salio lako. Kama wewe bado unajifunza au huwa kuchezi mara nyingi basi unaweza kuishia kwenye 1-2%. Na kama wewe ni mtu wa kuchukua fursa basi unaweza kuweka hadi 5%, lakini kumbuka hapa ukipoteza utashusha kiwango kikubwa cha fedha kwenye akaunti yako.

Kitu kimoja ambacho lazima uwe unakijua kuhusu uniti za kubeti ni lazima uwe na muendelezo, kama ukishajua uniti yako ya kubeti, unatakiwa ujitahidi kidiri uwezavyo kiwango kisiwe chini ya hapo, kwa watu wanaojifunza mara nyingi lazima uwe unaenena na kiwangu chako cha salio.

Kitu kingine cha kuzingatia ukishajua ukubwa wa uniti zako za kubeti, ni App unayotumia kubeti nayo, baadhi ya makampuni yanakuwa na kiwango tofauti cha china na cha juu cha kubetia. Kwa mfano ikitokeo unacheza na Parimatch, kiwango cha chini zaidi cha kubeti ni 300 TZS na kiwango cha juu zaidi unachoweza kushinda na kutoa ni 1,000,000,000 TZS.

Fuatilia Takwimu Zako Kupitia Uniti za Kubeti

Watu wengi wakianza kufuatilia rekodi zao wanaishia kwenye kushinda na kupoteza tu, japo ni takwimu nzuri kuwa nazo lakini hazikupi picha nzima, haizingati aina ya odds unazochagua kwa mechi husika, haionyeshi kama unapata faida au hasara.

Kwa mfano, ukishinda kwenye mchezo unaofuatia katai ya Cheslea na West Ham na ukapoteza kwenye mchezo unaofuata wa Arsenal dhdi ya Chelsea, huwezi kujua kama mbinu zako zilikuwa sahihi, lakini ukisema umebeti uniti 3 kwenye odds 4.70 kwenye mechi moja kwenye odds 1.84 kwenye mechi ya pili, hapo unajua kuwa ulifanya uamuzi sahihi.

Chelsea vs West Ham football betting on Parimatch website

Arsenal vs Chelsea football betting on Parimatch website

Kitu cha muhimu zaidi ni kwamba kufuatilia uniti zako za kubeti kunakupa mbinu sahihi ya kujiongoza na kupangilia matumizi yako. Ukubwa wa saizi ya uniti zako za kubeti utakuwa au kupungua kutokana na mabadiliko ya kipato chako.
Kitu muhimu zaidi kinachovutia kuhusu uniti za kubeti ni uelekeo sahihi. Hii inafanya kua kitu sahihi kutumia mbinu hii kulinganisha na kujua uwezo wako wa kubeti, pia unaweza kujilinganisha na wenzako.

Namna ya Kuchanganua Uniti Ulizoshinda

Kuchanganua na kupiga mahesabu kupitia uniti ni rahisi zaidi kuliko kutumia viwango flani vya fedha, likija swala la kutumia uniti utapoteza kama hujacheza kwa usahihi, ni rahisi zaidi kujua kama umeshinda au la.

Ukitaka kujua kiwango sahihi cha uniti ulizoshinda inategemeana unacheza na kampuni gani. Kuna utofauti kidogo wa jinsi wanavoonyesha odds za mchezo husika. Kuna baadhi wanaotumia odds za uingereza na wengine wanatumia mfumo wa odds za kimarekani. Njia rahisi na maarufu zaidi ni kutumia odds za decimali kama wanazotumia Parimatch. Ikiwa hivi basi unahitaji kuzidisha idadi ya uniti ulizobeti kwenye thamani ya odds za decimali.

Kwenye mfano tulioutoa hapo awali, utapoteza uniti 1 kwenye mchezo wa Arsenal dhidi ya Chelsea. Uniti ambazo ungeshinda kwenye mchezo wa Chelsea dhidi West Ham zitapigiwa mahesabu hivi 3*4.70 = 14.10. Kiujumla ungepata faida ya 14.10 kutoa uniti 1 na ukitoa uniti 3 ulizobeti awali uniti -10.10.

Jinsi ya Kupiga Mahesabu ya Hela Zote Ulizopata kwa Kutumia Uniti Ulizoshinda

Ukishajua idadi ya uniti ulizopata, je ni kiwango gani cha fedha unachokuwa umekusanya? Jibu ni rahisi sana – zidisha idadi ya uniti kwa thamani ya uniti uliyojiwekea kabla ya kubeti. Kwenye mfano wetu. Kama kiwango chako cha kubeti ni TZS 300, utakuwa umepata 300*10.10=3030 TZS.

Ukitaka mahesabu haya yawe marahisi, unahitaji kuwa na muendelezo wa mbinu zako na udhibiti makini wa kiwango cha fedha kwente akaunti yako. Ukiwa unabadilisha badilisha staili yako ya kubeti kila wakati, itakuwa ni ngumu sana kwako kudhibiti au kupima faida na hasara unayopata kwa muda mrefu. Kama ukitaka kujua staili flani inafanyakazi basi jaribu kuitumia kwa muda mrefu halafu pima kupata mrejesho.

Je, Uniti za Kubeti Zinaweza Kukudanganya?

Ukitumia vizuri basi uniti za kubeti zinaweza kutumika kwa faida kubwa sana, lakini pia kuna namna inaweza ikatokeo hii mbinu isikupe uhalisia sana, kuna baadhi ya ya watu hupata hadi maelfu ya units lakini sio muda wote inakuwa sio kweli.

Thamani ya untiti za kubeti zinaweza kutengenezwa kwa namna yoyote unavyotaka ziwe, ila kwa mara nyingi huwaga sawa na 1-5% ya kipato chako. Kama kuna mtu ni muhuni anaweza akaongeza namba zake hadi 0.01% au hadi chini. Kwa namna hii wanaweza kubeti na kushinda.

Uniti elfu moja kwenye beti moja. Kwahiyo chukua muda wako kusoma hizi namba namba na kuchanganya na takwimu nyingi zilizopo.

Mwisho

Kama wewe ni mgeni kwenye ulimwengu wa michezo ya kubashiri, uniti za kubeti ni kati ya vitu amabavyo unapaswa kujifunza haraka iwezekanavyo, itakusaidia kupanga matumizi yako na kujua kama unapata faida au la. Inatumika kutafuta mchezo gani ambao umewatengenezea wakamaria pesa nyingi zaidi msimu huu.

Kwa sasa unajua kuhusu uniti, unaweza kuanza kubeti sasa. Tembelea tovuti ya Parimatch au pakua application kubeti kwenye timu unazozipenda sasa!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.