Wanacheza โ€“ Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Reverse Line Movement Ni Nini?

Unaweza kuwa umeshawahi kusikia hili neno Reverse Line Movement (RLM) au basi tu ungependa kujua kwanini bookmakers wanatumia mbinu hii kwenye kutengenea odds, basi ondoa shaka, uko mahala sahihi kupata uelewa zaidi.

Ukijua mbinu hii vizuri basi unakuwa na uwezekano mkubwa wa kucheza surebet na kushinda mtonyo wa kueleweka, wataalamu wengi wa kubeti ndnai na nje ya Tanzania wanaelewa vizuri mbinu hii.

Kwenye makala hii utajifunza nini maana ya reverse line movement, utajua kwanini bookmakers wanasogeza mistari ya odds, namna ya kujua mbinu hii inafanyaje kazi na ni wakati gani sahihi ya kutupia mkeka wako wa RLM Bet.

Endelea kusoma ili uzidi kupata uelewa mkubwa na kuzidi kujismin kwenye kuweka mikeka hii ya reverse line movement.

Reverse Line Movement Ni Nini?

Huenda umeshajua mstari wa kubeti (ni mstari unaoweka mikeka yako mfano over/under, handicap) mabadiliko ya matukio kutokana na muda, huu utofauti unajulikana kama reverse line movement.

Reverse Line Movement ni pale ambapo bookmakers wanaweka odds kwenye mazingira ambayo hayavuti mtu kubetia upande wa pili, hii hufanywi makusudi ili kuzidi kujiongeea nafasi ya wao kupata faida zaidi.

Makampuni ya kubeti hayana hela nyingi kwa wakati mmoja hivyo kuna muda inabidi watumie mbinu hii kupunguza riski ya kulipa pesa nyingi kwa wakati. Wasipofanya hivi waanweza kuishia kufilisika.

Kwanini Makampuni ya Kubeti Yanatumia Reverse Line Movements?

Kwa fundi wa mikeka kuelewa, kwanini makampuni ya kubeti yanasogeza mstari wa kubeti, kutakusaidia kujua ni kwa namna gani wanatengeneza hela.

Mbinu hii hujulikana kwenye ulimwengu wa michezo ya bahati nasibu kama โ€œjuiceโ€ makampuni ya kubeti yanachukua kiwango kidogo cha kubeti kwenye kila mkeka unaowekwa, hata yakilipa pesa ya washindi bado wanaweza kutengeneza hela kwenye makato mengine.

Kwa mfano, kuna mchezo wa soka kati ya Spain na Brazil, tuseme 85% inayoingia ni ya Spain kushinda ya 2,5 ya mikeka. Hapa hii ni hatari kwa mwenye kampuni kwani Spain wakishinda kampuni itapoteza hela, hata wakichukua makato yao bado watapoteza hela.

Hivyo basi, mtengeneza odds atasogeza mstari (reverse line movement) ili mikeka isiwavutie watu kubeti kwa Spain. Odds za awali 2,5 kwa Spain itarudi hadi 2,0. Na mikeka itaanza kuongezeka kwa Brazil kushinda.

Nafuatiliaje Reverse Line Movement?

Kutegemeana na kampuni unaweza kuona hii mistari kila baada ya lisaa,kila siku. Kuna mbinu mbalimbali za kufuatilia RLM.

Mbinu ya kwanza ni ya kizamani kidogo, kariri odds za mwanzo kisha fuatilia kama kutakuwa na mabadiliko yoyote.
Mbinu ya pili ya kufuatilia RLM ni kuzunguka kwenye website ambazo zinafanya kazi hiyo malaamu tu ya kufuatilia odds za makampuni mbalimbali.

Mbinu ya tatu na ya kuvutia zaidi ya kujua ni saa ngapi mstari unasogezwa ni kwa kuweka notification moja kwa moja kutoka kwa mwenye kampuni, sio kila kampuni inatoa hii nafasi – hivyo ni lazima ufanye utafiti wako kwanza.

Ni Wakati Gani Sahihi wa Kubeti Kwenye Reverse Line Movement

Kwa kawaida watengeneza odds watahamisha mstari mara moja na kwa bahati mbaya ni ngumu sana kujua mstari uthama saa ngapi, ukiwa unafanya uchunguzi wako na kugnudua odds zimepungua basi unakuwa umeshachelewa.

Kuna baadhi ya matukio ambayo yanaonyesha mstari utasogezwa saa ngapi.

Kwa mfano, mpigananji maarufu na mtalaamu wa michezo ya bahati nasibu Floyd Mayweather, anapenda kuposti kwenye mitandoa ya kijamii pale anapotaka kuweka mpunga mkubwa baadhi ya michezo, mingine hadi kufikia kiwango cha dollar milioni moja.

Huku ni kweli kwamba mayweather hajawahi kupigwa ulingoni lakini likija kwenye suala la kubeti kuwa anapoteza mara nyingi, basi watu wengi wakiona hivi wanaamini kuna kitu anajua ambacho wao hawajui hivyo wanaamua kumuiga.

Mayweather akiweka mkeka wake kwa timu flani kushinda, ikifuatiwa na mikeka mingine mingi kutoka kwa watu wengine, hapa utakuwa na uhakika wasuka odds lazima wasogeze mstari kujianda na chochote kile.

Hivyo basi kwenye tukio kama hili inakubidi ufukirie kubeti upande tofauti na Mayweather, beti pale ambapo bookmaker atasogeza mstari, kwa sababu odds zitakuwa nzuri zaidi kwa timu nyingine.

Kiujumla kubeti kwa mfumo wa RLM inaonekana kuwa sio mbinu ya kutegemea sana. Hivyo basi fuatilia mbinu hizi mbinu za kubeti kijanja.

Soma Zaidi:

Kumalizia

Ni muhimu kujua maana ya reverse line movement na ujue kwanini wanaotengeneza odds wanaitumia, kwa kupata huu uelewa utakuwa na uwezo wakuweka mikeka ja kijanja zaidi.

Kumbuka mstari ukisogea basi odds hazina uhalisia wa kitakachotokea kwenye mchezo.

Ni bora ukaenda kuweka pesa zako kwenye tukio linguine lenye kueleweka zaidi.

Wasuka odds wa Parimatch huwa wanapatia kila kitu kwenye odds zao ndiyo maana Parimatch ni moja ya kampuni zinazokua kwa kasi zaidi barani Africa.

Parimatch ina mobile betting application mambo mengi ya kuvutia sio bure watanzania wengi wancheza nayo na kujishindia vyakutosha.

Ukitaka kujionea ukubwa wa odds zetu tembelea tovuti yetu.

Hauhitaji akaunti kuona odds zetu lakini kama uko tayari kujumuika na mabingwa basi Jisajili.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.