Kubeti League of Legends ni chaguo pendwa kwa mashabiki wa esports duniani kote. Nchi katika Afrika kama Tanzania hazijaachwa — maana idadi ya utazamwaji imeongezeka sana katika miaka ya karibuni.
Zaidi ya watazamaji milioni 200 waliyatazama Mashindano ya Dunia ya League of Legends ya 2018. Kuliweka hilo katika mtazamo, mwaka huu watu milioni 148 tu walitazama tukio la juu la kimichezo Marekani, The Super Bowl.
Lakini lengo la League of Legends ni nini? LoL ni mchezo wa mbinu wa kitimu ambapo timu mbili zinapigana dhidi ya kila moja kuangamiza kambi ya timu nyingine. Timu hupigana, uuana, na kuvunja minara kuimaliza timu nyingine mara moja na daima.
Hauna uhakika jinsi ya kuanza? Usiwe na wasiwasi, kama unataka kubeti pesa kwenye League of Legends umekuja kwenye sehemu sahihi.Â
Parimatch hutoa machaguo ya kina zaidi kwa ajili ya kubeti na kushinda pesa kupitia sportsbook yetu ya mtandaoni.
Yaliyomo
Nini Kinasisimua sana kuhusu Kubeti League of Legends?
Kubeti esports kumeona ukuaji wa kasi Afrika. Nchi kama Tanzania zinapeleka mbele ongezeko zikiwa na watu zaidi kuliko kabla wanaofungua app zao za sportsbook na kuweka mikeka ya LoL. Hebu tutafute kwanini.
1. Kuna pesa ya maana kucheza kwa ajili yake
Tasnia ya esports imepangwa kukusanya zaidi ya dola bilioni katika mapato mwisho wa mwaka na inakadiriwa kukua kwa kiasi kikubwa katika miaka ijayo. Mapato na idadi za utazamwaji tayari vinaishinda michezo ya kitamaduni ya kiriadha lakini kilicho cha ajabu ni kuwa huu ni mwanzo tu.
Kwa nini hili ni jambo kubwa? Kwa sababu pesa zaidi katika tasnia hutafsirika kuwa ni fursa zaidi za kushinda. Jakpoti za juu zaidi, masoko zaidi, na malipo mazuri zaidi ndivyo ambavyo wabashiri wenye ujuzi huviangalia — na hicho ndicho hasa utakachokipata kwenye Parimatch.
2. Umaarufu wa kubeti League of Legends unaongezeka sana
Nguvu ya msukumo iliyo nyuma ya mapato makubwa sana ni ukuaji usiyokuwa wa kawaida katika utazamwaji wa esports. Ikiwa na watazamaji wanaokadiriwa kuwa milioni 450 duniani kote, hadhira hii ni kubwa zaidi kuliko hapo kabla.
Kuitazama michezo ya kawaida inakubidi kulipia ada ya uunganishwaji au tozo kubwa ya mara moja kwa ajili ya tukio maalum. Haifanyi kazi kwa njia hii katika esports. Baadhi ya ligi na mashindano ya ubingwa maarufu zaidi ya LoL hutangazwa kwenye huduma za kustream mtandaoni bila malipo.
Kustream League of Legends kumekuwa na upatikanaji mkubwa Tanzania — kwa gharama ndogo au bila gharama kwa mtazamaji. Nani hapendi maudhui ya bure yanayopatikana kiurahisi? Kwa kubeti kwenye mechi za LoL unaweza kuibadili pesa iliyohifadhiwa kuwa pesa ya kushinda.
3. Ni rahisi kujihusishanisha na esports
Baadhi ya wenye majina makubwa zaidi katika esports walikuwa wachezaji wa kawaida, wakicheza kutoka kwenye makochi yao miaka michache tu iliyopita. Hata sasa kwamba ni maarufu, bado unaweza mara kwa mara kucheza na baadhi ya masupastaa.
Wengi wa hawa wachezaji wataalamu hujitangaza kwa kufanya mechi za maonyesho ambapo unaweza kucheza na au dhidi yao.
Unataka kujua zaidi kuhusu ulimwengu huu wa fursa? Tazama mwongozo wetu juu ya jinsi ya kubeti kwenye esports!
Jinsi ya Kusoma Odds za LoL kwenye Parimatch
Hauna uhakika jinsi ya kusoma odds za kubeti LoL? Ikiwa ndivyo, usiwe na wasiwasi, ni rahisi sana kuelewa. Parimatch hutumia odds za desimali ambazo unaweza kuwa tayari unazifahamu.
Jinsi ya kukokotoa implied probability ya LoL na odds za ParimatchÂ
Implied probability hutumika kuamua nafasi za timu kushinda.
Mlinganyo huu ni rahisi:
(1/odds za desimali) * 100 = Implied Probability
Kukokotoa implied probability ya LowLandLions kushinda, mlinganyo ungeonekana kama hivi:
(1/1.35) * 100 = 74%Â
Kwa hiyo, kwa odds ya desimali ya 1.35, LowLandLions wana nafasi ya 74% ya kushinda mechi katika jicho la meneja ubashiri.
Kumbuka. Unaweza kugundua kuwa implied probability ya mikeka yote miwili ni zaidi ya 100%. Asilimia hiyo ya ziada inajulikana kama “bookmaker’s overround”. Hii ni ada kwa meneja ubashiri kwa kuendesha mikeka.
Jinsi ya kusoma odds za kubeti LoL kuifahamu timu pendwa
Hii hapa ni njia ya haraka kuifahamu timu pendwa — Timu yoyote yenye odds za chini zaidi ndio inayopendelewa kushinda. Rahisi ndivyo?
Hebu tuangalie kwa karibu zaidi:
Unaona kuwa LowLandLions ina odds ya 1.35 wakati Dynasty ina odds ya 3.05
Katika kesi hii, LowLandLions ndio timu inayopendelewa kwa sababu ina odds za chini zaidi. Kadri utofauti kati ya odds unavyokuwa mkubwa zaidi, ndivyo mechi inavyotarajiwa kuegemea upande mmoja zaidi.
Jinsi ya kukokotoa shindi za LoL zinazowezekana na odds za Parimatch
Kwa kuziangalia odds za kubeti League of Legends, unaweza kujua shindi zako zinazowezekana kwa hesabu fulani rahisi.
Kukokotoa pesa kiasi gani ungeshinda kwenye mikeka yako ya LoL:
- Chukua dau lako (kiasi ulichobetia) na kizidishe kwa odds za desimali. Utakachoishia nacho ndio jumla ya rejesho lako.
- Pindi umepata jumla ya rejesho lako unaweza kujua kiasi gani ni faida kwa kutoa dau lako kutoka kwenye jumla ya rejesho.
Dau lako * odds za desimali = jumla ya rejesho
Jumla ya rejesho – dau lako = jumla ya faida
Huu hapa ni mfano:
Kama ungebetia TZS 10,000 kwenye LowLandLions kushinda, ungezidisha dau lako la TZS 10,000 kwa odds yake ya 1.35. Utakachoishia nacho ni TZS 13,500, ambazo huwakilisha shindi zako zinazowezekana. Kifuatacho, toa dau lako la awali la TZS 10,000 kutoka kwenye ushindi wako unaowezekana wa TZS 13,500 na utapata jumla ya faida inayowezekana ya TZS 3,500.
10,000 TZS * 1.35 = 13,500 TZS (jumla ya shindi)
13,500 TZS – 10,000 TZS = 3,500 TZS (jumla ya faida)
Aina ya Mikeka katika LoL na Esports Nyingine
Ukiwa na Parimatch kuna aina zote za njia za kubeti pesa kwenye League of Legends na esports maarufu nyingine kama Dota 2, CS GO, na Starcraft 2. Endelea kusoma kugundua mikeka yote ya League of Legends ambazo Parimatch hutoa.
Kubeti Moneyline kwenye mechi za LoL
Nani unafikiri atashinda? Hicho ndicho unachokibetia.
Kama tu ilivyo kwenye michezo ya kitamaduni ya kiriadha, katika soko la moneyline unachagua tu timu ipi unafikiri itashinda.
Kwenye kubeti esports, kiukweli hakuna matokeo ya sare ili kuchezesha odds. Katika tukio lisiloweza kutokea kirahisi kwamba kukawa na sare, dau lako la awali litarudishwa.
Hivi ndivyo mikeka ya moneyline inavyoonekana kwenye Parimatch:
Kumbuka, unajua kuwa timu yenye odds za chini zaidi ndio pendwa — utofauti kati ya odds huonyesha kama ndivyo au la inategemewa kuwa mechi shufwa.
Hapa, unaweza kuamua kuwa GamersOrigin ndio wanaopendelewa. Implied probability ya GamersOrigin kushinda ni 65%, wakati implied probability ya Misfits Premier kushinda ni 42%.
Kama ukibetia TZS 10,000 kwenye GamersOrigin — jumla zako za shindi zinazowezekana zingekuwa TZS 15,500
Kama ukibetia TZS 10,000 kwenye Misfits Premier — jumla zako za shindi zinazowezekana zingekuwa TZS 23,600
Kubeti LoL kwa Handicap
Kuna furaha gani katika kubeti mechi za LoL ambazo zimeegemea upande mmoja vibaya? Mbaya zaidi hakuna njia ya kuzifanya ziwe shufwa zaidi… au ipo?
Katika soko la kubeti esports kwa handicap, meneja ubashiri huchezesha odds kwa kuipa timu faida (au hasara) pepe katika jitihada za kuifanya mechi shufwa zaidi — na hivyo iwe ya kuvutia zaidi kwa mbashiri.
Ingawa hutofautiana kutegemeana na ligi au mashindano, League of Legends kwa kawaida huchezwa katika mtindo bora wa mzunguko wa 3, 5, au 7. Timu yoyote yenye uwezo wa kuangamiza ngome ya adui hushinda mzunguko. Handicap ya mikeka ya LoL huwakilisha timu ipi ina uongozi wa mzunguko hata kabla mechi haijaanza, na odds zinachezeshwa vivyo hivyo.
Hebu tutazame:
Kama unavyojua, GamersOrigin ndio inayopendelewa katika mechi hii lakini angalia kinachotokea pindi handicap hasi ikitumika. Odds zinapanda juu, ikiashiria kuwa kwa handicap ya (-1.5), watahitaji kupata walau alama mbili zaidi kuizidi handicap.
Kama unabeti kwenye GamersOrigin kushinda kwa handicap ya (-1.5) katika mechi ya mzunguko ya bora kati ya 3, wangetakiwa kushinda kwa ukingo wa walau mizunguko 1.5 — kwa maneno mengine, wangehitaji kushinda mechi za bora kati ya 3 kwa alama ya 2-0.
Kama timu zitagawana mizunguko 2 ya kwanza, na GamersOrigin wakashinda mechi kwa alama ya 2-1, wasingeshinda kwa walau mizunguko 1.5 — ikimaanisha ingawa ulichagua mshindi sahihi, hawakuwa na uwezo wa kufunga spread, kupelekea katika mikeka potevu.
Mikeka ya jumla za League of Legends
Katika soko la kubeti LoL kiujumla, kimsingi unabeti juu ya mizunguko mingapi unafikiri itahitajika kuchezwa ili kuwe na mshindi.
Kuwa sahihi zaidi, unalinganisha idadi ya mizunguko unayofikiri itahitajika kupata matokeo dhidi ya idadi ambayo meneja ubashiri anakuja nayo.
Kama idadi uliyokuja nayo ni kubwa zaidi kuliko ya meneja ubashiri ungetaka kubeti kwenye over na kinyume chake.
Hebu tuangalie mfano kutoka mikeka ya League of Legends kwenye Parimatch:
Mfano huu umejikita kwenye mechi ya mzunguko ya bora kati ya 5. Meneja ubashiri amepanga jumla kwenye mizunguko 4.5 ambayo ni matokeo yasiyowezekana kwa sababu mzunguko daima utafikia mwisho.
Hili hufanyika kwa kusudi ili kwamba kamwe kusiwe na usumbufu. Matokeo daima yatakuwa juu ya au chini ya tarakimu iliyopangwa kabla na meneja ubashiri.
Jiulize mwenyewe, unafikiri mechi itaishia kwenye mzunguko wa 5 ambao ni wa lazima na wa maamuzi au unaamini kuwa moja ya timu itashinda mechi ndani ya mizunguko 4 au chini?
Mikeka ya mbio za hadi 5 au 10
Unapoweka mikeka ya LoL katika mbio kwenye soko la 5 au 10, unabeti kwenye timu gani unafikiri itakuwa ya kwanza kushinda aidha mizunguko 5 au 10.
Kwa kawaida odds katika mbio kwenye soko la kubeti LoL la 5 au 10 zitakuwa zinafanana sana na odds za moneyline. Hiyo ni kwa sababu, kwa kawaida, timu ya kwanza kufika mzunguko wa 5 au 10 inashinda pia ni timu pendwa kushinda mechi.
Hebu tuangalie:
Hapa unaweza kuona odds za moneyline na pia odds za kubeti League of Legends za mbio hadi 10. Gundua jinsi odds hizo zinavyofanana.
Sababu GamersOrigin ni timu pendwa kushinda haishangazi kwamba ni timu pendwa pia kuwa ya kwanza kwenye mizunguko 10.
Mikeka ya LoL ya total kills
Kama unakwenda kubeti pesa kwenye League of Legends, unapaswa kufikiria kubeti kwenye total kills. Aina hii maarufu ya mikeka ya LoL ni ya kipekee kwenye kubeti esports — ungekuwa na wasiwasi kama kungekuwa na chaguo la kubeti kwenye jumla ya mauaji katika mechi ya mpira wa miguu!
Soko la kubeti LoL la total kills hutofautiana na soko la jumla kwa sababu badala ya kubeti kwenye jumla ya mizunguko inayochezwa, unabeti kwenye jumla ya mauaji katika mechi.
Hivi ndivyo mikeka ya total kills inavyoonekana kwenye Parimatch:
Kwenye aina hii ya mikeka ya LoL, hauchagui timu kushinda au kupoteza. Unachokijali ni kama mauaji ya pamoja ya timu zote mbili yatakuwa juu ya au chini ya namba ambayo meneja ubashiri ametoa.
Katika mfano huu, unaweza kuona kuwa meneja ubashiri anatarajia jumla ya mauaji kuwa zaidi ya 26.5. Unaweza kuamua hili kwa sababu over ina odds ya chini zaidi kuliko under.
Kubeti LoL kwa first blood
Timu gani unafikiri itakuwa ya kwanza kumuua mmoja wa wachezaji adui? Kiukweli hakuna mengi zaidi kwenye hilo kuliko hicho.
Hivi ndivyo inavyoonekana kwenye Parimatch:
Katika soko la first blood, odds kwa kawaida ziko karibu sana. Si rahisi kuja na utabiri sahihi wa timu ipi itatekeleza mauaji ya kwanza — na odds zitaonyesha dhana hiyo.
Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye League of Legends kwenye Parimatch
1. Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Parimatch.
2. Weka pesa kuanza kubeti.
3. Kutoka kwenye ukurasa wa nyumbani wa Parimatch au app ya kubetia ya simu ya mkononi chagua Sports katika menyu ya juu.
4. Halafu, chagua esports kutoka kwenye menyu
5. Kifuatacho, bofya kwenye League of Legends.
6. Hii itakupa menyu ya mdondoko wa chini inayoonyesha mashindano yote. Bofya shindano ambalo ungependa kulibetia.
7. Chagua mchezo ambao ungependa kuuwekea mikeka ya LoL
8. Bofya mikeka ambayo ungependa kuiweka. Boksi litageuka jeusi na mikeka itatokea kwenye tiketi ya ubashiri kulia.
9. Kama ungependa kuweka mkeka mmoja, ongeza ubashiri wako katika tiketi ya ubashiri na bofya kuwasilisha.
10. Kama ungependa kuweka mikeka mingi, rudia hizo hatua hapo juu mpaka mikeka yako yote iingie katika tiketi ya ubashiri.
11. Kinachofuata, chagua mikeka ya parlay au system katika tiketi ya ubashiri. Utazikuta chaguzi hizi katika sehemu ya juu ya menyu.
12. Kwa mikeka ya parlay, ongeza ubashiri wako na bofya kuwasilisha.
13. Kwa mikeka ya system, bofya system ambayo ungependa kuibetia kwenye menyu ya mdondoko wa chini. Halafu ongeza ubashiri wako na bofya kuwasilisha.
Mwongozo wa Kubeti League of Legends — Dondoo kwa ajili ya Kubeti kwenye Mechi za LoL
Kubeti LoL ni njia nzuri ya kuongeza msisimko kidogo zaidi kwenye tukio ambalo tayari linasisimua — lakini hautotaka kushtushwa na kupoteza mikeka yako. Fuata mwongozo huu wa kubeti LoL kuongeza nafasi zako za mafanikio.
Tafiti mikeka yako ya League of Legends
Ni muhimu sana kutafiti utendaji wa kitakwimu wa kila timu kukusaidia kuelewa vizuri zaidi nani ana nguvu zaidi.
Esports nyingi (LoL ikiwemo) zina tovuti zilizotengwa kwa ajili ya kufuatilia jinsi wachezaji wataalamu wanavyofanya. Tumia faida ya maarifa haya — fanya kazi yako.
Ijue tasnia ndani na nje
Kama tu michezo ya kawaida, manguli katika esports wanaweza kukopwa, kuuzwa, kuondolewa, au kubadilishwa nje ya kikosi kwa sababu zingine kadhaa.
Fikiria unaweka mikeka mikubwa kwenye timu kushinda, kuja kujua kwamba mchezaji wao supastaa yuko nje ana mafua.
Hakikisha unajua hali ya kikosi kinachoelekea siku ya mchezo.
Ufahamu uchezaji wa mchezo
Kadri unavyouelewa mchezo kwa kina zaidi ndivyo utakavyofanya tabiri nzuri zaidi. Zina uzuri gani takwimu zote kama hauelewi zinamaanisha nini?Â
Jaribu kucheza LoL wewe mwenyewe. Hakuna njia nzuri zaidi ya kupata hisia ya mchezo zaidi ya kujishughulisha nao.
Badala yake, angalia video za wengine wakicheza League of Legends, tazama matukio muhimu, angalia tena mashindano yaliyopita, au maudhui mengine yoyote unayoweza kuyapata.
Taarifa zaidi kuhusu Kuweka Dau kwenye Esports:
- Dondoo 7 Bora za Kubeti kwenye Esports
- Jinsi ya Kubeti kwenye Counter-Strike: Global Offensive!
- Unabeti Vipi kwenye Dota 2
- Ligi ya SRL ni Nini – Muongozo Kutoka Parimatch
- Yote Yanayohusu Kasino ya Parimatch
- Shinda Kitita cha Pesa Unapocheza JetX Parimatch!
Hitimisho
Kubeti League of Legends kwa sasa ni moja ya njia maarufu zaidi ya kubashiri kwenye esports. Multiplayer online battle arena game (MOBA) hili la kuraibisha ndio kichocheo kinachoendesha tasnia ya dola bilioni ya esports.
Jina League of Legends kiukweli linajitosheleza — mchezo huu usio wa kawaida kweli ni wa kishujaa katika muktadha wa esports. Nani anajua kama tasnia hii ingekuwa hapo ilipo leo bila LoL.
Baada ya kusoma mwongozo huu wa kubeti LoL, umeimarishwa na ujuzi na zana zote muhimu kuweka mikeka ya ushindi na Parimatch. Sasa, nenda kwenye tovuti ya Parimatch au pakua app ya simu ya mkononi na SHINDA PESA HIYO!