Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Kubeti Dhidi ya Spread ni Nini?

Unataka kujua kuhusu jinsi ya kubetia spread au unashangaa kubeti ATS ni nini? Kama hiyo ndio kesi umekuja kwenye sehemu sahihi.

Kubeti dhidi ya spread ni moja ya njia maarufu (na zenye faida) zaidi za kubeti michezo. Kwa baadhi, ndio aina pekee ya kubeti wanayoitafuta kwenye Parimatch.

Kubeti michezo kwa ATS kunaweza kuonekana kunachanganya kidogo mwanzoni, lakini kiukweli ni rahisi sana kuelewa.

Endelea kusoma kujielimisha mwenyewe juu ya spread ni nini, jinsi ya kubeti dhidi ya spread, na michezo maarufu zaidi ya kuizingatia wakati wa kubeti ATS.

Spread ni Nini?

Kabla ya kuingia katika jinsi ya kubeti dhidi ya spread, lazima uelewe spread ni nini.

Furaha katika kuibetia mechi iliyoegemea vibaya upande mmoja ni nini? Malipo ni mengi kama ukichagua timu pendwa na hatari ni kubwa sana kama ukiiunga mkono timu dhaifu.

Spread au vinginevyo hujulikana kama handicap ni faida (au hasara) ya virtual inayotumika kwenye timu yoyote kusawazisha odds za mechi iliyoegemea upande mmoja.

Handicap ni kiwango maalum cha alama kinachotolewa kwa timu dhaifu kabla ya mechi kuanza. Baada ya handicap kutumika, odds husawazika na hivyo zinakuwa zinavutia zaidi kuzibetia.

Njia bora ya kuelewa spread (handicap) ni kwa kuuangalia mfano wa mpira wa miguu kutoka Parimatch:

3-way football bet on Parimatch Tanzania website

Hapa unaweza kuona odds za kwanza za moneyline ya njia-3. Azam ni timu pendwa dhahiri katika mechi iliyoegemea upande mmoja sana dhidi ya Namungo FC.

Angalia kwenye nini hutokea kwenye odds pindi handicap ya alama (goli) +1.5 inatumika kwa Namungo FC:

handicap football bet on Parimatch Tanzania website

Odds huwa karibia zinafanana. Odds mpya ziko karibu sana kwa sababu, katika macho ya meneja ubashiri, Namungo FC inaanza mechi na faida ya goli 1.5.

Katika mazingira haya, kama unabetia ATS kwenye Namungo FC kushinda na handicap ya +1.5, mikeka yako ingelipa ili mradi Namungo FC haikupoteza kwa zaidi ya magoli 1.5.

Kama Azam ilishinda mechi kwa 2-1 mikeka yako ingelipa kwa sababu hawakushinda kwa zaidi ya magoli 1.5 au katika maneno mengine hawakuifunika spread.

Kama Azam walishinda mechi kwa 3-1 mikeka yako isingelipa kwa sababu Azam iliifunika spread ya 1.5 — kushinda kwa margin ya 2.

Unaweza ukawa unashangaa kwanini line baadhi (sio zote) za handicap zina pointi ya desimali ya .5 badala ya nambari (namba nzima). Hii ni kwasababu haiwezekani kufunga nusu ya goli, hivyo mikeka haiwezi kupelekea katika sare (bila bila).

ATS Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?

Kubeti dhidi ya spread (ATS) ni mbinu inayolenga kwenye kubeti dhidi ya timu pendwa ya moneyline katika soko la handicap. Katika maneno mengine, unabeti kuwa timu pendwa haitaifunika spread ya alama.

Ukifikiria tena kwenye mfano uliopita, kama uliibetia Namungo FC kushinda kwa handicap ya +1.5, ungekuwa unabeti dhidi ya spread.

Kinyume chake, kama ukiibetia Azam (timu pendwa) kushinda kwa handicap ya -1.5, ungekuwa unabeti na spread.

Jinsi ya Kubeti Dhidi ya Spread

Kama unafikiri watengenezaji odds wamepanga handicap (faida ya virtual) juu sana, basi usingetaka kufikiria kubeti dhidi ya spread.

Kwenye kubeti michezo kwa ATS, swali unalotakiwa kujibu ni rahisi aidha ndio au hapana. Je! Faida inayopewa timu dhaifu ni kubwa sana kiasi kwamba itakuwa ngumu sana kwa timu pendwa kushinda?

Kama jibu lako ni ndio, utafikiria kubeti kwa ATS.

Kama unajibu hapana, na unafikiri timu pendwa itaishinda handicap, basi ingekuwa busara kubeti na spread.

Huu hapa ni mfano kutoka Parimatch kutoka kwenye mechi ile ile kati ya Azam (timu pendwa ya moneyline) na Namungo FC (timu dhaifu ya moneyline):

handicap football bet on Parimatch Tanzania website

Handicap imewekwa kwenye 3.5. Kama unavyojua, hii humaanisha Namungo iko mbele magoli 3.5 kwa sifuri (katika macho ya meneja ubashiri) hata kabla mechi haijaanza.

Hakika huo ni upungufu mkubwa sana kuushinda. Meneja ubashiri hufikiri hivyo pia, ndio maana odds ziko chini sana (1.07) kwa Namungo FC.

Odds ziko juu kwa Azam kwa sababu ungekuwa unachukua hatari kubwa kuwachagua kushinda kwa handicap ya -3.5. Wangetakiwa wautawale mchezo kikamilifu na kushinda kwa magoli manne au zaidi — ambacho si alisia.

Kutumia ATS Katika Michezo Maarufu

Baadhi ya michezo ni maarufu zaidi kuliko mingine pindi ukibeti kwa ATS. Kipengele kikubwa kukizingatia kama unavutiwa katika kubeti dhidi ya spread ni jumla ya alama kwa kila mchezo.

Mpira wa Kikapu

Michezo ya mpira wa kikapu ni ya ufungaji mwingi. Kwa kawaida katika NBA, jumla ya alama itakuwa sehemu fulani karibia alama 200.

Zaidi ya hilo, alama za mpira wa kikapu zinafungwa kwa moja (mrusho huru), mbili (kufunga ndani ya mstari wa pointi-tatu), au tatu (goli la eneo la pointi tatu), kwa wakati. Hii hutofautiana kutoka kwenye soka, ambapo ni alama (goli) moja tu linaweza kuongezwa kwenye ubao wa alama.

Wakati wa kuamua mchezo upi kuuchagua pindi ukibeti dhidi ya spread, unatakiwa kuzingatia jinsi (na alama ngapi) zinafungwa ili kuzielewa vizuri zaidi lines za spread.

Mpira wa Miguu wa Kimarekani

Katika upande wa jumla ya alama, mpira wa miguu hudondokea katikati. Jumla ya alama zinazofungwa katika mchezo huwa ni wastani wa karibia 45.

Kama ilivyo kwenye mpira wa kikapu, kuna viwango vichache tofauti vinavyoongezwa kwenye ubao wa alama kutegemeana na hali yenyewe.

Kwa mfano, kufunga ni alama sita, ikifuatiwa na fursa ya kuongeza alama ya ziada au kwenda kwa ajili ya mazungumzo ya alama mbili. Hii humaanisha kwa nafasi moja ya ushambulizi timu inaweza kufunga hadi alama nane.

Sawia, kuna magoli ya eneo la pointi-tatu au ufungaji wa point-mbili unaowezekana katika mpira wa miguu wa Kimarekani.

Pamoja na njia mbalimbali za kufunga na mfumo mgumu wa ufungaji, kubeti ATS katika mpira wa miguu wa Kimarekani kunaweza kuwa kunakovutia sana — ndio maana ni maarufu sana.

Mpira wa Miguu/Soka

Soka ina lines za handicap ndogo zaidi. Kwa kawaida, huwekwa kati ya alama moja na tatu.

Kama kwa hakika unavyofahamu, katika soka timu inaweza tu kufunga alama (goli) moja kwa wakati. Hivyo kimantiki, lines za handicap ni ndogo sana.

Soka ni chaguo maarufu katika kubeti michezo kwa ATS kutokana na mtindo wake rahisi wa kufunga na unadra wa alama. Hii pia humaanisha kuwa ni ngumu zaidi kutabiri nani anakwenda kushinda — kupelekea kwenye malipo makubwa zaidi yanayowezekana.

Chote kinachohitajika ni shambulizi moja lisilokaa vizuri katika eneo la mikwaju ya adhabu kubadili upepo wa mechi (na mikeka yako).

Soma Zaidi:

Hitimisho

Kubeti dhidi ya spread ni njia nzuri sana ya kujaribu ujuzi wako wa kimichezo dhidi ya meneja ubashiri.

Kuwa jasiri na amini uelewa wako. Kama handicap imepangwa juu sana, kubeti dhidi ya spread kungeweza kukupatia pesa fulani kubwa.

Pakua app ya kubeti ya Parimatch hisivu yenye lugha mbili kama unataka kuona lines na odds zetu kali za handicap.

Kama unataka kujifunza jinsi ya kukokotoa malipo au unavutiwa katika aina nyingine za mikeka, angalia mwongozo huu wa kina kutoka kwa wataalamu ndani ya Parimatch.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.