THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Usajili wa Parimatch – Nijisajili vipi haraka

Umejaribu kujiunga na Parimatch lakini ukaona ni changamoto kidogo? Usijali! huu hapa ni muongozo wako kamili wa kukamilisha usajili na akaunti yako ya kubeti ya Parimatch.

Ikiwa unatumia App au browser, uandikishaji wa akaunti ni rahisi — fuata muongozo huu na utaweza kubeti na Parimatch bonasi yako ya kujiandikisha ipo wakati wote!

Jinsi ya kujisajili na Parimatch?

Ikiwa unawaza jinsi ya kutengeneza akaunti, unaweza kuifanya kutoka kwenye kompyuta yako au moja kwa moja kutoka kwa smartphone yako. Kuanza kupata michezo ya kubahatisha na michezo ya casino, fuata maelekezo haya na utaweza kuingia!

  • Ikiwa unatumia simu ya smartphone, kwanza unapaswa ku-donwload mtandao wetu wa Parimatch — unaweza kujisajili hapo pia. Huu hapa chini ni muongozo utakaokusaidia kufanya hivyo
  • Pia unaweza kujiandikisha kwenye mtandao wetu wa Parimatch ikiwa unatumia smartphone au laptop
  • Kwanza, lazima bonyeza kitufe cha “Jiunge” kulia juu
  • Kisha, ingiza nambari yako ya simu. Tunahitaji nambari halisi ya simu kwani hii itatumika kudhibitisha akaunti yako
  • Ingiza neno la siri na thibitisha neno la siri hilo. Hakikisha sio rahisi kwa mtu mwingine kuigundua kwani tunataka kuweka vitu vyako kwa usalama
  • Kubali vigezo na masharti
  • Bonyeza “Jisajili”
  • Thibitisha nambari yako ya simu na SMS — ingiza nambari iliyotumwa kwa simu yako ya mkononi
  • Tayari umeshasajiliwa. Sasa unahitajika kuweka pesa, na uanze kubeti

Unaweza pia kutazama maagizo ya video kuhusu kusajili kwenye Parimatch:

Ni utaratibu gani Parimatch inatumia kutambua uhakiki?

Parimatch, tumeamua kutumia sheria kali ya kulingana na hadhi ya kampuni. Hii inamuhakikishia mtumiaji wetu kuwa yupo sehemu salama wakati akiweka mikeka yake.

Hii ndio sababu tunafanya uthibitisho kwa umakini. Tunataka kuhakikisha kuwa tunafuata taratibu za kumjua mteja (KYC) ili kuepukana na wezi wa fedha wa kimtandao — Tunakuhakikishia usalama unapotumia bidhaa zetu.

Hii ndio sababu tunaomba uthibitisho wa nambari yako ya simu juu ya usajili. Kufuatia hii, tunahitaji kwamba watumiaji wote wawasilishe taarifa rasmi zinazowahusu kabla ya kutaka kutoa fedha yoyote — ili kujithibitisha. Hii inakomesha shughuli za ulaghai kwenye akaunti na inalinda watumiaji.

Utaratibu ni haraka sana, na utaweza kutoa fedha mara tu utakapothibitishwa.

Jinsi ya ku-download App ya Parimatch Betting?

Kabla hujaanza kupakua App yetu, unapaswa kwanza kubadilisha mpangilio wa simu yako kwa kubonyeza kitufe cha security kisha baada ya hapo weka enable “Uknown Source”.

Kisha, pakua programu ya Parimatch. Mara baada ya ku-download, bonyeza “Open”, kisha “Install”. Baada ya hapo App yako itakuwa ipo tayari na unaweza kujisajili na kuanza kuweka mikeka yako.

Hapa kuna video kuhusu kusanikisha programu ya Parimatch:

Je, hauna uhakika? Jifunze kwanini mpango wa Parimatch ndio programu bora ya kubashiri mpira wa miguu mnamo 2020.

Ntapata bonasi gani nikifungua akaunti na Parimatch?

Tunafurahi tunapokaribisha mteja mpya ndani ya zizi, ndiyo sababu tunapenda kukupa zawadi ya salamu. Tutazidisha amana yako mara mbili. Jiunge sasa, weka na uwe na hadi TZS 1,000,000 kwenye akaunti yako!

Jiandikishe leo Parimatch na uanze kuweka mikeka

Unaweza kujiandikisha na Parimatch kwa kupitia simu yako ya mkononi au kwa kutumia browser ya Laptop. Pia unaweza kujisajili kupitia App yetu ya kijanja — Ni rahisi!

Kwa 2020, Parimatch ndio kampuni bora ya kubeti nchini Tanzania, tunakupa fursa ya kubeti michezo yote kupitia simu yako ya mkononi. Jisajili leo na uweze kubeti michezo yote ya ulimwenguni kama vile volleyball, Hockey ya barafu, mpira wa miguu, kriketi, tenisi, mpira wa mikono, na mpira wa magongo, na mingine mingi!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.